Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Namuona jafo hapa UTV wagombea wa chadema walikuwa 19% ya wabombea wote

CUF likuwa na wagombea 4% ya wagombea wote

VYAMA vilivyobakia walikuwa 1.005 ikiwemo na ACT

CCM ilikuwa na wahombea 79& ya wagombea wote

Form zilizokataliwa zilikuwa asilia 28.66% ya form zote


State agent
19%+4%=23%

Iweje CCM awe na 79%

Nauliza tu miye nilisoma HGL

Maendeleo hayana vyama!
 
Namuona jafo hapa UTV wagombea wa chadema walikuwa 19% ya wabombea wote

CUF likuwa na wagombea 4% ya wagombea wote

VYAMA vilivyobakia walikuwa 1.005 ikiwemo na ACT

CCM ilikuwa na wahombea 79& ya wagombea wote

Form zilizokataliwa zilikuwa asilia 28.66% ya form zote


State agent
Kwa hiyo hiyo 28% inapajumuisha na ccm
 
Jafo hajawahi kufanya kazi kwenye Halmashauri, anaposema vilivyosusia ni vyama sio wagombea ,ana maanisha wagombea wataendelea kupigiwa kura, hajui madhara yake ukiwa watachaguliwa, hawatashiriki shughuri zozote za maendeleo ikiwa watapita. Ikitokea hivyo shughuri nyingi za kwenye hizi LGAs zinategemea sana hawa viongozi na sio madiwani. Watapelekewa vifaa vya viwandani kwenye miradi wataviweka ndani, shughuri nyingi za wananchi zitakwama.

Mimi nafikiri utafutwe muafaka , Jafo ana mamlaka ya kuwarudisha wagombea wote waliotolewa, kwa sababu makosa yao ni madogodogo tu ya ujazaji wa fomu sio ya jinai.
Lazima ifike mahari tukubali hatukufikiria wakati tunapanga kuwaondoa xhadema na ACT, ilibidi pia tupandikize wahombea toka kwenye vyama vingine 11,ili hawa wakigoma hao wengine wanabakizwa kwa ajiri ya justification, sasa hawajasimamisha wagombea halafu wanaambiwa waende mbele ya waandisha wa habari wakatoe tamko la kuendelea na uchaguzi, wakati tumeshachelewa
 
Jafo na ccm yako jifunzeni kuvhuchumaaa.. mtaabika sana.. chadema sio watoto wadogo, Hii nchi ni ya wananchi na wananchi wanajua haki zao.. popelesssssaa power!!!!!! .
20191110_154622.jpeg
 
Nchi yangu chini ya chama tawala tunazingatia uchaguzi wa uhuru na wahaki, upinzani msitafute ushindi wa bwerere kwa kuona mnaonewa
 
Pambafu wewe... nani analilia hapa.. yapo wapi majigambo sijui tutashinda kwa 100% saizi mnakuja kulilia hapa.

Jafo lazima ashitakiwe kwa kuvunja sheria
Wekeni sera zenu mezani , waambieni watu mliyoyafanya miaka mitano, sio mnashinda kila siku kupiga soga na kula hela za ruzuku
 
Back
Top Bottom