WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

Nashukuru sana kwa wote mlionitaja kwenye huu uzi,ila nimeshindwa kuwaquote na kuwamention kwa sababu natumia simu ya torch,,,,,nawapenda sana.JF imeniwezesha kuongeza siku zangu za kuishi kwa furaha ninayoipata nikiingia hapa ndani.

Though kuna makwazo ya hapa na pale kutoka kwa baadhi ya wadau lakini tunavumiliana na kusongesha kurudumu.NAWATAKIENI MAANDALIZI MEMA YA X-MASS NA MWAKA MPYA.TUZIDI KUOMBEANA.
 
Nashukuru sana kwa wote mlionitaja kwenye huu uzi,ila nimeshindwa kuwaquote na kuwamention kwa sababu natumia simu ya torch,,,,,nawapenda sana.JF imeniwezesha kuongeza siku zangu za kuishi kwa furaha ninayoipata nikiingia hapa ndani.

Though kuna makwazo ya hapa na pale kutoka kwa baadhi ya wadau lakini tunavumiliana na kusongesha kurudumu.NAWATAKIENI MAANDALIZI MEMA YA X-MASS NA MWAKA MPYA.TUZIDI KUOMBEANA.

Amina nawe pia mpendwa
 
Oh yessss. Ilmradi tu nione mwaka. Na mwingine ni Kaizer


Uwe na amani sasa....Babu and Co. wanawajibika mia kwa mia kuhusu usalama na kila kitu kinachokuhusu kuanzia sasa...

Si ndiyo hivyo??

Babu DC!!
 
Ahsante sana Vin Diesel, ni faraja sana kukutana na wewe hapa jukwaani....

Nakuaminia sana kamanda!



Sina cha kusema YNNAH......nina deni kubwa na wajukuu zangu hadi sijui nitaanzia wapi kulipa.


Ila nyie members wa timu yangu nawaaminia sana...hata nikilala leo, mtalipa kila kitu.

Ubarikiwe sana!



Huyo ndiye Katibu wetu......Nakupa imani yangu yote mkuu!!



Safi sana mkuu @RR....nimefurahi sana kukuona tena...

Wapi umejificha/fichwa??



Poa mkuu,

Uwepo wako hapa jamvini ni muhimu sana kuliko ninavyoweza kueleza.

Ila ujitahidi uingie kwenye ile club ya kuuza uhuru wako ili siku moja na wewe ustaafu...lol!!

cc: Fixed Point kwa ajili ya huduma ya counseling ...



Mbona unapotea hivyo mkuu?

Halafu umesahau kwamba ile kazi tuliyoianzia pale Nyinda hatujaimaliza...

Inshallah tutajaribu tena 2014...

Babu DC!!
Nikweli kabisa ila mkuu inabidi nije tuanze na proposal!kwanza tuone inakuwaje lol!
 
Nikweli kabisa ila mkuu inabidi nije tuanze na proposal!kwanza tuone inakuwaje lol!


Karibu sana mkuu,

Nimwambie katibu Mwanyasi aandae mapokezi ndani ya Tanga lini?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Asante sana dada yangu AshaDii kwa salamu....umekuwa mtu muhimu sana maishani mwangu....
Nina mengi nimejifunza toka kwako na nina imani udugu wetu utazidi kukua kila uchao...
Nami kichwa kikitulia nitatuma salamu za heri za mwaka mpya kwa ndugu zangu kwa majina yao....

I am humbled... Pamoja Saaana!

Nimekukubalia😎.

Nimekufuata PM kwa mwongozo zaidi. It should be Perfect! Lol
 
Nashukuru Dark City, AshaDii kwa maelezo yenu kwani ukweli kila mmoja humu anafaida kuliko hasara mimi binafsi nawashukuru wote wale ambao tumeweza kujuana humu JF na bado tunaendelea kufahamiana nawashukuruni sana..

Dada AshaDii ahsante kwa salamu..

....am humbled AshaDii,
Namshukuru Mwenyezi Mungu
Na pia nakutakia nawe na family yako
Pamoja na Members wote....

****Heri ya Mwaka Mpya 2014!***

Pamoja Saana Kaka zangu. Tuendelee kubarikiwa sote.
 
JF binafsi imenipa masomo mengi sana ya kimwili na kiroho, ni tofauti kabisa na facebook ingawa kutotumia majina na sura zetu halisi ni changamoto kubwa sana maana unapata shida ya kumwamini mtu/watu. Ila yote Mungu ndie wa kushukuriwa
 
Ahsante sana dada yangu AshaDii,
But ukweli umeadimika sana this time.
Mpaka nikawa najiuliza kipi kimekupata, pengine kazi za u- Moderator zinakufanya ubaki kama mtazamaji au refarii zaidi kuliko uwanjani.

Otherwise pamoja sana, hopefully tutakuwepo next year inshaalah!!Regards, Shark

Hahahahaaa! Ni kweli nimeadimika Shark kwa kuwa nimebanwa kwa kiasi fulani. Ila si kwa sababu hii bana! :biggrin1:

Inshaallah next year tuzidi kuomba uzima, niongeze juhudi zaidi.

Asante sana kwa kunitolea salam.@AshaDii ninakutakia kila la kher inshallah

Ameeen! Pamoja Saaana kaka.

AshaDii asante kwa kutukumbuka. Huu Mwaka umekuwa na mengi na yote yamekuwa ya kheri kwangu binafsi na kunipa nguviu zaidi za kusonga mbele na kuunza mwaka 2014 tofauti.

Nafurahi kusikia haya Ndahani, tuzidi kuombeana kheri. Pamoja saana.

kuna watu wanasema JF ni zaidi ya mtandao, nami nakubaliana nao kabisaaaaaa, yaani hapa ni mambo yote.
Nina mengi sana nimejifunza kupitia JF, najivunia kuwa mwana JF kwa kweli.
Nimepata marafiki, wadogo, mapacha, na nafurahi kila ninapowasiliana nao.......
Naamini tutaendelea kufunzana, kuonyana, kurekebishana, kusaidiana kwa kadiri Mungu atakavyotujalia.
Barikiweni sana wote na nawatakia Kila la heri tunapojiandaa kumalizia mwaka huu na kukaribisha mwingine.
Mungu azidi kuwa pamoja nasi.

Nakusalimu with Love. My very speacial greatings to you. :flypig:
 

Nashukuru saana BAK, Tunakupenda pia... Asante kwa burudani murua! Pamoja Saaana.

Thanks kwa salamu AshaDii
I like you and i always tells you so.
Happy holidays mummy.

Like always huwa unasema hivyo, Like always I am so humbled and so touched. Kwangu ina maana kubwa saana Koku. Nashukuru siku zote. Pamoja Saana with lots of Love.

baby ake ubarikiwe sana. thax da AshaDii i'm so grateful to have you as my marital sister (usisahau kumruhusu Kaizer mapema leo zamu yangu), da gfsonwin love you mingi my dia.

Dear am grateful too. Hivyo siwezi kufanya makosa kutaka kukuudhi ama kukuonea kwa makusudi. Zamu lazima iheshimiwe, hilo hata mdogo wangu gfsonwin analisimamia sana 🙂

mbna jina langu halipo au mgeni humu
Jipu nakusalimu... Na pia kukutakia kheri katika hizi sikukuu zinazokuja na mwaka 2014 wote. Pamoja Saaana.

Mamii AshaDii, umetenda jambo lililojema na la haki, kumaliza mwaka si mchezo, kwangu mie napenda kuwatakia maandalizi mema ya kumaliza mwaka na kuuanza mpya!

Nashukuru dear na nafurahi pia kwa acknowledgement. Pamoja Saana!
 
Last edited by a moderator:
Sawa babu yangu mpendwa.... Mjukuu wako anakupenda babu!


Kama kawa, babu na wajukuu zake ni zaidi ya kiko....

Pamoja sana hadi tuvuke 2013 na kuanza ngwe nyingine....

Unakuja Mwanza au mageti yameshafungwa??

Babu DC!!
 
JF binafsi imenipa masomo mengi sana ya kimwili na kiroho, ni tofauti kabisa na facebook ingawa kutotumia majina na sura zetu halisi ni changamoto kubwa sana maana unapata shida ya kumwamini mtu/watu. Ila yote Mungu ndie wa kushukuriwa


Karibu sana Mokoyo na jisikie nyumbani uwapo MMU...

Kwa ufupi, raha kubwa na ubunifu wa pekee wa JF ni majina na picha feki.....bila hivyo sioni ni kwa jinsi gani tungekuwa hapa badala ya huko kwingine..... Lakini pia usisahu uhuru wa kubadilishana mijadala kwa mapana zaidi na level ya organisations iliyoko JF. Kama ulishawahi kujaribu kuchora ramani ya nyumba yako mwenyewe basi naamini utanielewa.

Kwangu JF ni mwanzo na mwisho wa social media...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom