sijui niseme baba sijui kaka coz mi ni dogo kwelikweli even me before that i though this could be a golden chance to meet this briliant and charming society but unlucky huo muda nitakuwa field tanroads bukoba hadi mwanzoni mwa february ina niuma sana sababu huwa sijui pa kuanzia kukutana na baadhi ya watu wa jf though ninatamani sana tusaidieni wadogo zenu jamani wengine bado tunanuka maziwa kabisaaMtihani nambari moja huwa ni kutengeneza nia halafu lifuatalo huwa ni kuweka sababu, mwisho huwa ni utekelezaji.
Nina imani hadi sasa moyoni kwako huwa kuna watu unatamani dana kuwaona na pengine kubadilishana nao mawazo.
Kwa kuanzia kama upo Dar es Salaama basi anza na lile kusanyiko la tarehe 25 Januari, uzuri ni kwamba unawrza bado kuficha identity yako na bado utachanganyika na watu.
Shukrani sana Mkuu kwa kweli JF ni shule ya aina yake na ndio maana wengi tunakuwa addicted hapa mahali. Fikiria mpaka unaposikia breaking news popote pale duniani unakuja hapa kwanza kabla ya kwenda CNN, BBC au kwingineko. Nakumbuka lile shambulizi la Nairobi la wale magaidi wanne JF ilikuwa juu sana katika kuripoti shambulizi lile tena up to date kwa mbali sana ukilinganisha na CNN na BBC. Pia kuna mafunzo mbali mbali kuhusu maisha yetu ya kila siku. Idumu JF.
najua una wajukuu kibao ila vitukuu hawajaji introduce mi sina hadhi ya ujukuu mi kitukuu next year nikitia maguu tu lazima kitukuu nikutafute hawa watu wote kukupenda sio bure wanasema fata nyuki ule asali na panapo fuka moshi chungu hakikosekani ubarikiwe babu ishi maisha marefu ikibidi umpite mandela ilaaaa mhhhhh mandela aaah rip babu mkubwaWapendwa wana JF na wadau wa jukwaa letu pendwa la MMU, karibuni kwenye kiringe hiki tufunge mwaka wa 2013 na tuanze maandalizi ya kipindi kigumu cha 2014 kuelekea 2015!
Katika pita pita yangu mahali leo, nimekutana na baadhi ya posts za nyuma ambazo sasa zinakaribia umri wa miaka 4. Katika kuzisoma, nimejikuta natafakari mchango wa JF katika maisha yangu na nyie wadau wenzangu. Nahisi itapendeza sana kwa kutoa ushuhuda kwa kile ambacho tumekivuna hapa JF. Na mwisho wake, tutoe shukrani kwa team nzima ya waanzilishi na waendeshaji wa JF na majukwaa yake yote.
Kati ya vitu ambavyo nimevipata hapa JF na MMU ni kama vifuatavyo...
1. Hati ya kuwa Babu mstaafu (wa kweli) na heshima kubwa ambayo imetokana na cheo hicho. Mara nyingi nimejikuta katika wakati mgumu kukitumia hiki cheo...(hapa naomba wachokozi kama snowhite na Smile wakae kimya).
2. Nimevuna marafiki wa ukweli sana....Kupitia JF, nimekutana ama kuwasiliana na wadau wengi sana na nimepata faida nyingi sana kupitia kwao (kama kuna hasara basi imefunikwa na faida). Nimekutana na watu wengi sana (pamoja na kwamba avatar zinawauzia watu mbuzi kwenye gunia). Sina cha kujutia kukutana nao!
3. Nimekua na kuweza kuhimili changamoto za kupewa challenges na hata watu tunaoheshimiana sana....
4. Nimeelimika katika mambo mengi sana. Mojawapo ni jinsi ya kuwasilisha maoni yangu kwa ajili ya kuwasiliana na wanaJF wenzangu...
Nitaendelea kuongeza mengine ila kwa sasa nawakaribisha wadau wote wa MMU tufunge mwaka... Maxence Melo, Invisible, AshaDii, Nyani Ngabu, Fixed Point, Smile, snowhite, PakaJimmy (mwenyekiti mwenyewe...you deserve uenyekiti), Blaki Womani, Preta, marejesho + Filipo, KOKUTONA, CHUAKACHARA, YNNAH, Mwanyasi, amu, Negrodemus, gfsonwin, BAK , Mbu, Eiyer, Mtambuzi, MwanajamiiOne, bht, King'asti, Teamo, Zion Daughter, Asprin, Kaizer, watu8, Dena Amsi, Arushaone, Ta Bishanga, Fidel80, KakaKiiza, MANI, Mwita Maranya, LiverpoolFC, Mungi, Mzee wa Rula, snowhite, The Finest, Mike Mushi, madameB, Mamdenyi, Lizy, Nicas Mtei, Rejao, Arabela, Rose1980, Lily Flower, Heaven on Earth, Charming Lady, Faiza Foxy, Pasco, Chris Lukosi, Lunyungu, MziziMkavu, lara 1, Zinduna, The Boss, Nyamayo, Belinda Jacob, Karucee, Mentor, sakapal, Evelyn Salt, saudari, Baba_Enock, Husninyo, Rutashobolwa, Erickb52, Mr Rock, afrodenzi, Gaijin,
Pia naomba kama kuna mtu anaweza kututafutia quotes za wadau ambazo zinafaa kukumbukwa aziweke hapa, nitaziunganisha na uzi huu.
Nawatakia sikuu njema za mwisho wa mwaka na heri ya mwaka mpya wa 2014!
Nawapenda sana,
Babu DC!!
Kutoka kwa wadau:
1. Wapo waliopata kazi kupitia JF..
Some interesting Quotes:
Babu Dark City kweli kabisa tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa wakati huu ambao bado anatuazima pumzi yake bure.
Pia kumshukuru Mungu pia kwa kutupa nafasi ya kutafakari matukio mbali mbali yaliyotokea katika maisha yetu mazuri na mabaya,,yote kwa yote tunafundishwa kushukuru kwa kila jambo.
Na tena kwa kutupa marafiki hapa JF na pia kwa elimu nafundisho na changamoto mbali mbali .
Kipekee namshukuru sana MUNGU kwa kila jambo na kwa kila changamoto niliyoipata mwaka huu hadi leo nikiwa hapa mbele ya key board.
Mwaka huu kwangu umekuwa na ups and downs za kutosha, but ki ukweli namshukuru Mungu kwa kunikutanisha na marafiki wa ukweli hapa JF, niliowaona face to face, na weengine just behind the keyboard. When i was down karibu ya kuzama kwa kweli mliniinua.MUNGU awabariki sana sana.
I will always love you ALL
To mention few in behalf Dark City babu yangu kipenzi, Mwanyasi, YNNAH, Arabela CHUAKACHARA, PakaJimmy, Mzee wa Rula, Arushaone Preta, Blaki Womani, Lily Flower, erckb52 baba JR thanks for being a good father tom my son, IGWE, Liverpool FC, Filipo, marejesho, Kaizer, watu8, Madame B, Smile, AshaDii a woman i inspire the most, Mtambuzi, KakaKiiza, Nicas Mtei, COPPER, amu, @Nivfea, Fixed Point i always remember you my sister, ulikuwa unanifariji sana in my sand moments, Avemaria, BAK the BFFL, BHULULU, Fidel80, Baba V, mzabzab, gfsonwin, Simplicity, Tutor B, charminglady, sweetlady, Ladymasa, @C6, Vin Diesel Mentor, DEMBA wifi yangu, Mwita Maranya, lara 1, Ennie, zion Daoghter, babu Asprin, kaka Rutashobolwa na wifi yangu Passion Lady, Eiyer, Mr Rocky, Karucee, FirstLady, kiwatengu, shansharie, Mamndenyi, Jiwe Linaloishi, Mungi, Mkirua you are the best firiend, The Boss, kipipi, kokudo, Mutta, N-handsome, Negrodemus, zubedayo_mchuzi, nitonye, Bishanga, Mamzalendo, Mrembo by Nature, The secretary, Zinduna, Ablessed, Tuko Heaven on Earh, Lady doctor, Evelyn Salt, Mzizi Mkavu, Rweye, MAKOLE King'asti,
And many many more ambao sijawataja, I owe you my friendship.
Special thanks to JamiiForums FOUNDERS, Tanga Wing, Arusha Wing and Dar wing.
Nimejifunza mengi kutoka kwenu na nimepata mengi ya faida yatokanayo na posts/threads kwenye majukwaa yote.
Kwa kumalizia I just wish you a.......
![]()
FRIENDSHIP FOREVER
KOKUTONA

Make us one ooh Lord we are member of one family
My dear mdogo, you will always have a special place in my heart.......ALWAYS....... don't forget that....Babu Dark City kweli kabisa tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa wakati huu ambao bado anatuazima pumzi yake bure.

My dear mdogo, you will always have a special place in my heart.......ALWAYS....... don't forget that....
have a Blessed holiday as well
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeennnnnnn