I am humbled... Pamoja Saaana!
Nimekufuata PM kwa mwongozo zaidi. It should be Perfect! Lol
BAK anawapenda woooooteeeeeee
CC:Keren_Happuch (Ni aje kingunge? 🙂🙂), @WomanofSubtance (Jirani wa ukweeee), Fixed Point (MSULI), Michelle (I miss you so much girl, I hope those beautiful angels are doing well), Ablessed, Mbu, Gaijin, FirstLady1, Neylu, BelindaJacob, sakapal, Nzi, VUVUZELA, Dr MziziMkavu, Heaven on Earth, farkhina, mimi49, NATA, Mr Rocky, Mentor, House Wife, Wacha1 snowhite, Nicas Mtei, kisukari, Karucee, Dingswayo, Nyani Ngabu, Belo, Peasant, Richard, Ngambo Ngali, Steve Dii, Sikonge, jmushi1 Chocs, afrodenzi, FaizaFoxy (Ajuza) Mtambuzi, gfsonwin, snowhite, Dark City, Heaven on Earth, KOKUTONA, amu, Mwanyasi, YNNAH, Smile, Jiwe Linaloishi, AshaDii, Maxence Melo, watu8, Cantalisia, sweetlady, Preta, Mamndenyi, Madame B, Kijino, cacico, Asprin, charminglady, Elizabeth Dominic, Kaunga, zion daughter, Arushaone, marejesho, Baba V, MMAHE, Asnam, christine ibrahim, Filipo, Remmy, Nivea, Ruhazwe JR, @C6, Kichwa mbovu, Kaizer, Husninyo, ladyfurahia, nameless girl, Arabela, Judgement, BAGAH, Erickb52, Crashwise, Mungi nitonye Kipaji Halisi, Lady doctor, Passion Lady, Ruttashobolwa, Superman, Bishanga, The secretary Rejao, boss, Mzee Mwanakijiji, Invisible na wengineo wote wa hapa jamvini.
ubarikiwe nawe pia mkuuGuys as normal niwatakie msimu wa Sikukuu mwema.
Lakini ntakuwa mchoyo wa fadhila nisipowataja watu flani walau kwa mwaka huu wamekuwa na mchango mkubwa kwangu kwa kuufanya uso wangu uwe na furaha kila niingiapo jf...Naomba kuwataja wafuatao.. snowhite , Mkunde Original, lara 1, Heaven on Earth, Simplicity, Mashaxizo na mwekundu ....these fellas to be frank they did a lot to make my face smiling in this ending year 2013..big up to you all!!!!
Ila kwa namna ya pekee niwakumbuke machalii wa A Town waliojitoa kwa hali na mali kunipokea na kunifanya nipange kurudi tena...Ebwana PakaJimmy, Preta, Arushaone,Tonypk,cantalisia,Blakiwoman, Filipo, LiverpoolFC, Valentina ...na wengineo wote nilowasahau...Tukutane Mwanza au Kebby's Hotel
Kweli Babu... Nimepotea mpaka najishtukia....
Na hicho ndicho kinachompa upekee huyu Mrembo wangu, ameweza kunivumilia na upotevu wote huu... Wakati babu yangu wewe ulisha nidelete.... Huo ndio upendo mkuu wa huyo mtoto Babu!!
Ila marazote nimekuwa siachi kuwasoma wapendwa wangu, shida inakuwa kupatikana kwa mijadala tu.
Jf' ni jukwaa la kipekee sana binafsi najivunia kuwepo hapa. Jamiiforum imenipa marafiki na imenikutanisha na ndugu na jamaa zangu kutoka pande mbalimbali za dunia hii. Jamiiforum ni mahala ambapo watu huwa tunapishana na kukubaliana kimawazo(agree to disagree) lakini ni matumaini yangu haitupelekei kuwa maadui. Nichukue nafasi hii kuwashukuru brothers ambao nimekutana nao humu ndani lakini ukweli tumekuwa zaidi ya ndugu hata nje ya jukwaa hili(jf). Kwanza nikushukuru brother Ritz wewe niwa kipekee sana na ninajivunia kujuana na wewe, Boko haram, THE BIG SHOW, mzee wangu Mohamed Said nakushukuru sana kwa ushauri na mawazo yako unayonipatia kiukweli ninafarijika sana, brother dr kahtaan, ndugu yangu gombesugu, Mohamedi Mtoi, Elli, Zumbe Mkuu, MANI, ZeMarcopolo, Madame B, Mamndenyi, mkuu wangu chama, dada AshaDii, Nguruvi3, Wickama, best yangu Shardcole et al. Nimejifunza kutoka kwenu na nawatakia kila heri.
Maulana Shariff CHAMVIGA,
Asalaam Alaykum Al Habiby.
Wallahi,ni furaha chungu tele nami kadhalika kila nikusikiapo Akhiy...ni faghari na pia najivuna mno yakuwa wewe ni mmojawapo ya ndugu zangu wa karbu mno.
Walakin,menitia machungu kiduchu maana mbona hukumtaja Dada'etu Bi Asha Mohamed!? Au ndo meogopa mtia wivu ndumbulo Al Mudeer THE BIG SHOW!? Teeh! Teeh! Teh!
Nakutakia kila la Kheir na tashrif chungu tele kwa yoote mema ufanzayo Insha Allah!
Ahsanta sana.
Wewe sasa ndiye unapenda uchokozi....
Hivi kuna mzazi hapendi kuwaona watoto wake?
Babu DC!!
Wewe ni mtunzi wa mashairi mkuu??
Nimefurahi sana kusoma post yako.....
Nakutakia kila la heri katika kumalizia mwaka..
Babu DC!!
dah!
AshaDii we bana mwaka huu kati kati umekuwa mtoro mtoro humu umeniwacha kichwa kimepungua maakili yako ujue!mwakani puleeeez azima mimi hayo maakili kwa kuandika humu
Lol....
Kwa namna fulani wakati naanza hapa JF sikufikiria kama atatokea mtu wa kunifikisha unaponifikisha!!
Hii hata Bidada AshaDii sijamwambiaga....!
This is so sweet Snowhite. Asante sana dear, itabidi nikualike home tubadilishane maujanja.
ntafurahije! @jouneGwalu atanileta alisema!
Kweli mimi shahidi 🙂 Nice to see you dear. Pamoja saana Gwalu.
he has ze sing u know!adimu but akija utajua tu!culdnt resist zat!
Nashukuru Chamviga, tupo pamoja na Inshaallah tutazidi kuonana hapa. Pamoja Saana.