WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

ahahahha umeanza kuona akili imevuka boda bila passport enh!
basi tusijadili ahabri ya zawadi bana!
hebu wewe kalale bibi anakuita huko tuwache humu wajukuu tufanye ufaraguzi wa mada mbali mbali!
tunahamia kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee KOKUTONA twenzetu Ennie tubhuke

Coming
 
Here we go snowhite.

Babu Dark City eti ukalaleee, tufanye yetu, ukiona utatuchimba bit bureeeee
 
Last edited by a moderator:
Here we go snowhite.

Babu Dark City eti ukalaleee, tufanye yetu, ukiona utatuchimba bit bureeeee

Mnataka kufanya nini tena??

Naakumbuka wakati tukuwa wadogo watoto wa kike walikuwa wanakimbia hadi mbali porini na kuanza kuchungulishana vidudu vyoa....basi na sisi tunavizia na kuwaharibia....

Ndiyo hayo mnaenda kujikumbusha??

Kwa herini..

Babu DC!!
 
Wewe babu usiniambie ndo michezo yenu enzi zenu ilikuwa hivyoo.

Si tuanenda kucheza shake ready na kuruka kamba na by shoy.

Byeeeeeeeeeeee
 
Mnataka kufanya nini tena??

Naakumbuka wakati tukuwa wadogo watoto wa kike walikuwa wanakimbia hadi mbali porini na kuanza kuchungulishana vidudu vyoa....basi na sisi tunavizia na kuwaharibia....

Ndiyo hayo mnaenda kujikumbusha??

Kwa herini..

Babu DC!!
babu let the gals be gals bana!
mbona nyie mlivokuwa mnatuwekea kioo kwa chini tukiwa tumesimama af mnafinya kuja kutuongelesha kwa pembeni!
ahahahahhaha ila ile michezo bana zamani ilikuwa inatengeneza ubarobaro na udarodaro bana!
yani otomatekale mtu unajifunza kukaa vizuri bila kuchanua miguu na kijana anajifunza tu kuhamasika ehehehhe japo kwa macho aseee ande the rest continued.........:tape:
 
Manundu-Korogwe
cc. umbuje KOKUTONA

Ahsante kwa kutambua uwepo wangu dear Ennie

(Kama uko Manundu halafu katibu Mwanyasi hana taarifa zako basi hiyo kesi itakuwa ya kufungia mwaka...

Bahati mbaya inaonekana mweka hazina wetu KOKUTONA anashiriki kwenye deal la kuficha watu wa aina yako...

Hapa lazima pachimbike aisee...

Babu DC!!)

Babu Dark City hujamuelewa Ennie, kama sisi nshomile living somewhere else

(Katibu Mwanyasi amesema anasubiri mwaka mpya ndio utambulisho rasmi utatolewa.
Msimuuzie kesi umbujangu KOKUTONA)

Na yeye anataka mwakani ndo tumtambue rasmi km mwanajamii
 
Unatisha sana mkuu Shark,

Nafasi yako hapa JF ni kubwa kuliko maelezo....

Ulipotelea wapi lakini??

Ndugu yangu Tiba, JF imepitia kwenye evolution ya ajabu sana...

Tumshukuru Mungu kwamba tumeweza kuwepo na co-existence ya amani sana ingawa wakati mwingine tunaimiss ile ya kwetu ya 1947!!

Hivi wewe ni mpenzi wa zile sinema za kutisha??

Flavours zako hapa JF huna mpinzani mkuu MziziMkavu...

Tuendelee hadi beyond 2014.

Babu DC!!
Ninashukuru sana kwa kunipongeza ndio mimi mpenzi wa Sinema za kutisha horor film na wewe ni mpenzi wa hizo Sinema za kutisha?
 
nashukuru sana Dark City, msingenikumbuka ningekuja kimanyigu, Mwanza nakuja Alhamis lakn huenda nisikuone kwani wewe unaishi kizani
Hapana mkuu manyigu, aka Amavubi...

tunakukumbuka sana na ndiyo maana tutakuita utupe hadithi za Kigali.

Mzima lakini wewe? Mwanza unakuja kwenye finali ya 2013?

Babu DC!!
 
Upo mkuu? Mbona umepotea kiasi hicho?

Babu kafurahi sana kukuona kiringeni ingawa umemficha vitu hapo juu!

Babu DC!!

Kweli Babu... Nimepotea mpaka najishtukia....

Na hicho ndicho kinachompa upekee huyu Mrembo wangu, ameweza kunivumilia na upotevu wote huu... Wakati babu yangu wewe ulisha nidelete.... Huo ndio upendo mkuu wa huyo mtoto Babu!!

Ila marazote nimekuwa siachi kuwasoma wapendwa wangu, shida inakuwa kupatikana kwa mijadala tu.
 
babu let the gals be gals bana!
mbona nyie mlivokuwa mnatuwekea kioo kwa chini tukiwa tumesimama af mnafinya kuja kutuongelesha kwa pembeni!
ahahahahhaha ila ile michezo bana zamani ilikuwa inatengeneza ubarobaro na udarodaro bana!
yani otomatekale mtu unajifunza kukaa vizuri bila kuchanua miguu na kijana anajifunza tu kuhamasika ehehehhe japo kwa macho aseee ande the rest continued.........:tape:

Siku hizo zilikuwa na raha yake mdogo wangu. Hadi nakaribia kuwa mtu mzima, sikuwa kukutana na binti ambaye unampa mistari hadi anasema ndiyo. Ila Maji ya kunywa hakunyimi....lol!!

Babu DC!
 
OH BORA UMEKUJA babe!
hapa palikuwa na limtu linaitwa Eiyer lina maneno mengii
kwanza pole na kazi!
nikuwekee kwanza juice au unaoga kwanza?
maji yawe na nini leo?

Ahsante kwa kila kitu!

Pole na uchovu, naona bado hujaamka mpaka sasa... Usiku ulikuwa mzuri sana...!

Hebu tuchepuke kwenye huu uzi wa Babu maana mizuka ishatuzidi tusije kumwaga radhi mbele ya huyu mzee tumuue kwa presha zake na pensheni kabla hazijesha, huyo Eiyer hajaanza leo kuingilia maeneo yangu, unajua cha kumfanya..!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom