WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

Mtihani nambari moja huwa ni kutengeneza nia halafu lifuatalo huwa ni kuweka sababu, mwisho huwa ni utekelezaji.

Nina imani hadi sasa moyoni kwako huwa kuna watu unatamani dana kuwaona na pengine kubadilishana nao mawazo.

Kwa kuanzia kama upo Dar es Salaama basi anza na lile kusanyiko la tarehe 25 Januari, uzuri ni kwamba unawrza bado kuficha identity yako na bado utachanganyika na watu.

bahati mbaya nipo nje ya Dar es salaam,kuna watu huwa natamani sana kuwaomba ushauri hata kupitia PM mmojawapo akiwa ni wewe watu8, ila pa kuanzia ndo sijui..
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana dada yangu AshaDii,
But ukweli umeadimika sana this time.
Mpaka nikawa najiuliza kipi kimekupata, pengine kazi za u- Moderator zinakufanya ubaki kama mtazamaji au refarii zaidi kuliko uwanjani.

Otherwise pamoja sana, hopefully tutakuwepo next year inshaalah!!

Regards, Shark
 
Last edited by a moderator:
Wife AshaDii u have said it all

sina mengi ya kusema zaidi ya asante...

siwezi kuwataja wote hapa as kila mwana JF ana influence yake kwangu kwa namna ya pekee,,,asanteni wote, natumai tutakuwa wote tena mwaka 2014. Ila naomba tu niwataje DEMBA na gfsonwin wake zangu chini ya dada yao AshaDii, amu (mtoto mtukutu, smart, rafiki wa ukwee) snowhite na madame b (walimu wangu) Ennie umbuje, @ heaven on earth (dawa yako ipo jikoni)

Mkuu Dark City kusema ukweli mchango wako ni wa muhimu sana hapa jamvini, ndio maana usipokuwepo sisi wazee wenzako wastaafu tunaokoa jahazi, rafiki Fixed Point anaweza kushuhudia hili hakuna kinachoharibika

Naomba nitambua michango tukuka ya wakuu wangu: watu8, Nyani Ngabu Matola King Kong III @ babu Asprin (tutamalizana fea wei), Kongosho (some scores to settle) Paloma, Karucee (naughty gal--i like ur threads) BAK LiverpoolFC, Filipo marejesho Mwanyasi KOKUTONA The Finest Major mwenda sungura1980 Tiba Fidel80 Arushaone ladydoctor Mamndenyi (hivi uzi wa nyumba ndogo wautakiani au ndo umeshtukizia una kaukweli lol) charminglady (miss u) Preta 'Valentina' Tonykp C6 Allien King'asti Mwali mwallu (sichezi na wewe) Smile Rejao Mtambuzi (mzee wa upareni), @RR, MwanajamiiOne LD LIKUD Evelyn Salt Nicas Mtei na wengineo wengi

Shukrani kwa Invisible and team kwa kusimama imara JF isitetereke

Nawapenda wangoni woote wa kike mlioko hapa.....:noidea: (heby mjitaje)....

Muwe na jumapili njema

ujumbe wa leo: Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi....

Wadau wa JF,

Haiitaji mjadala mkubwa kwamba waanzilishi wa JF wanastahili pongezi nyingi sana kwa kufikiria kuwa na kitu kama hiki. Hatupashwi kuwashukuru kwa kuwa na wazo kuanzisha JF tu, bali pia kuhakikisha JF inakua na kufikia ilipo sasa. Najua haikuwa kazi rahisi, lakini mmeweza. Nawapeni pongezi.

Kwa sisi wadau, tunalo jukumu la kuhakikisha kwamba JF inaendelea kuwepo kwa kutoa michango ya hapa na pale mara tunapotakiwa kufanya hivyo. Tuwaunge mkono waanzilishi.

Labda niitumie nafasi hii pia kusema kwamba JF ya miaka ile ya 2008 wakati najiunga, si kama JF ya sasa. Nilikuwa nikiingia JF, natarajia kupata mambo mapya ambayo hatuyasomi hata kwenye magazeti, constructive contrbutions kutoka kwa members na mambo kama hayo. Ilikuwa ni sehemu ambayo mbali na kupata habari, lakini pia mtu ulikuwa unajifunza mengi usiyoyajua. JF ya sasa imebadilika kuwa uwanja wa mipasho, kejeli na matusi na hasa kutoka kwa wale waliojiunga JF kama sehemu ya ajira yao. JF hongera kwa hili pia kwamba sasa mmesaidia kutoa ajira kwa Watanzania. Ningependa kupendekeza kwamba kuna haja ya kuongeza idadi ya moderators ili kuwa na monitoring ya karibu ya post za watu. Hatuna haja ya kutukanana na kutumia lugha za kejeli. Siku hizi majina kama mburula, kima, nyani, mjinga, --------, Ms$ng3 ni order of the day. Tunapashwa tujenge utamaduni wa kuheshimiana hata kama haujafurahia mchango au mawazo ya mwenzako. JF bado ina nafasi ya kukua na kuwa na faida zaidi ya sasa, tuwaunge mkono waanzilishi.

Nawatakia maandalizi mema ya Xmas na mwaka mpya 2014.

Tiba
 
Kwanza kabla ya yote napenda sote kwa pamoja hapa MMU tuutunuku uzi huu kuwa uzi bora wa kufungia mwaka kwa pamoja. Ni imani yangu kuwa kili mmoja wetu humu ataelezea namna ambavyo MMU imekuwa nzuri kwa upande wake.

Kwa upande wangu mie. Kiukweli sijawahi kujuta kuwepo humu na kufahamiana na yeyote humu. Nimepata marafiki wengi. Na wengine wamekuwa zaidi ya ndugu kwangu.

Kwa upande wa MMU kwa kweli nimepata mengi sana ya kujifunza. Zamani kidogo ilikuwa ngumu sana kuamini kama itawezekana kuishi na kuelewana na mtu ambaye hamjawahi kuonana hata kwa sura. Naweza kusema kuwa nimefahamiana na wengi humu na tumekuwa tukisaidiana, tukishauriana kwenye mambo mengi. Sasa kupitia MMU nimeamini kuwa jamii hii ya humu mtandaoni haina tofauti na hizi ambazo tuko nazo mitaani tuishipo.

Shukrani ziwafikie Mtambuzi, gfsonwin, snowhite, Dark City, Mentor, Heaven on Earth, KOKUTONA amu, Mwanyasi, YNNAH, Smile, Jiwe Linaloishi, AshaDii, Maxence Melo, watu8, Cantalisia, sweetlady, Preta, Mamndenyi, Madame B, Kijino, cacico, Asprin, @FP, Fixed Point, charminglady, Elizabeth Dominic, Kaunga, Zion Daughter, Arushaone, marejesho, Baba V, MMAHE, Asnam, christine ibrahim, Filipo, Remmy, Nivea, Ruhazwe JR, @c6, Kichwa mbovu, Kaizer, Husninyo ladyfurahia, BAK, nameless girl, @lara1 Arabela, Judgement, BAGAH, Erickb52, Crashwise, Mungi nitonye Kipaji Halisi, Lady doctor, Passion Lady, Ruttashobolwa, Sanctus Mtsimbe Bishanga, The secretary Rejao, Kaka Kiiza Ablessed n.k. Kwa kweli kutoka moyoni mwangu wanaotakiwa kushukuriwa ni wengi sana. Hao niliowataja ni wachache sana. Ambao sijawataja msidhani nimewasahu. Nikisemaniwataje wote humu basi hii post itakuwa ndefu sana.nawashukuru wote kwa pamoja.

Mungu ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki JF, Mungu awabariki viongozi wa JF na members wote.
ha haaa, shem nakusalimu
 
Yaani jf!!!!
Sifahamiani na wengi nje ya hapa lakini nimepata marafiki na washauri ambao wanafanya magumu nisiyaone magumu tena maana kwa ushauri wao yanakuwa mepesi.
Nina wengi wa kuwashukuru ila kwa uchache JF Arusha Wing wote MziziMkavu, Dena Amsi (Naku miss ujue), Fixed Point, Mamdenyi amu(una nafasi ya pekee kwangu), Heaven on Earth, OLESAIDIMU, umbuje KOKUTONA, shem Young Master na wengine wengi.
Shukran za pekee kwa wana MMU wote.
Jf ni nyumba ambayo kila mtu angefurahia kuishi.
barikiwa sana besti......
nami nakushukuru pia
 
Wife AshaDii u have said it all

sina mengi ya kusema zaidi ya asante...

siwezi kuwataja wote hapa as kila mwana JF ana influence yake kwangu kwa namna ya pekee,,,asanteni wote, natumai tutakuwa wote tena mwaka 2014. Ila naomba tu niwataje DEMBA na gfsonwin wake zangu chini ya dada yao AshaDii, amu (mtoto mtukutu, smart, rafiki wa ukwee) snowhite na madame b (walimu wangu) Ennie umbuje, @ heaven on earth (dawa yako ipo jikoni)

Mkuu Dark City kusema ukweli mchango wako ni wa muhimu sana hapa jamvini, ndio maana usipokuwepo sisi wazee wenzako wastaafu tunaokoa jahazi, rafiki Fixed Point anaweza kushuhudia hili hakuna kinachoharibika

Naomba nitambua michango tukuka ya wakuu wangu: watu8, Nyani Ngabu Matola King Kong III @ babu Asprin (tutamalizana fea wei), Kongosho (some scores to settle) Paloma, Karucee (naughty gal--i like ur threads) BAK LiverpoolFC, Filipo marejesho Mwanyasi KOKUTONA The Finest Major mwenda sungura1980 Tiba Fidel80 Arushaone ladydoctor Mamndenyi (hivi uzi wa nyumba ndogo wautakiani au ndo umeshtukizia una kaukweli lol) charminglady (miss u) Preta 'Valentina' Tonykp C6 Allien King'asti Mwali mwallu (sichezi na wewe) Smile Rejao Mtambuzi (mzee wa upareni), @RR, MwanajamiiOne LD LIKUD Evelyn Salt Nicas Mtei na wengineo wengi

Shukrani kwa Invisible and team kwa kusimama imara JF isitetereke

Nawapenda wangoni woote wa kike mlioko hapa.....:noidea: (heby mjitaje)....

Muwe na jumapili njema

ujumbe wa leo: Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi....
ha haa, sasa rafiki mbona hukunishtua kuna haya makitu? tangu juzi nilihamia Qunu ndo tumemaliza kumzika Tata muda huu. RIP Tata
 
kuna watu wanasema JF ni zaidi ya mtandao, nami nakubaliana nao kabisaaaaaa, yaani hapa ni mambo yote.
Nina mengi sana nimejifunza kupitia JF, najivunia kuwa mwana JF kwa kweli.
Nimepata marafiki, wadogo, mapacha, na nafurahi kila ninapowasiliana nao.......
Naamini tutaendelea kufunzana, kuonyana, kurekebishana, kusaidiana kwa kadiri Mungu atakavyotujalia.
Barikiweni sana wote na nawatakia Kila la heri tunapojiandaa kumalizia mwaka huu na kukaribisha mwingine.
Mungu azidi kuwa pamoja nasi.
 
Wife AshaDii u have said it all

sina mengi ya kusema zaidi ya asante...

siwezi kuwataja wote hapa as kila mwana JF ana influence yake kwangu kwa namna ya pekee,,,asanteni wote, natumai tutakuwa wote tena mwaka 2014. Ila naomba tu niwataje DEMBA na gfsonwin wake zangu chini ya dada yao AshaDii, amu (mtoto mtukutu, smart, rafiki wa ukwee) snowhite na madame b (walimu wangu) Ennie umbuje, @ heaven on earth (dawa yako ipo jikoni)

Mkuu Dark City kusema ukweli mchango wako ni wa muhimu sana hapa jamvini, ndio maana usipokuwepo sisi wazee wenzako wastaafu tunaokoa jahazi, rafiki Fixed Point anaweza kushuhudia hili hakuna kinachoharibika

Naomba nitambua michango tukuka ya wakuu wangu: watu8, Nyani Ngabu Matola King Kong III @ babu Asprin (tutamalizana fea wei), Kongosho (some scores to settle) Paloma, Karucee (naughty gal--i like ur threads) BAK LiverpoolFC, Filipo marejesho Mwanyasi KOKUTONA The Finest Major mwenda sungura1980 Tiba Fidel80 Arushaone ladydoctor Mamndenyi (hivi uzi wa nyumba ndogo wautakiani au ndo umeshtukizia una kaukweli lol) charminglady (miss u) Preta 'Valentina' Tonykp C6 Allien King'asti Mwali mwallu (sichezi na wewe) Smile Rejao Mtambuzi (mzee wa upareni), RR, MwanajamiiOne LD LIKUD Evelyn Salt Nicas Mtei na wengineo wengi

Shukrani kwa Invisible and team kwa kusimama imara JF isitetereke

Nawapenda wangoni woote wa kike mlioko hapa.....:noidea: (heby mjitaje)....

Muwe na jumapili njema

ujumbe wa leo: Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi....

Maji hayazuiwi. Yanatengenezewa mkondo. Salamu zako nimezipata na nashukuru. Habari nyingine ni kwamba napenda ujue kuwa natarajia kuanza ziara kanda ya kati hivyo basi naomba itifaki izingatiwe ili kila jambo linyooke katika unyoofu wake.
 
Last edited by a moderator:
Maji hayazuiwi. Yanatengenezewa mkondo. Salamu zako nimezipata na nashukuru. Habari nyingine ni kwamba napenda ujue kuwa natarajia kuanza ziara kanda ya kati hivyo basi naomba itifaki izingatiwe ili kila jambo linyooke katika unyoofu wake.

Natumaini kabla hujafika kanda ya Kati.....ugeni unaotoka kanda ya kaskazini.........kuelekea kanda ya ziwa.......hautapishana nao........thibitisha...
 
Shem je wajua kuwa huwa unanipa kila sababu ya kundelea kuwapenda wanawake wa kingoni? Kama hukuwa unajua basi ndo ujue. Napata kila sababu ya kuongeza idadi ya safari za kwenda songea
ha haaa, nimeona shem.....
kuna mengi sana kule, hazina tosha ya kila kitu....
nilishakukaribisha na nitakukaribisha tena na tena..... endelea kuvumbua mazuri ya kule shem....
nasi twawapenda saaaanaaaa. Ila hii xmas kwenye mikutano yenu ile musainishane kuacha kutumia zile kitu, mtawakimbiza watoto wazuri jamani
 
Wapendwa wana JF na wadau wa jukwaa letu pendwa la MMU, karibuni kwenye kiringe hiki tufunge mwaka wa 2013 na tuanze maandalizi ya kipindi kigumu cha 2014 kuelekea 2015!

Katika pita pita yangu mahali leo, nimekutana na baadhi ya posts za nyuma ambazo sasa zinakaribia umri wa miaka 4. Katika kuzisoma, nimejikuta natafakari mchango wa JF katika maisha yangu na nyie wadau wenzangu. Nahisi itapendeza sana kwa kutoa ushuhuda kwa kile ambacho tumekivuna hapa JF. Na mwisho wake, tutoe shukrani kwa team nzima ya waanzilishi na waendeshaji wa JF na majukwaa yake yote.

Kati ya vitu ambavyo nimevipata hapa JF na MMU ni kama vifuatavyo...

1. Hati ya kuwa Babu mstaafu (wa kweli) na heshima kubwa ambayo imetokana na cheo hicho. Mara nyingi nimejikuta katika wakati mgumu kukitumia hiki cheo...(hapa naomba wachokozi kama snowhite na Smile wakae kimya).

2. Nimevuna marafiki wa ukweli sana....Kupitia JF, nimekutana ama kuwasiliana na wadau wengi sana na nimepata faida nyingi sana kupitia kwao (kama kuna hasara basi imefunikwa na faida). Nimekutana na watu wengi sana (pamoja na kwamba avatar zinawauzia watu mbuzi kwenye gunia). Sina cha kujutia kukutana nao!

3. Nimekua na kuweza kuhimili changamoto za kupewa challenges na hata watu tunaoheshimiana sana....

4. Nimeelimika katika mambo mengi sana. Mojawapo ni jinsi ya kuwasilisha maoni yangu kwa ajili ya kuwasiliana na wanaJF wenzangu...

Nitaendelea kuongeza mengine ila kwa sasa nawakaribisha wadau wote wa MMU tufunge mwaka... Maxence Melo, Invisible, AshaDii, Nyani Ngabu, Fixed Point, Smile, snowhite, PakaJimmy (mwenyekiti mwenyewe...you deserve uenyekiti), Blaki Womani, Preta, marejesho + Filipo, KOKUTONA, CHUAKACHARA, YNNAH, Mwanyasi, amu, Negrodemus, gfsonwin, BAK , Mbu, Eiyer, Mtambuzi, MwanajamiiOne, bht, King'asti, Teamo, Zion Daughter, Asprin, Kaizer, watu8, Dena Amsi, Arushaone, Ta Bishanga, Fidel80, KakaKiiza, MANI, Mwita Maranya, LiverpoolFC, Mungi, Mzee wa Rula, snowhite, The Finest, Mike Mushi, madameB, Mamdenyi, Lizy, Nicas Mtei, Rejao, Arabela, Rose1980, Lily Flower, Heaven on Earth, Charming Lady, Faiza Foxy, Pasco, Chris Lukosi, Lunyungu, MziziMkavu, lara 1, Zinduna, The Boss, Nyamayo, Belinda Jacob, Karucee, Mentor, sakapal, Evelyn Salt, saudari, Baba_Enock, Husninyo, Rutashobolwa, Erickb52, Mr Rock, afrodenzi, Gaijin,

Pia naomba kama kuna mtu anaweza kututafutia quotes za wadau ambazo zinafaa kukumbukwa aziweke hapa, nitaziunganisha na uzi huu.

Nawatakia sikuu njema za mwisho wa mwaka na heri ya mwaka mpya wa 2014!

Nawapenda sana,

Babu DC!!

Kutoka kwa wadau:

1. Wapo waliopata kazi kupitia JF..

Some interesting Quotes:
Mkuu Dark City asante na wewe pia Hongera ninakupa inshallah uwe huo mwaka unakwisha 2013 uishe kwa amani. Na huo Mwaka unaokuja 2014 uwe mwaka wa kheri inshallah tupendane na tusikilizane inshallah.

Kaka DC,

Nashukuru kwa kunipa hii nafasi na kunifanya nitulie hapa kuweza kutuma salamu kwa wapendwa wetu hapa jamvini.

JF ni mahala ambapo member mwenyewe husika ndio huamua ni nini analenga kupata akiwa hapa kwa muda wote utakao kuwepo. Kuna kila aina ya information ya kuweza kujifunza, Kuna kila aina ya watu wa kuweza kuwasiliana nao na hata kujichanganya, kuna kila aina ya mafunzo. Mtu anauwezo wa kuongeza taarifa katika sehemu yake ya kumbu kumbu, ana uwezo wa kuongeza uwezo wa kufikiria, kudadafua, kupambanua, kuelewa na kueleza mambo hayo kwa ubora zaidi siku zitakavyo zidi kwenda. Hata hivyo ni muhimu kutambua kua hapa hapa JF mtu anaweza kushindwa kupata yote hayo niliyotaja na zaidi; na hiyo inatokana na member mwenyewe kushindwa kutambua ni nini anataka, au tu kwa kushindwa kutambua tu namna JF inaweza kutumika for the better kwa manufaa yake mwenyewe. All in all, kwa wengi waliobahatika, uwepo wetu hapa JF kambwe hatukosi kunufaika.

Mwaka huu umekua mmoja wa mwaka ambao umenibananisha kisawa sawa... Nimekuwa mara kwa mara nikitaka sana nijikite na niweze kushiriki kama ilivyokua pale nyuma kabisa but nakwama kupata hiyo nafasi ya kutosha vile nitakavyo. Ila huwa nafurahi sana nikiona familiar names... Akili ikawa imechoka (uzee sasa umeingia) kabisa naweza kushindwa kuchangia lolote but haichoki kusoma yale wenzangu wanawasilisha. Hivyo leo nimewahiii ili nitumie akili zangu zote kuweza kukumbuka watu wa kuwatumia salamu.. 🙂

Hili linafanya kunufaika kwangu hapa JF kuwe pale pale kwa uwepo wenu, Ingawa ni wachache ambao wameweza kunufaika kwa kuwepo kwangu. Hili limefanya sometimes nijione mgeni kabisa, new IDs/Members ambao huwajui kabisaa na ni wenyeji. But life goes on na mambo hubadilika saana.

I have missed so much wengi wa members ambao tulikua tukikutana mara kwa mara katika mijadala mbali mbali toka majukwaa yote ila hasa hapa MMU. I sincerely miss hapa mahala na wenzangu wote. Naona nitumie nafasi hii kutuma salamu zangu za kufunga mwaka kwako kwanza Kaka Dark City na hapa hapa kukushukuru kwa kunikumbuka kwa salamu.

Natuma salamu za kufunga mwaka kwa members wenzangu wote, wale niliowakuta, walionikuta, na tukakutana hapa hasa ambao tukiwa tukiwasiliana mara kwa mara kwa namna moja ama nyingine tukiwa hapa. Salamu zangu hizi zimeambatana na wishing them all the best katika msimu huu wa sikukuu na maisha yao yote. Mwenyezi Mungu azidi kutujaalia wote na kutubariki.

Kwa kweli ni weengi kuwataja na kuwakumbuka hasa tokana na kutokutana sana kwa sasa, hivyo natuma salamu kwa wote nitakao wataja na nisio wataja... Kwa kuanzia salamu hizo ni kwa; Kaizer, Asprin, Roulette, EMT, Husninyo, sweetlady, FirstLady1, MwanajamiiOne, Mbu, Nyamayao, nyumba kubwa, Boflo, Elizabeth Dominic, Mwita Maranya, Maty, Blue G, TANMO, Mzee, miss Judith, TIMING, Mr Rocky, RR , Mtambuzi, Rejao, Smile Fidel80, Teamo, Kimey, klorokwini, uporoto01, I Riwa, Arushaone, Steve Dii, Gaijin, Nyani Ngabu, Mwali, Eiyer, Mentor, Speaker, MKATA KIU, Nazjaz, Pauls njiwa, Globu, Raia Fulani, YNNAH, Nsiande, fazaa, Saint Ivuga, companero, Vin Diesel, The Finest, BAK, Preta, PakaJimmy, BelindaJacob, King'asti, Mwali, Ritz, Matola, Zion Daughter, Bishanga, The Boss, Nicas Mtei, bht, Balantanda, WomanOfSubstance, Nguruvi3, Mchambuzi, JingalaFalsafa, Kiranga, Cantalisia, Judgement, Shark, Jasusi, ZeMarcopolo, Pasco, cheusimangala, Chauro, Gaga, Manumbu, Tuko, SnowBall, zumbemkuu, BADILI TABIA, gfsonwin, DEMBA, KakaKiiza, HorsePower, Manyanza, Kaunga, Dena Amsi, Bigirita, Karen_Happuch , Blaki Womani, Mamndenyi, afrodenzi, WiseLady, Lizy, LD , Kongosho, platozoom, Sizinga, Bishanga, Blaine, lara 1 , jouneGwalu, Ndahani, Azimiojipya, Zakumi, Mkandara, Mrembo by Nature, Bujibuji, Erickb52, MANI, kinyoba, Mulama, snowhite, Michelle, Rutashubanyuma, Ruttashobolwa, KOKUTONA, Apollo, moto2012, Mkirua, bacha, Leonard Robert, mwaJ, Young Master, C6 , Madame B, MadameX Katavi, OLESAIDIMU, MziziMkavu, babaV, Invisible, Cookie, Paw, Moderator, Fang, Buchanan, X-PASTER, INNOVATOR, Active, PainKiller, Mike McKee and Maxence Melo.

Pamoja na wengine wengi saana ambao nimesahau, nitaenda nikiwakumbuka taratiibu.

Pamoja Saana with loads of Love.:grouphug:

AshaDii.

P.S Msalimie mama DC.
Asante sana kwa kunitolea salam.@AshaDii ninakutakia kila la kher inshallah
 
Last edited by a moderator:
bahati mbaya nipo nje ya Dar es salaam,kuna watu huwa natamani sana kuwaomba ushauri hata kupitia PM mmojawapo akiwa ni wewe watu8, ila pa kuanzia ndo sijui..

Ooh!! pole sana nilidhani labda wapatikana jiji la Makamba...

Uwe huru tu mkuu kwa lolote litalokusonga, ukinitumia PM nitaipata mara moja maana kwangu huwa PM nazipata kama email au SMS 24/7...

Hivyo karibu sana mkuu...
 
Last edited by a moderator:
Natumaini kabla hujafika kanda ya Kati.....ugeni unaotoka kanda ya kaskazini.........kuelekea kanda ya ziwa.......hautapishana nao........thibitisha...

Lolote linaweza kujiri mpendwa wangu Preta, ziara itakuwa ndefu kidogo
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, nimeona shem.....
kuna mengi sana kule, hazina tosha ya kila kitu....
nilishakukaribisha na nitakukaribisha tena na tena..... endelea kuvumbua mazuri ya kule shem....
nasi twawapenda saaaanaaaa. Ila hii xmas kwenye mikutano yenu ile musainishane kuacha kutumia zile kitu, mtawakimbiza watoto wazuri jamani

Mwaka huu suala la matumizi ya silaha ndo agenda kuu ya mikutaniko yetu. Kwa kweli suala hilo limeleta mfadhaiko mkuu.
 
Back
Top Bottom