ahsante babu loo mpaka mda huu hujalala?
Kwi kwi bibi ana kazi gani?
Binafsi napenda kuwashukuru wafuatao
Mtambuzi kwenye hardest time alikuwa karibu sana na mie sana jamani yaani kiukweli he is one of the kind kanifungua upeo sana,mambo mengi kanisaidia ni mtu pekee anayenijua in and out.Yaani
Mtambuzi ana moyo wa ajabu sana yes yaani ana impact kubwa sana kwangu.Ninamuheshimu sana
Pia napenda kuwashukuru
snowhite na
gfsonwin kile kikao cha siku ile pale ubungo kilinitoa kwenye handaki ujue nawashukuru sana na impacts yake before april mtaiona hapa
Nicas Mtei anahusika sana.Jamani humu ndani kuna maangel hapa natamani niandike kila kitu ila nashindwa.
Napenda kuwashukuru tanga wing mlinipa support zaidi ya mara 3 tanga kwenye msiba wa dada yangu,kwenye msiba wa shangazi yangu na nlipoenda kumuuguza dada yangu mwingine kiukweli sina cha kuwalipa nilifurahi sana hapa naandika huku nalia ahsante sana
YNNAH ahsante
mohamed Mtoi ahsante sana nakushukuru sana hii kumbukumbu haitafutika ahsante sana
Mwanyasi ahsante sana
arabella ahsante mwenyekiti
Dark City ahsante sana mzee
CHUAKACHARA ahsanteni sana kwa kweli.
Pia napenda kumshukuru
Kaizer alikuwa karibu sana na mimi ana impact kubwa sana kwangu.
Paloma ahsante mamiii ahsante kwa kila kitu umenisaidia kwa kweli na upo karibu sana na mimi.
Madame B nakushukuru kwa kweli una roho ya peke yako ahsante mama.
Nicas Mtei ahsante kwa miushauri yako ya ukweeee
watu8 mtaalamu wangu ahsante kwa kutonichoka nikikwamaga mambo yetu ya technolojia mtu wangu wa ukweee.
Special thankx kwa @Maxence Mello kaka mkubwa wa ukweee.
Ahsanteni kiukweli nachoweza kusema nilingia jukwaani mweupe peee ila sahivi i have a confidence,nina msimamo balaaa yaaani mpaka mengine niliyopitia nasema kama bila jf sidhani kama ningeyamudu.
Kipaji Halisi ahsante sana jirani yangu wa ukwee.