Waooooooo!!!!!!!!!
Asante sana dada yangu kipenzi
Kasinge ....lol!!!!!!!!!
Hahahaha ile ya kuita mchuchu kwa kurusha jiwe kwenye paa. Akitokea na bahati nzuri kikatokea kichochoro, mchuchu unalimwa mtama na kazi inaanza. Uzuri kina dada walikuwa wanatoa ushirikiano kwenye kuangushwa.... Hata usipomtimba vizuri ngwara atajiangusha kama vile kasukumwa na greda!!
shukran sana wifi yangu. uwe na sikukuu njema mpenzi
tena muwarudishie ile sunna ya kienyeji ile!Hiyo kitu ilikuwa raha sana mzee mwenzangu...I wish tungeruhusiwa kutoa demo!!
Ndiyo maana mitoto ya siku hizi imeshindwa kabisa stadi za MMU hadi inabaki kulia lia kama yenye mitindio ya ubongo...
Midume unakula chips-mayai na urojo urojo mwingine kama huo, kisha inashida sijui FB na twiter,...halafu inategemea SMS kama Yesu Kristo wao, itaweza wapi kusomesha mtoto wa mtu hadi anaandika kwenye mchanga yasiyosomeka kwa macho ya binadamu??
Natamani nipeleke mitoto yote kwenye jando maalumu na huko iishi kwa maji na asali + kucharazwa mikwaju kwa siku 40 ili tuokoe kizazi!! Nani anapenda kufa na mbegu zake zote kama mgumba/tasa??
cc: Fixed Point, gfsonwin, snowhite na Kaizer kwa mwongozo!
Babu DC!!
Katibu Mwanyasi amesema anasubiri mwaka mpya ndio utambulisho rasmi utatolewa.
Nilikuwa nakutizama tu..............yaani mimi ndo wa kunikumbuka sasa hivi!!!!
Sitakusamehe hakyanani mpaka mwaka huu uishe :sad::sad::sad:
Ukiona hivyo ujue posa ndo inakaribia kwa mzee Rwegasira..... Lazima nikuwowe wallah...
Kwako wewe sisemi kitu mdogo wangu wa ukweli Mrembo by Nature....
Ila hizi avatar hizi....
Hata hivyo kule Upareni kuna watu wamekua na kuwa wababa hadi vibabu kwa kula samaki mithili ya avatar....(naanimi sina kesi na Mtambuzi and Co.)...lol!!!!!!
Babu DC!!
Ndiyo maana nilikusubiri wewe kwa sababu huo ugomvi uliokuwa unafuata usingeacha hata Mende Nyumbani (mbali ya panya kama alivyowahi kuchimba mkwara mdau mmoja)!
Wewe mweleze tu huyo Nivea asirudie,...sawa?
Mie simo naona una utani na mzee ikajia.....siku hizi hawaoi wanachukua picha ya jlo kila usiku ishu inaishia hapo kisa ubahili wa kutoa mahari....hahah
Zumbe na atiambize tizinkhe vyedi unu mwaka.
tena muwarudishie ile sunna ya kienyeji ile!
SIO HII YA KIPIRA ya dr nani sijui wa pale kariakoo!
we kabisa mtoto anatoka kuwekwa sawa anarudi kavaa kaputura?
AHAHAHAHAHAHHAHA YANI ZILE LUBEGA MLIKUWA MNAFUNGWA ZILIKUWA ZINAWAFANYA MKITOKA KULE LAZIMA MKANE KWA JAMIII KUWA ZILE ZILIKUWA LUBEGA TU NYIE NI MIDUME HASA!
ahahahahahhha hakuna mahali wahenga wanakosea aseee kiiiila kitu kilikuwa na maana yake!