KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaaaa babu mbavu zangu mieeee,Ikitokea hivyo, ujue ndiyo wale wa 1947 tutahakikisha anampiga bao Madiba kwa kukusanya hata akina Putin wa Urusi na Malkia mwenyewe wa Waingereza...
Dume litafiaje kwenye banda kama kuku wa mdondo??
Babu DC!!
KOKUTONA unaishi wapi? Na jina lako halisi nani??Yaani babu Dark City anakutisha tisha nini?
Mwambie hicho kisambaa ndo chenyewe originally asiogope alete mkalimani tu, hata kutoka tewe, mtae, mlola popote pale.
Lazima tusababishe
Nakuomba ukapumzike KOKUTONA...
Naona unaanza kuingia kwenye territory za watu bila kujijua....bado babu anakupenda sana na anataka uwepo wakati tunaruka na FastJet kwenda zetu Rock City kufunga mwaka...
Babu DC!!
Itabidi Babu uweke thread ya kusameheana manake nahisi naongoza list ya most wanted. Kwa staili hii nitauona mwaka kweli?Itabidi na wewe nikuweke kwenye kundi la wachokozi....
cc: snowhite, Kongosho (siku hizi naye kawa kama zombie), Smile (naona kafishwa kiukweli kweli), Passion Lady, Evelyn Salt, Madame B...
Mzee mwenzagu Asprin atamalizia list..
Babu DC!!
Ha ha haaaaaa babu mbavu zangu mieeee,
Etiii? Unamaana ni haramu kokolikoooo kufia bandani.
Wasiwasi wangu ni huyu babu mwenzako Asprin eti akitajwa tu boxer haikai mahali pake, huoni ni shida? Ndo maana nakwambia akipata vigoli vya kimakonde huyuu, kwisha kazi yake
KOKUTONA unaishi wapi? Na jina lako halisi nani??
Leo unachezea timu gani??
Ndo maana........itabidi nipitie tena mashtaka yote yaliyorushwa kwa babu leo...
Babu DC!!
babu we ulikuwa geshi babu!Mhhhhhhh......
Kwa sababu unapenda mkanda au vinavyoonekana unapofunguliawa??
Mie mmbado kuelewa mdogo wangu....kapate usingizi kwanza..lol!!
Babu DC!!
Hakuna kitu hapo, hata ukienda Vugiri au Magila bado hutanishawishi...
Zumbe mkuu wafiia mbazi
babu we ulikuwa geshi babu!
yani ujue ze moment ya kufungua mkanda ahaha
hehhe ile kap thn kap,af zip shwaaa!inakuwa zap!
uuuwih babu kwani hii sredi ulisema mwisho wake kuchangia post ngapi?
Hongea mndughu!
Hahahahahaahahah,
Halafu joto limeanza kutusumbua ujue...
Babu DC!!
Keibu vituhu
ahahahha umeanza kuona akili imevuka boda bila passport enh!Mie ndo mwanageshi wa ukweli kabisa....Nitakutajia namba yangu kesho kabla jogoo hajawika....
Kalale kwanza ili urejeshe ubongo kwenye nafasi yake...
Babu DC!!