​hahahaaa!!kule ukubwani?raha ipo kule babu!!Kuna mahali fulani huwa mkiweka kijiwe mnakaribia kusababisha uasi kwa baadhi ya nchi!!
Babu DC!!
Nimejifunza mengi...muda wote sijaichoka MMU.....mi kila kitu huwa kinaishia humuhumu..stress humuhumu, hasira humuhumu....sinaga rafiki niliyewahi kumpata jamii forums...wala sijawahi kukutana na member yoyote...lakini haiondoi uzuri wowote wa JF, ila naona tu kuna tofauti kubwa kati ya nilipojiunga miaka mitano iliyopita na sasa hivi.....siku hizi kuna thread za ajabu ajabu sana.....wanaojiunga siku hizi sijui wakoje? Labda hawaelewi sijui.......jukwaa la siasa toka mapandikizi yaje lile uwa siendi mala kwa mala...kuna matango pori kibao kule...MMU ni burudani asee...nikitoka hapa najiendeaga jukwa la technolojia.....nikitoka nakatiza mitaa ya international forums, then naenda kuwasabahi wazee wa jamii inteligent, nikiwapungia mkono wazee wa hoja mchanganyiko...then nakuja kjjipumzikia MMU kwa raha zangu......na mara nyingi uwa napenda kusoma comment za watu....kwenye comment ndo utagundua akili za watu zilivyo, kwenye comment ndo kwenye burudabi ya kufa mtu....mara picha wakati kitu hata hakihitaji picha....japo nauzika sana udini unakuja juu sana JF....MUNGU IBARIKI JF NA WATU WAKE AMEN
Babu Dark City, itabidi tuweke kikao mimi wewe, Asprin, na Kaizer ili Asprin aseme ananitafutia nini mie Karucee. Lol.Nawapenda woteee.
BAK, thank you for your inspiration and Merry Merry Xmas to you. Happy New Year.
The Boss, sheriFF ARPAIO thanks for your friendship.
snowhite, U r a darling. gfsonwin, thank you for being the one I run to when motherhood drives me crazy The secretary, thank you. sun wu, Another year...thank you.
Kaunga, King'asti, Kongosho, sakapal, SUZANE, Howt Lady,thank you.
SnowBall, miss you bro, Mentor, fanya uoe KOKUTONA, you are a blessing. Invisible, thank you DonLuchesse, hope we puff next year.
gobore, if only.....damn.
Nyani Ngabu........ if I were a boy, I would be you. Just like you. Very bad.haha.
Mkuu Dark City...
Kweli umegusa mengi na wengi tunakila sababu ya kushukuru!
Mimi Jf imekuwa kama familia yangu ya pili,
Kuna wadau nimejuana nao hapa lakini i regard them as the part of my
family!! Mamndenyi, (huyu ni aunt yangu coz ukoo wetu ni mmoja but i use to call her mama na namkubali sana), Mr Rocky, Arushaone my brothers, tumejuana hapa na i always consider you as my truly brothers.
Nimekuwa nikipata faraja kubwa sana kupitia majukwaa mbalimbali hapa
JF
Misiba, shida za hapa na palepale mara nyingi nilifarijiwa na wanajf!
Special thanks kwa wife wangu shansarie, japokuwa hatukujuana kupitia JF ,
lakini hapa pamekuwa pia kama sehemu kubwa ya mawasiliano yetu..and I love you so much!!
( Ablessed i think you know something about me and shansarie)
Thanks to KOKUTONA umenikampani vya kutosha rafiki yangu.
we unaweza kuona ni kawaida but i real appriciate it....
my friends Ablessed mwallu, watu8 Kaizer marejesho Erickb52 Heaven on Earth, Mungi Filipo Passion Lady, kabanga, The secretary, MMAHE!!
mmekuwa marafiki wazuri sana kwangu, na nimefurahia sana kuwa marafiki wazuri.
Nimengi sana ambayo nayapata kupitia Jf, nisikusahau AshaDii inawezekana umesahau, lakini nikukumbushe tu
Tuliwahi kubadilishana mawazo hapa na hakika kuna kitu nilijifunza kupitia wewe!!
Thanks to all!!
Viva Jamiiforums, Viva Wanajamiiforum wote.
Much love to you all.
Dark City na watu8 kuna siku tutaonana!! keep this!
Mimi na wewe hatujakutana barabarani ujue..... Msako wa kukutafuta bado unaendelea.
Nikikukamataaaaaaaaa!!
Mtani KOKUTONA ahsante kwa kuja, wewe ni kati ya marafiki zangu wa JF niliofanikiwa kuonana nao beyond keyboard kwa mwaka huu wa 2013.
Nakutakia mwaka 2014 uwe mwema sana na wa furaha na mafanikio.
Mkuu Dark City asante sana kwa uzi huu ambao kwa kweli unakumbusha mengi sana
Jf imekuwa kituo cha mafunzo, sehem ya kubadilishana mawazo, sehem ya kujifunza na nimejifunza mengi sana kupitia JF na kukutana na changamoto mbalimbali za maisha
Nimekutana na wafundishaji na waelimishaji wengi sana AshaDii, Himidini, SnowBall, HorsePower, mwalimu wangu gfsonwin, King'asti, babu Dark City, Mbu) ambao kwa namna nyingine walichangia kunielimisha na kunifundisha mengi sana ya maisha na namna ya kuishi na watu mbalimbali na mafunzo kuhusu maisha ya ndoa kiujumla
Nimekutana na marafiki ambao kwa kweli wamechangia mengi sana katika maisha yangu ya kuwa humu JF kwa mwaka huu 2013 na hao sitawasahau Erickb52 (kaka asante sana), Vin Diesel (mpango wako wa penda penda ufe mwaka ujao utulie) grafani11 (ujue tunashare Heaven on Earth mpaka mwakani) kiwatengu, sosoliso, stevoh, Arushaone, BAK (mkuu pamoja sana ) EMT, The Finest (sijui kapotelea wapi), Mentor (kumbuka ahadi yako mkuu) The Boss, Rutashubanyuma (mkuu asante sana kwa michango yako yenye kila aina ya hekinma na busara, Nicas Mtei (mkuu umepotea sana) Bishanga, binamu zangu wa ukweli ambao mchango wao sitausahau Madame B, Heaven on Earth (mwambie grafani11 mpango wetu wa kuwa wetu sote uko pale pale hata 2014, Mamndenyi, Lily Flower, sweetlady, ladyfurahia, Chocs, amu, snowhite, Preta, Blaki Womani, Kaunga, Paloma, Passion Lady, Evelyn Salt, KOKUTONA (jua mpango wetu wa kwenda rocky sity uko pale pale), na The secretary, charminglady, Lady doctor
Siwezi kuwataja hao bila kumtaja wangu wa pekee na mpendwa wangu Dena Amsi na nampenda sana
Kwa wote waliochangia kwa namna moja au nyingine kuyafanya maisha ndani ya JF yawe mazuri ila pokeeni salam zangu za Xmass na mwaka mpya na tuombeane wote tuuone mwaka kesho kwa amani na furaha
Cc TANMO, DEMBA, Kaizer, KakaJambazi, Filipo, Mungi, Mzee wa Rula, LIVEPOOLfc, PakaJimmy, Ruttashobolwa, IGWE, Tutor B, marejesho, Simplicity
Niwatakie kila la heri katika kuumaliza mwaka salama na kuuanza mwaka 2014 kwa afya na ulizi wa Mungu na naamini mwakani tukakutana hapa tena katika kuendeleza kila jema miliolitenda kwa mwaka huu.
Asanteni sana
Asante sana babu Dark City kwa uzi huu
Binafsi namshukuru sana Mungu kwa kunipa pumzi ya uhai tena buree mpaka muda huu
Naishukuru jeiefu kunikutanisha na marafiki kwenye social media hii
Shukrani zangu zimwendee mume wangu kipenzi Erickb52...i appreciate your love, nakupenda sana kwa kuwa nami through weakness and strength, happiness & sorrow..you are the reason i believe in love..for better for worse i'll love u with every beat of my heart
Salam za msimu huu wa siku kuu ziwafikie madame b ladyfurahia Lady doctor charminglady KOKUTONA Mwanyasi mwallu DEMBA Asprin Kaizer kiwatengu shansarie The secretary Arushaone mimi49 farkhina BAK MziziMkavu daaarh aisee ni wengi
Ziwafikie wooote mliopitia uzi huu
Wishing you happy holiday