WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

ha haa, sasa rafiki mbona hukunishtua kuna haya makitu? tangu juzi nilihamia Qunu ndo tumemaliza kumzika Tata muda huu. RIP Tata

haa Fixed Point na ukitoka huko uhamie mwanza wamemRIP aliyekuwaga mwenyekiti wa CCM huko bwana Mabina...tofauti ni kwamba hakutakuwa na waandishi wegi hivyo
 
Last edited by a moderator:
haa Fixed Point na ukitoka huko uhamie mwanza wamemRIP aliyekuwaga mwenyekiti wa CCM huko bwana Mabina...tofauti ni kwamba hakutakuwa na waandishi wegi hivyo
he heee, ndo nimesoma hapa. nimeshangaa kasms ka JF kakaniambia kuna mtu kaRIP.....
huko waendelee tu.
 
Wadau wa JF,

Haiitaji mjadala mkubwa kwamba waanzilishi wa JF wanastahili pongezi nyingi sana kwa kufikiria kuwa na kitu kama hiki. Hatupashwi kuwashukuru kwa kuwa na wazo kuanzisha JF tu, bali pia kuhakikisha JF inakua na kufikia ilipo sasa. Najua haikuwa kazi rahisi, lakini mmeweza. Nawapeni pongezi.


Kwa sisi wadau, tunalo jukumu la kuhakikisha kwamba JF inaendelea kuwepo kwa kutoa michango ya hapa na pale mara tunapotakiwa kufanya hivyo. Tuwaunge mkono waanzilishi.

Labda niitumie nafasi hii pia kusema kwamba JF ya miaka ile ya 2008 wakati najiunga, si kama JF ya sasa. Nilikuwa nikiingia JF, natarajia kupata mambo mapya ambayo hatuyasomi hata kwenye magazeti, constructive contrbutions kutoka kwa members na mambo kama hayo. Ilikuwa ni sehemu ambayo mbali na kupata habari, lakini pia mtu ulikuwa unajifunza mengi usiyoyajua. JF ya sasa imebadilika kuwa uwanja wa mipasho, kejeli na matusi na hasa kutoka kwa wale waliojiunga JF kama sehemu ya ajira yao. JF hongera kwa hili pia kwamba sasa mmesaidia kutoa ajira kwa Watanzania. Ningependa kupendekeza kwamba kuna haja ya kuongeza idadi ya moderators ili kuwa na monitoring ya karibu ya post za watu. Hatuna haja ya kutukanana na kutumia lugha za kejeli. Siku hizi majina kama mburula, kima, nyani, mjinga, --------, Ms$ng3 ni order of the day. Tunapashwa tujenge utamaduni wa kuheshimiana hata kama haujafurahia mchango au mawazo ya mwenzako. JF bado ina nafasi ya kukua na kuwa na faida zaidi ya sasa, tuwaunge mkono waanzilishi.

Nawatakia maandalizi mema ya Xmas na mwaka mpya 2014.

Tiba

A very Succint analysis Tiba
 
Last edited by a moderator:
Ooh!! pole sana nilidhani labda wapatikana jiji la Makamba...

Uwe huru tu mkuu kwa lolote litalokusonga, ukinitumia PM nitaipata mara moja maana kwangu huwa PM nazipata kama email au SMS 24/7...

Hivyo karibu sana mkuu...

shukrani mkuu..
 
Maji hayazuiwi. Yanatengenezewa mkondo. Salamu zako nimezipata na nashukuru. Habari nyingine ni kwamba napenda ujue kuwa natarajia kuanza ziara kanda ya kati hivyo basi naomba itifaki izingatiwe ili kila jambo linyooke katika unyoofu wake.

Mikuwekee oda?
 
AshaDii asante kwa kutukumbuka. Huu Mwaka umekuwa na mengi na yote yamekuwa ya kheri kwangu binafsi na kunipa nguviu zaidi za kusonga mbele na kuunza mwaka 2014 tofauti.
 
Last edited by a moderator:
kama kawaida!

sisi wa shamba mwaka huwa tunaufunga hivi!

554922_322135284576679_1500590298_n.jpg
 
yeah, mkaijadili kwa kina......
hata among nyie vijana..... mpeane maujuzi ya kukabiliana na vibuti

Babu kaniambia niwekeze zaidi kwenye biashara kuliko kwenye mapenzi. Wale waliowekeza kwenye mapenzi kwa asilimia kubwa ndo wameishia kujirestisha in hell wenyewe baada ya vitalu walivyowekeza kuchana nyavu
 
Babu kaniambia niwekeze zaidi kwenye biashara kuliko kwenye mapenzi. Wale waliowekeza kwenye mapenzi kwa asilimia kubwa ndo wameishia kujirestisha in hell wenyewe baada ya vitalu walivyowekeza kuchana nyavu
ha haaa, all the best shem....
but mapenzi nayo yana raha yake ukiwekeza huko, look at me...........:tape:
 
ha haaa, all the best shem....
but mapenzi nayo yana raha yake ukiwekeza huko, look at me...........:tape:

Sisemi kuwa haifai kuwekeza huko. Ila uwekezaji usiwe mkubwa sana kwa ambao hamjafikia kwenye ndoa. Wenzangu wale waliwekeza kwa kiasi kikubwa kwa ambao hawajafikia hata kuwa wachumba
 
Back
Top Bottom