WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

Naishukuru Familia ya JF kwa wingi wenu.

Bahati mbaya simfahau hata mmoja kwa sura ya uhalisia, lakini kwa avatar zenu ninawona mioyo yenu na fikra zenu kwa namna ambayo mmekuwa msaada sana. nimejifunza mengi mno, nimefurahi sana na naendelea kujifunza.

Nakumbuka post ya kwanza ilikua kuutua mzigo niliokuwa nao moyoni juu ya kusalitiwa na jamaa zangu, na kikiri nilijuuta kwa nini sikuwa nimewahi kuja apa.

Nawaombea Baraka tele kwenye mnaoyafanya, Mungu azidi kuwainua kwa kadiri ya rehema zake. Mzidi kuimarika katika kunena na kutenda. Nawatakieni mwisho wa mwaka mwema na 2014 yenye heri.

Shukrani za kipekee kwenu.
BAK, snowhite, lara 1, Karucee, Mentor, Fixed Point, Dark city, gfsonwin, Eiyer, Ablessed, Mtambuzi, Nyani Ngabu, Zion Daughter, Asprin, Kaizer, watu8, Kaunga na uongozi wote wa JF chini ya Maxence Melo, Invisible . Kunzia mwakani mna mchango wangu na wengine woote karibuni kusapoti JF.
Amina napokea baraka kwa moyo mkunjufu kwani napendaga sana baraka na kubariki. Yaani jf ina mengi ya kujifunza na mengi ya kukumbuka. Huwa namkumbuka member flani alileta uzi wake hapa wa huzuni kwamba amepimwa na kuonekana kama ana dalili za cancer . Member huyo alienda mpaka nairobi kwa vipimo huwa sikumbuki jina lake. Nataka niseme kwamba member huyo daima amekua moyoni mwangu na huwa namuombea kila nipatapo nafac. Kama atasoma hapa basi naomba nimtie moyo kwamba ktk magumu aliyo nayo wapo wanaomkumbuka na kumuombea.

Ninawatakia wote sherehe njema za mwisho wa mwaka na mbarikiwe sanaaa. Yaani jamani jf ni kama nyumbani na huwa najitahidi kuingia humu kila mara . Kuna yule dada farkhina wa mapishi asante sana kwa kutupa maujuzi bado najifunza ntakupa feedback nikishaweza. BAK asante kwa kutupiamo kila mara nyimbo mbali mbali zinazoendana na tukio kwa kweli barikiwaaaaa a.k.a life saver. Aaaa sijakusahau Fixed Point pacha wangu umenisaidia sana wewe mwenyewe unajua . Shukrani za pekee zikuendee wewe unaesoma hii post nakupenda kwa sababu wewe ni sababu ya mimi kuingia mmu na Mungu akubariki.
 
Babu Dark City wewe ni member wa kwanza wa JF kukutana nawewe ana kwa ana.
Na ki ukweli sijawahi kujutia hilo, i am proud of you, na sijawahi kujuta kukutana na wewe.
I am always regard you as my real grand pa.........
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka ulivyokuwa unanipa mistari ya BIBLIA yenye kufariji katika kike kipindi kigumu nilichopitia....hadi leo huwa naisoma na imenisaidia sana. And the BIBLE you gave me, remember...

Be blessed Nicas Mtei
 
Last edited by a moderator:
Yaani jf!!!!
Sifahamiani na wengi nje ya hapa lakini nimepata marafiki na washauri ambao wanafanya magumu nisiyaone magumu tena maana kwa ushauri wao yanakuwa mepesi.
Nina wengi wa kuwashukuru ila kwa uchache JF Arusha Wing wote MziziMkavu, Dena Amsi (Naku miss ujue), Fixed Point, Mamdenyi amu(una nafasi ya pekee kwangu), Heaven on Earth, OLESAIDIMU, umbuje KOKUTONA, shem Young Master na wengine wengi.
Shukran za pekee kwa wana MMU wote.
Jf ni nyumba ambayo kila mtu angefurahia kuishi.

Thanks for appreciation umbuje Ennie
 
Last edited by a moderator:
BAK anawapenda woooooteeeeeee

CC:
@Keren_Happuch (Ni aje kingunge? 🙂🙂), @WomanofSubtance (Jirani wa ukweeee), Fixed Point (MSULI), Michelle (I miss you so much girl, I hope those beautiful angels are doing well), Mbu, Nzi, VUVUZELA, Dr MziziMkavu, farkhina, mimi49, Mr Rocky, Mentor kisukari, Karucee, Nyani Ngabu, Ngambo Ngali, Steve Dii, jmushi1 Chocs, afro denzi, faiza foxy (Ajuza) Mtambuzi, gfsonwin, snowhite, Dark City, Heaven on Earth, KOKUTONA, amu, Mwanyasi, YNNAH, Smile, Jiwe Linaloishi, AshaDii, Maxence Melo, watu8, Cantalisia, sweetlady, Preta, Mamndenyi, Madame B, Kijino, cacico, Asprin, charminglady, Elizabeth Dominic, Kaunga, zion daughter, Arushaone, marejesho, Baba V, MMAHE, Asnam, christine ibrahim, Filipo, Remmy, Nivea, Ruhazwe JR, @c6, Kichwa mbovu, Kaizer, Husninyo, ladyfurahia, nameless girl, Arabela, Judgement, BAGAH, Erickb52, Crashwise, Mungi nitonye Kipaji Halisi, Lady doctor, Passion Lady, Ruttashobolwa, Sanctus @Mtsimbe Bishanga, The secretary Rejao, boss, MWANAKIjiji, Invisible na wengineo wote wa hapa jamvini.

Tunashukuru barikiwa sanaa mpaka ushangae
 
Kaka DC,

Nashukuru kwa kunipa hii nafasi na kunifanya nitulie hapa kuweza kutuma salamu kwa wapendwa wetu hapa jamvini.

JF ni mahala ambapo member mwenyewe husika ndio huamua ni nini analenga kupata akiwa hapa kwa muda wote utakao kuwepo. Kuna kila aina ya information ya kuweza kujifunza, Kuna kila aina ya watu wa kuweza kuwasiliana nao na hata kujichanganya, kuna kila aina ya mafunzo. Mtu anauwezo wa kuongeza taarifa katika sehemu yake ya kumbu kumbu, ana uwezo wa kuongeza uwezo wa kufikiria, kudadafua, kupambanua, kuelewa na kueleza mambo hayo kwa ubora zaidi siku zitakavyo zidi kwenda. Hata hivyo ni muhimu kutambua kua hapa hapa JF mtu anaweza kushindwa kupata yote hayo niliyotaja na zaidi; na hiyo inatokana na member mwenyewe kushindwa kutambua ni nini anataka, au tu kwa kushindwa kutambua tu namna JF inaweza kutumika for the better kwa manufaa yake mwenyewe. All in all, kwa wengi waliobahatika, uwepo wetu hapa JF kambwe hatukosi kunufaika.

Mwaka huu umekua mmoja wa mwaka ambao umenibananisha kisawa sawa... Nimekuwa mara kwa mara nikitaka sana nijikite na niweze kushiriki kama ilivyokua pale nyuma kabisa but nakwama kupata hiyo nafasi ya kutosha vile nitakavyo. Ila huwa nafurahi sana nikiona familiar names... Akili ikawa imechoka (uzee sasa umeingia) kabisa naweza kushindwa kuchangia lolote but haichoki kusoma yale wenzangu wanawasilisha. Hivyo leo nimewahiii ili nitumie akili zangu zote kuweza kukumbuka watu wa kuwatumia salamu.. 🙂

Hili linafanya kunufaika kwangu hapa JF kuwe pale pale kwa uwepo wenu, Ingawa ni wachache ambao wameweza kunufaika kwa kuwepo kwangu. Hili limefanya sometimes nijione mgeni kabisa, new IDs/Members ambao huwajui kabisaa na ni wenyeji. But life goes on na mambo hubadilika saana.

I have missed so much wengi wa members ambao tulikua tukikutana mara kwa mara katika mijadala mbali mbali toka majukwaa yote ila hasa hapa MMU. I sincerely miss hapa mahala na wenzangu wote. Naona nitumie nafasi hii kutuma salamu zangu za kufunga mwaka kwako kwanza Kaka Dark City na hapa hapa kukushukuru kwa kunikumbuka kwa salamu.

Natuma salamu za kufunga mwaka kwa members wenzangu wote, wale niliowakuta, walionikuta, na tukakutana hapa hasa ambao tukiwa tukiwasiliana mara kwa mara kwa namna moja ama nyingine tukiwa hapa. Salamu zangu hizi zimeambatana na wishing them all the best katika msimu huu wa sikukuu na maisha yao yote. Mwenyezi Mungu azidi kutujaalia wote na kutubariki.

Kwa kweli ni weengi kuwataja na kuwakumbuka hasa tokana na kutokutana sana kwa sasa, hivyo natuma salamu kwa wote nitakao wataja na nisio wataja... Kwa kuanzia salamu hizo ni kwa; Kaizer, Asprin, Roulette, EMT, Husninyo, sweetlady, FirstLady1, MwanajamiiOne, Mbu, Nyamayao, nyumba kubwa, Boflo, Elizabeth Dominic, Mwita Maranya, Maty, Blue G, TANMO, Mzee, miss Judith, TIMING, Mr Rocky, RR , Mtambuzi, Rejao, Smile Fidel80, Teamo, Kimey, klorokwini, uporoto01, I Riwa, Arushaone, Steve Dii, Gaijin, Nyani Ngabu, Mwali, Eiyer, Mentor, Speaker, MKATA KIU, Nazjaz, Pauls njiwa, Globu, Raia Fulani, YNNAH, Nsiande, fazaa, Saint Ivuga, companero, Vin Diesel, The Finest, BAK, Preta, PakaJimmy, BelindaJacob, King'asti, Mwali, Ritz, Matola, Zion Daughter, Bishanga, The Boss, Nicas Mtei, bht, Balantanda, WomanOfSubstance, Nguruvi3, Mchambuzi, JingalaFalsafa, Kiranga, Cantalisia, Judgement, Shark, Jasusi, ZeMarcopolo, Pasco, cheusimangala, Chauro, Gaga, Manumbu, Tuko, SnowBall, zumbemkuu, BADILI TABIA, gfsonwin, DEMBA, KakaKiiza, HorsePower, Manyanza, Kaunga, Dena Amsi, Bigirita, Karen_Happuch , Blaki Womani, Mamndenyi, afrodenzi, WiseLady, Lizy, LD , Kongosho, platozoom, Sizinga, Bishanga, Blaine, lara 1 , jouneGwalu, Ndahani, Azimiojipya, Zakumi, Mkandara, Mrembo by Nature, Bujibuji, Erickb52, MANI, kinyoba, Mulama, snowhite, Michelle, Rutashubanyuma, Ruttashobolwa, KOKUTONA, Apollo, moto2012, Mkirua, bacha, Leonard Robert, mwaJ, Young Master, C6 , Madame B, MadameX Katavi, OLESAIDIMU, MziziMkavu, babaV, Invisible, Cookie, Paw, Moderator, Fang, Buchanan, X-PASTER, INNOVATOR, Active, PainKiller, Mike McKee and Maxence Melo.

Pamoja na wengine wengi saana ambao nimesahau, nitaenda nikiwakumbuka taratiibu.

Pamoja Saana with loads of Love.:grouphug:

AshaDii.

P.S Msalimie mama DC.

Thanks kwa salamu AshaDii
I like you and i always tells you so.
Happy holidays mummy.

2279201.jpg
 
Last edited by a moderator:
Wife AshaDii u have said it all

sina mengi ya kusema zaidi ya asante...

siwezi kuwataja wote hapa as kila mwana JF ana influence yake kwangu kwa namna ya pekee,,,asanteni wote, natumai tutakuwa wote tena mwaka 2014. Ila naomba tu niwataje DEMBA na gfsonwin wake zangu chini ya dada yao AshaDii, amu (mtoto mtukutu, smart, rafiki wa ukwee) snowhite na madame b (walimu wangu) Ennie umbuje, @ heaven on earth (dawa yako ipo jikoni)

Mkuu Dark City kusema ukweli mchango wako ni wa muhimu sana hapa jamvini, ndio maana usipokuwepo sisi wazee wenzako wastaafu tunaokoa jahazi, rafiki Fixed Point anaweza kushuhudia hili hakuna kinachoharibika

Naomba nitambua michango tukuka ya wakuu wangu: watu8, Nyani Ngabu Matola King Kong III @ babu Asprin (tutamalizana fea wei), Kongosho (some scores to settle) Paloma, Karucee (naughty gal--i like ur threads) BAK LiverpoolFC, Filipo marejesho Mwanyasi KOKUTONA The Finest Major mwenda sungura1980 Tiba Fidel80 Arushaone ladydoctor Mamndenyi (hivi uzi wa nyumba ndogo wautakiani au ndo umeshtukizia una kaukweli lol) charminglady (miss u) Preta 'Valentina' Tonykp C6 Allien King'asti Mwali mwallu (sichezi na wewe) Smile Rejao Mtambuzi (mzee wa upareni), @RR, MwanajamiiOne LD LIKUD Evelyn Salt Nicas Mtei na wengineo wengi

Shukrani kwa Invisible and team kwa kusimama imara JF isitetereke

Nawapenda wangoni woote wa kike mlioko hapa.....:noidea: (heby mjitaje)....

Muwe na jumapili njema

ujumbe wa leo: Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi....

I miss you very Much my broo...thanks for salaaam
 
Aminia mzee wa Emirates.....

Ubarikiwe sana chifu katika mwaka 2014.....

Ila nasikia jana, mmetoka kuwa 'title contenders to title pretenders'
 
Shukrani sana Mkuu kwa kweli JF ni shule ya aina yake na ndio maana wengi tunakuwa addicted hapa mahali. Fikiria mpaka unaposikia breaking news popote pale duniani unakuja hapa kwanza kabla ya kwenda CNN, BBC au kwingineko. Nakumbuka lile shambulizi la Nairobi la wale magaidi wanne JF ilikuwa juu sana katika kuripoti shambulizi lile tena up to date kwa mbali sana ukilinganisha na CNN na BBC. Pia kuna mafunzo mbali mbali kuhusu maisha yetu ya kila siku. Idumu JF.

Amina napokea baraka kwa moyo mkunjufu kwani napendaga sana baraka na kubariki. Yaani jf ina mengi ya kujifunza na mengi ya kukumbuka. Huwa namkumbuka member flani alileta uzi wake hapa wa huzuni kwamba amepimwa na kuonekana kama ana dalili za cancer . Member huyo alienda mpaka nairobi kwa vipimo huwa sikumbuki jina lake. Nataka niseme kwamba member huyo daima amekua moyoni mwangu na huwa namuombea kila nipatapo nafac. Kama atasoma hapa basi naomba nimtie moyo kwamba ktk magumu aliyo nayo wapo wanaomkumbuka na kumuombea.

Ninawatakia wote sherehe njema za mwisho wa mwaka na mbarikiwe sanaaa. Yaani jamani jf ni kama nyumbani na huwa najitahidi kuingia humu kila mara . Kuna yule dada farkhina wa mapishi asante sana kwa kutupa maujuzi bado najifunza ntakupa feedback nikishaweza. BAK asante kwa kutupiamo kila mara nyimbo mbali mbali zinazoendana na tukio kwa kweli barikiwaaaaa a.k.a life saver. Aaaa sijakusahau Fixed Point pacha wangu umenisaidia sana wewe mwenyewe unajua . Shukrani za pekee zikuendee wewe unaesoma hii post nakupenda kwa sababu wewe ni sababu ya mimi kuingia mmu na Mungu akubariki.
 
Kwi kwi kwi kwi...Tubarikiwe sote Mkuu @Nzi usisahau lakini kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi. Angalia mchapo wetu na Chelsea Dec 23rd uone jinsi tutakavyofanya vitu vyetu 🙂🙂

[/INDENT][/LEFT]
[/RIGHT]
[/SIZE][/FONT]
Aminia mzee wa Emirates.....

Ubarikiwe sana chifu katika mwaka 2014.....

Ila nasikia jana, mmetoka kuwa 'title contenders to title pretenders'
 
Ahsante BAK you are among best friends i have here at JF
 
Last edited by a moderator:
Wakuu zangu tunauaga mwaka huu huku tumejawa na waswali mengi zaidi ya majibu. Wanazuoni husema - kila siku ni afueni ya jana! na maadam tumaini bado lipo tutafika tu.
Nawatakia kila la kheri wana JF na zidumu fikra zenu ktk ukombozi wa mlalahoi.
- Amandla!
 
Amina napokea baraka kwa moyo mkunjufu kwani napendaga sana baraka na kubariki. Yaani jf ina mengi ya kujifunza na mengi ya kukumbuka. Huwa namkumbuka member flani alileta uzi wake hapa wa huzuni kwamba amepimwa na kuonekana kama ana dalili za cancer . Member huyo alienda mpaka nairobi kwa vipimo huwa sikumbuki jina lake. Nataka niseme kwamba member huyo daima amekua moyoni mwangu na huwa namuombea kila nipatapo nafac. Kama atasoma hapa basi naomba nimtie moyo kwamba ktk magumu aliyo nayo wapo wanaomkumbuka na kumuombea.

Ninawatakia wote sherehe njema za mwisho wa mwaka na mbarikiwe sanaaa. Yaani jamani jf ni kama nyumbani na huwa najitahidi kuingia humu kila mara . Kuna yule dada farkhina wa mapishi asante sana kwa kutupa maujuzi bado najifunza ntakupa feedback nikishaweza. BAK asante kwa kutupiamo kila mara nyimbo mbali mbali zinazoendana na tukio kwa kweli barikiwaaaaa a.k.a life saver. Aaaa sijakusahau Fixed Point pacha wangu umenisaidia sana wewe mwenyewe unajua . Shukrani za pekee zikuendee wewe unaesoma hii post nakupenda kwa sababu wewe ni sababu ya mimi kuingia mmu na Mungu akubariki.

anaitwa Sangarara kama sijakosea
 
Last edited by a moderator:
Wife AshaDii u have said it all

sina mengi ya kusema zaidi ya asante...

siwezi kuwataja wote hapa as kila mwana JF ana influence yake kwangu kwa namna ya pekee,,,asanteni wote, natumai tutakuwa wote tena mwaka 2014. Ila naomba tu niwataje DEMBA na gfsonwin wake zangu chini ya dada yao AshaDii, amu (mtoto mtukutu, smart, rafiki wa ukwee) snowhite na madame b (walimu wangu) Ennie umbuje, @ heaven on earth (dawa yako ipo jikoni)

Mkuu Dark City kusema ukweli mchango wako ni wa muhimu sana hapa jamvini, ndio maana usipokuwepo sisi wazee wenzako wastaafu tunaokoa jahazi, rafiki Fixed Point anaweza kushuhudia hili hakuna kinachoharibika

Naomba nitambua michango tukuka ya wakuu wangu: watu8, Nyani Ngabu Matola King Kong III @ babu Asprin (tutamalizana fea wei), Kongosho (some scores to settle) Paloma, Karucee (naughty gal--i like ur threads) BAK LiverpoolFC, Filipo marejesho Mwanyasi KOKUTONA The Finest Major mwenda sungura1980 Tiba Fidel80 Arushaone ladydoctor Mamndenyi (hivi uzi wa nyumba ndogo wautakiani au ndo umeshtukizia una kaukweli lol) charminglady (miss u) Preta 'Valentina' Tonykp C6 Allien King'asti Mwali mwallu (sichezi na wewe) Smile Rejao Mtambuzi (mzee wa upareni), RR, MwanajamiiOne LD LIKUD Evelyn Salt Nicas Mtei na wengineo wengi

Shukrani kwa Invisible and team kwa kusimama imara JF isitetereke

Nawapenda wangoni woote wa kike mlioko hapa.....:noidea: (heby mjitaje)....

Muwe na jumapili njema

ujube wa leo: Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi....
baby ake ubarikiwe sana. thax da AshaDii i'm so grateful to have you as my marital sister (usisahau kumruhusu Kaizer mapema leo zamu yangu), da gfsonwin love you mingi my dia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom