WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

Kwanza kabla ya yote napenda sote kwa pamoja hapa MMU tuutunuku uzi huu kuwa uzi bora wa kufungia mwaka kwa pamoja. Ni imani yangu kuwa kili mmoja wetu humu ataelezea namna ambavyo MMU imekuwa nzuri kwa upande wake.

Kwa upande wangu mie. Kiukweli sijawahi kujuta kuwepo humu na kufahamiana na yeyote humu. Nimepata marafiki wengi. Na wengine wamekuwa zaidi ya ndugu kwangu.

Kwa upande wa MMU kwa kweli nimepata mengi sana ya kujifunza. Zamani kidogo ilikuwa ngumu sana kuamini kama itawezekana kuishi na kuelewana na mtu ambaye hamjawahi kuonana hata kwa sura. Naweza kusema kuwa nimefahamiana na wengi humu na tumekuwa tukisaidiana, tukishauriana kwenye mambo mengi. Sasa kupitia MMU nimeamini kuwa jamii hii ya humu mtandaoni haina tofauti na hizi ambazo tuko nazo mitaani tuishipo.

Shukrani ziwafikie Mtambuzi, gfsonwin, snowhite, Dark City, Mentor, Heaven on Earth, KOKUTONA amu, Mwanyasi, YNNAH, Smile, Jiwe Linaloishi, AshaDii, Maxence Melo, watu8, Cantalisia, sweetlady, Preta, Mamndenyi, Madame B, Kijino, cacico, Asprin, @FP, Fixed Point, charminglady, Elizabeth Dominic, Kaunga, Zion Daughter, Arushaone, marejesho, Baba V, MMAHE, Asnam, christine ibrahim, Filipo, Remmy, Nivea, Ruhazwe JR, @c6, Kichwa mbovu, Kaizer, Husninyo ladyfurahia, BAK, nameless girl, @lara1 Arabela, Judgement, BAGAH, Erickb52, Crashwise, Mungi nitonye Kipaji Halisi, Lady doctor, Passion Lady, Ruttashobolwa, Sanctus Mtsimbe Bishanga, The secretary Rejao, n.k. Kwa kweli kutoka moyoni mwangu wanaotakiwa kushukuriwa ni wengi sana. Hao niliowataja ni wachache sana. Ambao sijawataja msidhani nimewasahu. Nikisemaniwataje wote humu basi hii post itakuwa ndefu sana.nawashukuru wote kwa pamoja.

Mungu ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki JF, Mungu awabariki viongozi wa JF na members wote.

Ameen, mungu akubariki nawe pia
 
Last edited by a moderator:
35jzdox.jpg
 
Kaka DC,

Nashukuru kwa kunipa hii nafasi na kunifanya nitulie hapa kuweza kutuma salamu kwa wapendwa wetu hapa jamvini.

JF ni mahala ambapo member mwenyewe husika ndio huamua ni nini analenga kupata akiwa hapa kwa muda wote utakao kuwepo. Kuna kila aina ya information ya kuweza kujifunza, Kuna kila aina ya watu wa kuweza kuwasiliana nao na hata kujichanganya, kuna kila aina ya mafunzo. Mtu anauwezo wa kuongeza taarifa katika sehemu yake ya kumbu kumbu, ana uwezo wa kuongeza uwezo wa kufikiria, kudadafua, kupambanua, kuelewa na kueleza mambo hayo kwa ubora zaidi siku zitakavyo zidi kwenda. Hata hivyo ni muhimu kutambua kua hapa hapa JF mtu anaweza kushindwa kupata yote hayo niliyotaja na zaidi; na hiyo inatokana na member mwenyewe kushindwa kutambua ni nini anataka, au tu kwa kushindwa kutambua tu namna JF inaweza kutumika for the better kwa manufaa yake mwenyewe. All in all, kwa wengi waliobahatika, uwepo wetu hapa JF kambwe hatukosi kunufaika.

Mwaka huu umekua mmoja wa mwaka ambao umenibananisha kisawa sawa... Nimekuwa mara kwa mara nikitaka sana nijikite na niweze kushiriki kama ilivyokua pale nyuma kabisa but nakwama kupata hiyo nafasi ya kutosha vile nitakavyo. Ila huwa nafurahi sana nikiona familiar names... Akili ikawa imechoka (uzee sasa umeingia) kabisa naweza kushindwa kuchangia lolote but haichoki kusoma yale wenzangu wanawasilisha. Hivyo leo nimewahiii ili nitumie akili zangu zote kuweza kukumbuka watu wa kuwatumia salamu.. 🙂

Hili linafanya kunufaika kwangu hapa JF kuwe pale pale kwa uwepo wenu, Ingawa ni wachache ambao wameweza kunufaika kwa kuwepo kwangu. Hili limefanya sometimes nijione mgeni kabisa, new IDs/Members ambao huwajui kabisaa na ni wenyeji. But life goes on na mambo hubadilika saana.

I have missed so much wengi wa members ambao tulikua tukikutana mara kwa mara katika mijadala mbali mbali toka majukwaa yote ila hasa hapa MMU. I sincerely miss hapa mahala na wenzangu wote. Naona nitumie nafasi hii kutuma salamu zangu za kufunga mwaka kwako kwanza Kaka Dark City na hapa hapa kukushukuru kwa kunikumbuka kwa salamu.

Natuma salamu za kufunga mwaka kwa members wenzangu wote, wale niliowakuta, walionikuta, na tukakutana hapa hasa ambao tukiwa tukiwasiliana mara kwa mara kwa namna moja ama nyingine tukiwa hapa. Salamu zangu hizi zimeambatana na wishing them all the best katika msimu huu wa sikukuu na maisha yao yote. Mwenyezi Mungu azidi kutujaalia wote na kutubariki.

Kwa kweli ni weengi kuwataja na kuwakumbuka hasa tokana na kutokutana sana kwa sasa, hivyo natuma salamu kwa wote nitakao wataja na nisio wataja... Kwa kuanzia salamu hizo ni kwa; Kaizer, Asprin, Roulette, EMT, Husninyo, sweetlady, FirstLady1, MwanajamiiOne, Mbu, Nyamayao, nyumba kubwa, Boflo, Elizabeth Dominic, Mwita Maranya, Maty, Blue G, TANMO, Mzee, miss Judith, TIMING, Mr Rocky, RR , Mtambuzi, Rejao, Smile Fidel80, Teamo, Kimey, klorokwini, uporoto01, I Riwa, Arushaone, Steve Dii, Gaijin, Nyani Ngabu, Mwali, Eiyer, Mentor, Speaker, MKATA KIU, Nazjaz, Pauls njiwa, Globu, Raia Fulani, YNNAH, Nsiande, fazaa, Saint Ivuga, companero, Vin Diesel, The Finest, BAK, Preta, PakaJimmy, BelindaJacob, King'asti, Mwali, Ritz, Matola, Zion Daughter, Bishanga, The Boss, Nicas Mtei, bht, Balantanda, WomanOfSubstance, Nguruvi3, Mchambuzi, JingalaFalsafa, Kiranga, Cantalisia, Judgement, Shark, Jasusi, ZeMarcopolo, Pasco, cheusimangala, Chauro, Gaga, Manumbu, Tuko, SnowBall, zumbemkuu, BADILI TABIA, gfsonwin, DEMBA, KakaKiiza, HorsePower, Manyanza, Kaunga, Dena Amsi, Bigirita, Karen_Happuch , Blaki Womani, Mamndenyi, afrodenzi, WiseLady, Lizy, LD , Kongosho, platozoom, Sizinga, Bishanga, Blaine, lara 1 , jouneGwalu, Ndahani, Azimiojipya, Zakumi, Mkandara, Mrembo by Nature, Bujibuji, Erickb52, MANI, kinyoba, Mulama, snowhite, Michelle, Rutashubanyuma, Ruttashobolwa, KOKUTONA, Apollo, moto2012, Mkirua, bacha, Leonard Robert, mwaJ, Young Master, C6 , Madame B, MadameX Katavi, OLESAIDIMU, MziziMkavu, babaV, Invisible, Cookie, Paw, Moderator, Fang, Buchanan, X-PASTER, INNOVATOR, Active, PainKiller, Mike McKee and Maxence Melo.

Pamoja na wengine wengi saana ambao nimesahau, nitaenda nikiwakumbuka taratiibu.

Pamoja Saana with loads of Love.:grouphug:

AshaDii.

P.S Msalimie mama DC.
AshaDii nitarudi kujibu salamu hizi, kwa sasa naweza kusema tu asante mpenzi na ubarikiwe kwa kutukumbuka sie wanyonge.
 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti wangu Dark City umesema yote, amu ndugu yangu mmmmmmh!
Dark City niruhusu ni dedicate thread hii kwa wafuatao kwa sababu tofauti;
Kwanza kijana wangu "ellycash" alinifahamisha uwepo wa jambo forums 2006 @Ilboru Rejao : ile kazi nilitaka uifanye wakati ule kuna member aliifanya Polisi alitoa ufahamu
Jf Tanga wing, JF Arusha, Husninyo Mamndenyi watu8 na falilia yake Baba V Thinkpard (mtaalamu wangu) King'asti (pamoja na mengine comments zake huwa zinanifikirisha), Smile gfsonwin AshaDii Katavi e2themiza MANI & all
all JF members heri ya msimu wa sikukuu!

Asante Mwanyasi
 
Last edited by a moderator:
Kaka DC,

Nashukuru kwa kunipa hii nafasi na kunifanya nitulie hapa kuweza kutuma salamu kwa wapendwa wetu hapa jamvini.

JF ni mahala ambapo member mwenyewe husika ndio huamua ni nini analenga kupata akiwa hapa kwa muda wote utakao kuwepo. Kuna kila aina ya information ya kuweza kujifunza, Kuna kila aina ya watu wa kuweza kuwasiliana nao na hata kujichanganya, kuna kila aina ya mafunzo. Mtu anauwezo wa kuongeza taarifa katika sehemu yake ya kumbu kumbu, ana uwezo wa kuongeza uwezo wa kufikiria, kudadafua, kupambanua, kuelewa na kueleza mambo hayo kwa ubora zaidi siku zitakavyo zidi kwenda. Hata hivyo ni muhimu kutambua kua hapa hapa JF mtu anaweza kushindwa kupata yote hayo niliyotaja na zaidi; na hiyo inatokana na member mwenyewe kushindwa kutambua ni nini anataka, au tu kwa kushindwa kutambua tu namna JF inaweza kutumika for the better kwa manufaa yake mwenyewe. All in all, kwa wengi waliobahatika, uwepo wetu hapa JF kambwe hatukosi kunufaika.

Mwaka huu umekua mmoja wa mwaka ambao umenibananisha kisawa sawa... Nimekuwa mara kwa mara nikitaka sana nijikite na niweze kushiriki kama ilivyokua pale nyuma kabisa but nakwama kupata hiyo nafasi ya kutosha vile nitakavyo. Ila huwa nafurahi sana nikiona familiar names... Akili ikawa imechoka (uzee sasa umeingia) kabisa naweza kushindwa kuchangia lolote but haichoki kusoma yale wenzangu wanawasilisha. Hivyo leo nimewahiii ili nitumie akili zangu zote kuweza kukumbuka watu wa kuwatumia salamu.. 🙂

Hili linafanya kunufaika kwangu hapa JF kuwe pale pale kwa uwepo wenu, Ingawa ni wachache ambao wameweza kunufaika kwa kuwepo kwangu. Hili limefanya sometimes nijione mgeni kabisa, new IDs/Members ambao huwajui kabisaa na ni wenyeji. But life goes on na mambo hubadilika saana.

I have missed so much wengi wa members ambao tulikua tukikutana mara kwa mara katika mijadala mbali mbali toka majukwaa yote ila hasa hapa MMU. I sincerely miss hapa mahala na wenzangu wote. Naona nitumie nafasi hii kutuma salamu zangu za kufunga mwaka kwako kwanza Kaka Dark City na hapa hapa kukushukuru kwa kunikumbuka kwa salamu.

Natuma salamu za kufunga mwaka kwa members wenzangu wote, wale niliowakuta, walionikuta, na tukakutana hapa hasa ambao tukiwa tukiwasiliana mara kwa mara kwa namna moja ama nyingine tukiwa hapa. Salamu zangu hizi zimeambatana na wishing them all the best katika msimu huu wa sikukuu na maisha yao yote. Mwenyezi Mungu azidi kutujaalia wote na kutubariki.

Kwa kweli ni weengi kuwataja na kuwakumbuka hasa tokana na kutokutana sana kwa sasa, hivyo natuma salamu kwa wote nitakao wataja na nisio wataja... Kwa kuanzia salamu hizo ni kwa; Kaizer, Asprin, Roulette, EMT, Husninyo, sweetlady, FirstLady1, MwanajamiiOne, Mbu, Nyamayao, nyumba kubwa, Boflo, Elizabeth Dominic, Mwita Maranya, Maty, Blue G, TANMO, Mzee, miss Judith, TIMING, Mr Rocky, RR , Mtambuzi, Rejao, Smile Fidel80, Teamo, Kimey, klorokwini, uporoto01, I Riwa, Arushaone, Steve Dii, Gaijin, Nyani Ngabu, Mwali, Eiyer, Mentor, Speaker, MKATA KIU, Nazjaz, Pauls njiwa, Globu, Raia Fulani, YNNAH, Nsiande, fazaa, Saint Ivuga, companero, Vin Diesel, The Finest, BAK, Preta, PakaJimmy, BelindaJacob, King'asti, Mwali, Ritz, Matola, Zion Daughter, Bishanga, The Boss, Nicas Mtei, bht, Balantanda, WomanOfSubstance, Nguruvi3, Mchambuzi, JingalaFalsafa, Kiranga, Cantalisia, Judgement, Shark, Jasusi, ZeMarcopolo, Pasco, cheusimangala, Chauro, Gaga, Manumbu, Tuko, SnowBall, zumbemkuu, BADILI TABIA, gfsonwin, DEMBA, KakaKiiza, HorsePower, Manyanza, Kaunga, Dena Amsi, Bigirita, Karen_Happuch , Blaki Womani, Mamndenyi, afrodenzi, WiseLady, Lizy, LD , Kongosho, platozoom, Sizinga, Bishanga, Blaine, lara 1 , jouneGwalu, Ndahani, Azimiojipya, Zakumi, Mkandara, Mrembo by Nature, Bujibuji, Erickb52, MANI, kinyoba, Mulama, snowhite, Michelle, Rutashubanyuma, Ruttashobolwa, KOKUTONA, Apollo, moto2012, Mkirua, bacha, Leonard Robert, mwaJ, Young Master, C6 , Madame B, MadameX Katavi, OLESAIDIMU, MziziMkavu, babaV, Invisible, Cookie, Paw, Moderator, Fang, Buchanan, X-PASTER, INNOVATOR, Active, PainKiller, Mike McKee and Maxence Melo.

Pamoja na wengine wengi saana ambao nimesahau, nitaenda nikiwakumbuka taratiibu.

Pamoja Saana with loads of Love.:grouphug:

AshaDii.

P.S Msalimie mama DC.

Wife AshaDii u have said it all

sina mengi ya kusema zaidi ya asante...

siwezi kuwataja wote hapa as kila mwana JF ana influence yake kwangu kwa namna ya pekee,,,asanteni wote, natumai tutakuwa wote tena mwaka 2014. Ila naomba tu niwataje DEMBA na gfsonwin wake zangu chini ya dada yao AshaDii, amu (mtoto mtukutu, smart, rafiki wa ukwee) snowhite na madame b (walimu wangu) Ennie umbuje, @ heaven on earth (dawa yako ipo jikoni)

Mkuu Dark City kusema ukweli mchango wako ni wa muhimu sana hapa jamvini, ndio maana usipokuwepo sisi wazee wenzako wastaafu tunaokoa jahazi, rafiki Fixed Point anaweza kushuhudia hili hakuna kinachoharibika

Naomba nitambua michango tukuka ya wakuu wangu: watu8, Nyani Ngabu Matola King Kong III @ babu Asprin (tutamalizana fea wei), Kongosho (some scores to settle) Paloma, Karucee (naughty gal--i like ur threads) BAK LiverpoolFC, Filipo marejesho Mwanyasi KOKUTONA The Finest Major mwenda sungura1980 Tiba Fidel80 Arushaone ladydoctor Mamndenyi (hivi uzi wa nyumba ndogo wautakiani au ndo umeshtukizia una kaukweli lol) charminglady (miss u) Preta 'Valentina' Tonykp C6 Allien King'asti Mwali mwallu (sichezi na wewe) Smile Rejao Mtambuzi (mzee wa upareni), RR, MwanajamiiOne LD LIKUD Evelyn Salt Nicas Mtei na wengineo wengi

Shukrani kwa Invisible and team kwa kusimama imara JF isitetereke

Nawapenda wangoni woote wa kike mlioko hapa.....:noidea: (heby mjitaje)....

Muwe na jumapili njema

ujumbe wa leo: Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom