WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

Naishukuru sana JF imenifanya nijue vitu vingi muhimu katika maisha yangu ya kila siku. Nilichogundua ni kwamba hapa Jf kuna watu ni wakarimu sana tena zaidi ya ukarimu wakawaida.

Wana MMU nawashukuru sana kwa ushauri wenu mlionipa pindi niliposalitiwa na Grace na sasa naendelea vizuri na maisha yangu yako vizuri bila stress yoyote.

Kwangu Jf Members wote ni ndugu maana tunasaidiana bila kubaguana.

Ingawaje sio mkongwe sana lakini naweza kusema kwa sasa Jf imekua sehemu ya Maisha yangu.

Mungu Ibariki Jf Mungu Wabariki wana Jf wote.

Sisi wote ni ndugu, ninachoamini kila member amefaidika na jf...
 
Mwenyekiti wangu Dark City umesema yote, amu ndugu yangu mmmmmmh!
Dark City niruhusu ni dedicate thread hii kwa wafuatao kwa sababu tofauti;
Kwanza kijana wangu "ellycash" alinifahamisha uwepo wa jambo forums 2006 @Ilboru Rejao : ile kazi nilitaka uifanye wakati ule kuna member aliifanya Polisi alitoa ufahamu
Jf Tanga wing, JF Arusha, Husninyo Mamndenyi watu8 na falilia yake Baba V Thinkpard (mtaalamu wangu) King'asti (pamoja na mengine comments zake huwa zinanifikirisha), Smile gfsonwin AshaDii Katavi e2themiza MANI & all
all JF members heri ya msimu wa sikukuu!
 
Last edited by a moderator:
Kaka DC,

Nashukuru kwa kunipa hii nafasi na kunifanya nitulie hapa kuweza kutuma salamu kwa wapendwa wetu hapa jamvini.

JF ni mahala ambapo member mwenyewe husika ndio huamua ni nini analenga kupata akiwa hapa kwa muda wote utakao kuwepo. Kuna kila aina ya information ya kuweza kujifunza, Kuna kila aina ya watu wa kuweza kuwasiliana nao na hata kujichanganya, kuna kila aina ya mafunzo. Mtu anauwezo wa kuongeza taarifa katika sehemu yake ya kumbu kumbu, ana uwezo wa kuongeza uwezo wa kufikiria, kudadafua, kupambanua, kuelewa na kueleza mambo hayo kwa ubora zaidi siku zitakavyo zidi kwenda. Hata hivyo ni muhimu kutambua kua hapa hapa JF mtu anaweza kushindwa kupata yote hayo niliyotaja na zaidi; na hiyo inatokana na member mwenyewe kushindwa kutambua ni nini anataka, au tu kwa kushindwa kutambua tu namna JF inaweza kutumika for the better kwa manufaa yake mwenyewe. All in all, kwa wengi waliobahatika, uwepo wetu hapa JF kambwe hatukosi kunufaika.

Mwaka huu umekua mmoja wa mwaka ambao umenibananisha kisawa sawa... Nimekuwa mara kwa mara nikitaka sana nijikite na niweze kushiriki kama ilivyokua pale nyuma kabisa but nakwama kupata hiyo nafasi ya kutosha vile nitakavyo. Ila huwa nafurahi sana nikiona familiar names... Akili ikawa imechoka (uzee sasa umeingia) kabisa naweza kushindwa kuchangia lolote but haichoki kusoma yale wenzangu wanawasilisha. Hivyo leo nimewahiii ili nitumie akili zangu zote kuweza kukumbuka watu wa kuwatumia salamu.. 🙂

Hili linafanya kunufaika kwangu hapa JF kuwe pale pale kwa uwepo wenu, Ingawa ni wachache ambao wameweza kunufaika kwa kuwepo kwangu. Hili limefanya sometimes nijione mgeni kabisa, new IDs/Members ambao huwajui kabisaa na ni wenyeji. But life goes on na mambo hubadilika saana.

I have missed so much wengi wa members ambao tulikua tukikutana mara kwa mara katika mijadala mbali mbali toka majukwaa yote ila hasa hapa MMU. I sincerely miss hapa mahala na wenzangu wote. Naona nitumie nafasi hii kutuma salamu zangu za kufunga mwaka kwako kwanza Kaka Dark City na hapa hapa kukushukuru kwa kunikumbuka kwa salamu.

Natuma salamu za kufunga mwaka kwa members wenzangu wote, wale niliowakuta, walionikuta, na tukakutana hapa hasa ambao tukiwa tukiwasiliana mara kwa mara kwa namna moja ama nyingine tukiwa hapa. Salamu zangu hizi zimeambatana na wishing them all the best katika msimu huu wa sikukuu na maisha yao yote. Mwenyezi Mungu azidi kutujaalia wote na kutubariki.

Kwa kweli ni weengi kuwataja na kuwakumbuka hasa tokana na kutokutana sana kwa sasa, hivyo natuma salamu kwa wote nitakao wataja na nisio wataja... Kwa kuanzia salamu hizo ni kwa; Kaizer, Asprin, Roulette, EMT, Husninyo, sweetlady, FirstLady1, MwanajamiiOne, Mbu, Nyamayao, nyumba kubwa, Boflo, Elizabeth Dominic, Mwita Maranya, Maty, Blue G, TANMO, Mzee, miss Judith, TIMING, Mr Rocky, RR , Mtambuzi, Rejao, Smile Fidel80, Teamo, Kimey, klorokwini, uporoto01, I Riwa, Arushaone, Steve Dii, Gaijin, Nyani Ngabu, Mwali, Eiyer, Mentor, Speaker, MKATA KIU, Nazjaz, Pauls njiwa, Globu, Raia Fulani, YNNAH, Nsiande, fazaa, Saint Ivuga, companero, Vin Diesel, The Finest, BAK, Preta, PakaJimmy, BelindaJacob, King'asti, Mwali, Ritz, Matola, Zion Daughter, Bishanga, The Boss, Nicas Mtei, bht, Balantanda, WomanOfSubstance, Nguruvi3, Mchambuzi, JingalaFalsafa, Kiranga, Cantalisia, Judgement, Shark, Jasusi, ZeMarcopolo, Pasco, cheusimangala, Chauro, Gaga, Manumbu, Tuko, SnowBall, zumbemkuu, BADILI TABIA, gfsonwin, DEMBA, KakaKiiza, HorsePower, Manyanza, Kaunga, Dena Amsi, Bigirita, Karen_Happuch , Blaki Womani, Mamndenyi, afrodenzi, WiseLady, Lizy, LD , Kongosho, platozoom, Sizinga, Bishanga, Blaine, lara 1 , jouneGwalu, Ndahani, Azimiojipya, Zakumi, Mkandara, Mrembo by Nature, Bujibuji, Erickb52, MANI, kinyoba, Mulama, snowhite, Michelle, Rutashubanyuma, Ruttashobolwa, KOKUTONA, Apollo, moto2012, Mkirua, bacha, Leonard Robert, mwaJ, Young Master, C6 , Madame B, MadameX Katavi, OLESAIDIMU, MziziMkavu, babaV, Invisible, Cookie, Paw, Moderator, Fang, Buchanan, X-PASTER, INNOVATOR, Active, PainKiller, Mike McKee and Maxence Melo.

Pamoja na wengine wengi saana ambao nimesahau, nitaenda nikiwakumbuka taratiibu.

Pamoja Saana with loads of Love.:grouphug:

AshaDii.

P.S Msalimie mama DC.
 
Last edited by a moderator:
Tunafunga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka 2014 kwa upendo, magumu tuliyokumbananayo mwaka 2013, mateso na dhihaka iwe changamoto ya kuongeza mshikamano wetu hapa Jf, lakini pia tuyaenzi yale mazuri tuliyoyavuna mwaka 2013 katika mwaka mpya wa 2014
 
ahsante babu loo mpaka mda huu hujalala?
Kwi kwi bibi ana kazi gani?
Binafsi napenda kuwashukuru wafuatao Mtambuzi kwenye hardest time alikuwa karibu sana na mie sana jamani yaani kiukweli he is one of the kind kanifungua upeo sana,mambo mengi kanisaidia ni mtu pekee anayenijua in and out.Yaani Mtambuzi ana moyo wa ajabu sana yes yaani ana impact kubwa sana kwangu.Ninamuheshimu sana
Pia napenda kuwashukuru snowhite na gfsonwin kile kikao cha siku ile pale ubungo kilinitoa kwenye handaki ujue nawashukuru sana na impacts yake before april mtaiona hapa Nicas Mtei anahusika sana.Jamani humu ndani kuna maangel hapa natamani niandike kila kitu ila nashindwa.
Napenda kuwashukuru tanga wing mlinipa support zaidi ya mara 3 tanga kwenye msiba wa dada yangu,kwenye msiba wa shangazi yangu na nlipoenda kumuuguza dada yangu mwingine kiukweli sina cha kuwalipa nilifurahi sana hapa naandika huku nalia ahsante sana YNNAH ahsante mohamed Mtoi ahsante sana nakushukuru sana hii kumbukumbu haitafutika ahsante sana Mwanyasi ahsante sana arabella ahsante mwenyekiti Dark City ahsante sana mzee CHUAKACHARA ahsanteni sana kwa kweli.
Pia napenda kumshukuru Kaizer alikuwa karibu sana na mimi ana impact kubwa sana kwangu.
Paloma ahsante mamiii ahsante kwa kila kitu umenisaidia kwa kweli na upo karibu sana na mimi.
Madame B nakushukuru kwa kweli una roho ya peke yako ahsante mama.
Nicas Mtei ahsante kwa miushauri yako ya ukweeee watu8 mtaalamu wangu ahsante kwa kutonichoka nikikwamaga mambo yetu ya technolojia mtu wangu wa ukweee.
Special thankx kwa @Maxence Mello kaka mkubwa wa ukweee.
Ahsanteni kiukweli nachoweza kusema nilingia jukwaani mweupe peee ila sahivi i have a confidence,nina msimamo balaaa yaaani mpaka mengine niliyopitia nasema kama bila jf sidhani kama ningeyamudu.
Kipaji Halisi ahsante sana jirani yangu wa ukwee.

Pole sana amu usilie, hayo ndio maisha. Si lazima usaidiwe na ndugu wakati mwingine anaweza akatokea mtu baki kabisa akakusaidia hadi ukashangaa. Nami pia napenda nichukue nafasi hii kukushukuru sana kwa support yako kwenye harusi yangu. Mungu atakulipa inshaallah!!
 
Last edited by a moderator:
Natamani kumpa Maxence Melo zawadi ya Xmass ila sina hata idea ni kitu gani naweza kumpa ili nimshukuru...

May be nimwombe aje kwa bibi ampikie madiko diko ya xmas....what else can I give to Max?

Babu DC!!

Naomba niwe assistant wako katika hili kaka DC. Mie napenda kweli kuchagulia watu zawadi. 😎

Naomba nikubalie tafadhali. lol
 
Kwa moyo mkunjufu na unyenyekevu wa hali ya juu nami nijiunge nanyi wenzangu wote katika kutoa salamu za kufunga mwaka huu wa 2013. Kwa kweli JF imekuwa ni kama familia. Katika mwaka huu nakumbuka siku nilipojikuta katika kitanda chenye matairi nikielekea theater ghafla, na kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu sikuweza kumjulisha ndugu, rafiki wala jamaa yeyote zaidi ya kupost hapa JF. Mlinifariji sana marafiki, na ile faraja ambayo sikuweza kuipata kutoka kwa mke, ndugu au jamaa niliipata in excess hapa MMU.

Asanteni sana marafiki...

Don Williams - Amanda - YouTube
 
Last edited by a moderator:
Kaka DC,

Nashukuru kwa kunipa hii nafasi na kunifanya nitulie hapa kuweza kutuma salamu kwa wapendwa wetu hapa jamvini.

JF ni mahala ambapo member mwenyewe husika ndio huamua ni nini analenga kupata akiwa hapa kwa muda wote utakao kuwepo. Kuna kila aina ya information ya kuweza kujifunza, Kuna kila aina ya watu wa kuweza kuwasiliana nao na hata kujichanganya, kuna kila aina ya mafunzo. Mtu anauwezo wa kuongeza taarifa katika sehemu yake ya kumbu kumbu, ana uwezo wa kuongeza uwezo wa kufikiria, kudadafua, kupambanua, kuelewa na kueleza mambo hayo kwa ubora zaidi siku zitakavyo zidi kwenda. Hata hivyo ni muhimu kutambua kua hapa hapa JF mtu anaweza kushindwa kupata yote hayo niliyotaja na zaidi; na hiyo inatokana na member mwenyewe kushindwa kutambua ni nini anataka, au tu kwa kushindwa kutambua tu namna JF inaweza kutumika for the better kwa manufaa yake mwenyewe. All in all, kwa wengi waliobahatika, uwepo wetu hapa JF kambwe hatukosi kunufaika.

Mwaka huu umekua mmoja wa mwaka ambao umenibananisha kisawa sawa... Nimekuwa mara kwa mara nikitaka sana nijikite na niweze kushiriki kama ilivyokua pale nyuma kabisa but nakwama kupata hiyo nafasi ya kutosha vile nitakavyo. Ila huwa nafurahi sana nikiona familiar names... Akili ikawa imechoka (uzee sasa umeingia) kabisa naweza kushindwa kuchangia lolote but haichoki kusoma yale wenzangu wanawasilisha. Hivyo leo nimewahiii ili nitumie akili zangu zote kuweza kukumbuka watu wa kuwatumia salamu.. 🙂

Hili linafanya kunufaika kwangu hapa JF kuwe pale pale kwa uwepo wenu, Ingawa ni wachache ambao wameweza kunufaika kwa kuwepo kwangu. Hili limefanya sometimes nijione mgeni kabisa, new IDs/Members ambao huwajui kabisaa na ni wenyeji. But life goes on na mambo hubadilika saana.

I have missed so much wengi wa members ambao tulikua tukikutana mara kwa mara katika mijadala mbali mbali toka majukwaa yote ila hasa hapa MMU. I sincerely miss hapa mahala na wenzangu wote. Naona nitumie nafasi hii kutuma salamu zangu za kufunga mwaka kwako kwanza Kaka Dark City na hapa hapa kukushukuru kwa kunikumbuka kwa salamu.

Natuma salamu za kufunga mwaka kwa members wenzangu wote, wale niliowakuta, walionikuta, na tukakutana hapa hasa ambao tukiwa tukiwasiliana mara kwa mara kwa namna moja ama nyingine tukiwa hapa. Salamu zangu hizi zimeambatana na wishing them all the best katika msimu huu wa sikukuu na maisha yao yote. Mwenyezi Mungu azidi kutujaalia wote na kutubariki.

Kwa kweli ni weengi kuwataja na kuwakumbuka hasa tokana na kutokutana sana kwa sasa, hivyo natuma salamu kwa wote nitakao wataja na nisio wataja... Kwa kuanzia salamu hizo ni kwa; Kaizer, Asprin, Roulette, EMT, Husninyo, sweetlady, FirstLady1, MwanajamiiOne, Mbu, Nyamayao, nyumba kubwa, Boflo, Elizabeth Dominic, Mwita Maranya, Maty, Blue G, TANMO, Mzee, miss Judith, TIMING, Mr Rocky, RR , Mtambuzi, Rejao, Smile Fidel80, Teamo, Kimey, klorokwini, uporoto01, I @O, Steve Dii, Gaijin, Nyani Ngabu, Mwali, Eiyer, Mentor, Speaker, MKATA KIU, Nazjaz, Pauls njiwa, Globu, Raia Fulani, YNNAH, Nsiande, fazaa, Saint Ivuga, companero, Vin Diesel, The Finest, BAK, Preta, PakaJimmy, BelindaJacob, King'asti, Mwali, Ritz, Matola, Zion Daughter, Bishanga, The Boss, Nicas Mtei, bht, Balantanda, WomanOfSubstance, Nguruvi3, Mchambuzi, JingalaFalsafa, Kiranga, Cantalisia, Judgement, Shark, Jasusi, ZeMarcopolo, Pasco, cheusimangala, Chauro, Gaga, Manumbu, Tuko, SnowBall, zumbemkuu, BADILI TABIA, gfsonwin, DEMBA, KakaKiiza, HorsePower, Manyanza, Kaunga, Dena Amsi, Bigirita, Karen_Happuch , Blaki Womani, Mamndenyi, afrodenzi, WiseLady, Lizy, LD , Kongosho, platozoom, Sizinga, Bishanga, Blaine, lara 1 , jouneGwalu, Ndahani, Azimiojipya, Zakumi, Mkandara, Mrembo by Nature, Bujibuji, Erickb52, MANI, kinyoba, Mulama, snowhite, Michelle, Rutashubanyuma, Ruttashobolwa, KOKUTONA, Apollo, moto2012, Mkirua, bacha, Leonard Robert, mwaJ, Young Master, C6 , Madame B, MadameX Katavi, OLESAIDIMU, MziziMkavu, babaV, Invisible, Cookie, Paw, Moderator, Fang, Buchanan, X-PASTER, INNOVATOR, Active, PainKiller, Mike McKee and Maxence Melo.

Pamoja na wengine wengi saana ambao nimesahau, nitaenda nikiwakumbuka taratiibu.

Pamoja Saana with loads of Love.:grouphug:

AshaDii.

P.S Msalimie mama DC.

Asante sana dada yangu AshaDii kwa salamu....umekuwa mtu muhimu sana maishani mwangu....
Nina mengi nimejifunza toka kwako na nina imani udugu wetu utazidi kukua kila uchao...
Nami kichwa kikitulia nitatuma salamu za heri za mwaka mpya kwa ndugu zangu kwa majina yao....
 
Last edited by a moderator:
Nami tunakupenda sana Dark City mwenyekiti wangu na nakutakia kila la kheri mwaka 2014.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza kabla ya yote napenda sote kwa pamoja hapa MMU tuutunuku uzi huu kuwa uzi bora wa kufungia mwaka kwa pamoja. Ni imani yangu kuwa kili mmoja wetu humu ataelezea namna ambavyo MMU imekuwa nzuri kwa upande wake.

Kwa upande wangu mie. Kiukweli sijawahi kujuta kuwepo humu na kufahamiana na yeyote humu. Nimepata marafiki wengi. Na wengine wamekuwa zaidi ya ndugu kwangu.

Kwa upande wa MMU kwa kweli nimepata mengi sana ya kujifunza. Zamani kidogo ilikuwa ngumu sana kuamini kama itawezekana kuishi na kuelewana na mtu ambaye hamjawahi kuonana hata kwa sura. Naweza kusema kuwa nimefahamiana na wengi humu na tumekuwa tukisaidiana, tukishauriana kwenye mambo mengi. Sasa kupitia MMU nimeamini kuwa jamii hii ya humu mtandaoni haina tofauti na hizi ambazo tuko nazo mitaani tuishipo.

Shukrani ziwafikie Mtambuzi, gfsonwin, snowhite, Dark City, Mentor, Heaven on Earth, KOKUTONA amu, Mwanyasi, YNNAH, Smile, Jiwe Linaloishi, AshaDii, Maxence Melo, watu8, Cantalisia, sweetlady, Preta, Mamndenyi, Madame B, Kijino, cacico, Asprin, @FP, Fixed Point, charminglady, Elizabeth Dominic, Kaunga, Zion Daughter, Arushaone, marejesho, Baba V, MMAHE, Asnam, christine ibrahim, Filipo, Remmy, Nivea, Ruhazwe JR, @c6, Kichwa mbovu, Kaizer, Husninyo ladyfurahia, BAK, nameless girl, @lara1 Arabela, Judgement, BAGAH, Erickb52, Crashwise, Mungi nitonye Kipaji Halisi, Lady doctor, Passion Lady, Ruttashobolwa, Sanctus Mtsimbe Bishanga, The secretary Rejao, n.k. Kwa kweli kutoka moyoni mwangu wanaotakiwa kushukuriwa ni wengi sana. Hao niliowataja ni wachache sana. Ambao sijawataja msidhani nimewasahu. Nikisemaniwataje wote humu basi hii post itakuwa ndefu sana.nawashukuru wote kwa pamoja.

Mungu ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki JF, Mungu awabariki viongozi wa JF na members wote.

JF members ni ndugu mkuu!
JF forever!
 
Nimekukubalia😎
Asante AshaDii kwa wishes zako.....

Napenda tunavyokutana kwa keyboard...na kuwa marafiki...na kuelewana....na kikubwa kujifunza toka kwa keyboard za wengine....
Nawatakia JF wote kila jema wanapofunga 2013 na kufungua 2014.....
JF ni complete package....

Naomba niwe assistant wako katika hili kaka DC. Mie napenda kweli kuchagulia watu zawadi. 😎

Naomba nikubalie tafadhali. lol
 
Last edited by a moderator:
Naishukuru Familia ya JF kwa wingi wenu.

Bahati mbaya simfahau hata mmoja kwa sura ya uhalisia, lakini kwa avatar zenu ninawona mioyo yenu na fikra zenu kwa namna ambayo mmekuwa msaada sana. nimejifunza mengi mno, nimefurahi sana na naendelea kujifunza.

Nakumbuka post ya kwanza ilikua kuutua mzigo niliokuwa nao moyoni juu ya kusalitiwa na jamaa zangu, na kikiri nilijuuta kwa nini sikuwa nimewahi kuja apa.

Nawaombea Baraka tele kwenye mnaoyafanya, Mungu azidi kuwainua kwa kadiri ya rehema zake. Mzidi kuimarika katika kunena na kutenda. Nawatakieni mwisho wa mwaka mwema na 2014 yenye heri.

Shukrani za kipekee kwenu.
BAK, snowhite, lara 1, Karucee, Mentor, Fixed Point, Dark city, gfsonwin, Eiyer, Ablessed, Mtambuzi, Nyani Ngabu, Zion Daughter, Asprin, Kaizer, watu8, Kaunga na uongozi wote wa JF chini ya Maxence Melo, Invisible . Kunzia mwakani mna mchango wangu na wengine woote karibuni kusapoti JF.
 
Nashukuru Dark City, AshaDii kwa maelezo yenu kwani ukweli kila mmoja humu anafaida kuliko hasara mimi binafsi nawashukuru wote wale ambao tumeweza kujuana humu JF na bado tunaendelea kufahamiana nawashukuruni sana,Pia nawashukuru wote kwa vipindi tofauti ndani ya Jf mmekuwa kiielelezo cha maisha yangu na waletuliokutana uso kwa uso na wale tunaojuana kwa simu na wale tunaojuana kwenye jf wote nawapenda nawatakia mwaka mpya na wenye mafanikio ila napenda kuwakumbusha party yetu msikose kwani itazidi ya mwaka jana ni tarehe 25/January/2014 zaidi muwasiliane na Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom