WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

Kwanza kabla ya yote napenda sote kwa pamoja hapa MMU tuutunuku uzi huu kuwa uzi bora wa kufungia mwaka kwa pamoja. Ni imani yangu kuwa kili mmoja wetu humu ataelezea namna ambavyo MMU imekuwa nzuri kwa upande wake.

Kwa upande wangu mie. Kiukweli sijawahi kujuta kuwepo humu na kufahamiana na yeyote humu. Nimepata marafiki wengi. Na wengine wamekuwa zaidi ya ndugu kwangu.

Kwa upande wa MMU kwa kweli nimepata mengi sana ya kujifunza. Zamani kidogo ilikuwa ngumu sana kuamini kama itawezekana kuishi na kuelewana na mtu ambaye hamjawahi kuonana hata kwa sura. Naweza kusema kuwa nimefahamiana na wengi humu na tumekuwa tukisaidiana, tukishauriana kwenye mambo mengi. Sasa kupitia MMU nimeamini kuwa jamii hii ya humu mtandaoni haina tofauti na hizi ambazo tuko nazo mitaani tuishipo.

Shukrani ziwafikie Mtambuzi, gfsonwin, snowhite, Dark City, Mentor, Heaven on Earth, KOKUTONA amu, Mwanyasi, YNNAH, Smile, Jiwe Linaloishi, AshaDii, Maxence Melo, watu8, Cantalisia, sweetlady, Preta, Mamndenyi, Madame B, Kijino, cacico, Asprin, @FP, Fixed Point, charminglady, Elizabeth Dominic, Kaunga, Zion Daughter, Arushaone, marejesho, Baba V, MMAHE, Asnam, christine ibrahim, Filipo, Remmy, Nivea, Ruhazwe JR, @c6, Kichwa mbovu, Kaizer, Husninyo ladyfurahia, BAK, nameless girl, @lara1 Arabela, Judgement, BAGAH, Erickb52, Crashwise, Mungi nitonye Kipaji Halisi, Lady doctor, Passion Lady, Ruttashobolwa, Sanctus Mtsimbe Bishanga, The secretary Rejao, Kaka Kiiza Ablessed King'asti, Paw, Mr Rocky, Kwa kweli kutoka moyoni mwangu wanaotakiwa kushukuriwa ni wengi sana. Hao niliowataja ni wachache sana. Ambao sijawataja msidhani nimewasahu. Nikisemaniwataje wote humu basi hii post itakuwa ndefu sana.nawashukuru wote kwa pamoja.

Mungu ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki JF, Mungu awabariki viongozi wa JF na members wote.

asante kwa kushukuru., ndugu yangu nicas mtei na mi niseme tu asante kwa yote.cna neno zuri zaidi ya hili.

niseme tu nashukuru sana
kupitia mmu nimejifunza mengi,
nimefahamiana na wachache na pia wengi kipitia mawasiliano tu, lkn wamekuwa watu mhim pale napohitaji ushauri kwao.
asanteni sana wana mmu wote
 
Last edited by a moderator:
Nimengi sana ambayo nayapata kupitia Jf, nisikusahau AshaDii inawezekana umesahau, lakini nikukumbushe tu. Tuliwahi kubadilishana mawazo hapa na hakika kuna kitu nilijifunza kupitia wewe!!

Siwezi kusahau Kiwatengu, ingawa ni kweli nilisahau kuku acknowledge pale. Ni wengi sana ambao nimewasahau kuwataja kiasi kwamba njia rahisi ilikuwa kutaja kwa ufupi kwamba salamu kwa wote.. Niya yangu ilikuwa kukumbukana na kuwashtua fellow members kuja kuona salamu nzuri zilizopo hapa, ingawa nimejitahidi saana kuwakumbuka wengi wao bado tena kuna wengi wao (na nawasiliana nao wengine mara kwa mara) na bado nimewasahau.

Hivyo niwie tu radhi na I hope unielewe. Nakumbuka hata ni nini tulikua tunajadili. Pamoja Saaana.

Hivi dada unajua kuwa nina kesi kubwa sana na wewe?
Sijui mdogo wako utanipa nini ili hasira zangu ziishe...lol!!!!

Eiyer mdogo wangu, kesi ipi hiyo ambayo hadi leo sisamehewi jamani?! Lol. Wacha baas nijipange!

Pia Bishanga popote ulipo nakumiss sana mzee mwenzangu (Come back)! The secretary, AshaDii Avemaria Mr Rocky (Big Up sana)

Merry X-Mass and Happy New Year 2014!

Thanks Erick.... Pamoja Saaana!

Asanteni babu DARKCITY na dada AshaDii kwa salamu nzuri za kufungia mwaka nami nakiri kuwa kwa kweli jf ni sehemu nzuri ya kujifunzia,kufahamiana kujenga mahusiano mazuri,kuelemishana,kukosoana pale inapofaa,kufahamishana mambo yanayoendelea katika jamii zetu, kupata ushauri ambao ukitumiwa vizuri ni wenye manufaa JF na idumu.

Pamoja Saana Blue G.

Asante sana kwa salamu za upendo AshaDii. Natumai bado una mawasiliano ya karibu na yule rafiki yetu. Msalimie sana.

Pia natuma salamu kwa rafiki zangu wote mliopo MMU. Heri nisitaje majina nisije nikasahau kumtaja mtu mmoja mwenye nongwa sana maana hatonisamehe.

Dear, anaendelea vizuri kabisa. Afya yake ni njema Mungu mkubwa.
 
Guys as normal niwatakie msimu wa Sikukuu mwema.
Lakini ntakuwa mchoyo wa fadhila nisipowataja watu flani walau kwa mwaka huu wamekuwa na mchango mkubwa kwangu kwa kuufanya uso wangu uwe na furaha kila niingiapo jf...Naomba kuwataja wafuatao.. snowhite , Mkunde Original, lara 1, Heaven on Earth, Simplicity, Mashaxizo na mwekundu ....these fellas to be frank they did a lot to make my face smiling in this ending year 2013..big up to you all!!!!
Ila kwa namna ya pekee niwakumbuke machalii wa A Town waliojitoa kwa hali na mali kunipokea na kunifanya nipange kurudi tena...Ebwana PakaJimmy, Preta, Arushaone,Tonypk,cantalisia,Blakiwoman, Filipo, LiverpoolFC, Valentina ...na wengineo wote nilowasahau...Tukutane Mwanza au Kebby's Hotel
 
Mwisho kabisa nilisubiri utueleze kwa nini umepotea kiasi hicho...

Naona umemezwa kabisa na pacha wako snowhite.....

Tuko pamoja sana mkuu SnowBall, and it is great to meet again!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kaka mkubwa Dark City kwa kweli miongoni mwa mambo ambayo binafsi nakiri sikuyatenda vyema mwaka huu wa 2013 ni mahudhulio yangu hapa JF...binafsi najiona kama mwana mpotevu ujue...nilizoea kuzungumza na nyie walau kila siku...I hope next year kwa neema ya Bwana ntaboresha mahudhulio yangu!
Naomba kwa dhati kabisa upokee pia salaam zangu na kama vipi mfikishie na bibi yetu!
Wasalaam
SnowBall

Nashukuru best nakutakia sikukuu njema :smile-big: :smow: ball :smow:
(u know what happens to me....) :A S 103::A S 103:
 
hahahaaa babu mbavu zangu mie!!
wajukuu zako maumivu wanajitakia!!

Sasa kwa nini msiwasaidie .....na kama ikishindikana mkapunguza kuwapandisha mapressure??

Unajua mnaniudhi mie??

Babu DC!!
 
Kaka mkubwa Dark City kwa kweli miongoni mwa mambo ambayo binafsi nakiri sikuyatenda vyema mwaka huu wa 2013 ni mahudhulio yangu hapa JF...binafsi najiona kama mwana mpotevu ujue...nilizoea kuzungumza na nyie walau kila siku...I hope next year kwa neema ya Bwana ntaboresha mahudhulio yangu!
Naomba kwa dhati kabisa upokee pia salaam zangu na kama vipi mfikishie na bibi yetu!
Wasalaam
SnowBall

Zimefika mkuu,

Ishallah, tutakuwa wote hapa tukiendeleza hili jukwaa na kufurahia kuwaona wajukuu wakizaliwa hadi wanaota ndevu...

Babu DC!!
 
Mkunde Original unaitwa haraka ukaripoti kwa katibu wa Tanga Wing kabla team haijaanza safara ya kwenda kuaga mwaka huko Rock City...

Unakuja??...Babu kakutunuku uanachama wa heshima ujue....

Babu DC!!

Daaah Babu DC,
kukubali nashindwa kukataa nashindwa, yaani niko staki nataka.....
mmmh sjui nifanyaje maana huku kwangu maji yalizidi unga na hapa npumulia mashine japo shwarii
(nisamehe nimeongea kimafumbo hope umenisoma)
 
Sasa mpira kwako, wasiliana na Katibu Mwanyasi umpe ratiba yako mwenyewe.....

Ila najua kwamba hija ndo hiyo tena...take you time...ukiwa tayari katibu atakupokea...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
jamaniii! hata mara moja moja psee......!
Yapo ya kufanya lakini sio hayo
Wanaume tunajua ya kuwasaidia wanawake tuwapo ndoani,wasiokuwa na sifa ya kuwa wanaume hawajui ndio matokeo ya hayo makitu ya hovyo
do u even know what it takes to be a dady.......!
That action has nothing to do with being a dad!
 
Guys as normal niwatakie msimu wa Sikukuu mwema.
Lakini ntakuwa mchoyo wa fadhila nisipowataja watu flani walau kwa mwaka huu wamekuwa na mchango mkubwa kwangu kwa kuufanya uso wangu uwe na furaha kila niingiapo jf...Naomba kuwataja wafuatao.. snowhite , Mkunde Original, lara 1, Heaven on Earth, Simplicity, Mashaxizo na mwekundu ....these fellas to be frank they did a lot to make my face smiling in this ending year 2013..big up to you all!!!!
Ila kwa namna ya pekee niwakumbuke machalii wa A Town waliojitoa kwa hali na mali kunipokea na kunifanya nipange kurudi tena...Ebwana PakaJimmy, Preta, Arushaone,Tonypk,cantalisia,Blakiwoman, Filipo, LiverpoolFC, Valentina ...na wengineo wote nilowasahau...Tukutane Mwanza au Kebby's Hotel
SnowBall am humbled..........I do remember that day.u were such a great buddy........

Wishing you all the best in the Coming Happy New Year
 
Last edited by a moderator:
Eiyer mdogo wangu, kesi ipi hiyo ambayo hadi leo sisamehewi jamani?! Lol. Wacha baas nijipange!
Usiniambie umesahau ulichoniahidi
Kama unasahau hata ulichomuahidi mdogo wako basi una hatari

Au ulikuwa unanitania?

Yaani kwa jibu lako hili nimeanza kuugua....lol!!
 
Ahsante kwa kila kitu!

Pole na uchovu, naona bado hujaamka mpaka sasa... Usiku ulikuwa mzuri sana...!

Hebu tuchepuke kwenye huu uzi wa Babu maana mizuka ishatuzidi tusije kumwaga radhi mbele ya huyu mzee tumuue kwa presha zake na pensheni kabla hazijesha, huyo Eiyer hajaanza leo kuingilia maeneo yangu, unajua cha kumfanya..!

Nyie jidanganyeni tu
snowhite i'm watching you!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom