Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,652
- Thread starter
- #641
Ninashukuru sana kwa kunipongeza ndio mimi mpenzi wa Sinema za kutisha horor film na wewe ni mpenzi wa hizo Sinema za kutisha?
Ahsante sana mkuu. Mwenzio sina ujasiri huo wa kuangalia sinema za kutisha. Ila kuna jirga ni yangu mmoja anazipenda sana. Nitamwambia akutafute.
Kila la heri mkuu,
Babu DC!!