WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,253
11,598
Wapendwa wana JF na wadau wa jukwaa letu pendwa la MMU, karibuni kwenye kiringe hiki tufunge mwaka wa 2013 na tuanze maandalizi ya kipindi kigumu cha 2014 kuelekea 2015!

Katika pita pita yangu mahali leo, nimekutana na baadhi ya posts za nyuma ambazo sasa zinakaribia umri wa miaka 4. Katika kuzisoma, nimejikuta natafakari mchango wa JF katika maisha yangu na nyie wadau wenzangu. Nahisi itapendeza sana kwa kutoa ushuhuda kwa kile ambacho tumekivuna hapa JF. Na mwisho wake, tutoe shukrani kwa team nzima ya waanzilishi na waendeshaji wa JF na majukwaa yake yote.

Kati ya vitu ambavyo nimevipata hapa JF na MMU ni kama vifuatavyo...

1. Hati ya kuwa Babu mstaafu (wa kweli) na heshima kubwa ambayo imetokana na cheo hicho. Mara nyingi nimejikuta katika wakati mgumu kukitumia hiki cheo...(hapa naomba wachokozi kama snowhite na Smile wakae kimya).

2. Nimevuna marafiki wa ukweli sana....Kupitia JF, nimekutana ama kuwasiliana na wadau wengi sana na nimepata faida nyingi sana kupitia kwao (kama kuna hasara basi imefunikwa na faida). Nimekutana na watu wengi sana (pamoja na kwamba avatar zinawauzia watu mbuzi kwenye gunia). Sina cha kujutia kukutana nao!

3. Nimekua na kuweza kuhimili changamoto za kupewa challenges na hata watu tunaoheshimiana sana....

4. Nimeelimika katika mambo mengi sana. Mojawapo ni jinsi ya kuwasilisha maoni yangu kwa ajili ya kuwasiliana na wanaJF wenzangu...

Nitaendelea kuongeza mengine ila kwa sasa nawakaribisha wadau wote wa MMU tufunge mwaka... Maxence Melo, Invisible, AshaDii, Nyani Ngabu, Fixed Point, Smile, snowhite, PakaJimmy (mwenyekiti mwenyewe...you deserve uenyekiti), Blaki Womani, Preta, marejesho + Filipo, KOKUTONA, CHUAKACHARA, YNNAH, Mwanyasi, amu, Negrodemus, gfsonwin, BAK , Mbu, Eiyer, Mtambuzi, MwanajamiiOne, bht, King'asti, Teamo, Zion Daughter, Asprin, Kaizer, watu8, Dena Amsi, Arushaone, Ta Bishanga, Fidel80, KakaKiiza, MANI, Mwita Maranya, LiverpoolFC, Mungi, Mzee wa Rula, snowhite, The Finest, Mike Mushi, madameB, Mamdenyi, Lizy, Nicas Mtei, Rejao, Arabela, Rose1980, Lily Flower, Heaven on Earth, Charming Lady, Faiza Foxy, Pasco, Chris Lukosi, Lunyungu, MziziMkavu, lara 1, Zinduna, The Boss, Nyamayo, Belinda Jacob, Karucee, Mentor, sakapal, Evelyn Salt, saudari, Baba_Enock, Husninyo, Rutashobolwa, Erickb52, Mr Rock, afrodenzi, Gaijin,

Pia naomba kama kuna mtu anaweza kututafutia quotes za wadau ambazo zinafaa kukumbukwa aziweke hapa, nitaziunganisha na uzi huu.

Nawatakia sikuu njema za mwisho wa mwaka na heri ya mwaka mpya wa 2014!

Nawapenda sana,

Babu DC!!

Kutoka kwa wadau:

1. Wapo waliopata kazi kupitia JF..

Hata mimi ninafurahi kuona jambo kama hili likitokea. Maana hata mimi JF imeniongezea uelewa wa mambo, ikiwa ni pamoja na kupata kazi.

Some interesting Quotes:
Nina msemo... Usipotaka kujifunza toka kwa wenzio, utajifunzak wako mwenyewe (The hard way).
 
Babu ngoja niungane nawe kwa kuishukuru JF MMU kunikutanisha na mtu ambaye naamini ni mkarimu wa asili.

Mtu huyu ni babu lakini bado ni rafiki, ni babu lakini bado ni kaka. Mtu huyu ni wewe mkuu na kwako nilijifunza sana maana ya msamiati Ukarimu.

Shem wangu Madame B ni shahidi wa hili...
 
Last edited by a moderator:

Ni furaha kubwa sana kwa babu kukutana pia na wajukuu....some cute boys and girls!!

Inshallah tuombe uzima ili tukutane tena Mwanza 2013....

Babu DC!!!
 
ahsante babu loo mpaka mda huu hujalala?
Kwi kwi bibi ana kazi gani?
Binafsi napenda kuwashukuru wafuatao Mtambuzi kwenye hardest time alikuwa karibu sana na mie sana jamani yaani kiukweli he is one of the kind kanifungua upeo sana,mambo mengi kanisaidia ni mtu pekee anayenijua in and out.Yaani Mtambuzi ana moyo wa ajabu sana yes yaani ana impact kubwa sana kwangu.Ninamuheshimu sana
Pia napenda kuwashukuru snowhite na gfsonwin kile kikao cha siku ile pale ubungo kilinitoa kwenye handaki ujue nawashukuru sana na impacts yake before april mtaiona hapa Nicas Mtei anahusika sana.Jamani humu ndani kuna maangel hapa natamani niandike kila kitu ila nashindwa.
Napenda kuwashukuru tanga wing mlinipa support zaidi ya mara 3 tanga kwenye msiba wa dada yangu,kwenye msiba wa shangazi yangu na nlipoenda kumuuguza dada yangu mwingine kiukweli sina cha kuwalipa nilifurahi sana hapa naandika huku nalia ahsante sana YNNAH ahsante mohamed Mtoi ahsante sana nakushukuru sana hii kumbukumbu haitafutika ahsante sana Mwanyasi ahsante sana arabella ahsante mwenyekiti Dark City ahsante sana mzee CHUAKACHARA ahsanteni sana kwa kweli.
Pia napenda kumshukuru Kaizer alikuwa karibu sana na mimi ana impact kubwa sana kwangu.
Paloma ahsante mamiii ahsante kwa kila kitu umenisaidia kwa kweli na upo karibu sana na mimi.
Madame B nakushukuru kwa kweli una roho ya peke yako ahsante mama.
Nicas Mtei ahsante kwa miushauri yako ya ukweeee watu8 mtaalamu wangu ahsante kwa kutonichoka nikikwamaga mambo yetu ya technolojia mtu wangu wa ukweee.
Special thankx kwa @Maxence Mello kaka mkubwa wa ukweee.
Ahsanteni kiukweli nachoweza kusema nilingia jukwaani mweupe peee ila sahivi i have a confidence,nina msimamo balaaa yaaani mpaka mengine niliyopitia nasema kama bila jf sidhani kama ningeyamudu.
Kipaji Halisi ahsante sana jirani yangu wa ukwee.
 
Hii kweli naona imetoka moyoni. Hope watazisikia shukrani zako
 
Ahsante sana amu,

Unajua Babu akilala lazima wajukuu wote wawe wameshasinzia na kuanza ngwe ya pili...

You are a very special person na tunakushukuru sana kwa kutupa nafasi ya kukufahamu...

Inshallah, tuendeleze mema ya 2013 ndani ya mwaka mpya wa 2014.

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ahsante babu loo mpaka mda huu hujalala?
Kwi kwi bibi ana kazi gani?
Binafsi napenda kuwashukuru wafuatao Mtambuzi kwenye hardest time alikuwa karibu sana na mie sana jamani yaani kiukweli he is one of the kind kanifungua upeo sana,mambo mengi kanisaidia ni mtu pekee anayenijua in and out.Yaani Mtambuzi ana moyo wa ajabu sana yes yaani ana impact kubwa sana kwangu.Ninamuheshimu sana
Pia napenda kuwashukuru snowhite na gfsonwin kile kikao cha siku ile pale ubungo kilinitoa kwenye handaki ujue nawashukuru sana na impacts yake before april mtaiona hapa Nicas Mtei anahusika sana.Jamani humu ndani kuna maangel hapa natamani niandike kila kitu ila nashindwa.
Napenda kuwashukuru tanga wing mlinipa support zaidi ya mara 3 tanga kwenye msiba wa dada yangu,kwenye msiba wa shangazi yangu na nlipoenda kumuuguza dada yangu mwingine kiukweli sina cha kuwalipa nilifurahi sana hapa naandika huku nalia ahsante sana YNNAH ahsante mohamed Mtoi ahsante sana nakushukuru sana hii kumbukumbu haitafutika ahsante sana Mwanyasi ahsante sana arabella ahsante mwenyekiti Dark City ahsante sana mzee CHUAKACHARA ahsanteni sana kwa kweli.
Pia napenda kumshukuru Kaizer alikuwa karibu sana na mimi ana impact kubwa sana kwangu.
Paloma ahsante mamiii ahsante kwa kila kitu umenisaidia kwa kweli na upo karibu sana na mimi.
Madame B nakushukuru kwa kweli una roho ya peke yako ahsante mama.
Nicas Mtei ahsante kwa miushauri yako ya ukweeee watu8 mtaalamu wangu ahsante kwa kutonichoka nikikwamaga mambo yetu ya technolojia mtu wangu wa ukweee.
Special thankx kwa @Maxence Mello kaka mkubwa wa ukweee.
Ahsanteni kiukweli nachoweza kusema nilingia jukwaani mweupe peee ila sahivi i have a confidence,nina msimamo balaaa yaaani mpaka mengine niliyopitia nasema kama bila jf sidhani kama ningeyamudu.
Kipaji Halisi ahsante sana jirani yangu wa ukwee.

Mmmh hii ni true reflection ya kitu cha kweli...I can see jinsi umeguswa
 
Last edited by a moderator:
Nipo mkuu. Mwaka huu sikupata sana nafasi ya kujumuika nanyi hapa kutokana na purukushan za hapa na pale. Nimekuwa msomaji mzuri sana kuliko mchangiaji. Kuokana na comments zao, naona umekaa vizuri sana na wajukuu zako kwa mwaka huu.
Nakutakiwa mwisho wa mwaka mwema

Ahsante sana Mkuu,

Pamoja na wadau wengi kupotea hapa jukwaani, ila JF inaonekana kama mama anayejifungua mapacha kila uchao...

Tunamshukuru sana Mkungu kwa kutufikisha hapa...na JF team kwa kutuwezesha kuendelea kukutana hapa kiringeni!

Babu DC!!
 
ingawa hakuna ninayemfahamu hapa mmu kwa sura lakini ki ukweli nimeelimika sana kupitia michango yenu.

Kuna wakati sura na matendo yetu yanaishi katika yale tuyaandikayo.

Panapo fursa watafute watu wawili watatu, onana nao. Naamini kuna jipya utapata zaidi marafiki wapya utawakaribisha maishani mwako.
 
Nakubaliana na wewe mkuu,

Kuna watu wana fear (real or not) ya kuona na wanaJF waliozeana nao kwenye forums kwa kuogopa mambo mbali mbali.

Mbali na picha ambazo watu wanazijenga kwa kutumia avatar zetu, tukio la kumwona mwana JF mmoja kila linaponitokea limekuwa very rewarding... No regrets at all!!

Kwa hiyo bado wapo wengi sana mbao natamani kukutana nao...

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom