WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

Nawe pia kaka twakutakia mwaka mpya mwema.
Nalog off

Kwa nini hupendi kukaa mtandaoni kaka??

Hata kama kunawasha washa, siyo vizuri kubeep na kulog off kama vile unaogoma kukamatwa mwizi meeeeeeen!

Umesalimika na siku kuu ndugu yangu Washawasha??

Babu, bibi na wajukuu wote wamevuka salama.....hakuna majeruhi ya kutisha labda mambo madogo madogo tu!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

........kaka #Kigali kaka....
Nimetoka kuuza simu walau nije Internet cafe nikutumie meseji!!!

Mpaka kieleweke hapa!
 
Last edited by a moderator:
........kaka #Kigali kaka....
Nimetoka kuuza simu walau nije Internet cafe nikutumie meseji!!!

Mpaka kieleweke hapa!

Ndo kusema umeshausikia mlio wa bunduki au ndo unajiandaa kuchinjwa kama kondoo wa pasaka??

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kwa nini hupendi kukaa mtandaoni kaka??

Hata kama kunawasha washa, siyo vizuri kubeep na kulog off kama vile unaogoma kukamatwa mwizi meeeeeeen!

Umesalimika na siku kuu ndugu yangu Washawasha??

Babu, bibi na wajukuu wote wamevuka salama.....hakuna majeruhi ya kutisha labda mambo madogo madogo tu!

Babu DC!!
Hela ya vocha inasumbua ndio maana naingia na kutoka ila namshukuru mtukufu wa daraja nimeuona na nimeuanza mwaka vizuri.
Nalog off
 
Na mimi nimevuka.

Safi sana mkuu....

Naomba unisamehe...ile siku nilibanwa kama nakimbizwa na wezi....

Niliwasiliana na katibu Mwanyasi naye akawa yuko hoi.

Insha Allah tutawasiliana hali ikitulia!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Babu DC bado upo? Ama kweli wewe kiboko.
HAPPY NEW YEAR.

Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ndo nakutana na swali kama hili.....

Nitaenda wapi mdogo wangu House Wife??

Nashukuru kwa salamu, heri ya mwaka mpywa na kwako pia...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hela ya vocha inasumbua ndio maana naingia na kutoka ila namshukuru mtukufu wa daraja nimeuona na nimeuanza mwaka vizuri.
Nalog off

Kwani uko Wing ipi ambayo haina ushirikiano kiasi hicho??

Sie wenzio wa Tanga Wing (Arabela, chuaKACHA, KOKUTONA, YNNAH, Mwanyasi) tunapigana tafu kiasi kwamba hakuna mtu anaweza kupotea mtandaoni kwa matatizo madogo madogo kama airtime!

Hata wadau wa A - Wing (PakaJimmy, Mzee wa Rula) na Mwanza Wing (charminglady) huwa hawatupani aisee!

Basi tafuta uraia kwenye mojawapo ya timu hizo za ukweli..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kwani uko Wing ipi ambayo haina ushirikiano kiasi hicho??

Sie wenzio wa Tanga Wing (@Arabela, chuaKACHA, KOKUTONA, YNNAH, Mwanyasi) tunapigana tafu kiasi kwamba hakuna mtu anaweza kupotea mtandaoni kwa matatizo madogo madogo kama airtime!

Hata wadau wa A - Wing (@PakaJimmy, Mzee wa Rula) na Mwanza Wing (@Charminglady) huwa hawatupani aisee!

Basi tafuta uraia kwenye mojawapo ya timu hizo za ukweli..

Babu DC!!

Pamoja sana babu
 
Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ndo nakutana na swali kama hili.....

Nitaenda wapi mdogo wangu House Wife??

Nashukuru kwa salamu, heri ya mwaka mpywa na kwako pia...

Babu DC!!

Asante babu.

oh samahani sana ila I meant uzi wapo bnado upo jukwaani unatesa na tumeshavuka mwaka tayari.

Kweli bibi DC mkali inabid kila siku mshirikiane kuandaa nyuzi ili zikae hewani md mrefu kama huu.
 
Jf' ni jukwaa la kipekee sana binafsi najivunia kuwepo hapa. Jamiiforum imenipa marafiki na imenikutanisha na ndugu na jamaa zangu kutoka pande mbalimbali za dunia hii. Jamiiforum ni mahala ambapo watu huwa tunapishana na kukubaliana kimawazo(agree to disagree) lakini ni matumaini yangu haitupelekei kuwa maadui. Nichukue nafasi hii kuwashukuru brothers ambao nimekutana nao humu ndani lakini ukweli tumekuwa zaidi ya ndugu hata nje ya jukwaa hili(jf). Kwanza nikushukuru brother Ritz wewe niwa kipekee sana na ninajivunia kujuana na wewe, Boko haram, THE BIG SHOW, mzee wangu Mohamed Said nakushukuru sana kwa ushauri na mawazo yako unayonipatia kiukweli ninafarijika sana, brother dr kahtaan, ndugu yangu gombesugu, Mohamedi Mtoi, Elli, Zumbe Mkuu, MANI, ZeMarcopolo, Madame B, Mamndenyi, mkuu wangu chama, dada AshaDii, Nguruvi3, Wickama, best yangu Shardcole et al. Nimejifunza kutoka kwenu na nawatakia kila heri.

Chamviga nakushukuru kwa kauli yako nzuri. Nashughulishwa na mambo mengi kwa sasa huenda hatutawasiliana kila mara. Nakushukuru mwaliko wako kuonana na kujuana ni majaliwa inshallah. Situmii jina bandia. Wickama ni surname yangu halisia na ukii-google you will get the rest. Karibu sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom