Kwani standing order zinasemaje kuhusu mtumishi wa serikali kuhama?Sifa ulizonazo huhitaji kutafuta mtu wa kubadilishana naye,unatakiwa uombe kuhamia sehemu unayotaka kuhamia,kuna walimu wengi wanaoajiriwa hivyo kuondoka kwako hakuathiri chochote.
Otherwise rushwa ndo inayotakiwa na siyo mtu wa kubadilishana. Maofisa wa elimu mafundi sana wa kubania Walimu wenzao kwenye maswala hayo,hapo comment zao huwa ndo hizo, kama mwalimu mwanamke lazima wamchojoe kwanza.
Ila malipo hapa hapa, wengi wameathirika na wanakufa ile mbaya.