Siku hizi ndoa kimjini mjini sio ndoano tena, wewe ungana na mwenzi wako rudi kazini kwani kabla ya ndoa mlikuwa mnaishije?...ninavyojua hata kama utapata mtu utakaa sana kupata uhamisho halisi!
 
Kwani standing order zinasemaje kuhusu mtumishi wa serikali kuhama?Sifa ulizonazo huhitaji kutafuta mtu wa kubadilishana naye,unatakiwa uombe kuhamia sehemu unayotaka kuhamia,kuna walimu wengi wanaoajiriwa hivyo kuondoka kwako hakuathiri chochote.

Otherwise rushwa ndo inayotakiwa na siyo mtu wa kubadilishana. Maofisa wa elimu mafundi sana wa kubania Walimu wenzao kwenye maswala hayo,hapo comment zao huwa ndo hizo, kama mwalimu mwanamke lazima wamchojoe kwanza.

Ila malipo hapa hapa, wengi wameathirika na wanakufa ile mbaya.
 
nafundisha halimashauri ya wilaya ya mkuranga shule ya msingi, nahitaji mwl wa kubalishana naye anayetoka halmashaur ya mji kibaha au kibaha vijijini tafadhali tuwasiliane
 
nafundisha halimashauri ya wilaya ya mkuranga shule ya msingi, nahitaji mwl wa kubalishana naye anayetoka halmashaur ya mji kibaha au kibaha vijijini tafadhali tuwasiliane

Wewe wataka ukae kuzuri tu... Wenzako waende kulikokushinda.
 
nafundisha halimashauri ya wilaya ya mkuranga shule ya msingi, nahitaji mwl wa kubalishana naye anayetoka halmashaur ya mji kibaha au kibaha vijijini tafadhali tuwasiliane
Fanya hivi; nenda Kibaha Vijijini katafute nafasi ukiipata rudi Mkuranga, jitose kwa Afisa Elimu au tafauta Afisa yeyote akusaidie kupitisha barua zako.....
 
Oi nimepangiwa wilaya ya rungwe nafasi ya weo nipo tayar kwenda mkoa wowote isipo kuwa iringa, njombe, na ruvuma,, aliye tayari kuja rungwe ani pm plz ..
 
108 Reactions
Reply
Back
Top Bottom