pole mkuu. sasa wewe ndiyo umeolewa au umeowa?. kitanzania mke ndiyo anamfata mme wake sahemu yoyote anapo fanya kazi, pia serikali inalitambuwa ilo sasa kwako ikoje hii issue?
 
pole mkuu. sasa wewe ndiyo umeolewa au umeowa?. kitanzania mke ndiyo anamfata mme wake sahemu yoyote anapo fanya kazi, pia serikali inalitambuwa ilo sasa kwako ikoje hii issue?

Tusidanganyane hapa! "Kitanzania" ndio nini? Na kwa sheria gani inayosema ni mke tu ndiye anayetakiwa kumfuta mume? Mkuu unazungumzia mazoea kama vile ndio sheria. Yeyote anaweza kumfuata mwenza wake.

Achana na mazoea ya kizamani ambapo wake wengi walikuwa ni wamama wa nyumbani na wale waliokuwa waajiriwa wengi wao walikuwa katika kazi za nursing na ualimu.
 
vp wadau. kwa mwl yeyote secondari anaetaka kuhamia Tukuyu Mbeya mi nije Dar ani pm. shule ipo pazuri. sababu kuu ya mm kuhama ni kumfuata wife

Kwa jinsi watu walivyorogwa na Dar (jiji chafu - mwenye watoto Dar ambae anamaliza mwezi hajaenda kumtafuta Dr Massawe et al aniambie, vurugu mtupu, joto, na kila aina ya changamoto za maisha lakini bado wanaamini kuwa usipokaa Dar utakufa) sijui kama utampata mtu wa aina hiyo!

Sijui itokeeje umpate mtu alieichoka Dar kama mimi - bahati mbaya kwa JF hii simuoni, labda utangaze gazetini! Kina Bujibuji na Bishanga wahame Dar? Wamerogwa kwani!
 
Tusidanganyane hapa! "Kitanzania" ndio nini? Na kwa sheria gani inayosema ni mke tu ndiye anayetakiwa kumfuta mume? Mkuu unazungumzia mazoea kama vile ndio sheria. Yeyote anaweza kumfuata mwenza wake. Achana na mazoea ya kizamani ambapo wake wengi walikuwa ni wamama wa nyumbani na wale waliokuwa waajiriwa wengi wao walikuwa katika kazi za nursing na ualimu.

MWAj, ni kweli kwa hayo unayoyasema lakini mama kumpata mtu wa kutoka DAR hadi TUKUYU kweeli hiyo nikazi nyingine ya ziada! Mkuu sikukatishi tamaa lakini hata ukilala makaburini kwa mwezi mzima itakuwa ngumu hiyo.
 
MWAj, ni kweli kwa hayo unayoyasema lakini mama kumpata mtu wa kutoka DAR hadi TUKUYU kweeli hiyo nikazi nyingine ya ziada! Mkuu sikukatishi tamaa lakini hata ukilala makaburini kwa mwezi mzima itakuwa ngumu hiyo.

Kwa hilo la kubadilishana hizo sehemu nakubaliana na wewe kuwa litakuwa gumu kama kuyataka maji yapande mlima. Ila huwezi kujua anaweza akatokea atakayependa kuishi Tukuyu.
 
Hivi tukuyu kukoje? it seems kuko hovyo sana,tuambizane basi!
It is among the best places in bongoland, if not No. 1. Weather, people and their culture, ardhi, miundombinu ipo byee. Tatizo, kama zilivyo rural areas, kukosekana kwa recreational facilities, kama ni mpenzi wa mambo hayo. Tukuyu life is cheap, no matter unajikweza vipi.

Karibu sana. Wanyakyusa wakarimu sana na wana utu.
 
ndugu yangu natamanitsana ningebaki Moro bt nalazimika kuhama ili kuungana na familia coz nimeingia ktk ulimwengu wa wawiliwawili

Hongera sana mkuu kwa jema mlilofanya ww na mwenzio! Hapo nimekuelewa 100%.

Wito: Jitokezeni mlio na sifa tajwa. Mkaishi Moro na kufundisha shule iliyo ktk Manispaa hiyo.
 
Back
Top Bottom