Mwanza Wilaya gani kiongozi?Ukipata Mwl wa secondary anataka kuja mwanza nije singida niashtue
Uko tayari kuja mafia?KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI
Njoo Kigoma, Wilaya ya Kasulu mjini
Idara ya Elimu Secondary.Somo la HESABU
Nije
Dar es salaam,Tanga,Morogoro au Pwani Wilaya yeyote Ile.
Mawasiliano ni. 0786538767/0652180400
Njoo Handeni Tc-Tanga nije MkurangaAnaetaka kuja mkurnga mm niende kibaha ni pm
Njoo Handeni Tc-Tanga nije KinondoniUJE MANISPAA KINONDONI DSM,nije manispaa ya kibaha, nafundisha kinzudi sec.goba, nataka nije soga sec. piga 076508539
Njoo Handeni Tc-Tanga nije DarNjoo Dar mimi nije morogoro manispaa elimu sekondari
Njoo Handeni Tc-Tanga nije TemekeNjoo Temeke nije buhigwe kigoma secondary
Njoo Handeni Tc-Tanga nije Ilala DarNjoo Ilala, Dar es salaam idara secondary, nije Morogoro manispaa, 0713715772
Njoo Handeni Tc-Tanga nije DarWa Dar hamtaki kurudi kwenu? Nirudi kwetu Geita idala ya sekondary?
Njoo Namtumbo dc nije Arusha(Monduli)NJOO ARUSHA TUJE SONGEA IDARA YA MSINGI NA SEKONDARI 0767148085
Njoo Namtumbo dc nije MONDULI DCTangazo:
Natafuta mwalimu Wa kubadilishana nae kituo cha kazi aje Arusha wilaya ya Longido.
Nije mkoa Wa Njombe,Iringa,Mbeya au Songwe wilaya yoyote.Idara Sec.Masomo:English & History
Mawasiliano
0785035428.
Yaah. Nko tayr mkuuUko tayari kuja mafia?
#MaendeleoHayanaChama
Yaan Kwa mkeka huu.wasipokuelewa WAHA.basi tenaHabarini!!
Kwa mwalimu wa sekondari aliye wilaya ya KISARAWE, MOROGORO MJINI/VIJIJINI,DODOMA MJINI,MBEYA,NACHINGWEA MJINI,MASASI MJINI, na NJOMBE MJINI wa masomo ya PHYSICS na CHEMISTRY akiwa anataka(TUBADILISHANE) kurudi kwao mkoa wa Kigoma,(Uvinza upande wa ziwa Tanganyika au kama waelekea JKT Bulombora umbali wa kutumia muda wa lisaa limoja kufika kigoma mjini na kwa pikipikiau privatecar ni mwendo wa dakika 45 tu. Kwa daladala nauli ni 3000/= ty) niko tayari kubadilishana nae mimi nije mkoa wake.(KISARAWE, MOROGORO MJINI/VIJIJINI,DODOMA MJINI,MBEYA,NACHINGWEA MJINI,MASASI MJINI, na NJOMBE MJINI)
NB WALAU IWE WILAYA ZA MJINI. AU WILAYA JILANI NA JIJI LA DAR ES SALAAM.
Karibu inbox!!!!!