Habarini!!
Kwa mwalimu wa sekondari aliye wilaya ya KISARAWE, MOROGORO MJINI/VIJIJINI,DODOMA MJINI,MBEYA,NACHINGWEA MJINI,MASASI MJINI, na NJOMBE MJINI wa masomo ya PHYSICS na CHEMISTRY akiwa anataka(TUBADILISHANE) kurudi kwao mkoa wa Kigoma,(Uvinza upande wa ziwa Tanganyika au kama waelekea JKT Bulombora umbali wa kutumia muda wa lisaa limoja kufika kigoma mjini na kwa pikipikiau privatecar ni mwendo wa dakika 45 tu. Kwa daladala nauli ni 3000/= ty) niko tayari kubadilishana nae mimi nije mkoa wake.(KISARAWE, MOROGORO MJINI/VIJIJINI,DODOMA MJINI,MBEYA,NACHINGWEA MJINI,MASASI MJINI, na NJOMBE MJINI)

NB WALAU IWE WILAYA ZA MJINI. AU WILAYA JILANI NA JIJI LA DAR ES SALAAM.

Karibu inbox !!!!!
Yaan Kwa mkeka huu.wasipokuelewa WAHA.basi tena
 
108 Reactions
Reply
Back
Top Bottom