Mwenye kujua chimbo za hii bidhaa na bei yake ya jumla anielekeze maana pale msimbazi hawasemag wanatoaga wapi
81PEHsNsqxL%20(1).jpg
 
Kuna shipping agents wanaokutumia vitu vyako huku bongo na kukutolea bandarini (door to door)....Kama Silent Ocean na wengine.

Mzigo Unaulipia charges kwa cbm (cubic meters) inategemea na aina ha bidhaa hyo ina include shipping, agency na taxes. Ila kikubwa ukifika kule inakua na nguvu zaidi unaweza chagua bidhaa unayotaka hata ku negotiate price na wachina masokoni kwao face to face. The more unanunua mzigo kwingi the more discount u get hence the more profit u get ukija uza huku.

Ili umake good money kweli uone unapiga hela kweli uwe na kitu kama 10 M hivi hyo mzgo tu. (Unaweza ukaanza less than that ila mimi naona kuanzia 10 M kuendelea ndio kweli naweza nikasema huyu mtu ana make hela)
Mkuu naomba unipe baadhi ya biashara za kufuata China
 
Back
Top Bottom