wiki iliyopita niliamua kwenda mwenyewe kaliakoo nikitokea singida, nilienda kwa influence ya uzi huu, nashukuru Mungu nilipata chimbo za kutosha, ukipata nafasi nenda tu kajarbu usiogope, nilienda kuchukua viatu.
Hongera kwa kupata chimbo za kutosha , tushirikishe na wenzako hizo chimbo pia nasisi tuyajue.
 
Nahitaj chimbo la mifuko hii
images.jpg
 
Kwa habari ya flash na memory cards OG na copy nichek Mkuu, hapo Likoma Sina mpinzani kuanzia wachina mpaka Waswahili
Flash imation na SanDisk -4gb5000
8gb6000
16gb6500
32gb7500 bei za jumla kuanzia 10pcs kila size

Memory cards SanDisk na Microdigit 2gb 4000
4gb4500
8gb6000
16gb6500
32gb7500
Hiyo ni jumla kuanzia 10pcs kila size
Memory cards copy zenye cover ni 2100,zisizo na packing 1800 ,hiyo ni kuanzia 100pcs
Hizo 32gb memory card ni kampuni gani na je ni OG? Nahitaji pc 100 utanifanyia bei gani?
 
Kwa habari ya flash na memory cards OG na copy nichek Mkuu, hapo Likoma Sina mpinzani kuanzia wachina mpaka Waswahili
Flash imation na SanDisk -4gb5000
8gb6000
16gb6500
32gb7500 bei za jumla kuanzia 10pcs kila size

Memory cards SanDisk na Microdigit 2gb 4000
4gb4500
8gb6000
16gb6500
32gb7500
Hiyo ni jumla kuanzia 10pcs kila size
Memory cards copy zenye cover ni 2100,zisizo na packing 1800 ,hiyo ni kuanzia 100pcs
Mbona hujaweka namba Sasa tutakupataje
 
Back
Top Bottom