It seems kuna bidhaa ambazo ni bei nafuu unazipata Nai kuleta Tz... na kuna bidhaa ni bei nafuu unazipata Dar kupeleka Kenya.

Information is Power. Hata kama bado mtu hauna mtaji na una nia ya Biashara, kusanya taarifa sahihi kwanza. Right info! Right info! Right info! kwanza before you jump-in to play the game.

-Kaveli-
Kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
machimbo ya chupi yapo mengi
lipo moja kubwa maduka mengi kwa pamoja kama 50 au zaidi
linalofuatia yapo kama maduka 20 hv pamoja
halafu yapo yaliyo kaa moja moja tafauti tofauti
ki ukweli bidhaa za kariakoo nitafuteni tu mimi mutafurahi wenyewe
nitakupeka chimbo moja baada ya moja
ukizoea utaenda mwenyewe
0788 41 76 74

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha porojo mkuu
hii sio kwamba watu hawawezi fika kariakoo na kuelekea katika duka fulani
Wewe sema hayo maduka ni yapi na location yake
 
machimbo ya chupi yapo mengi
lipo moja kubwa maduka mengi kwa pamoja kama 50 au zaidi
linalofuatia yapo kama maduka 20 hv pamoja
halafu yapo yaliyo kaa moja moja tafauti tofauti
ki ukweli bidhaa za kariakoo nitafuteni tu mimi mutafurahi wenyewe
nitakupeka chimbo moja baada ya moja
ukizoea utaenda mwenyewe
0788 41 76 74

Sent using Jamii Forums mobile app

Oya hebu nipe chimbo ta t-shirt Manga whole sale
 
Wadau nahitaji kujua chimbo kariakoo ambapo naweza kupata saa za kike na kiume kwa bei ya jumla kabisaaa. Pia chimbo ambalo naweza kupata suit accessories mfano tai, suspenders, socks, pocket squares n.k kwa bei ya jumla. Naombeni msaada wa kuelekezwa tafadhali
 
Saa karikakoo mtaa wa mchikichi kuna maduka makubwa wanauza saa kwa bei nafuu sana...ww ukifika mchikichi jirani na msikiti wa mtoro ulizia maana maduka mengine yako kwa ndani....yanahitaji kuelekezwa.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Back
Top Bottom