A
Anonymous
Guest
Mimi ni Mwanataaluma na mdau wa Maktaba ya Mkoa Iringa, pia ni Lecturer katika moja ya Chuo hapa Iringa Mjini.
Nimekuwa nikitumia Maktaba ya Mkoa kwa muda mrefu sasa, lakini mimi pamoja na wadau wengine wa Maktaba tumekuwa tukishuhudia mara kwa mara udhalilishaji wa dhahiri unaofanywa na Kiongozi wa Maktaba anayejulikana kama Consolata M. kwa watumishi waliopo chini yake.
Pamoja na hilo Kiongozi huyo amekuwa hana nidhamu kwa kuvaa nguo za ajabu(nguo fupi sana) na kupenda kupitapita maeneo wanayokaa wasomaji hali ambayo imekuwa ni kero kubwa sana kwetu sisi wasomaji/wateja na kutuondolea utulivu.
Matendo haya ya Kiongozi huyo ni kinyume na maadili na miongozo ya Utumishi wa Umma, hivyo tunaomba mamlaka husika Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) kuchukua hatua stahiki ili kuboresha utoaji wa huduma bora katika Maktaba yao ya Mkoa Iringa.