iringa mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. smarte_r

    Usiku mzuri ninaoukumbuka mwaka 2020 ndani ya Iringa Mjini

    Kanuni yangu ya maisha ni hii: fanya ibada, tafuta pesa, wekeza, msaidie asienacho(japo sio lazima) na mwisho kabisa kumbuka kujipa furaha wewe mwenyewe. Mwaka 2020 ulikuwa ni wa mafanikio sana kwangu. nilipata deal lililofanya nizunguke sehemu mbalimbali nchini ikiwemo iringa. Ukiondoa faida...
  2. sajo

    IRINGA MJINI: Wafanyabiashara wagoma kufungua maduka na biashara zao kupinga uonevu wanaofanyiwa na Manispaa ya Iringa

    Leo tarehe 15.06.2023 wafanyabiashara wa Iringa mjini wamegoma kufungua biashara zao baada ya askari wa manispaa ya Iringa jana kuvunja na kuharibu biashara zao kwa kuvunja vibaraza vya maduka. Jambo hilo limeharibu mali zao wafanyabiashara na pia kufungwa kwa biashara kumesababisha kukosekana...
  3. Kikwava

    Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

    ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi. MPENI JIMBO ASAS 2025, PEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA. NB: HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI YASITAFSIRIWE...
  4. N

    Ni fursa zipi zipo Iringa Mjini?

    Matumaini yangu u mzima wa afya.. mimi ni kijana wa kiume kwa sasa naishi Iringa mjini, Kihesa ila bado sio mwenyeji sana wa hapa. Dhumuni la andiko langu ni kuwaomba wakazi na wenyeji wa Iringa mjini kunisaidia kujua fursa yoyote inayopatikana hapa Iringa mjini itakayoniwezesha angalao mkono...
  5. M

    Ninatafuta mpenzi (girl friend) awe Iringa mjini

    Natafuta mpenzi I mean a girlfriend- awe Iringa mjini au karibu na maeneo ya Iringa, umri uwe kati ya miaka 22-27, asiwe na mtoto Wala kuwahi kuzaa, awe na mwili wa kawaida sio mnene, Wala sio mwembamba sana, rangi yoyote tu Haina shida, elimu yake kuanzia kidato Cha nne na kuendelea, awe...
  6. Dr Matola PhD

    Tunafunga mjadala sasa, Mwanaume anapendewa pesa tu - Mbunge wa Iringa Mjini

    "Leo ukiniambia nguzo za umeme zitanunuliwa nje ya nchi, unamaana vijana wangu wote waliopo Iringa, songwe, Tanga wote wamepanda miti wakose fedha? Watakapokua na hitaji la mapenzi watafanya nini? Kwa sababu, sasa hivi hakuna mwanamke atapenda sura, kwa sababu wanaume kwanza hawana sura nzuri...
  7. jian

    Msaada wa kupata eneo zuri la biashara ya uwakala wa benki Iringa Mjini

    Habari zenu wakuu, msaada wa eneo zuri kwa ajili ya kufanya biashara ya uwakala wa benki kwa hapa Iringa Mjini. Kama wanaoufahamu mji vizuri ni wapi naweza pata eneo na pakavutia hii biashara. Asante. PM iko wazi pia!!
  8. Erythrocyte

    Katibu wa Bavicha Iringa Mjini, Vitus Nkuna aachiwa huru bila masharti yoyote

    Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka selo alikohifadhiwa , alikamatwa kwa maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga ambaye bado ana akili za Mwendazake za kuficha taarifa za CORONA , ilikuwa asafirishwe usiku huu kupelekwa Shinyanga kuhojiwa kwa andishi lake kuhusu corona Shinyanga. Pia soma > Kiongozi...
  9. Mmawia

    Video: DC Kasesela na mbunge Msigwa walivyokuwa na wakati mgumu

    Kuna msemo wa waswahili kuwa mafahari wawili kamwe hawakai zizi moja. Hiyo ilijionyesha Iringa kati ya DC Kasesela na Mbunge mchungaji Msigwa. Leo hii Kasesera tayari amesha hamisha kila kilicho chake na kurudi kwao iwambi Mbeya na kumuacha Mch. Msigwa akifahidi ulanzi wake mjini Iringa.
  10. SN.BARRY

    Mbunge na Madiwani Iringa Mjini, wasaidieni Madereva wa Bajaji

    Vijana hawa wananyanyasika sana na polisi pamoja na mkuu wa wilaya. Kila siku lazima wakamatwe au kupigwa mabomu ya machozi bila sababu za msingi. RPC aliapa kuwanyoosha/kulipa kisasi kwa sababu walimzomea mkuu wa wilaya
  11. zimmerman

    Baada ya Magufuli, TANESCO wanaanza kata kata ya umeme

    Hayati Magufuli aliwahi kujitabiria kwamba Watanzania watamkumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya. Hii katakata ya umeme hapa Iringa Manispaa ambako tangu Magufuli afariki naona imekuwa kawaida kila siku umeme unakatwa, tena bila taarifa yoyote. Kata kata hii ilipigwa marufuku kipindi cha Magufuli...
  12. Erythrocyte

    Uungwana: DC wa Iringa Mjini, Richard Kasesela aomba radhi kutokana na kuteleza kwa ulimi wake

    Binafsi nimemsikiliza na nimeamua kumsamehe bila masharti yoyote na nawaomba wadau wote wa JF mumsamehe. Ulimi hauna mfupa. Zaidi soma: Mkuu wa Wilaya Iringa, Richard Kasesela amtukana dereva bajaji mbele ya vyombo vya habari
Back
Top Bottom