Kuhusu Maisha na Historia ya Malcolm X
Mohamed Said anaeleza namna historia ya Malcolm X ilivyokuwa na ushawishi mkubwa kwa vijana wa miaka ya 1960:
Mabadiliko ya Maisha: Alieleza kuwa vijana walivutiwa na mabadiliko yake kutoka kwenye uhalifu kwenda kwenye dini: "...historia yake kuwa huyu...
1. Umuhimu wa Vitabu na Elimu
Mohamed Said anasisitiza kuwa maarifa ya kweli yamehifadhiwa katika maandishi:
"Elimu yote ipo kwenye vitabu Siwezi kuipata kwingine kokote".
"Hakuna kitu kinaweza kuchukua nafasi ya kitabu".
2. Tofauti ya Kitabu na Teknolojia (Tablet)
Anabainisha kuwa ingawa...
MAKTABA YAPOKEA KALENDA INAYOELEZA HISTORIA YA UKOMBOZI WA AFRIKA KUSINI NA KITABU KUHUSU UBAGUZI KATIKA ELIMU
Mmoja wa wapenzi walio mstari wa mbele katika kuitia nguvu Maktaba ameitunuku calendar na kitabu.
Ingawa kalenda imekuja katikati ya mwaka lakini haikuwa shida kubwa kwangu kutambua...
Nimemkaribisha kwa furaha rafiki yangu Kelby pamoja na ndugu yake, Kheri, nchini Tanzania. Hii ni ishara kuwa ni mara ya tatu kwa Kelby kuja Tanzania, ingawa anasema imepita takriban miaka kumi tangu mara ya mwisho alipokuja.
MAKTABA IMETEMBELEWA NA OMARI KASSIM KIBASILA KINYING'INYA CHA PAZI KIBASILA
Kijana Omari Kassim Kibasila leo ametembelea Maktaba na tumefanya kipindi kuhusu historia ya babu yake ambae umaarufu wake kwa bahati mbaya kuwa ndiye mtawala pekee aliyenyongwa Dar es Salaam.
Pazi Kibasila amenyongwa...
Mkutano wa ndani wa TANU nyumbani kwa Ali Msham Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa miaka ya mwanzoni 1950
Fatilia ukurusa huu In Shaa Allah nitaweka picha zaidi kila nipatapo nafasi.
Tumia picha upendavyo hazina hati miliki.
Picha hii ilipigwa 1942 wakati Abdul Sykes alipokuja Dar es Salaam...
MAKTABA YAPOKEA KITABU CHA TIPPU TIP KUTOKA KWA HAMISI DELGADO
Leo nimepokea kitabu, "Tippu Tip: Ivory, Slavery and Discovery," kutoka kwa rafiki yangu Hamisi Delgado.
Nimebahatika kuingia ndani ya nyumba ya Tip Tippu Mji Mkongwe Zanzibar na nje ya hii nyumba yake ndipo lilipo kaburi lake...
MAKTABA YAPOKEA KITABU CHA VASSANJI KUTOKA MAREKANI
Kwa wale waliokulia Kariakoo ya miaka ile akisoma kitabu chochote cha Vassanji ataiona ile Kariakoo ya enzi zetu na yote yaliyokuwapo miaka ile.
Niliijua kalamu ya Vassanji kwa mara ya kwanza Amsterdam nyumbani kwa dada yangu marehemu Haki...
MAKTABA YAPOKEA KITABU CHA MICHAEL MOORE KUTOKA MBALI
Rafiki yangu kipenzi leo adhuhuri kaniletea kitabu cha Michael Moore.
Huyu ndugu yangu ni mpenzi wa Maktaba hii na kaitunuku vitabu vingi.
Kwa wale wenzangu mie wasiomjua Michael Moore hakuna tatizo waingie kwa Prof. Google watapata habari...
MHESHIMIWA KASSIM AMARI MBARAKA MBUNGE WA TANGA MJINI ATEMBELEA MAKTABA
Mheshimiwa Kassim Makbel Mbunge wa Ngamiani Tanga leo ametembelea Maktaba na kuizawadia kitabu kizuri sana tena cha nyakati hizi tulizonazo.
Mheshimiwa Kassim Amari Mbaraka kaizawadia Maktaba kitabu cha Ayatullahi Udhma...
Habari,
Kwa wahitimu wa course ya Industrial Engineering Management inayotolewa (Mzumbe University) imekuwa ngumu kupata kazi Serikalini.
Kimsingi sisi ni wasimamizi wa viwanda na kuna Wizara ya Viwanda na Biashara ambao wana Idara ya Viwanda wanaweza kutuajiri kwa taalum yetu kufanya...
Anonymous (ba44)
Thread
bodi
huduma
iringa
kero
kuhusu
maktaba
mkoa
tanzania
yangu
Mimi ni Mwanataaluma na mdau wa Maktaba ya Mkoa Iringa, pia ni Lecturer katika moja ya Chuo hapa Iringa Mjini.
Nimekuwa nikitumia Maktaba ya Mkoa kwa muda mrefu sasa, lakini mimi pamoja na wadau wengine wa Maktaba tumekuwa tukishuhudia mara kwa mara udhalilishaji wa dhahiri unaofanywa na...
Anonymous
Thread
chuo
iringa
iringa mjini
katika
lecturer
maktaba
mbovu
mdau
mimi
mjini
mkoa
moja
msimamizi
nidhamu
nyingi
siku
udhalilishaji
watumishi
Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe imefaidika na mpango madhubuti wa maktaba za shule unaoanza katika shule za msingi 45 wilayani humo kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa vitabu na vifaa vya kujifunzia vinavyolingana na mtaala mpya wa Taifa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Uwezo Tanzania, Baraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.