mdau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kukosekana maji Kazamoyo, Kirumba na Ilemela, MWAUWASA yasema "Pole Mdau kwa changamoto iliyojitokeza eneo lako"

    Julai 8, 2026 Mdau aliandika kuhusu changamoto ya maji kukosekana Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, kusoma andiko lake bofya hapa ~ Kero ya upatikanaji wa maji Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, ufafanuzi umetolewa na MWAUWASA. Majibu ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza...
  2. Half american

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa CR7 kwenye kufunga ndoa yake ni mzuri sana, ni wa kuigwa. Una maoni gani mdau?

    Mke wa Cristiano Ronaldo, Georgina Rodríguez amesema ndoa yake na Mumewe ilifungwa katika sebule ya nyumba yao Cascais, Ureno huku ikihudhuriwa na Watu saba tu. Kauli ya Georgina inakuja ikiwa ni takribani wiki moja tangu kufungwa kwa ndoa hiyo ambapo katika mahojiano maalum na Vogue, amesema...
  3. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Ukiulizwa kwanini haufanyi mazoezi jibu lako litakua ni lipi ? Mdau amejibu kwa kushangaza sana

    binafsi nakosa muda mixa kauvivu na pia sina company ya watu wa kwenda nao mazoezi, je wewe sababu yako ni ipi video: https://vt.tiktok.com/ZSVLwaS17/
  4. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Kwa kipato cha million 1 Kwa mwezi sina akiba bank Wala kipato cha ziada nawezaje kujenga nyumba ya ndoto yangu ya vyumba 3 yenye kila kitu muhimu....

    🏠 UNA MILIONI 1 KWA MWEZI? UNAWEZA KUJENGA NYUMBA YA NDOTO YAKO NDANI YA MIAKA 2! Mtu mwenye kipato cha TSh 1,000,000 kwa mwezi, hana akiba benki wala kipato cha ziada — anawezaje kujenga nyumba ya vyumba 3 yenye kila kitu ndani ya miaka 2 bila kichwa kutuma? 😂 Jibu ni moja: NIDHAMU + MPANGO +...
  5. Club Mate

    JamiiForums Tanzania Club Mate's Geography Quiz: Onesha utaalamu wako, mdau!

    Day 1 Wataalamu wa jiografia karibuni kwenye siku ya kwanza ya Club Mate’s Geography Quiz. Wa kwanza kutaja jibu sahihi la category moja atapata point moja, wa kwanza kutaja majibu yote sahihi kwa pamoja atapata points 10 kwenye leaderboard. Tumpate bingwa wa jiografia wa hapa JF. Leaderboard...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna ongezeko kubwa la wadada wanaopenda hela kwenye mahusiano?

    Mdau hivi kwanini kuna ongezeko kubwa la wadada wanaopenda hela kwenye mahusiano ?
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Hoja ya miundombinu kutokuwa rafiki Ofisi ya PSSSF Iringa, uongozi wasema “Tutafanyia kazi maoni ya Mdau”

    Baada ya Mdau kutoa hoja kuwa Ofisi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (PSSSF) Mkoani Iringa ina changamoto ya miundombinu kwa watu wenye mahitaji maalum kwa kuwa wanashindwa kupanda katika ghorofa ili kupata huduma, PSSSF imesema “Tunashukuru kwa mrejesho kutoka kwa mdau, tumepokea kwa ajili ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Je Haaland ni Albino? Mdau atoa sababu ya kitaalamu kwanini watu wengi wanadhani Haaland ana features za kiafrika ndani ya ngozi ya mzungu.

    Watu wengi wamekuwa na maoni kwamba Erling Haaland ana muonekano kama wa mwafrika. Sura ya Haaland ni features za kiafrika isipokuwa ngozi na nywele ndio vya mzungu. Wengi wanamfananisha na wa Afrika kutoka West Africa.. ( Rapper Fat Joe ni moja Kati ya watu ambao sio wa Afrika lakini wana...
  9. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Kwa ma-home boy karibuni tumkaribishe mdau wetu Civilian-Coin

    https://youtu.be/deSgpkA4dOE?si=br2WFO93GAOXGbGu
  10. Matata25

    JamiiForums Tanzania Wadau hivi deni LA taifa lina effects kweny uchumi WA mtu binafsi kama huyu mdau alivyoeleza Facebook kwenye hiyo comment yake baada ya Prof Tibaijuka

  11. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Mdau; amehoji kwanini? Azam tv hawaonyeshi channels za mpira kifurushi cha 7,000 cha wiki

    Honla Kwanza ameanza kulalia kwake kuwa hali ni mbaya ya kiuchumi pili kawapongeza azam tv kwa utashi na muono wao wa uongozi mzuri wa vipindi vyao” nyama nyama Akahoji kuwa elf 7 mara 4= 28 yaani ukiwa unanunua kifurushi cha elf 7 kila wiki cha elf mara nne yaani mwezi mzima inakuja elf 28...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Mtanda aagiza NSSF kufuatilia madai ya michango ya wafanyakazi wanaojenga Soko la Kirumba kutowasilishwa kwao

    Baada ya Mdau kuwasilisha kero yake kupitia JamiiForums kuwa licha ya kuwa wanakatwa pesa kwaajili ya mfuko wa hifadhi ya Jamii (NSSF), michango yao haifikishwi, na hata walioachishwa kazi nao hali yao ilikuwa hivyo na kuitaka mamlaka husika kufuatilia, RC Mtanda ametoa maagizo. Pia soma KERO -...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mdau, unatumia muda gani kwenye matumizi ya AI kwa siku?

    Mdau, unatumia muda gani kwenye matumizi ya AI kwa siku? Kutokana na ukuaji mkubwa wa teknolojia, mitandao imekuwa sehemu muhimu ya kupata ushauri, habari, elimu, burudani pamoja na kujifunza mambo mbalimbali kwa haraka zaidi kuliko zamani. Leo watu wengi wanategemea teknolojia katika kazi...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Baada ya Serengeti Boys kufuzu Fainali AFCON U17, tubaki hukuhuku tusiende kuwavuruga vijana

    Pia soma... ~ Serengeti Boys yatinga Fainali ya AFCONU17 2026, baada ya kumuondoa Misri kwa mikwaju ya penati ~ Makonda: Kila Mkoa tuweke screen kubwa kuangalia heshima inayojengwa na vijana wetu Serengeti Boys, Juni 2, 2026 Video: Mchambuzi Smart
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mdau wa Maendeleo ataka umri wa mkopo uongezwe hadi miaka 40 ili wengi wanufaike

    Mjadala kuhusu mikopo ya vijana inayotolewa na Wizara ya Maendeleo ya Vijana umeendelea kushika kasi, huku wadau wakitoa maoni yanayolenga kuboresha ufanisi na upatikanaji wa fursa hizo. Moja ya hoja kuu ni mapitio ya vigezo vinavyotumika kuwafikia wanufaika. Akizungumzia mjadala huo, Vian...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Mdau je, ni sahihi kumruhusu mtoto kutumia AI kama nyenzo ya kujifunzia?

    Katika ulimwengu unaoendeshwa na kasi ya maendeleo ya teknolojia, matumizi ya Akili Unde (AI) yameanza kuwa sehemu ya maisha ya kila siku, ikiwemo katika malezi na elimu ya watoto. Wazazi na walezi wanakabiliwa na uamuzi muhimu: je, ni sahihi kumruhusu mtoto kutumia AI kama nyenzo ya...
  17. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

    Habari ya Jumapili waungwana! Nimekuwa nikitafakari saana na ukisoma baadhi ya maandiko ya afya, uchumi na wanasaikolojia wote wanazungumzia LIFE EXPECTANCY YA MWANAUME YAANI kiwango cha muda wa kuishi wanaume ni kidogo duuu!! Ndipo nikarejea katika uhalisia, babu alishakufa bibi yupo, mwalimu...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Uchafu Zanzibar, mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini Jang'ombe - Shehia ya Kidongo Chekundu

    Kwa shehia ya Jang'ombe, Kidongo Chekundu na Baraza la Manispaa mjini ishughulikie takataka zinazozagaa na kutelekezwa katika jalala la Jang'ombe, Kidongo Chekundu. Hii hali imekuwepo muda mrefu bila uchafu kuja kuchukuliwa, ukizingatia jalala lipo kwenye makaazi ya watu na karibu na skuli...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Udhalilishaji kwa Watumishi na Nidhamu Mbovu ya Msimamizi wa Maktaba ya Mkoa Iringa iliyopo chini ya TLSB

    Mimi ni Mwanataaluma na mdau wa Maktaba ya Mkoa Iringa, pia ni Lecturer katika moja ya Chuo hapa Iringa Mjini. Nimekuwa nikitumia Maktaba ya Mkoa kwa muda mrefu sasa, lakini mimi pamoja na wadau wengine wa Maktaba tumekuwa tukishuhudia mara kwa mara udhalilishaji wa dhahiri unaofanywa na...
  20. W

    JamiiForums Tanzania MDAU, Ni mara ngapi umewahi kukutana na vifungashio vyenye taarifa binafsi za watu?

    Mara nyingi huwa nakutana na taarifa binafsi za watu zikitumika kama vifungashio zikiwa na majina, vitambulisho vya NIDA na leseni. Mara nyingine ni makaratasi ya matokeo ya mitihani au barua za maombi ya kazi zenye sura za watu. Hivi tume ya Ulinzi wa taarifa binafsi iko wapi kusimamia hili...
Back
Top Bottom