Zogolo1550
Member
- Dec 2, 2018
- 33
- 15
Wewe mjanja sana naona unatafuta tenda ya kukata miti ili upate mbao, sababu uliyotoa haina mvuto kwani miti huanguka na kama unaona inao basi bora tuondoe waya zote za umeme kwani nazo hukatika wakati wa mvua na kuleta hatari kuliko miti.Nawasihi sana kukata miti iliyo karibu na nyumba au umeme/ nguzo kwa kipindi hiki cha mvua iliyoambata na upepo...
Haina haja ya picha ni logic ya kawaida kabisa nini kinatokea pindi upepo mkali unapotokea.Wekamo kapicha
Shida yangu sio mbao wala kujitangaza kupata tenda kwa sababu nilichokisema ni kweli kimetokea sehemu mbalimbali kwahiyo kupata tenda si lengo kuu.Wewe mjanja sana naona unatafuta tenda ya kukata miti ili upate mbao, sababu uliyotoa haina mvuto kwani miti huanguka na kama unaona inao basi bora tuondoe waya zote za umeme kwani nazo hukatika wakati wa mvua na kuleta hatari kuliko miti.
Inaitwa Gravelia bwana
Halafu hata kwetu muembe umedondoka ukakata waya wa tanesco
Inategemeana na ukubwa wa mti na mazingira yake,kwa makadirio ni kuanzia 40,000Mti mmoja w mwashoki unakata kwa bei gani?
Hayo matukio mawili hayana mvuto kwani zipo nyumba na magari vilivyowahi kuangukiwa huku kukiwa hakuna mvua. Miti yote mijini ipo karibu na nyumba na kando ya barabara hivyo tukiikata hatutukuwa na miti mijini, pia watu wenye chainsaw huwa ndio wanaoongoza kwa uharibifu na kupelekea serikali kuzifuatilia sana.Shida yangu sio mbao wala kujitangaza kupata tenda kwa sababu nilichokisema ni kweli kimetokea sehemu mbalimbali kwahiyo kupata tenda si lengo kuu.
Unajitahidi kuficha ukweli lakini hujui nini unaongea, tafuta majibu ya haya maswali .je ni kweli serikali hairuhusu hairuhusu matumizi ya chainsaw?, je nini kilitokea baada ya hizo nyumba,umeme na gar kuangukiwa na miti?Hayo matukio mawili hayana mvuto kwani zipo nyumba na magari vilivyowahi kuangukiwa huku kukiwa hakuna mvua. Miti yote mijini ipo karibu na nyumba na kando ya barabara hivyo tukiikata hatutukuwa na miti mijini, pia watu wenye chainsaw huwa ndio wanaoongoza kwa uharibifu na kupelekea serikali kuzifuatilia sana.