Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Ilo la hakuna wokovu wa bure umelisema wewe,si Yeye na wewe si chochote kwangu.

Yaan Samia aniahidi mbele ya hadhila kuwa atanilipia tiket ya ndege na gharama za matibabu uko India halafu we mzibua vyoo useme hakuna matibabu ya bure!!.

Kinachofanya ni muamini ni TITLE yake kwanza coz icho ni kitu kidogo sana kwake.
Nb:
Allah hana wokovu wa bure coz ya mwenyewe anasubiri hukumu, ni vipi akupe we wokovu?.
Wewe wala sio level yangu nimerusha mawe humu kina Paulo kibao wameinga mitini na wewe utaingia mitini kijukuu cha Paulo.
 
Kukujibu hili kwanza hiyo uliyo copy sio Quraan, Quraan ina sura zote sawa, aya zote sawa na hakuna quraan yoyote ukakuta kuna hata herufu moja sio sawa na kitabu kingine cha Quraan. Ndio maana haijalishi wewe kabila gani Quraan inasomwa kwa lugha yake kiarabu sio kizaramo au kiswahili na inataamkwa kama ilivyo.
Sasa nimekupa hiyo hapo..
Pinga ushaidi ulioko machoni pako.

Swala la kusema hii ni Qur'an na hii sio ni muuendelezo wa madai kama yale ya hadithi hii ni dhaifu na hii ni imara.. Kisa tu hiyo hadithi inakubana.
 
Ilo la hakuna wokovu wa bure umelisema wewe,si Yeye na wewe si chochote kwangu.

Yaan Samia aniahidi mbele ya hadhila kuwa atanilipia tiket ya ndege na gharama za matibabu uko India halafu we mzibua vyoo useme hakuna matibabu ya bure!!.

Kinachofanya ni muamini ni TITLE yake kwanza coz icho ni kitu kidogo sana kwake.
Nb:
Allah hana wokovu wa bure coz ya mwenyewe anasubiri hukumu, ni vipi akupe we wokovu?.
Eti dhambi zote bwana Yesu kabeba? Mara bwana Yesu Mungu mara kabeba sasa Mungu dhambi abebe za nini nyinyi kweli kajanja Paulo aliwapatia kweli.
 
Sasa nimekupa hiyo hapo..
Pinga ushaidi ulioko machoni pako.

Swala la kusema hii ni Qur'an na hii sio ni muuendelezo wa madai kama yale ya hadithi hii ni dhaifu na hii ni imara.. Kisa tu hiyo hadithi inakubana.
Hakuna hadithi inanibana siwezi kupinga hadithi zilikusanywa na Bukhari na hakuna mtu anapinga hadith dhaifu sio kwamba sio kweli ila dhaifu ni zile zilikosa muendelezo kutoka generation tu generation labda illishia generation ya 3 haikuchukuliwa tena lakini hadith zenye nguvu ni zile zimepita kwa kila msomi na maimamu.
 
Yaan basi.. Tu.
Hizo hadith ni seasons za kikorea hata useme kuna wakati zinakoswa muendelezo?
Hivi, uwa mnadhani kila mmoja ana tatizo la uelewa, chief?.

Ila bado kitambo kidogo, mbivu na mbichi zitajulikana.
Shika sana ulichoshikilia.
 
Awali ya yote kwanza nakupa kongole kama ni kweli wewe ni mweleledi wa hivi vitabu vya dini kingine ni kwamba hiyo hiyo quran imetoa jibu kuhusu hili jambo kwa wanao amini quran sura ya tatu imeelekeza kwa sababu mungu anajuwa mupo mutakao hoji kama wewe kabla ya kuuliza ulitafakari nabii Adam ni Adam bin nani?
katika Qur ani kuna maneno haya ;- " Hakika mfano wa ISSA ni mfano wa Adam katika kuumbwa kwao "kwa maana hao wote ni amri ya mungu akitaka kufanya jambo huamrisha kuwa likawa {kun fayakun} hii ni kwa ufufupi tunaomba waliobobea kwenye elimu waje kufafanua
Naomba niliteee aya kutoka korona Allah
Kasema kuwa adamu adamu akawa,
Na aya Allah kasema
Kuwa ISSA Issa akawa,
 
Ila maajabu ni kwamba mariam asie na ujuzi wote na uwezo wote alipata mimba bila kuingiliana kimaumbile, ila Mungu mjuzi wa yote na uwezo wote hana uwezo wa kuwa na mwana bila kuingiliana kimaumbile.
-Aya moja Allah anasema hawezi kuwa na mwana maana hana mke.
-Na nyingine anasema akitaka mke atachukua kutoka jamii yake
 
QURANI NGAPI INAELEZA HUO UKOO KUTOKA KWA ISHMAELI HADI KWA MUDY

QURAN HAIJAKAMILIKA? Wapi inamuelezea KEDARI hadi KWA mudy....

QURANI NGAPI INAELEZA HUO UKOO KUTOKA KWA ISHMAELI HADI KWA MUDY?

KEDARI NI ADUI WA MUNGU WA ISRAEL
[emoji818]

(Isaya 21 )
------------
16 Kwa sababu Bwana ameniambia hivi, Katika muda wa mwaka, kama miaka ya mtu mwenye kuajiriwa, utaangamia utukufu wote wa Kedari.
17 Na mabaki ya hesabu ya wavuta pinde, hao mashujaa wa Kedari watakuwa wachache; maana Bwana, Mungu wa Israeli, amenena neno hili.
(Zabur 120 )
------------
1 Katika shida yangu nalimlilia Bwana Naye akaniitikia.
2 Ee Bwana, uiponye nafsi yangu Na midomo ya uongo na ulimi wa hila.
3 Akupe nini, akuzidishie nini, Ewe ulimi wenye hila?
4 Mishale ya mtu hodari iliyochongoka, Pamoja na makaa ya mretemu.
5 Ole wangu mimi! Kwa kuwa nimekaa katika Mesheki; Na kufanya maskani yangu Katikati ya hema za Kedari.

6 Nafsi yangu imekaa siku nyingi, Pamoja naye aichukiaye amani.
7 Mimi ni wa amani; Bali ninenapo, wao huelekea vita.

JIBUNI MASWALI BASI
Mi sijaona swali hapo Quran haiwezi kuandikwa kama unavyo taka wewe

Quran 2-27.
Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi ya ile Nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi.

128.
Ewe Mola Mlezi wetu! Tujaalie tuwe ni wenye kusilimu kwako, na pia miongoni mwa vizazi vyetu wawe umma ulio silimu kwako. Na utuonyeshe njia za ibada yetu na utusamehe. Bila shaka Wewe ndiye Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.

129.
Ewe Mola Mlezi wetu! Waletee Mtume anaye tokana na wao, awasomee Aya zako, na awafundishe Kitabu na hikima na awatakase. Hakika Wewe ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.

Huyo ni nabii Ibrahim na mwanawe Ishmael walipo maliza kujenga msikiti wa Maka nchini Saudi Arabia ya sasa wakamuomba Mungu alete mtume anaetokana na vizazi vya Ishmael

Mwanzo 25:13
Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
Mwanzo 25:14
na Mishma, na Duma, na Masa,
Mwanzo 25:15
na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.
Mwanzo 25:16
Hao ndio wana wa Ishmaeli, na hayo ni majina yao, katika miji yao, na katika vituo vyao, maseyidi kumi na wawili kwa kufuata jamaa zao.

Nakuwekea Family tree ya watoto wa Ishmael kuanzia Kedar hadi Muhammad na ramani ili kuonyesha kuwa hao watoto wa Ishmael waliishi Saudi Arabia

Wewe labda upinge kuwa Kedar sio mtoto wa Ishmael na pia vizazi vya Ishmael hajawahi kuishi Saudi Arabia

Zaidi yahapo nenda tu kanisani ukaimbe na kupiga makofi usubiri siku yako ya kufa upelekwe Jahanam
Screenshot_20210523-104553.jpg
Screenshot_20210523-114931.jpg
 
Tahadhali : huu si mjadala wa mashambulizi ya Kidini. Ni mjadala qwa kisomi wa kujenga Hoja. Kelele za Dini zenu pelekeni kwingine. Hapa tunataka hoja na uelewa. Sisi wengine hatuna Dini.

1. Nimekuwa nikijiuliza kwa nini huyu Nabii kwenye Quran anatambulika kama Issa Bin Mariam. Kwa jina la Mama yake ni si ukoo wa Baba yake kama wengine wote waliosalia.

2. Je wenye Quran wanamwamini ktk namna gani? Kuwa ni mtume. Je ni mtume kama Mtume mwingine?

3. Je wasiotumia Quran wanamfaham na wanamkubali kuwa ni mmoja ya manabii?

Naomba tujadiliane kwa utulivu kwa nia ya kujifunza. Mimi naifaham Quran na ninaifahamu Biblia. Kwa kuwa nmekulia katika mazingira yote mawili.
Kwa jinsi maswali ulivyo Uliza ni wazi kuwa hufaham chochote unapaswa kusoma sana usijisifu kuwa unafaham Biblia na Quran
 
Mi sijaona swali hapo Quran haiwezi kuandikwa kama unavyo taka wewe

Quran 2-27.
Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi ya ile Nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi.

128.
Ewe Mola Mlezi wetu! Tujaalie tuwe ni wenye kusilimu kwako, na pia miongoni mwa vizazi vyetu wawe umma ulio silimu kwako. Na utuonyeshe njia za ibada yetu na utusamehe. Bila shaka Wewe ndiye Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.

129.
Ewe Mola Mlezi wetu! Waletee Mtume anaye tokana na wao, awasomee Aya zako, na awafundishe Kitabu na hikima na awatakase. Hakika Wewe ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.

Huyo ni nabii Ibrahim na mwanawe Ishmael walipo maliza kujenga msikiti wa Maka nchini Saudi Arabia ya sasa wakamuomba Mungu alete mtume anaetokana na vizazi vya Ishmael

Mwanzo 25:13
Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
Mwanzo 25:14
na Mishma, na Duma, na Masa,
Mwanzo 25:15
na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.
Mwanzo 25:16
Hao ndio wana wa Ishmaeli, na hayo ni majina yao, katika miji yao, na katika vituo vyao, maseyidi kumi na wawili kwa kufuata jamaa zao.

Nakuwekea Family tree ya watoto wa Ishmael kuanzia Kedar hadi Muhammad na ramani ili kuonyesha kuwa hao watoto wa Ishmael waliishi Saudi Arabia

Wewe labda upinge kuwa Kedar sio mtoto wa Ishmael na pia vizazi vya Ishmael hajawahi kuishi Saudi Arabia

Zaidi yahapo nenda tu kanisani ukaimbe na kupiga makofi usubiri siku yako ya kufa upelekwe Jahanam
View attachment 1795383View attachment 1795385
Kwa nini unategemea biblia kuelezea korani yako?
 
Kuna watu wasio na baba labda kwa kuwa hauna ufahamu wa hayo mambo ipo hivi kuna genetic dissoder moja inajulikana kama turners syndrome ni pale mtoto anapozaliwa bila mbegu Ya mwanaume kuungana na ya mwanamke.

Hii inamaanisha atakuwa na chromosomes 45 kati ya zile 46 anazotakiwa kuwa nazo , na mtoto huyo atakuwa wa kike. ila kuna vitu baadhi atakuwa kapungukiwa mfano atakuwa na webbed neck , pia hatoweza kupata mazazi na pia baadhi yao huwa na upungufu wa akili.

Kwa case ya issa bin maryam ni tofauti sana maana Mungu ndo aliamua azaliwe bila baba kivipi? Mimi sijui anajua Mungu pekee maana kidogo mfano wake unafanana na wa adamu.

Hope umepata kitu.
Turner syndrome haiko hivyo ulivyoelezea.
 
Hii ni sawa na kuuliza kwa nini yesu atambulika kama yesu ndani ya bibilia.

Yani anatambulika hivyo kwa sababu ndo aliitwa hivyo,hilo sio jina la utani alilopewa na Qurani ni jina halisi ambalo Qurani imenukuu na kutusimulia visa vyake.

Yeye hakua na baba kwa maana Allah alijaalia mariam apate mimba bila ya mume.

Na hiki kitendo cha kuwa hana baba ndio maana akaitwa issa bin maryan.

Bin ni mtoto wa kiume.
Binti ni mtoto wa kike

Kwa hivyo ukiambiwa john bin magufuli hii bin inamhusu aliyetangulia kutajwa na sie anaefuata kutajwa.

Mfano.

Samia bint hassa. Manake unajua binti inamhusu samia kwa maana hapa samia ndio binti mwenyewe.

Hii bin na binti sana ipo katika lugha ya kiarabu ambayo ina utajiri wake wa maneno kama lugha zingine.

Yule ni mtume mkuu kwa mujibu wa Qurani.lakini Qurani haikuishia hapo tu kutambua kwamba ni mtume bali iendelea kuonesha kwamba inatambua kuna watu wanamtukuza kinyume na alivyo.

Mfano ukiangia aya hii..

وإذ قال الله يا عيسى ابن مريم أأنت قلت للناس اتخذوني وأمي إلهين من دون الله قال سبحانك ما يكون لي أن أقول ما ليس لي بحق إن كنت قلته فقد علمته تعلم ما في نفسي ولا أعلم ما في نفسك إنك أنت علام الغيوب [ AL - MAIDA - 116 ] Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu? (Na Isa) atasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu. Ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua. Wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi yako. Hakika Wewe ndiye Mjuzi mkubwa wa yaliyo fichikana.

Hii aya inaelezea future time yaani kana kwamba imefanya time travelling na kujua kitakachotokea siku ya kiama.

Hili ni swala ambalo wanatakiwa wajibu hao watu ambao hawatumii Qurani

Kuwajibia suala kama hili hatutafanya haki.
Sijui kwanini Qu-aran ilipiga hi u-turn kwa jina la Yesu, tukumbuke Qu aran imekuja miaka zaidi ya 600 tokea Biblia kuwepo, wakati Qu aran inakuja, tayari kulikua na Biblia za lugha ya Kiarabu, Biblia za Kiarabu, hazimtaji Yesu kama Nabii Issa, zinamtaja Yesu kama YASU, angalia vizuri, Kiswahili, Yesu, Kiarabu Yasu, Kingereza Jesus; sasa hili la Nabii Issa ni lugha gani?
 
Mimi nikupe majibu kwa ufaham wangu
1. Nabii issa Anatambulika kwa jina la Issa Bin Mariam kwa kuwa amezaliwa na Mama Bila baba.
2. Kwenye Uislam Isa Bin Mariam ni mtume kama mitume wengine aliyetumwa na Mungu kwa kazi maalum (kila mtume alikuja kwa jukumu maalum kuendana na changamoto mbalimbali ikiwepo kuamini vitu tofauti na mungu, magonjwa, machafu, nk
3. Sasa ukisema wasio tumia qurani watamtambua kama mtume wao; kama unarefer Quran maana yake unaongelea Waislam sasa sijui nikusaidieje?
1.Torat ya musa
2.Zaburi ya daudi
3.Injili ya issa bin mariam
4.Quruani ya muhammad
Swali langu kwa waislamu kitabu cha kwanza mpaka cha tatu tunakipata wapi?
Ilihali quruani mnayo.
 
Nadhani unahitaji kusoma na kuelewa hizi dini mbili sio kwamba jew akiingia msikitini asome quraan no ikiwa hakuna sehemu ya kufanya ibada anaweza kutumia msikiti kufanya ibada kwa kusoma Torah ila haruhusiwe kuingia kanisani. Pili sababu wao wanakula halali kwa maana vyenye kuchinjwa na nguruwe kama wanyama walioharamishwa katika uislamu pia ni haramu kwao wanaita Kosher pia kutahiriwa na kama waislamu na kuzika wanafanana na uislamu.
Lakini muhamad hawamtambui
 
Back
Top Bottom