Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
YESU yeye kapewa utume halafu yeye akamteuwa mtu mwingine utume wakati Paul mwenyewe kwa madai yake kuwa alishukiwa na Mungu wakati wala hakuwa hata katika wanafunzi 12 wa YESU. Mbona mnachanganya mnaamini YESU aliondoka na atarudi tena sasa Paul katokea wapi maana hakupewa utume na Mungu wala YESU ni madai yake tu ndio sababu ya kuja na agano jipya.
Jinsi Paulo na Muhamad walivyopata utume

Paulo alivyopata utume:

Alipewa utume na Yesu mwenyewe wkt akiwa ktk safari yake ya kwenda Dameski, Yesu alimtokea na kumwagiza yapasayo kufanya Matnd 9:1-8. Na utume wake, Bwana Yesu akauthibitisha kupitia mwanafunzi wake Anania kwa kumwambia anania yafuatayo ktk maono matendo 9:11-15 Basi palikuwapo Dameski mwanafunzi jina lake Anania. Bwana akamwambia katika maono, Anania. Akasema, Mimi hapa, Bwana. Bwana akamwambia, Simama, enenda zako katika njia iitwayo Nyofu, ukaulize katika nyumba ya Yuda mtu aitwaye Sauli, wa Tarso; maana, angalia, anaomba;naye amemwona mtu, jina lake Anania, akiingia, na kumwekea mikono juu yake, apate kuona tena.Lakini Anania akajibu, Bwana, nimesikia habari za mtu huyu kwa watu wengi, mabaya mengi aliyowatenda watakatifu wako Yerusalemu;hata hapa ana amri itokayo kwa wakuu wa makuhani awafunge wote wakuitiao Jina lako. Lakini Bwana akamwambia, Nenda tu; kwa maana huyu ni chombo kiteule kwangu, alichukue Jina langu mbele ya Mataifa, na wafalme, na wana wa Israeli. Na pia Anania ndiye aliyembatiza Paulo, matnd 9:18.

Na Paulo naye akiitikia wito wa kitume aliopewa na Bwana Yesu…akisema yafuatayo ktk warumi 1:1 Paulo, mtumwa wa Kristo Yesu, aliyeitwa kuwa mtume, na kutengwa aihubiri Injili ya Mungu;
Je kweli Paulo alitimiza utume huo wa kupeleka injili kwa mataifa na kisimama mbele ya wafalme na wana wa Israel? Jibu ni ndiyo…zifuatazo ni nchi Paulo alizo hubiri Uarabuni, Athene-ugiriki, Dameski-syria, Roma-italy, Yerusalemu-israel, Spain, Efeso, Galatia, korintho,filipi, Thesaloniki. Krete nk, na kote huko alikutana na changamoto zilizompelekea kusimamishwa mbele ya wafalme na maliwali na mbele ya wana wa Israeli. Tazama (Galatia 1:17; matendo 9:19,20,26-29; 17:16-22; 18:19;19:35; 28:16-30; warumi 15:24:28 na kuhusu kusimama mbele ya wafalme na wayahudi tazama matendo kuanzia sura ya 21-28).

Muhamadi alivyopata Utume
Ktk kitabu cha maisha ya nabii muhamad kilichoandikwa Sheikh abdalah Farsy uk 11-13,81 kina maelezo yafuatayo….
Hata siku moja ktk mwezi wa ramadhan tarehe 17 jumatatu, muhamad akiwa ana miaka 40 unusu wa umri wake, Mtume alimwona mtu kasimama mbele yake bila ya kumwona wp katokea, akamwambia soma mtume akamwambia sijui kusoma kwn sijapata kujifundisha kusoma. Yule mtu akaja akamkamata akambana akamwambia soma mtume akamwambia jawabu lake lilelile, ht mara ya tatu akamwambia soma iqra bismi rabbika akamsomea sura ya 96 mpaka kati yake, kasha mtume akamsomea km alivyosomewa. Mara Yule mtu akatoweka mbele yake asimwone kaenda wapi. Na mtume naye akarejea kwake kwa hofu imemshika, na alipofika nyumbani bibi khadija alidhani anahoma akamfunika maguo gubigubi na akakaa mbele yake akimsikiliza anavyoweweseka, hata homa ilivyomwachia alimweleza bibi khadija yaliyomtokea. Na bibi khadija akamtuliza moyo wk akamyakinisha ya kuwa hpn lolote baya litakalomzukia, mara bibi khadija akaenda kwa jamaa yake bwana waraqa bin Naufal akampa hbr yote, iliyompata mumewe naye akamwamrisha amwite mumewe na mtume akaenda akamweleza hbr yote,bwana Waraqa akamwambia huyo ndiye Gibril aliyemshukia nabii Musa na Nabii Issa. Basi jibashirie kuwa ww ni mtume kwa umma huu, name natamani kuwa hai nikuone unavyosimama kuwatengeneza jamaa zako inshallah ntakuwa mkono wk wa kulia. Ilikuwa December 610, hivyo utume wake alibashiriwa na Waraga mbele ya bi khadija.
Na ukisoma kitabu kiitwacho wakeze mtume wakubwa na wanawe kina maelezo yafuatayo
Kwa ufupi: muhamad alivyotoka pangoni kuelekea kwake baada ya kubanwa na Yule mtu hasiye julikana katoka wapi, homa ilimpanda akataka afunikwe maguo mara akawa anatetemeka kwa nderema na kuweweseka na kusema najiofia nafsi yangu kuchezewa na mashetani na kuniharibu akili yangu na kunizuga, bibi khadija pale pale alimdakiza na kumtia moyo kwamba sivyo hivyo …………….na kumwambia mm naona ushakuwa mtume. Na baada ya muhamad kusinzia bi khadija alitoka na kwenda kwa waraqa bin naufal padre wa kinasara na akamjuvya na Yule padre akamwambia utume huo kashapata mumeo bahati yako. Upesi khadija akarejea nyumbani na kumkuta muhamad kashaamka akamwambia twende kwa waraqa ili umsimulie yaliyokufika, wakaondoka mguu kwa mguu mpaka kwa huyo bwana mkubwa, mtume akamwadithia yote. Na bwana waraqa akamwambia nakubashiria muhamad huo ndio utume uliomwendea nabii musa na nabii issa na wengineo na krb hv utapewa amri ya kufundishwa dini ya haki, nikiwa hai ntakuwa mkono wk wa kulia nikusaidie kila namna na ni kupiganie.
Kwa ufupi utume wa muhamad ni wa kubashiriwa na bwana Waraqa pamoja na bi khadija, na waraka akimwahidi muhamad kuwa mkono wake wa kulia. Maana ya mkono wa kulia ni utendaji mkubwa, km vile Yesu alivyofufuka na kupaa kwenda mbinguni ni kuketi ktk mkono wa kuume(kuume) wa Mungu BABA, yaani inamanisha Yesu ni mtendaji mkuu wa wokovu wetu. Kwa hiyo bwana waraka ni mtendaji mkuu wa muhamad na uislam maana isingekuwa yy muhamad asingekuwa mtume.

1621681820507.png

1621681859088.png

1621681881018.png
 
Nadhani Issa walimaanisha Yesu

Mama Mariam, alipata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu, ndipo akazaliwa Yesu Kristo. Mume wa Mariam ni Yosefu

ahsante
 
Paulo hakuwahi kumuona YESU wala kuwa wanafunzi wake 12 wapi alikotoka huko kusema kaonana na YESU njiani. Alikuwa mjanja akawazidi wenzake akaja kuandika baada ya miaka huko new bible akajifanya yeye mtume wala YESU hajawahi kumtaja Paulo.
YESU alimtaja Paulo kwa jina lake rejea matendo ya mitume 9:4 na kitabu cha matendo kiliandikwa na DK Luka mojawapo ya wale thenashara lbda sasa upingane na maandiko
 
View attachment 1793930

View attachment 1793931

View attachment 1793932
Hayo new tastement toa katoka old statement Paulo humo kaambiwa mtume hakuna mtume anaitwa Paulo wewe umeshasema YESU kachukuwa madhambi yote na siku atarudi sasa Paulo katokea wapi tena. Hakuna kitabu chochote kimetaja Paulo ila alijiandikia mwenyewe agano jipya kusema alishukiwa na YESU hakuna uhalisia.
 
Paulo hakuwahi kumuona YESU wala kuwa wanafunzi wake 12 wapi alikotoka huko kusema kaonana na YESU njiani. Alikuwa mjanja akawazidi wenzake akaja kuandika baada ya miaka huko new bible akajifanya yeye mtume wala YESU hajawahi kumtaja Paulo.
Iv nikuulize nn maana ya mwanafunzi?? Pili imani nn?? Na imani huja kwa njia gan ?kwa kuona au kwa kusikia neno tena neno la MUNGU la uzima.
 
N Yesu au YESU na si yesu na paulo hakuandika biblia aliandika baadh ya vitabu kama timotheo wagalatia wafilipi wakolosai na wathethalonike na aliandika chini ya uongozi wa MUNGU
Hiyo ni issue ya kiuandishi tu wala haibadili maana,kwahiyo ukiandika kwa herufi ndogo anakua ni mtu mwingine kisa umefanya kosa la kiuandishi?

Vipi kama akiandikwa kwa lugha zingine ambazo hazina mfumo huo wa herufi kubwa na ndogo?
 
huko msikitini wanatumia kitabu gani
Nadhani unahitaji kusoma na kuelewa hizi dini mbili sio kwamba jew akiingia msikitini asome quraan no ikiwa hakuna sehemu ya kufanya ibada anaweza kutumia msikiti kufanya ibada kwa kusoma Torah ila haruhusiwe kuingia kanisani. Pili sababu wao wanakula halali kwa maana vyenye kuchinjwa na nguruwe kama wanyama walioharamishwa katika uislamu pia ni haramu kwao wanaita Kosher pia kutahiriwa na kama waislamu na kuzika wanafanana na uislamu.
 
Nisaidie kuujua ukoo wa ISSA BIN MARRIAM wa kwenye Qurani tukufu......toa na ushahidi wa kimaandiko maana nmetafuta Qurani nzima sijauona.
.QUR'AN 3-35
Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu; basi nikubalie. Hakika Wewe ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua.

36.
Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke - na Mwenyezi Mungu anajua sana aliye mzaa - Na mwanamume si sawa na mwanamke. Na mimi nimemwita Maryamu. Nami namkinga kwako, yeye na uzao wake, uwalinde na Shet'ani aliye laaniwa.

37.
Tena Mola wake Mlezi akampokea kwa mapokeo mema na akamkuza makuzo mema, na akamfanya Zakariya awe mlezi wake. Kila mara Zakariya alipo ingia chumbani kwake alimkuta na vyakula. Basi alimwambia: Ewe Maryamu! Unavipata wapi hivi? Naye akasema: Hivi vinatoka kwa Mwenyezi Mungu; na Mwenyezi Mungu humruzuku amtakaye bila ya hisabu.

Hapo aya inaanza wakati bibi yake Yesu mke wa mzee Imran akiwa na mimba ya mama yake Yesu ambae ndio Maryam

Kwa ufupi bibi yake Yesu alimuomba Mungu amempe mtoto mwema ili smtoe wakfu alidhani atazaa mtoto wa kiume lakini badala yake alizaa mtoto wa kike ambae ndio Maryam

Kwa hiyo Quran imeanza kutuhadhia habari za Yesu tokea Maryam akiwa mimba katika tumbo la mke wa mzee Imran
 
Nadhani unahitaji kusoma na kuelewa hizi dini mbili sio kwamba jew akiingia msikitini asome quraan no ikiwa hakuna sehemu ya kufanya ibada anaweza kutumia msikiti kufanya ibada kwa kusoma Torah ila haruhusiwe kuingia kanisani. Pili sababu wao wanakula halali kwa maana vyenye kuchinjwa na nguruwe kama wanyama walioharamishwa katika uislamu pia ni haramu kwao wanaita Kosher pia kutahiriwa na kama waislamu na kuzika wanafanana na uislamu.
acha uzushi jews na misikiti wap na wapi....hata ukristo pia sio wote wanakula nguruwe,

je wajua wayahudi hawali bata, ngamia, samaki wasio na magamba wanaoliwa na waislamu

lini waislamu mliwapa wayahudi msikiti waswalie

mfano Ibada ya IJUMAA inatokana na ugomvi wa Wayahudi na Muhammad.
- Kutokana na hali hiyo mahusiano baina ya Muhammad na Wayahudi
yaliharibika,
Fuatilia katika aya zifuatazo:-

Qur-an 5_:82 Maadui wa Uislam ni Wayahudi
Qur-an 2:I04 [Ufafanuzi] Wayuhudi
walihitirafiana na Muhammad na kurushiana
maneno.

Tangu hapo Muhammad hakupenda kamwe kuwiana na kile wanachofanya wayahudi katika mifumo ya kidini, na ndipo anaitangaza rasmi siku ya ljumaa kama siku ya sala katika Ummah wa Kiislam wakati huo akiwa Yathrib (Madina),

lini waislamu mliwapa wayahudi msikiti waswalie
 
.QUR'AN 3-35
Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu; basi nikubalie. Hakika Wewe ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua.

36.
Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke - na Mwenyezi Mungu anajua sana aliye mzaa - Na mwanamume si sawa na mwanamke. Na mimi nimemwita Maryamu. Nami namkinga kwako, yeye na uzao wake, uwalinde na Shet'ani aliye laaniwa.

37.
Tena Mola wake Mlezi akampokea kwa mapokeo mema na akamkuza makuzo mema, na akamfanya Zakariya awe mlezi wake. Kila mara Zakariya alipo ingia chumbani kwake alimkuta na vyakula. Basi alimwambia: Ewe Maryamu! Unavipata wapi hivi? Naye akasema: Hivi vinatoka kwa Mwenyezi Mungu; na Mwenyezi Mungu humruzuku amtakaye bila ya hisabu.

Hapo aya inaanza wakati bibi yake Yesu mke wa mzee Imran akiwa na mimba ya mama yake Yesu ambae ndio Maryam

Kwa ufupi bibi yake Yesu alimuomba Mungu amempe mtoto mwema ili smtoe wakfu alidhani atazaa mtoto wa kiume lakini badala yake alizaa mtoto wa kike ambae ndio Maryam

Kwa hiyo Quran imeanza kutuhadhia habari za Yesu tokea Maryam akiwa mimba katika tumbo la mke wa mzee Imran
Hujanielewa itakuwa yaan mfano ww ukiambiwa taja ukoo wako utaanza jna lako la baba la babu na wengne kurud nyuma sasa nisaidie ukoo wa Issa wa kwenye quruan tukufu maana kwa kusoma kwangu quruan sijawah ona lbda pengne nmesoma vbaya ndo maaana lkn wa YESU KRISTO upo tena unarud nyuma mpaka kwa adam
 
Mnapomjadili Issa Bin Marriam, basi mjadilini Issa Bin Marriam.
Wa kwenye Qurani.

Hivi kuna ulazima gani kutumia kitabu kingine kinacho mzungumzia mtu mwingine ?

Mi nadhani Qurani inajitoshereza na Imemwelezea vizuri tu tena kwa mapana
ISAA BIN MARRIAM.
Yesu mtoto wa Maryam na Isa bin Maryam ndio huyohuyo mmoja shida ni kwamba wewe umelishwa matango poli na wazungu

Mathayo 2:6
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.

Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Quran 61-6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio dhaahiri!
 
.QUR'AN 3-35
Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu; basi nikubalie. Hakika Wewe ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua.

36.
Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke - na Mwenyezi Mungu anajua sana aliye mzaa - Na mwanamume si sawa na mwanamke. Na mimi nimemwita Maryamu. Nami namkinga kwako, yeye na uzao wake, uwalinde na Shet'ani aliye laaniwa.

37.
Tena Mola wake Mlezi akampokea kwa mapokeo mema na akamkuza makuzo mema, na akamfanya Zakariya awe mlezi wake. Kila mara Zakariya alipo ingia chumbani kwake alimkuta na vyakula. Basi alimwambia: Ewe Maryamu! Unavipata wapi hivi? Naye akasema: Hivi vinatoka kwa Mwenyezi Mungu; na Mwenyezi Mungu humruzuku amtakaye bila ya hisabu.

Hapo aya inaanza wakati bibi yake Yesu mke wa mzee Imran akiwa na mimba ya mama yake Yesu ambae ndio Maryam

Kwa ufupi bibi yake Yesu alimuomba Mungu amempe mtoto mwema ili smtoe wakfu alidhani atazaa mtoto wa kiume lakini badala yake alizaa mtoto wa kike ambae ndio Maryam

Kwa hiyo Quran imeanza kutuhadhia habari za Yesu tokea Maryam akiwa mimba katika tumbo la mke wa mzee Imran
Je, Mama wa Isa ndiye wa Yesu Kristo

mama wa Isa anaitwa Maryamu, Surah 3:45 na pia mama wa Yesu anaitwa Mariamu Mathayo 1: 18-21, Marko 6: 3-4 lakini kufanana kwa majina hakuwezi kamwe kumaanisha kuwa ni mtu mmoja, kwani walio na jina hilo ni wengi.

Biblia inatufundisha hivi.
Yohana 19:25Na penye Msalaba wake Yesu walikuwa wamesimama, Mamaye, na ubu la mamaye Mariamu wa Klopa na Mariamu Magdalena.

Hapa tunaona Mariamu watatu. Ili kutambua tofauti baina ya Mariamu mama wa Isa na mama wa Yesu, lazima tulinganishe ujumbe wa Qurani na Biblia. Qurani inasimulia kuhusu baba na kaka wa Mariamu mama wa Isa hivi.

Suratul 66:12 Na Maryamu motto wa Imrani aliyejihifadhi nafsi yake na tukampuliza humor oho yetu, (inayotokana na sisi) na akayasadikisha maneno ya mola wake, na vitabu vyake; na alikuwa miongoni mwa wanyenyekevu (wakubwa).

Surah 19:28Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya. Wala mama yako hakuwa hasharati.

Hapa tunaona kuwa Maryamu mama wa Isa, baba yake ni Imrani na kaka yake aliitwa Haruni. Tusomapo Biblia inatueleza kuwa Amrani aliwazaa hawa:-

Hesabu 26:59 – Na jina la mke wa Amramu aliitwa Yokebedi binti wa Lawi, ambaye alizaliwa kwake Lawi huko Misri; na huyo Yokebedi akamzalia Amram Haruni, na Musa, na Miriamu umbu lao.
Pia soma 1 Nyakati 6: 1-3 na Kutoka 6:20.

Huyo Amrani aliishi miaka mingi kabla ya Yesu na, tena ametokana na kizazi cha Lawi motto wa watu wa mzee Yakobo. Mwanzo 29:34; Kutoka2:1-10

Ikiwa Mariamu wa Qurani baba yake ni Imrani basi atakuwa ameishi miaka 1 500 kabla mama yake Yesu hajazaliwa!
 
This is clearly a copyist error, and there is sufficient evidence to demonstrate that Ahaziah was 22 years old when he began to reign in Judah. In 2 Kings 8:17, we find that Joram, father of Ahaziah and son of Ahab, was 32 years old when he became king. Joram died at age 40, eight years after becoming king. Consequently, his son Ahaziah could not have been 42 when he took the throne after his father’s death, otherwise he would have been older than his father.

Vizuri kwa kutumia link inayokubali kwamba biblia imenakili vitu vina makosa. Na sio hiyo tu. Zipo nyingi sana. Mfano mwingine huu hapa

2 Mambo ya Nyakati 36:9​

Yehoyakini alikuwa na umri wa miaka minane alipoanza kutawala. Alitawala huko Yerusalemu kwa muda wa miezi mitatu na siku kumi. Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu.

2 Wafalme 24:8​

Yehoyakini alikuwa na umri wa miaka kumi na minane alipoanza kutawala; alitawala huko Yerusalemu kwa muda wa miezi mitatu. Mama yake alikuwa Nehushta binti Elnathani, mkazi wa Yerusalemu.

Kwa hiyo, haya mambo usifuate kishabiki soma upate elimu ikibidi muulize mchungaji wako upate uelewa kwa nini kitabu kina clear contradictions? Kuna mwingine alishawahi nijibu pumba eti hadi uwe na roho mtakatifu ndiyo utaelewa biblia.
 
Yesu mtoto wa Maryam na Isa bin Maryam ndio huyohuyo mmoja shida ni kwamba wewe umelishwa matango poli na wazungu

Mathayo 2:6
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.

Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Quran 61-6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio dhaahiri!
MSILAZIMISHE ISA NDIO YESU MNAZARETHI.... MNAFAIDIKA NINI

Jina Isa maana yake ni hii
Katika Qurani yenye jumla ya juzuu 30; Surah 114; aya 6236; maneno yenye kutamkia 76,440; herufi 322,373; jina Isa linatamkwa lisa au Aysi limetajwa mara 25. Isa pia ameitwa masihi mara 93. Lakini tunaposoma Qurani iliofarsiriwa na Imam Baidawi vol 1 ukurasa 160 ameeleza kuwa Isa jina la Kiarabu maana yake ni Wekundu unaozidiana na weupe.

Maana ya jina Yesu

JINA Yesu lintokana na lugha ya Kiebrania ‘Yehoshua’ katika lugha ya Kigiriki wanasema ‘lesous’ inatamka ‘Yesous’ yaani Yesu. Katika lugha ya Kiarabu wanasema ‘Yasu’, kwa kiingereza ni “Jesus” maana yake ‘Bwana anaokoa au Bwana ni Mwokozi’ Isaya 43:6, 10-11. Katika Biblia ambayo in jumla ya Sura 1189; aya 31,102; vitabu 66 – Agano la kale vitabu 39 na agano Jipya vitabu 27; neno Mwokozi kiiengereza wanasema ‘Saviour’ limetajwa mara 55. Ikumbukwe kwamba katika agano jiypa jina Yesu au Yehoshua (kwa kiebrania) limetajwa mara 1275 katika aya zipatazo 1226. Zingatia pia kuwa agano jipya lina jumla ya aya 7930 na sura 260 hivyo hapa tunaona jina Yesu maana yake ni Mwokozi na jina Isa ni wekundu uliozidiana na weupe.

Kwa kuwa maana ya haya majina tofauti bila shaka Isa sio Bwana Yesu.
 
Back
Top Bottom