Usilo lijua ni kwamba hayo uliyoyasema yote ni mafundisho uliyoyapata kutoka kwa wazungu ambao ndio waliokuletea ukristo
Lakini wana wa Israel waliokaa na Yesu na kuishie nae kama jirani yao ukristo wala hawaujui
Hiyo 2% ya wakristo hapo imepatikana kutoka kwa wageni kama wewe kama ukienda kuishi nchini Israel
Hivyo wewe huna uwezo wa kupinga ilichosema Quran kuhusu Yesu kwa sababu wewe waliokufundisha habari za Yesu sio wa Israel ila ni wazungu sasa je! Hizo habari za Yesu hao wazungu walikufundisha wewe wao walizipata wapi mnajua nyinyi
90% ya Italy ni wakristo kwa sababu wao ndio waliianzisha hiyo Dini
View attachment 1793647View attachment 1793651