- Ni vizuri kutambua kuwa mtume wetu ALIOA na hakuzini. Sijaona dini yoyote ambayo imekataza kuoa. Hapa huna hoja zaidi ya ujing.a Nilikwambia kuwa nyie hamujui kutofautisha ndoa na uzinifu, wengi wenu mmezaliwa nje ya ndoa, yaani wanaharamu. Sasa kama ameoa kosa lake liko wapi?Abdul leo nimepata issue nyingine ya mudi , je kweli aliiba chupi ya mwanamke
- Kwa bahati nzuri au mbaya, mtume wetu hakuwa na mtoto wa kiume, na kama alikuwa nae naomba umtaje jina basi tumjue.
- Labda tukuulize, huyo aliemuua ni nani?
Maliza ulichoanza basi kwanza...
Mungu wa wakiristo alisema:
Hesabu 31:18
Lakini hao watoto wote wa kike ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.