Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,842
- 3,618
Kama unaifahamu Quran na Biblia wala huhitaji kuuliza maswali hayo, naamini utakuwa umeshapata majibu ndani ya vitabu husika.
Unaifahamu Quran na biblia alafu bado unakuja kuuliza?Tahadhali : huu si mjadala wa mashambulizi ya Kidini. Ni mjadala qwa kisomi wa kujenga Hoja. Kelele za Dini zenu pelekeni kwingine. Hapa tunataka hoja na uelewa. Sisi wengine hatuna Dini.
1. Nimekuwa nikijiuliza kwa nini huyu Nabii kwenye Quran anatambulika kama Issa Bin Mariam. Kwa jina la Mama yake ni si ukoo wa Baba yake kama wengine wote waliosalia.
2. Je wenye Quran wanamwamini ktk namna gani? Kuwa ni mtume. Je ni mtume kama Mtume mwingine?
3. Je wasiotumia Quran wanamfaham na wanamkubali kuwa ni mmoja ya manabii?
Naomba tujadiliane kwa utulivu kwa nia ya kujifunza. Mimi naifaham Quran na ninaifahamu Biblia. Kwa kuwa nmekulia katika mazingira yote mawili.
Kuna watu wasio na baba labda kwa kuwa hauna ufahamu wa hayo mambo ipo hivi kuna genetic dissoder moja inajulikana kama turners syndrome ni pale mtoto anapozaliwa bila mbegu Ya mwanaume kuungana na ya mwanamke.Hakuna mtu asiye na baba. Anakosaje baba?
Hii ni sawa na kuuliza kwa nini yesu atambulika kama yesu ndani ya bibilia.Nimekuwa nikijiuliza kwa nini huyu Nabii kwenye Quran anatambulika kama Issa Bin Mariam.
Yeye hakua na baba kwa maana Allah alijaalia mariam apate mimba bila ya mume.Kwa jina la Mama yake ni si ukoo wa Baba yake kama wengine wote waliosalia.
Yule ni mtume mkuu kwa mujibu wa Qurani.lakini Qurani haikuishia hapo tu kutambua kwamba ni mtume bali iendelea kuonesha kwamba inatambua kuna watu wanamtukuza kinyume na alivyo.2. Je wenye Quran wanamwamini ktk namna gani? Kuwa ni mtume. Je ni mtume kama Mtume mwingine
Hili ni swala ambalo wanatakiwa wajibu hao watu ambao hawatumii Qurani3. Je wasiotumia Quran wanamfaham na wanamkubali kuwa ni mmoja ya manabii?
Baba yake ni nani ?
Moja ya maajabu ya Mola Muumba ndo hayo... Mariam alipandikiziwa mimba bila kuingiliwa na mwanaume yoyote... Hivyo, logically, Issa ( Yesu) hana baba....
We mwamba acha uongo,wakati wa nabii issa quraan haikuwepoIssa siyo Yesu
1. Yesu alizaliwa kwenye holi la ng'ombe wakati Issa alizaliwa chini mtende
2. Yesu alisurubiwa, akafa na siku ya 3 akafufuka wakati Issa hakusurubiwa, hakufa wala kufufuka.
3. Yesu alitumia Biblia. Alipewa kusoma kitabu cha Isaya na alibatizwa wakati Issa alitumia Quran na hakubatizwa.
Kwanini huwa mnang'ang'ania Yesu ni Issa? Siyo kosa lako sbb huwa mnakaririshwa.
[emoji23][emoji23]We mwamba acha uongo,wakati wa nabii issa quraan haikuwepo
Yusuph nae sijui alikuwa amewekewa limbwata yaani mke wake anabeba mimba tena mazingira ya kutatanisha haijulikani mwenyewe ni nani akakaa kimya tuu mpaka leo.Baba yake ni nani ?
Moja ya maajabu ya Mola Muumba ndo hayo... Mariam alipandikiziwa mimba bila kuingiliwa na mwanaume yoyote... Hivyo, logically, Issa ( Yesu) hana baba....
Na wayahudi wanasema hivyo hivyo Yesu alikuwa muhubiri mzuri tu mjanja lakini hakuwa Mesiah kwao Mesiah bado hajaja hao Jews na wanasema wazi kabisa yesu alikuwa jew na mama yake myahudi alitembea nje ya ndoa akazaliwa ila hawamtambui kabisa tena wameenda mbali kusema dini ya kikristo muanzilishi ni Paul sio yesu.Mohamad siyo mtume wa Mungu. ni mjanjamjanja fulani hivi
Na wayahudi wanasema hivyo hivyo Yesu alikuwa muhubiri mzuri tu mjanja lakini hakuwa Mesiah kwao Mesiah bado hajaja hao Jews na wanasema wazi kabisa yesu alikuwa jew na mama yake myahudi alitembea nje ya ndoa akazaliwa ila hawamtambui kabisa tena wameenda mbali kusema dini ya kikristo muanzilishi ni Paul sio yesu.
Huyu jamaa kapotosha hapo sasa sijui kusudi au kutokujuwa. Yesu( Issa) alifwata injili ya hebrew mengi mafundisho ya torat inaitwa agano la kale hii injili agano jipya lilikuwa baada ya zaidi miaka 400 Paul alichiandika kuchanganya ya zamani na mpya ndio maana wayahudi wanasema dini ya Paul ila yesu alikuwa muhubiri mzuri mjanja akajitenga kidogo katika jews na kuanza harakazi zake wanamchukulia kama mwana mpotevu tu ila ukisikiliza sana wayahudi wanawadharau sana wakristo sababu yesu kwao hana nafasi yoyote ukija kwa Mohammed wanasema mwarabu na dini yake islam ila wote wamechukuwa kwetu Torah, kuna ukweli fulani quraan imethibitisha yote mitume wote na vitabu vyote tofauti kuu hapa. Jews wanamuamini Mussa tu na kitabu chao Torah, Yesu hawamtambui kabisa sio Mesiah. Wakristo hawamtambui Mohammed ila waislamu wanawatambua wote ziko tofauti baina yao. Ila katika dini hizi 3 zipi wanakaribiana kidogo kwa mujibu wa Jews. Ni Jews na Islam ila wa kristo wanasema no hakuna Messiah bado hajaja.We mwamba acha uongo,wakati wa nabii issa quraan haikuwepo
Issa siyo Yesu
1. Yesu alizaliwa kwenye holi la ng'ombe wakati Issa alizaliwa chini mtende
2. Yesu alisurubiwa, akafa na siku ya 3 akafufuka wakati Issa hakusurubiwa, hakufa wala kufufuka.
3. Yesu alitumia Biblia. Alipewa kusoma kitabu cha Isaya na alibatizwa wakati Issa alitumia Quran na hakubatizwa.
Kwanini huwa mnang'ang'ania Yesu ni Issa? Siyo kosa lako sbb huwa mnakaririshwa.
Tofauti ya kuzaliwa Isa na Yesu ni hiiHuyu jamaa kapotosha hapo sasa sijui kusudi au kutokujuwa. Yesu( Issa) alifwata injili ya hebrew mengi mafundisho ya torat inaitwa agano la kale hii injili agano jipya lilikuwa baada ya zaidi miaka 400 Paul alichiandika kuchanganya ya zamani na mpya ndio maana wayahudi wanasema dini ya Paul ila yesu alikuwa muhubiri mzuri mjanja akajitenga kidogo katika jews na kuanza harakazi zake wanamchukulia kama mwana mpotevu tu ila ukisikiliza sana wayahudi wanawadharau sana wakristo sababu yesu kwao hana nafasi yoyote ukija kwa Mohammed wanasema mwarabu na dini yake islam ila wote wamechukuwa kwetu Torah, kuna ukweli fulani quraan imethibitisha yote mitume wote na vitabu vyote tofauti kuu hapa. Jews wanamuamini Mussa tu na kitabu chao Torah, Yesu hawamtambui kabisa sio Mesiah. Wakristo hawamtambui Mohammed ila waislamu wanawatambua wote ziko tofauti baina yao. Ila katika dini hizi 3 zipi wanakaribiana kidogo kwa mujibu wa Jews. Ni Jews na Islam ila wa kristo wanasema no hakuna Messiah bado hajaja.
Adamu hakuzaliwa. AliumbwaKuna watu wasio na baba labda kwa kuwa hauna ufahamu wa hayo mambo ipo hivi kuna genetic dissoder moja inajulikana kama turners syndrome ni pale mtoto anapozaliwa bila mbegu Ya mwanaume kuungana na ya mwanamke.
Hii inamaanisha atakuwa na chromosomes 45 kati ya zile 46 anazotakiwa kuwa nazo , na mtoto huyo atakuwa wa kike. ila kuna vitu baadhi atakuwa kapungukiwa mfano atakuwa na webbed neck , pia hatoweza kupata mazazi na pia baadhi yao huwa na upungufu wa akili.
Kwa case ya issa bin maryam ni tofauti sana maana Mungu ndo aliamua azaliwe bila baba kivipi? Mimi sijui anajua Mungu pekee maana kidogo mfano wake unafanana na wa adamu.
Hope umepata kitu.
Issa siyo Yesu
1. Yesu alizaliwa kwenye holi la ng'ombe wakati Issa alizaliwa chini mtende
2. Yesu alisurubiwa, akafa na siku ya 3 akafufuka wakati Issa hakusurubiwa, hakufa wala kufufuka.
3. Yesu alitumia Biblia. Alipewa kusoma kitabu cha Isaya na alibatizwa wakati Issa alitumia Quran na hakubatizwa.
Kwanini huwa mnang'ang'ania Yesu ni Issa? Siyo kosa lako sbb huwa mnakaririshwa.
Tukianzia kuumbwa kwa Adam naamini maswali yako yatajibika, kwa maana hata Adam (A.S) hakuwa na baba na pia Waislam wanaamini katika utume wa Adam kama walivyo mitume wengine.Hakuna mtu asiye na baba. Anakosaje baba?
Sawa, lakini msome muanzisha mada, hakuna sehemu ameongelea kumhusu huyo unaemuita mjanja mjanja...Mohamad siyo mtume wa Mungu. ni mjanjamjanja fulani hivi