Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Baada ya Yesu ( aliletwa na nani) kaja Mohammed nani alimleta? Kwann Mungu alimleta Mohammed? Yesu alishindwa wapi kwenye utume alioletwa kuufanya na Mohammed akaagizwa akarekebishe mapungufu gan yaliyosalia na kwanini hakufanikishi kufkisha ujumbe kwa watu wte wa Mungu ili wamfuate.
Wewe unahitaji ukasome bado sana upeo wako. YESU alikuwa myahudi aliletwa kuwarekebisha makosa waliyokuwa wakiyafanya wayahudi kila mara kukataa mitume waliopendelewa ukoo wa Jacob sasa hata Yesu alikuja kutaka kuwaokoa hawa jamaa lakini hata yeye wakamkataa ni miujiza yote ndio Mungu akahamisha upendeleo kwa ukoo wa Ismael mtoto wa Abraham aliyezaa na mke mdogo ndio ukoo wa Mohammed sasa wa Israel waliwakaa mitume katika ukoo wao watakuja kukubali ukoo wa mke mdogo. Ndio maana katika uislamu wametajwa sana ukoo wa Israel ili tusirudie yale makosa waliyokuwa wanayafanya pamoja na upendeleo wote. Kasome
 
Quran iliandikwa na nani ilihali mtume alikuwa hajui kusoma toka akiwa na miaka takribani 40. Km Issa ni mtume wa mapema kabla ya mohamad, hayo maneno au taarifa za issa alizitoa wapi?
Elimu bwana mtume aliambiwa tu Soma kwa amri akasoma na Quraan ilishushwa kwa Mohammed kwa mafungu katika matukio ya wakati ule na aliambiwa walikuwepo mitume wengi kabla yako na Issa mmoja wapo na ndio maana sisi waislami sharti moja kuwa muislamu ni kukubali mitume wote na vitabu vyao lakini sio kitabu cha MR Paulo janjajanja
 
Hiyo ni hadith sio quraan ziko hadith dhaifu usikimbilie huko nimekutumia video Rabbi kamaliza huyo Paul ndio majanga tena usikubali hata kukaa naye meza moja kula naye hafai hayo maneno ya mayahudi maana sitaki kukariri maneno ya mashekh utasema si mwislamu nakupa ya Rabbi wayahudi walivyo wadharau wafuasi wa Paulo ni majanga dunia hii.
Qur'an na hadithi zinategemeana
.. Namna ya kusali haupo ndani ya Qur'an, ipo ndani ya hadithi.. Nyie mnao kataa baadhi ya hadithi ni mamruki wa kiislam..
 
Chief, kwani Mud na Yesu walikutana wapi hadi AKAMWAMBIA kuwa hakusurubiwa?.
Mud aliwai kumuona Yesu? Kwanini una muamini ikiwa kigezo ni KUONA?.

Mbona una m-attack Paul kisa TU HAKUMUONA YESU?.

Ila hapo hapo unakubali Muhammad mafunuo ya Muhammad.

MFANO:
Miaka zaidi ya elfu 6 anatokea mtu uko naijeria aanze kusema Nyerere hakuzaliwa butihama,bali amezaliwa muhimbiri.

Nyerere sio Mzanaki, bali mnyakisa.

Nyerere hakuwa rais wa Tanzania bali alikuwa mwana harakati tu kama akina Che guava,wanaosema Nyerere alikuwa rais ni waongo....alafu wanatokea wajinga fulani wanamuamini huyu mtu.

Dhana ya kusema kwamba uwongo ukisemwa sana unakuwa ukweli uwa naiona kupitia Mud na kitabu chake.
Yaan nishinde kuwa amini akina walyoba, John LUPI, Abdul sky..Maria Nyerere, wazazi wa Nyerere walio mzaa, ishi nae, kupigania uhuru pamoja nije ni muamini kilaza wa uko naijeria..
Hakyanani bora nikitoe kwenye imani.
Tembea Dunia nzima madhehebu yote huwezi kukuta Quraan 2 au tofauti alishushiwa na Mungu ila bwana Yesu alikuwa anahubiri Injili ya ki Hebrew ambayo hata sisi waislamu tunaikubali 100% ila bwana Paulo akatoka kivingine na agano jipya akaandika na kubadilisha yale aliyokuwa anahubiri Yesu bible ya hebrew ndio maana hata wa Jew wanamuita disaster kutokea dunia hii ni Paulo alikuwa mjanja maana hakuwa hata mwanafunzi 12 wa Yesu. Wayahudi mpaka leo kwa uchache tu wanyama wasio kuwa na kwato haram lazima kutahiriwa na kwa kuwa hata dini ya kislamu imechukuwa mambo ya torat na injili ya Hebrew wanakubaliana kaja bwa Paulo kula tu hata vibudu hakuna ulazima kutahiriwa. Myahudi na muislamu lazima utahiriwe haya machache tu. Paulo katoa wapi utume hajatajwa katika dini yoyote kama mtume fake kajanja.
 
Aisee Kuna Muda hua najisemea Bora mtu anayeabudu Mizimu ya kiafrica kuliko kukubali kuliamini huu upupu wa Mwamedi
😂😂😂😂😂😂😂😂
Kaibudu tu kwani umekatazwa kama hujachomwa moto ukaitwa bibi mchawi mjuu wa kajanja Paulooo 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Tahadhali : huu si mjadala wa mashambulizi ya Kidini. Ni mjadala qwa kisomi wa kujenga Hoja. Kelele za Dini zenu pelekeni kwingine. Hapa tunataka hoja na uelewa. Sisi wengine hatuna Dini.

1. Nimekuwa nikijiuliza kwa nini huyu Nabii kwenye Quran anatambulika kama Issa Bin Mariam. Kwa jina la Mama yake ni si ukoo wa Baba yake kama wengine wote waliosalia.

2. Je wenye Quran wanamwamini ktk namna gani? Kuwa ni mtume. Je ni mtume kama Mtume mwingine?

3. Je wasiotumia Quran wanamfaham na wanamkubali kuwa ni mmoja ya manabii?

Naomba tujadiliane kwa utulivu kwa nia ya kujifunza. Mimi naifaham Quran na ninaifahamu Biblia. Kwa kuwa nmekulia katika mazingira yote mawili.
Waandishi wa kuran walikopi masimulizi ya Biblia, na wajinga wakaamini kuran imeshushwa
 
Qur'an na hadithi zinategemeana
.. Namna ya kusali haupo ndani ya Qur'an, ipo ndani ya hadithi.. Nyie mnao kataa baadhi ya hadithi ni mamruki wa kiislam..
Mimi sijakataa hadithi ila ziko hadithi zinaitwa dhaifu kuna mambo katika uislamu japo kuwa zilikuwa ni Suna'a na zinafuatwa na wote tumeambiwa tufuate Quraan na Suna'a yaani matendo ya mtume waliomshuhudia Mtume anavyoswali ndio mpaka leo tunaswali mfumo mmoja hakuna hitilafu katika hilo labda alitokea mmoja akasema hapana alikuwa ana swali mara kumi hakuna sasa huwezi kusema dhaifu. dhaifu inakuja mtu wa mbali kusema nilisikia fulani almsikia fulani kuwa fulani aliambiwa na fulani hapo kunakuwa na udhaifu. Shida yangu mimi wala sio Yesu ni bwana Paulo hapo tumepigwa na kajanja. Bwana Paulo hakuwa mwanafunzi baada ya Yesu kusulubiwa tu akaja na hizi story zake za alinacha... mimi sijali mtu kumtukana Mohammed sababu najuwa hayana ukweli ila mawe ya Paulo yanawauma sababu wanajuwa yana ukweli.
 
Tembea Dunia nzima madhehebu yote huwezi kukuta Quraan 2 au tofauti alishushiwa na Mungu ila bwana Yesu alikuwa anahubiri Injili ya ki Hebrew ambayo hata sisi waislamu tunaikubali 100% ila bwana Paulo akatoka kivingine na agano jipya akaandika na kubadilisha yale aliyokuwa anahubiri Yesu bible ya hebrew ndio maana hata wa Jew wanamuita disaster kutokea dunia hii ni Paulo alikuwa mjanja maana hakuwa hata mwanafunzi 12 wa Yesu. Wayahudi mpaka leo kwa uchache tu wanyama wasio kuwa na kwato haram lazima kutahiriwa na kwa kuwa hata dini ya kislamu imechukuwa mambo ya torat na injili ya Hebrew wanakubaliana kaja bwa Paulo kula tu hata vibudu hakuna ulazima kutahiriwa. Myahudi na muislamu lazima utahiriwe haya machache tu. Paulo katoa wapi utume hajatajwa katika dini yoyote kama mtume fake kajanja.
Kwanini unadhani ninahitaji kutembea dunia mzima ili kujua Qur'an sio 1? Una thibitisha vipi Qur'an ni moja na sio zaidi 1?.

Ni onyesha picha ya Qur'an 1,mi nikuonyeshe picha ya Qur'an tofauti tofauti zaidi ya 5.

Nb: kuhusu Paul ni levo nyingine, mnamchukia Paul coz kafunua kila kitu hasa kuhusu roho ya mpinga Kristo inayofanya kazi ndani yenu.

Swala la uungu wa Yesu Paul kafunua zaidi, sasa kwa kuwa nyie ilo linawapa shida ndo maana mnatunga ujinga ujinga dhidi yake.

unachokiandika ndo matokea ya hiyo shida iliyomo mioyoni mwenu.

Nb:2
WEWE huna legibility ya kusema Paul sio mtume wakati aliyemchagua kuwa mtume yupo juu ya vyote.

Na sijui unapata wapi UTHUBUTU wa kumkejeli Paul aliyepewa utume na Yesu mwenyewe (Almighty God) na Muhammad aliyepewa utume na padri wa katoliki.

Hata kama haumkubali, mpe heshima yake tu.
 
Wewe bure kabisa...
Ni wakati upi hadithi inakuwa strong na ni wakati upo inakuwa dhaifu?.
Wewe ni nani hata useme iki ni dhaifu na kile ni imara wakati walioikisanya Qur'an waliviweka vyote pamoja?

Wao hawakuona huo udhaifu? Nini kusudi la kuweka hadithi dhaifu katika Qur'an?.

Ni kwa vipi tu amini unachokisema kuwa ni kweli na sio kwamba unatumia lugha hiyo ya IKI dhaifu na iki IMARA kama kichaka cha kukwepa hoja za msingi?
 
Usijifanye unajua uchambuzi sana wa dini ikiwa biblia yenyewe unayoifuata ina vitu inavyopingana kibao. Nakupa mfano wa hizo aya za kwenye biblia. Na zipo nyingi za namna hiyo. Ikiwa kuna makosa kama hayo kuhusu umri wa kutawala Ahazia ndani ya Jerusalem. Vipi kuhusu huyo Yesu?​

2 Wafalme 8:26​

Ahazia alianza kutawala akiwa na umri wa miaka ishirini na miwili, akatawala kutoka Yerusalemu kwa muda wa mwaka mmoja. Mama yake aliitwa Athalia, mjukuu wa mfalme Omri mfalme wa Israeli.

2 Mambo ya Nyakati 22:2​

Ahazia, alianza kutawala akiwa mwenye umri wa miaka arubaini na miwili, akatawala kutoka Yerusalemu kwa muda wa mwaka mmoja. Mama yake aliitwa Athalia, mjukuu wa Omri.
Noma za vitabu vya kiyahudi
 
Kwanini unadhani ninahitaji kutembea dunia mzima ili kujua Qur'an sio 1? Una thibitisha vipi Qur'an ni moja na sio zaidi 1?.

Ni onyesha picha ya Qur'an 1,mi nikuonyeshe picha ya Qur'an tofauti tofauti zaidi ya 5.

Nb: kuhusu Paul ni levo nyingine, mnamchukia Paul coz kafunua kila kitu hasa kuhusu roho ya mpinga Kristo inayofanya kazi ndani yenu.

Swala la uungu wa Yesu Paul kafunua zaidi, sasa kwa kuwa nyie ilo linawapa shida ndo maana mnatunga ujinga ujinga dhidi yake.

unachokiandika ndo matokea ya hiyo shida iliyomo mioyoni mwenu.

Nb:2
WEWE huna legibility ya kusema Paul sio mtume wakati aliyemchagua kuwa mtume yupo juu ya vyote.

Na sijui unapata wapi UTHUBUTU wa kumkejeli Paul aliyepewa utume na Yesu mwenyewe (Almighty God) na Muhammad aliyepewa utume na padri wa katoliki.

Hata kama haumkubali, mpe heshima yake tu.
Yesu kawa Mungu tena? basi kwa hili umenishinda mjuu wa Paulooo. Quraan ni moja tu hilo 100% huwezi kukuta hata herufu moja imegeuzwa. Paulo ni mission town ukubali usikubali sio mtume wala Yesu hakuwahi kumjuwa alijitokeza baada ya Yesu kufa kaja na ndoto zake zile na watu walikuwa wakamuamini akaja na mpya ndio haya ya kina Pope hakuna kuowa ukiuliza wametoa wapi wanasema Paulo. Mimi nachia hapa mtu akfika kusema Yesu ni Mungu huyo kwangu takataka wala sio wa kuongea naye. Yesu alikuwa nabii kama manabii kabla yake wala hakuteuwa kajanja kuwa mtume ndio ya kina Gwajima na manabii fake tunawaowasikia leo. Kwaheri
 
Tembea Dunia nzima madhehebu yote huwezi kukuta Quraan 2 au tofauti alishushiwa na Mungu ila bwana Yesu alikuwa anahubiri Injili ya ki Hebrew ambayo hata sisi waislamu tunaikubali 100% ila bwana Paulo akatoka kivingine na agano jipya akaandika na kubadilisha yale aliyokuwa anahubiri Yesu bible ya hebrew ndio maana hata wa Jew wanamuita disaster kutokea dunia hii ni Paulo alikuwa mjanja maana hakuwa hata mwanafunzi 12 wa Yesu. Wayahudi mpaka leo kwa uchache tu wanyama wasio kuwa na kwato haram lazima kutahiriwa na kwa kuwa hata dini ya kislamu imechukuwa mambo ya torat na injili ya Hebrew wanakubaliana kaja bwa Paulo kula tu hata vibudu hakuna ulazima kutahiriwa. Myahudi na muislamu lazima utahiriwe haya machache tu. Paulo katoa wapi utume hajatajwa katika dini yoyote kama mtume fake kajanja.
We dogo wa Qur'an 1 njoo utupe ufafanuzi.. Niambie kati hizo Qur'an ipi ni dhaifu na ipi strong View attachment 1795159View attachment 1795161View attachment 1795160View attachment 1795162[
 
Attachments

  • JamiiForums86320799.jpg
    JamiiForums86320799.jpg
    60.8 KB · Views: 22
Wewe bure kabisa...
Ni wakati upi hadithi inakuwa strong na ni wakati upo inakuwa dhaifu?.
Wewe ni nani hata useme iki ni dhaifu na kile ni imara wakati walioikisanya Qur'an waliviweka vyote pamoja?

Wao hawakuona huo udhaifu? Nini kusudi la kuweka hadithi dhaifu katika Qur'an?.

Ni kwa vipi tu amini unachokisema kuwa ni kweli na sio kwamba unatumia lugha hiyo ya IKI dhaifu na iki IMARA kama kichaka cha kukwepa hoja za msingi?
Wewe ndio jinga kweli hadithi katika Quraan? 🤣 🤣 🤣 hakuna hadithi katika quraan acha upumbavu Quraan kila neno ni la Mungu alishusha. Hadithi ni vitabu vingine katika kuelezea Suna'a za mtume tena acha kabisa kusema hadithi ziko katika quraan. natumaini wewe sio muislamu nakusamehe kama muislamu halafu unasema hadithi ziko katika Quraan basi wahi foleni mirembe.
 
Wewe bure kabisa...
Ni wakati upi hadithi inakuwa strong na ni wakati upo inakuwa dhaifu?.
Wewe ni nani hata useme iki ni dhaifu na kile ni imara wakati walioikisanya Qur'an waliviweka vyote pamoja?

Wao hawakuona huo udhaifu? Nini kusudi la kuweka hadithi dhaifu katika Qur'an?.

Ni kwa vipi tu amini unachokisema kuwa ni kweli na sio kwamba unatumia lugha hiyo ya IKI dhaifu na iki IMARA kama kichaka cha kukwepa hoja za msingi?
What is the difference between Hadith and Quran? ... While the Quran is the edifice of the religion or the faith called Islam, Hadith are the books containing the life, actions, and sayings of the prophet Muhammad. • Hadith are written later than Quran by different scholars having different abilities and memories.
 
Quraan alishushiwa mtume Mohammed tu katika mwezi wa Ramadhan, hadithi zilikuwa kuandikwa katika vitabu tofauti na ma scholar baada ya mtume kufariki nadhani elimu yako ina mashaka sana kuna hadithi zilikusanywa na kina Bukhari hizi hazina mashaka matendo ya mtume na maneno aliyowafundisha au kufanya.
 
Wewe ndio jinga kweli hadithi katika Quraan? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] hakuna hadithi katika quraan acha upumbavu Quraan kila neno ni la Mungu alishusha. Hadithi ni vitabu vingine katika kuelezea Suna'a za mtume tena acha kabisa kusema hadithi ziko katika quraan. natumaini wewe sio muislamu nakusamehe kama muislamu halafu unasema hadithi ziko katika Quraan basi wahi foleni mirembe.
Nilijua utaruka viunzi na kuhamisha magori..

Uko kwenye matusi sijui chochote... Nasistiza kwenye mutihani wa matusi natoka 0 kabisa.

Endelea na uwongo coz we ni mfuasi wa yule Baba wa uwongo.

Ikiwa alidanganya kuwa Yesu hakufa msalabani kwa dhumni la watu wasiamini Wokovu wa bureee ni vipi we kibaraka wake ushindwe ongopa?.

Na huyo baba uwongo alivyomjuaji akakuruhusu kudanganya kwa ajili ya dini.. So, unachokiandika hapa ni ukweli mchache na uwongo mwingi unajua wewe.
Kila la kheri

I rest my case
 
Wewe bure kabisa...
Ni wakati upi hadithi inakuwa strong na ni wakati upo inakuwa dhaifu?.
Wewe ni nani hata useme iki ni dhaifu na kile ni imara wakati walioikisanya Qur'an waliviweka vyote pamoja?

Wao hawakuona huo udhaifu? Nini kusudi la kuweka hadithi dhaifu katika Qur'an?.

Ni kwa vipi tu amini unachokisema kuwa ni kweli na sio kwamba unatumia lugha hiyo ya IKI dhaifu na iki IMARA kama kichaka cha kukwepa hoja za msingi?

Nilijua utaruka viunzi na kuhamisha magori..

Uko kwenye matusi sijui chochote... Nasistiza kwenye mutihani wa matusi natoka 0 kabisa.

Endelea na uwongo coz we ni mfuasi wa yule Baba wa uwongo.

Ikiwa alidanganya kuwa Yesu hakufa msalabani kwa dhumni la watu wasiamini Wokovu wa bureee ni vipi we kibaraka wake ushindwe ongopa?.

Na huyo baba uwongo alivyomjuaji akakuruhusu kudanganya kwa ajili ya dini.. So, unachokiandika hapa ni ukweli mchache na uwongo mwingi unajua wewe.
Kila la kheri

I rest my case
Hakuna wokuvu wa bure dhambi unachuma mwenyewe ndio maana ukifa unaombewa uwekwe mahala pema hakuna guarantee hiyo kuwa huna dhambi wewe ukafanya mabalaa yote duniani halafu useme nikifa sina dhambi sababu bwana Yesu katuokoa? hakuna kila mtu anachuma aliyoyafanya ndio maana hata makanisani unafundishwa ufanye mema sababu kuna Mungu vingenevyo funga makanisa maana bwana Yesu kisha beba dhambi zote.
 
What is the difference between Hadith and Quran? ... While the Quran is the edifice of the religion or the faith called Islam, Hadith are the books containing the life, actions, and sayings of the prophet Muhammad. • Hadith are written later than Quran by different scholars having different abilities and memories.
Ujajibu nilichokuuliza hapo juu, na ulichokiweka hapa hata hakina uhusino na nilichokuuliza hapo juu.
Swala kujadili hapa, ukiulizwa kitu unakimbilia gugo ni chanzo cha shida ya ku- paste vitu usivyoulizwa.

Nikukumbushe ikiwa umesahau ama umejisaulisha. ni kwamba:, sijauliza tofauti ya Qur'an na Hadithi.
Tia kichwani ilo.
 
We dogo wa Qur'an 1 njoo utupe ufafanuzi.. Niambie kati hizo Qur'an ipi ni dhaifu na ipi strong View attachment 1795159View attachment 1795161View attachment 1795160View attachment 1795162[
Kukujibu hili kwanza hiyo uliyo copy sio Quraan, Quraan ina sura zote sawa, aya zote sawa na hakuna quraan yoyote ukakuta kuna hata herufu moja sio sawa na kitabu kingine cha Quraan. Ndio maana haijalishi wewe kabila gani Quraan inasomwa kwa lugha yake kiarabu sio kizaramo au kiswahili na inataamkwa kama ilivyo.
 
Hakuna wokuvu wa bure dhambi unachuma mwenyewe ndio maana ukifa unaombewa uwekwe mahala pema hakuna guarantee hiyo kuwa huna dhambi wewe ukafanya mabalaa yote duniani halafu useme nikifa sina dhambi sababu bwana Yesu katuokoa? hakuna kila mtu anachuma aliyoyafanya ndio maana hata makanisani unafundishwa ufanye mema sababu kuna Mungu vingenevyo funga makanisa maana bwana Yesu kisha beba dhambi zote.
Ilo la hakuna wokovu wa bure umelisema wewe,si Yeye na wewe si chochote kwangu.

Yaan Samia aniahidi mbele ya hadhila kuwa atanilipia tiket ya ndege na gharama za matibabu uko India halafu we mzibua vyoo useme hakuna matibabu ya bure!!.

Kinachofanya ni muamini ni TITLE yake kwanza coz icho ni kitu kidogo sana kwake.
Nb:
Allah hana wokovu wa bure coz ya mwenyewe anasubiri hukumu, ni vipi akupe we wokovu?.
 
Back
Top Bottom