one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,330
Hiyo ni hadith sio quraan ziko hadith dhaifu usikimbilie huko nimekutumia video Rabbi kamaliza huyo Paul ndio majanga tena usikubali hata kukaa naye meza moja kula naye hafai hayo maneno ya mayahudi maana sitaki kukariri maneno ya mashekh utasema si mwislamu nakupa ya Rabbi wayahudi walivyo wadharau wafuasi wa Paulo ni majanga dunia hii.
Akili nzito sana elimu yetu inahitaji marekebisho. Hakuna sehemu nimesema wanaswali nimekwambia dini yao ikitokea hakuna sehemu ya kufanya ibada zao wanaruhusiwa kutumia msikiti kufanya ibada za kiyahudi sio kuswali kislamu wao sio waislamu ni jews lakini kanisa hata likiwa tu hawaruhusiwi kuligeuza kufanya ibada zao kwa kuwa wanaamini wakristo wanaabudu masanamu. Mafundisho ya Rabbi hayo machungu lakini ndio ukweli. paulo majangaaaaaalete aya acha kuleta vi clip, au leta ushahidi wayahudi wakisali msikitini
Hilo agano jipya litoe kabisa hapa hakuna kitu agano jipya na barua za Paulo hizo yule janja janja alikuwa. Rabbi kamaliza hapa kaa mbali na Paul
HUTAKI HADITHI UNASEMA DHAIFU ILA UNATAKA NIAMINI MANENO YA MUHUNI TU, LETA VIDEO WAYAHUD WAKISWALI MSIKITINI , SIO POROJOHiyo ni hadith sio quraan ziko hadith dhaifu usikimbilie huko nimekutumia video Rabbi kamaliza huyo Paul ndio majanga tena usikubali hata kukaa naye meza moja kula naye hafai hayo maneno ya mayahudi maana sitaki kukariri maneno ya mashekh utasema si mwislamu nakupa ya Rabbi wayahudi walivyo wadharau wafuasi wa Paulo ni majanga dunia hii.
Acha uongo mkuu, unajua unachoandika?Kuna watu wasio na baba labda kwa kuwa hauna ufahamu wa hayo mambo ipo hivi kuna genetic dissoder moja inajulikana kama turners syndrome ni pale mtoto anapozaliwa bila mbegu Ya mwanaume kuungana na ya mwanamke.
Hii inamaanisha atakuwa na chromosomes 45 kati ya zile 46 anazotakiwa kuwa nazo , na mtoto huyo atakuwa wa kike. ila kuna vitu baadhi atakuwa kapungukiwa mfano atakuwa na webbed neck , pia hatoweza kupata mazazi na pia baadhi yao huwa na upungufu wa akili.
Kwa case ya issa bin maryam ni tofauti sana maana Mungu ndo aliamua azaliwe bila baba kivipi? Mimi sijui anajua Mungu pekee maana kidogo mfano wake unafanana na wa adamu.
Hope umepata kitu.
TULIA UTAELEWA HAO JEWS UNAOSEMA MNAFANA NAI UZUSHIWewe kariri tu hujui chochote kuhusu dini kuna mambo mengi wala huwezi kuyajuwa hujui hata Sabato ilikuwa kwa mayahudi tu sio wewe wala mimi. Mohammed ni mtume tu sio dini yake mamlaka ya dini ni ya Mungu. Neno la Quraan ni la Mungu sio Mohammed unajichanganya umetoa aya inaongela Ijumaa halafu unasema Mohammed kasema sisi tunaambiwa Mungu hana mfano wa kibinadamu eti kachoka mambo ya Sabato walipewa wayahaudi baada ya kutoka utumwani Egypt wapumzike sio Mungu, acha kukariri. Ndio maana Jews wanawadharau sana wakristo wanawaona vichekesho fulani hivi.
Paulo mtume wa kanisa la Ubungo au? acha ijinga Paulo kawaingiza mjini kichwa kichwa unaruka mada Paulo was disaster mkaingia mkenge kawadanganya ukimkubali Yesu basi dhambi huna tena kishamwaga damu kusafisha dhambi hakuna kitu kama hicho dini kuu duniani Jews na waislamu wanasema kila mtu anabeba furushi lake usijidanganye maana kama dhambi zote kisha chukuwa Yesu sasa unahubiri mambo mema ya nini wakati huna dhambi. Paulo was disasteeeerr machungu ila ukweli. wala sikujibu tena maana message deliver huwezi kulala leo.
Ujinga shida sana. Mohammed hakuwepo wakati wa Moses, Moses alikuwa myahudi na alikuwa kwa ajili ya wayahudi akawaokoa utumwani kusema Mohammed alikataliwa na wayahudi umechemka sababu Mohammed alikuwa mwarabu ukoo wa Ismael sio Jacob. Yesu alikuwa myahudi kwa Mama ndio wewe unasema Mesiah wayahudi ndugu zake wanasema alikuwa muhubiri tu Mesiah hajaja na kajanja Paulo ndio akaleta ukristo na wala hajawahi hata kukaa na Yesu alikuja na madai yake Mungu kanishukia kama kina Gwajima wanavyosema Mungu kawashukia na mnapiga vigeregere inuka kwa jina la Yesu inuka kwa jina Yesu acheni ujinga huo.TULIA UTAELEWA HAO JEWS UNAOSEMA MNAFANA NAI UZUSHI
HIYO SABATO NI KWA WANADAMU AYA ZIPO KIBAO SIO KWA WAYAHUDI TU
MUHAMMAD BAADA YA KUKATALIWA NA WAYAHUDI NDIPO AKAANZISHA DINI YAKE NA SIKU YA KUSALI IJUMAA
Kwa kukusaidia SABATO IMEANZIA EDENI hakuna myahudi hata mmoja,
nakuja kwa MUHAMADI huyu utume wake una mashaka sana, ndio maana WAYAHUDI WALIMKATAA....
QURAN YA TAFASIRI YA ABDULLAH SALEH AL-FARSY IMEKIRI KUWA UISLAMU HAKUWAHI KUWEPO KABLA YA MUHAMMAD ABDULLAH MTALIB NA KABLA YA KHADIJA NA MUHAMMAD ALIPEWA UTUME NA MKEWE KHADIJA KABLA YA MUHAMMAD KUPELEKWA KWA PADRI WARAQA BIN NAUFAL KUTOKA ROMANI KISHA PADRI WARAQA BIN NAUFAL AKAMWAMBIA MUHAMMAD JIBASHIRIE WEWE MWENYEWE KUWA WEWE NI MTUME WA UMA HUU NA UTAENEZA DINI MPYA YA UISLAMU MNAMO 17/12/610
SWALI HII AYA NI YA KWELI AU UONGO WAISLAMU? Soma TAFSIRI ya Abdullah Saleh Al Farsy Ukrasa 698
Quran 62:2-3![]()
2 Yeye ndiye aliyemleta Mtume Katika watu wasiojuakusoma na kuandika anayetokana na wao awasomee Aya zake na kuwatakasa na kuwafunza Kitabu na Hekima, (ilimu nyinginezo na kabla ya hawa walikuwa katika upotofu (upotevu )ulio dhahiri
View attachment 1794783
UNALETA HABARI ZA VICHOCHORONI, LETA USHAHIDI WAYAHUDI WAKIFANYIA IBADA MSIKITINIAkili nzito sana elimu yetu inahitaji marekebisho. Hakuna sehemu nimesema wanaswali nimekwambia dini yao ikitokea hakuna sehemu ya kufanya ibada zao wanaruhusiwa kutumia msikiti kufanya ibada za kiyahudi sio kuswali kislamu wao sio waislamu ni jews lakini kanisa hata likiwa tu hawaruhusiwi kuligeuza kufanya ibada zao kwa kuwa wanaamini wakristo wanaabudu masanamu. Mafundisho ya Rabbi hayo machungu lakini ndio ukweli. paulo majangaaaaaa
SASA MTUME PAULO HUYU HAPA NDANI YA QURAN BILA CHENGA NA NDIYE ALITUMA NA WENZAKE ANTIOKIA Quran 36:14-21;Paulo mtume wa kanisa la Ubungo au? acha ijinga Paulo kawaingiza mjini kichwa kichwa unaruka mada Paulo was disaster mkaingia mkenge kawadanganya ukimkubali Yesu basi dhambi huna tena kishamwaga damu kusafisha dhambi hakuna kitu kama hicho dini kuu duniani Jews na waislamu wanasema kila mtu anabeba furushi lake usijidanganye maana kama dhambi zote kisha chukuwa Yesu sasa unahubiri mambo mema ya nini wakati huna dhambi. Paulo was disasteeeerr machungu ila ukweli. wala sikujibu tena maana message deliver huwezi kulala leo.
MUHAMMAD HAJATOKA KWA ISHMAELI WALA WATOTO WA ISHMAEL HAWAKUWA WACHA MUNGU WA BABA YAO AITWAYE YEHOVA KAMA UNAPINGA SOMA MPAKA MWISHO KISHA JIBU MASWALI HAYAUjinga shida sana. Mohammed hakuwepo wakati wa Moses, Moses alikuwa myahudi na alikuwa kwa ajili ya wayahudi akawaokoa utumwani kusema Mohammed alikataliwa na wayahudi umechemka sababu Mohammed alikuwa mwarabu ukoo wa Ismael sio Jacob. Yesu alikuwa myahudi kwa Mama ndio wewe unasema Mesiah wayahudi ndugu zake wanasema alikuwa muhubiri tu Mesiah hajaja na kajanja Paulo ndio akaleta ukristo na wala hajawahi hata kukaa na Yesu alikuja na madai yake Mungu kanishukia kama kina Gwajima wanavyosema Mungu kawashukia na mnapiga vigeregere inuka kwa jina la Yesu inuka kwa jina Yesu acheni ujinga huo.
Paulo labda wa ubungo 🤣 🤣 🤣 🤣UNALETA HABARI ZA VICHOCHORONI, LETA USHAHIDI WAYAHUDI WAKIFANYIA IBADA MSIKITINI
HAO WATAKUWA WAYAHUDI FEKI
KILA SIKU MNADAI KUWA PAULO NDIYE KAANZISHA NANO WAKRISTO
SWALI KWENU JE ALLAH ALIIBA NENO WAKRISTO KUTOKA KWA PAULO NA WAPAGANI WA ANTIOKIA ? AMA KAIBA KUTOKA KWA NANI ? NAKWA NINI QURAN INASEMA WAKRISTO NI WACHAMUNGU?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
QURAN YA TAFASIRI YA AL-BARWAN UKRASA 987 PAULO ALITUMWA NA MWENYEZI MUNGU MJI WA ANTIOKIA USHAHIDI HUU SOMA QURAN ZENU HIZI HAPA
YESU NAYE KASEMA WATU WAKE WANAOMFUATA WANAITWA WAKRISTO
Marko 9:41Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, kwa kuwa ninyi ni watu wa Kristo, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake.”![]()
![]()
![]()
NDIYO MAANA WAARABU WALIKUWA WAKRISTO KABLA YA KUZALIWA MUHAMMAD NA KABLA YA QUR-AN KUANDIKWA MWAKA 622 USHAHIDI HUU HAPA NA KABLA YA MAPINDUZI YA KIJESHI KUFANYWA NA MUHAMMAD ABDULLAH MUTTALIB MWAKA. 625 -628 AKAUA NA KUTEKA MAKKAH YOTE
View attachment 1794804
WAARABU WALIKUWA WAKRISTO KABLA YA KUZALIWA MUHAMMAD NA KABLA YA QUR-AN KUANDIKWA MWAKA 622 USHAHIDI HUU HAPA
Matendo ya Mitume 2 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Hata ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja.
² Kukaja ghafula toka mbinguni uvumi kama uvumi wa upepo wa nguvu ukienda kasi, ukaijaza nyumba yote waliyokuwa wameketi.
³ Kukawatokea ndimi zilizogawanyikana, kama ndimi za moto uliowakalia kila mmoja wao.
⁴ Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
¹¹ Wakrete na #Waarabu; tunawasikia hawa wakisema kwa lugha zetu matendo makuu ya Mungu.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Huyo Paulo wa ubungo hakuwa hata mwanafunzi wala hamjui Yesu acha ujinga kawaingiza chaka eti Bulus Paulo aliyesema nani. Wewe kubali jamaa kawazidi akili dini zote hawamjui Paulo wako hakuna mtume baada ya Yesu kaja Mohammed hakuna katikati hapo wengine wahubiri tu wanafunzi ila Paulo hakuwepo hata katika wanafunzi.SASA MTUME PAULO HUYU HAPA NDANI YA QURAN BILA CHENGA NA NDIYE ALITUMA NA WENZAKE ANTIOKIA Quran 36:14-21;![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
WAISLAMU KUANZIA LEO MNAPOSHAHADIA WEKENI KWENYE SHAHADA NA JINA LA PAULO MAANA ALLAH KAMTAJA KUWA NI MTUME WAKE ALIMTUMA ANTIOKIA NDANI YA QUR-AN YENU
Quran 36:14-21 Paulo Katajwa kuwa ni mtume wa Mwenyezi Mungu kama unapinga
SWALI
Tutajie Mitume watatu waliotumwa na Mwenyezi Mungu na utwambie walitumwa mji upi ,piga PICHA vitabu Vya QURANI TUSOME hapa?
HAPA KAMA NILIVYO WEKA MIMI
PAUL NI MTUME WA MWENYEZI MUNGU
SOMA USHAHIDI HUU NDANI YA QUR-AN YAKO![]()
Quran 36:14-19![]()
14. Na uwapigie methali ya wenyeji wa mji Mitume walipoufikia.
15. Tulipowapelekea (mitume)wawili nao wakawakadhibisha, basi Tukawazidishia nguvu kwa (Mtume) wa tatu: nao walisema: Kwa yakini sisi tumetumwa kwenu
16. Wakasema: Ninyi si cho chote ila ni watu kama sisi, wala Mwenyezi Mungu Hakuteremsha cho chote; ninyi mnasema uwongo tu.
17. Wakasema: Mola wetu Anajua bila shaka sisi tumetumwa kwenu.
18. Wala si juu yetu ila kufikisha (ujumbe) waziwazi.
19. Wakasema: Hakika sisi tunapata bahati mbaya kwa sababu yenu: kama hamtaacha kwa yakini tutawapigeni mawe, na bila shaka itawafikieni kutoka kwetu adhabu iumizayo.
20. Wakasema: Bahati yenu mbaya i pamoja nanyi: je! kwa kuwa mnakumbushwa? Bali ninyi ni watu wapitao kiasi.
21. Na akaja mtu mbio kutokea upande wa mbali wa mji, akasema: Enyi watu wangu, wafuateni Mitume
Ufafanuzi ya Qur'ani hiyo
KWA KIARABU
(عندما أرسلنا إليهما رسلان حرمهما كليهما ؛) يعني سرعان ما كفروا بهما.
(لذلك قمنا بتدعيمهم بثالث ،) يعني ، `` لقد دعمناهم وعززناه برسول ثالث. وروى ابن جريج عن وهب بن سليمان عن شعيب الجبععي: "أسماء الرسولين الأولين شمعون (سيمون) ويوحنا (يوحنا) واسم الثالث بولس (بولس). ) ، وكانت المدينة أنطاكية (أنطاكية).
(eindama 'arsalna 'iilayhima rslan haramahuma kulihima yaeni srean ma kafaruu bihima.
(ldhulk qumna bitadeimihim bithalith ,) yaeni , `` laqad daeamnahum waeazaznah birasul thalithin. warawaa abn jarij ean wahab bin sulayman ean shueayb aljbeey: "asima' alrasulayn al'awalin shimeun (syumuna) wyuhnaa (ywhna) waism alththalith bwls (bwls). ) , wakanat almadinat 'antakia (antakiat
https://www.answering-islam.org/Shamoun/christs_apostles.htm
KWA KINGEREZA
(When We sent to them two Messengers, they denied them both😉 means, they hastened to disbelieve in them.
(so We reinforced them with a third,) means, `We supported and strengthened them with a third Messenger. ' Ibn Jurayj narrated from Wahb bin Sulayman, from Shu`ayb Al-Jaba'i, "The names of the first two Messengers were Sham`un(Saimon) and Yuhanna (Yohana ), and the name of the third was Bulus(Paul ), and the city was Antioch (Antakiyah).
KWA KISWAHILI
Tulipowatuma Mitume wawili, nao wakawakanusha😉 inamaanisha, waliharakisha kuwakataza.
(kwa hivyo tuliwaimarisha kwa theluthi,) inamaanisha, `Tuliwaunga mkono na tukawatia nguvu na Mjumbe wa tatu. Ibn Jurayj alielezea kutoka kwa Wahb bin Sulayman, kutoka Shu`ayb Al-Jaba'i, "Majina ya Wajumbe wawili wa kwanza walikuwa Sham`un (Saimon) na Yuhanna (Yohana), na jina la wa tatu alikuwa Bulus (Paul ), na mji ulikuwa Antiokia (Antakiyah).
Kwa sasa alisema kuwa Ibn Jurayjqubo Mitume watatu (3) aliandika hivi kwa njia ya kwanza ya Simon, aliacha kuchagua Yohana na watatu ni Paulo kwa kiunga Paulo anaitwa Bulus walitumwa mji wa Antiokia
View attachment 1794817
Acha tufichue ukweli mnao fichwa kanisani kuwa Muhammad ni naniMUHAMMAD HAJATOKA KWA ISHMAELI WALA WATOTO WA ISHMAEL HAWAKUWA WACHA MUNGU WA BABA YAO AITWAYE YEHOVA KAMA UNAPINGA SOMA MPAKA MWISHO KISHA JIBU MASWALI HAYA
1. BABA NA BABU WA MUHAMMAD WANATOKEA KWA MTOTO YUPI KATI YA WATOTO HAO 12 WA ISHMAELI?
2. KATI YA HAO WATOTO 12 WA ISHMAELI YUPI ALIKUWA NI NABII WA MUNGU ILI KUENDELEZA AGANO LA MUNGU?
3. KATI YA WATOTO 12 WA ISHMAELI YUPI ALISHAHADIA SHAHADA KUWA YEYE NI MWISLAMU ?
4: AYA IPI HUYU ISHMAELI ALIMWABUDU MUNGU WA BABA YAKE NDANI YA VITABU VYA MANABII, TORATI,ZABURI NA INJILI KABLA YA QURAN YA KUANDWA NA MASWAHABA MWAKA 610-622 B.K?
5: LETE MAJINA YA WATOTO 12 WA ISHMAELI NDANI QURAN YAKO?
NATANGAZA KUWA UKOO WA MJAKAZI WA IBRAHIMU AITWAYE HAJIRI ,ISHMAELI MWENYEWE, WATOTO WAKE ISHMAELI 12 NA WATOTO WA IBRAHIMU KUTOKA KWA KETURA HAWAKUMWABUDU MUNGU WA BABA YAO AITWAYE YEHOVA USHAHIDI HUU HAPA ANABISHA AJITOKEZE AJIBU MASWALI HAPO JUU
--------------------------------
KIZAZI CHA IBRAHIMU KWA MJAKAZI WAKE HAJIRI KWA MTOTO AITWAYE ISHMAELI
HIKI NDICHO KIZAZI CHA ISHMAELI YAANI MASEYIDI 12 ALIOHIDWA KUZAA:
Mwanzo 25:12-15![]()
12 Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli, mwana wa Ibrahimu, ambaye Hajiri, Mmisri, mjakazi wa Sara, alimzalia Ibrahimu.
13 Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni
WATOTO 12 WA ISHMAELI
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
1:Nebayothi. 2:
Kedari. 3:
Abdeeli. 4
Mibsam. 5
Mishma 6
Duma![]()
7Masa.
8 Hadadi.
9 Tema,
10 Yeturi
11: Nafishi
12 Kedema.![]()
UMEISHIWA HOJA? UNAMFANANISHA PAULO NA MUDY?Paulo labda wa ubungo 🤣 🤣 🤣 🤣
QURANI NGAPI INAELEZA HUO UKOO KUTOKA KWA ISHMAELI HADI KWA MUDY?Acha tufichue ukweli mnao fichwa kanisani kuwa Muhammad ni naniView attachment 1794855
Wewe tu umbumbu wako wako nabii ISAYA alishatabiri ujio wa mtume Muhammad kabla hata Yesu hajazaliwaMUHAMMAD HAJATOKA KWA ISHMAELI WALA WATOTO WA ISHMAEL HAWAKUWA WACHA MUNGU WA BABA YAO AITWAYE YEHOVA KAMA UNAPINGA SOMA MPAKA MWISHO KISHA JIBU MASWALI HAYA
1. BABA NA BABU WA MUHAMMAD WANATOKEA KWA MTOTO YUPI KATI YA WATOTO HAO 12 WA ISHMAELI?
2. KATI YA HAO WATOTO 12 WA ISHMAELI YUPI ALIKUWA NI NABII WA MUNGU ILI KUENDELEZA AGANO LA MUNGU?
3. KATI YA WATOTO 12 WA ISHMAELI YUPI ALISHAHADIA SHAHADA KUWA YEYE NI MWISLAMU ?
4: AYA IPI HUYU ISHMAELI ALIMWABUDU MUNGU WA BABA YAKE NDANI YA VITABU VYA MANABII, TORATI,ZABURI NA INJILI KABLA YA QURAN YA KUANDWA NA MASWAHABA MWAKA 610-622 B.K?
5: LETE MAJINA YA WATOTO 12 WA ISHMAELI NDANI QURAN YAKO?
NATANGAZA KUWA UKOO WA MJAKAZI WA IBRAHIMU AITWAYE HAJIRI ,ISHMAELI MWENYEWE, WATOTO WAKE ISHMAELI 12 NA WATOTO WA IBRAHIMU KUTOKA KWA KETURA HAWAKUMWABUDU MUNGU WA BABA YAO AITWAYE YEHOVA USHAHIDI HUU HAPA ANABISHA AJITOKEZE AJIBU MASWALI HAPO JUU
--------------------------------
KIZAZI CHA IBRAHIMU KWA MJAKAZI WAKE HAJIRI KWA MTOTO AITWAYE ISHMAELI
HIKI NDICHO KIZAZI CHA ISHMAELI YAANI MASEYIDI 12 ALIOHIDWA KUZAA:
Mwanzo 25:12-15![]()
12 Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli, mwana wa Ibrahimu, ambaye Hajiri, Mmisri, mjakazi wa Sara, alimzalia Ibrahimu.
13 Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni
WATOTO 12 WA ISHMAELI
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
1:Nebayothi. 2:
Kedari. 3:
Abdeeli. 4
Mibsam. 5
Mishma 6
Duma![]()
7Masa.
8 Hadadi.
9 Tema,
10 Yeturi
11: Nafishi
12 Kedema.![]()
USIMFANANISHE PAULO MTUME WA MUNGU NA MUDY MTUME WA SHETANIHuyo Paulo wa ubungo hakuwa hata mwanafunzi wala hamjui Yesu acha ujinga kawaingiza chaka eti Bulus Paulo aliyesema nani. Wewe kubali jamaa kawazidi akili dini zote hawamjui Paulo wako hakuna mtume baada ya Yesu kaja Mohammed hakuna katikati hapo wengine wahubiri tu wanafunzi ila Paulo hakuwepo hata katika wanafunzi.