Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Issa wa Quran na Yesu wa biblia ni hadithi za kubuniwa tu hakuna dunia hii mtu azaliwe bila ya baba
Kama Issa alikuwahi kuwa mtu kwa vyovyote atakuwa anae baba yake tu duniani na huyo Yesu wa biblia kama aliwahi kuishi duniani kwa hali yoyote atakuwa ana baba duniani na wote wawili walishakufa na hawataweza kurudi tena cha ajabu kuna watu wanawasubiri
 
Sijui kwanini Qu-aran ilipiga hi u-turn kwa jina la Yesu, tukumbuke Qu aran imekuja miaka zaidi ya 600 tokea Biblia kuwepo, wakati Qu aran inakuja, tayari kulikua na Biblia za lugha ya Kiarabu, Biblia za Kiarabu, hazimtaji Yesu kama Nabii Issa, zinamtaja Yesu kama YASU, angalia vizuri, Kiswahili, Yesu, Kiarabu Yasu, Kingereza Jesus; sasa hili la Nabii Issa ni lugha gani?
Weka hoja vizuri niielewe mimi mana pengine wewe umejielewa umejengea hoja nini.

Ila mimi sijaelewa hoja yako ipi hasa katika comment hii
 
Weka hoja vizuri niielewe mimi mana pengine wewe umejielewa umejengea hoja nini.

Ila mimi sijaelewa hoja yako ipi hasa katika comment hii
Jina Issa Muhammad alilitoa wapi? swali la ziada tunaona issa alikuwepo kabla ya muhammad, ni vitabu gani kabla ya muhammad tunaweza kumsoma issa
 
Mi sijaona swali hapo Quran haiwezi kuandikwa kama unavyo taka wewe

Quran 2-27.
Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi ya ile Nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi.

128.
Ewe Mola Mlezi wetu! Tujaalie tuwe ni wenye kusilimu kwako, na pia miongoni mwa vizazi vyetu wawe umma ulio silimu kwako. Na utuonyeshe njia za ibada yetu na utusamehe. Bila shaka Wewe ndiye Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.

129.
Ewe Mola Mlezi wetu! Waletee Mtume anaye tokana na wao, awasomee Aya zako, na awafundishe Kitabu na hikima na awatakase. Hakika Wewe ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.

Huyo ni nabii Ibrahim na mwanawe Ishmael walipo maliza kujenga msikiti wa Maka nchini Saudi Arabia ya sasa wakamuomba Mungu alete mtume anaetokana na vizazi vya Ishmael

Mwanzo 25:13
Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
Mwanzo 25:14
na Mishma, na Duma, na Masa,
Mwanzo 25:15
na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.
Mwanzo 25:16
Hao ndio wana wa Ishmaeli, na hayo ni majina yao, katika miji yao, na katika vituo vyao, maseyidi kumi na wawili kwa kufuata jamaa zao.

Nakuwekea Family tree ya watoto wa Ishmael kuanzia Kedar hadi Muhammad na ramani ili kuonyesha kuwa hao watoto wa Ishmael waliishi Saudi Arabia
K
Wewe labda upinge kuwa Kedar sio mtoto wa Ishmael na pia vizazi vya Ishmael hajawahi kuishi Saudi Arabia

Zaidi yahapo nenda tu kanisani ukaimbe na kupiga makofi usubiri siku yako ya kufa upelekwe Jahanam
View attachment 1795383View attachment 1795385

Kuna mshikaji mmoja alizaliwanakakuta jamii yake inaabudu jiwe lakini aliokuwa anakwenda kwenye nchi njingine akiambatana na wajomba zake akakuta zile nchi tayari zinamjua Mungu mmoja na kitabu cha muongozo tayari kipo

Jamaa alikuwa hajui kusoma wala kuandika ila alikuwa ni bingwa wa kukariri , akameza vifungu aliporudi kwenye jamii yake akachukua vila vifungu akachanganya na vyake sambamba na kubadili baadhi ya story , mfano pale ibrahim alipotaka kumchinja mwana wake wa ahadi na wapekee kutoka kwa mke wa ujana wake SARAT yeye akaandika kuwa alitaka kumtoa sadaka mwana wa mjakaza ( housegirl) Ismael aliyezaliwa na hijir baada ya kushawishiwa na mkewe sara baada ya kuona wanaufikia uzee bila mtoto na ahadi ya Mungu ya kupata mtoto wa ndoa wakadhani ni magumashi
 
Kwa nini unategemea biblia kuelezea korani yako?
Wewe nani alikuambia kuwa Tourat ni kitabu cha wakristo?

Tourat
Zaburi
Injili
Quran
Hivi vyote ni vitabu vya waislam ndio maana unaona tuna copy na Ku pest bila ya shida

Nyinyi wakristo vitabu vyenu ni Tito, waefeso, Wagalatia, wakolitho mlipo vipata mnajua wenyewe sisi hatujui
 
Lakini hapa wameulizwa waisilamu, sio Wayahudi. Sasa mbona umewajibia watu ambao swali halikuelekezwa kwao?
Mimi nikiongea kama muislam itakuwa naonesha upendeleo maneno yangu hayana nguvu sasa ukitaka maoni ya waislamu ni wazi kuwa agano jipya ni false na Paul hayuko katika uislamu kabisa sasa nimechukuwa upande mwingi wa dini watu ambao wakristo wanaona wenzao zaidi jews na wao wanasema Paul ni false ila wale wameenda mbali hata Yesu wanasema sio Messiah kwani Messiah bado hajaja ila sisi waislamu tunaamini Yesu ila siyo yale aliyoleta Paul baadae. ndio maana nime quote third party Jews maoni kama mimi hayana nguvu.
 
Lakini hapa wameulizwa waisilamu, sio Wayahudi. Sasa mbona umewajibia watu ambao swali halikuelekezwa kwao?
hakuna swali limeulizwa kwa waislamu nilichoongea hapa wengi hawa jamaa zangu wanaobandika au ku support jews wanauelewa mdogo wakidhani mayahudi wanawakubali lakini katika watu wasiokubali wakristo ni mayahudi wamemkataa Yesu na zaidi wanasema Paul ndio majanga ndiye alileta hii dini mpya na sisi waislamu hatujui mtu Paul hayuko kwetu.
 
Wewe nani alikuambia kuwa Tourat ni kitabu cha wakristo?

Tourat
Zaburi
Injili
Quran
Hivi vyote ni vitabu vya waislam ndio maana unaona tuna copy na Ku pest bila ya shida

Nyinyi wakristo vitabu vyenu ni Tito, waefeso, Wagalatia, wakolitho mlipo vipata mnajua wenyewe sisi hatujui
Acha kujifurahisha , zaburi , injili ya ISSA za waislamu naomba nipe ata sura moja moja , niwe mwislamu leo
 
Weka hoja vizuri niielewe mimi mana pengine wewe umejielewa umejengea hoja nini.

Ila mimi sijaelewa hoja yako ipi hasa katika comment hii
Najaribu kusema kwamba Yesu wa kwenye Biblia, sio Issa bin Mariamu wa kwenye Qu aran. Qu aran ni Kiarabu kwa sehemu kubwa, Biblia za Kiarabu hizo hizo hazim address wa nabii Issa kwa jina hilo, zinamtaja kama Yasu, huyu nabii Issa labda ni mtume mwingine ambaye hatuji hasa aliandikwa kwenye kitabu gani, remember kwa Qu aran, huyu nabii Issa historia yake haijaandikwa kwa marefu na mapana, is like Qu aran inatutaka wasomaji wake twende kwenye vitabu vingine vitakatifu ambavyo haijavisema ni vipi hivyo
 
Yesu Siyo Issa
Ni kweli Yesu siyo Issa ,lakini pia Yesu siyo Jesusu !
Je neno Yesu limetoka wapi na Jesus limetoka wapi ? na Issa limetoka wapi?

Ikiwa Mimi jina langu naitwa Kombo, inakuwje niitwe kikombe?
au nii twe Komba?
So what was his name? Huyu Mwana wa Mariam asiye na baba ,aliyezaliwa kwa Neo la Mungu ka Kuwa na akawa?
 
Baba yake ni nani ?

Moja ya maajabu ya Mola Muumba ndo hayo... Mariam alipandikiziwa mimba bila kuingiliwa na mwanaume yoyote... Hivyo, logically, Issa ( Yesu) hana baba....
Aliingiliwa lazima ww mtu anashikaje mimba bila kupandwa?
 
.
Jina Issa Muhammad alilitoa wapi?
Alilitoa kwenye Qurani aliyoteremshiwa na Mola wake kwani muhammad yeye hakuwa anajitungia habari wala majina,yeye alinukuu Qurani.
swali la ziada tunaona issa alikuwepo kabla ya muhammad,
Naam Qurani imesimulia hayo.
ni vitabu gani kabla ya muhammad tunaweza kumsoma issa
Nabii issa alishushiwa injili kea mujibu wa Qurani.

Hivyo nabii issa katajwa na injili yake aliyoshushiwa.

Nimekujibu kwa mujibu wa nilivyoisoma Qurani
 
Najaribu kusema kwamba Yesu wa kwenye Biblia, sio Issa bin Mariamu wa kwenye Qu aran. Qu aran ni Kiarabu kwa sehemu kubwa, Biblia za Kiarabu hizo hizo hazim address wa nabii Issa kwa jina hilo, zinamtaja kama Yasu, huyu nabii Issa labda ni mtume mwingine ambaye hatuji hasa aliandikwa kwenye kitabu gani, remember kwa Qu aran, huyu nabii Issa historia yake haijaandikwa kwa marefu na mapana, is like Qu aran inatutaka wasomaji wake twende kwenye vitabu vingine vitakatifu ambavyo haijavisema ni vipi hivyo
Umeongea sana.

Kwani mimi wapi nimemtaja huyo yesu hapa mkuu ?

Mada mezani ni issa bin maryam.

Wewe unaniletea hoja za yesu wapi na wapi mkuu.

Mtafute ambae kaleta hoja sa yesu ufanye nae mjadala mkuu mimi sikumtaja yesu katika hii thread na wala sijasema yesu ni issa.
 
Jina Issa Muhammad alilitoa wapi? swali la ziada tunaona issa alikuwepo kabla ya muhammad, ni vitabu gani kabla ya muhammad tunaweza kumsoma issa
Kitabu hicho kinasema ukiona mambo huyelewi uliza vitabu vilivyokuwepo kabla yake yaani injili, zaburi na torati.I injili hasa ya Yohana iko wazi kuhusu uungu wa Yesu. Kwangu Mimi issa bin Mariam ni distorted explanations of Jesus Christ of the Bible. Ni sawa ikiandikwa Hadith ya Nyerere Nigeria inayosema alizaliwa dar, akafia muhimbili. Ila ukija Tanzania utakutana na maandiko yanasema wazi kazaliwa mwitongo na kafia st Thomas UK. Ntawaamini wayahudi zaidi ya Yesu wa uarabuni.
 
We unachekesha sana hicho kitabu cha Yohana kilichosema Yesu ni Mungu na wewe ndio unakiamini huyo mwandishi aliyoandika hicho kitabu hadi Leo hi bado hajulilikani

Yani hadi Leo hii kanisa na waumini wake ambao ndio nyinyi wakristo mwandishi aliyeandika kitabu cha Yohani hamumjui

We may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning “seen together”—the parallels are clear when they are looked at side by side. Matthew and Luke follow the version of events in Mark, which is thought by scholars to be the earliest and most historically accurate Gospel. John, however, does not include the same incidents or chronology found in the other three Gospels, and the fact that it is so different has spurred a debate over whether John’s Gospel is historical or not, something that has been noted in Gospel of John commentary for hundreds—even thousands—of years.
 
Back
Top Bottom