Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Yohana 1:1
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
Yohana 1:2
Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
Yohana 1:3
Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.

Maneno ya Yesu yanapatikana kuanzia Yohana 1:38 lakini Kuanzia Yohana 1:1 hadi Yohana 1:37 ni mane ya mwandishi ambae hadi Leo hii hajulikani ni nani in Short imeingizwa chaka
 
Yesu siyo Issa.
Issa ni nabii wa Kiislamu. Sisi wakristo hatumtambui Issa.
Hushawahi kuona wakristo wanamuita Yesu km Issa?
Ignorance alikuwa nayo yule mtume ambaye alikuwa hajui kusoma na kuandika. Mm najua kusoma na kuandika kwahiyo huwezi kunidanganya kwa lolote.
Pole sana.
Narudia tena. Yesu siyo Issa
We jamaa umekariri vibaya hicho kitabu chenu biblia na unajibu kwa jazba na pasipo maarifa. Hayo unayoyazungumza wewe ni utofauti wa majina ya huyo Yesu/Issa ktk vitabu viwili lakini wakimkusudia mtu mmoja yule yule. Hiyo haina tofauti na watu ama manabii na malaika wanavyoitwa ndani ya Quran tukufu na biblia. Mfano. Malaika Jibril(Quran) ndio huyo huyo anaitwa Gabriel (biblia), Mussa vs. Moses, Nuhu vs. Noah, Is haka vs. Isaka nakadhalika. Yesu amefafanuliwa uzao wake tangu bibi yake (mama wa Mariam) ambaye aliomba Mungu amjaalie mtoto baada ya kukaa hadi uzee bila mtoto siku alipoona ndege mtini akilisha watoto wake..quran inaendelea hadi kuelezea Habari za Mariam na kisha sura kamili kumuhusu Yesu; Quran ikimtaja kama Issa Mtoto wa Mariam na maisha yake yote hadi alipoondola duniani. Biblia ina mambo mengi yaliyopindishwa ukweli wake ili kukidhi matakwa ya watu ila Quran haijawahi chakachuliwa na yenye kueleza ukweli tupu. Kiongozi wa waislamu ni Mtume Muhammad (saw), wala si Issa. Isipokuwa waislam wanawaamini mitume wote wa Mwenyeji Mungu hata wale wa kabla ya Muhammad akiwemo Isaa/Yesu. So quran ni version ya mwisho kabisa ktk vitabu vya Mungu ambavyo ni Tawrat, zabur, injil na baadae ndipo ikaja quran. Ndio maana mambo yoote ya nyuma utayakuta ndani ya Quran lakini sio yote yaliyomo ndani ya quran utayakuta kwenye vitabu vya kabla au hata Biblia.
 
Kiufupii tuu, huyo yesu,jesus, issa wa marium hawa wote ni imaginary characters made by roman Catholic for the aim of brainwashing and hiding the truth from ancients Africans...kwa kifupi tuu iko hivi kristo maana yake mkombozi, unapsema yesu christo maana yake yesu mkombozi, na unaposema jesus christ maana yake ni uyo uyo yesu mkomboz, lakn unalotumia neno Christ kiwakilish cha sifa unakuwa hujamtaja uyo yesu,,unachotakiwa kujua ni kwamba walikuwepo akina christ weeng sana kabla ya miaka 2000 ya jesus wa kizungu,, kuna krisshna uyu nae ni christ toka ktk nchi za india zenye kuabudu uhindu, uyu nae kulngana na mafundisho yao alizaliwa bila baba, alikuwa halm-man half god nae alikuwa mkombozi wa jamii hiyo, kumbuka apa ni miaka zaid ya 3000 kabla ya kuzaliwa uyo yesu, pia kuna zeus uyu nae ndio wale wale alizaliwa bioa baba nae alikuwa christ yaan mkombo, kuna weengi sana akina christ,pia Afrika japo hapa pachungu aliwahi kuwako Christo aliekuja kuikomboa afrika zidi ya udharimu wa shetan na ushetan wa mtu mweuoe kwa zaidi ya miaka6000 na huyu ndie alikuwa krist wakwanza kabla ya ao woote kuja,huyu alikuwa na wafuasi weengi san, alitenda meengi sana, huyu kwa utambulisho wake aliitwa(jokisabe ama kudumane mula), huyu alifanyiwa hujuma na kuuwawa na wazungu kwasabbu alikuwa akitoa mambo yaliyowauzi,.. na kipind cha new era ndipo akaja christo uyo wa kizungu mbaemuabudu wengine mnamuita issa, chakujiuliza kwann huyu christ wa miaka 2000 alikopi sifa za makristo wa miaka mingi kabla yake??,je uyo aliemtuma hakuwa na njia mbadara zaid ya kuwakopi krist waliopita??...na hao christ wote walikop sifa toka kwa christ uyo aliekuja Afrika,,,sasa bas baada ya ukristo kuanza awo waroma ndio waliunda bible, na ndio waliunda jina la christ feki ili kuarbu uhusika wa kristo wa kiafrika, kuanzia jina na mahala pake pa kuish ikiwepo na historia yake ilibadilishwa kwa kuchukua jina la pepo mmoja alieanguka na shetan ndipo akapewa uo uhusika,,ivyo bas jesus chris,yesu christo ni kopi ya christo kudumane ambye nae ni half man son of Superior power,,huyo christ jesus nae ni mwana wa lusifa, ni pepo lenye nguvu ambalo linacheo kikubwa, ndilo hucontrol dini zote, aina zote za mafundisho ya kidini,, yaan limepewa mamlaka na. Babayake shetan kufanya mambo na kukopi Uungu wa Mungu wa kwel kwa kufanya miujiza,kuponya,kutoa pepo,kubariki,kuponya magonjwa na hata kuwa hadaa watu ndoton kwa kuwapeleka mbingu feki,na yotehaya ufanyika ili kuwahadaa watu na kuwadanganya wasijue nn kipo nyumba ya pazia,,jua kuwa the name of jesus have the power to cure all spiritual problems through the superstition from Satan, jesus is the son of lusifa, jesus is a demon, the blood of jesus is the satanic sacrifice using to lies the world......SHETAN ALIPOSEMA ATAPANDA ZAID YA NYOTA ZA MBINGU NA KUJIFANANISHA NA MUNGU mulizan atapandeje?? Huu ni wakat mbaya na mbovu kulko nyakat zoote zilizowahi kuwako,maana watu wanaabudu wasichokijua bila kujua kuwa hawajui,,chaajabu zaid hata wachungaj hawahoji maana wanajua nn kipo nyuma yake, yeyote anaethubutu kuhoji hupuuzwa ama kufunguliwa mashitaka na kanisa kuwa anasambaza uongo,,shetan ana nguvu kubwa asikudanganye mtu na mafundisho uchwara....christo anaeabudiwa nyakat hizi ni feki, iw uyo issa bin marium ama uyo uyo yesu, hawa wotee ni mapepo tuu......Ukwel mchungu sana maana unaumaa....facts zipo nying sana
Assistive_shot_20210511_033422.jpg
 
Umeongea sana.

Kwani mimi wapi nimemtaja huyo yesu hapa mkuu ?

Mada mezani ni issa bin maryam.

Wewe unaniletea hoja za yesu wapi na wapi mkuu.

Mtafute ambae kaleta hoja sa yesu ufanye nae mjadala mkuu mimi sikumtaja yesu katika hii thread na wala sijasema yesu ni issa.
Wewe ndio umeleta hayo mambo ya Yesu, hebu rudia mchango wako wewe mwenyewe No 13 kasome tena
 
.

Alilitoa kwenye Qurani aliyoteremshiwa na Mola wake kwani muhammad yeye hakuwa anajitungia habari wala majina,yeye alinukuu Qurani.

Naam Qurani imesimulia hayo.

Nabii issa alishushiwa injili kea mujibu wa Qurani.

Hivyo nabii issa katajwa na injili yake aliyoshushiwa.

Nimekujibu kwa mujibu wa nilivyoisoma Qurani
Hii Injili aliyoshushiwa Issa wa Koran ipo wapi? Je kuna kitabu chochote nje ya Koran au Historia yoyote inayotaja kuwepo kwa Issa

Huyo Issa alishushiwa Injili kwa lugha gani?

Unasema Koran Ilishushwa na Mola, Maana yake ni maneno ya Mola moja kwa moja au?
 
Wewe ndio umeleta hayo mambo ya Yesu, hebu rudia mchango wako wewe mwenyewe No 13 kasome tena
Hujaelewa.

Wapi nimetajja yesu ikiwa kama kumfananisha na issa mwana wa maryam mpaka uniulize hayo maswali ?

Maswali ambayo umeuliza kana kwamba mimi nimemfananisha issa na yesu.

Mimi nimetoa mfano kwamba kama amnavyo yesu aliitwa yesu katika vitabu basi ndivyo issa aliitwa issa kwenye vitabu.

Na wala sikumtaja yesu kumfananisha na issa.
 
Hii Injili aliyoshushiwa Issa wa Koran ipo wapi?
Sijui wka sasa iko wapi.

Sijawahi kuiona naisoma tu kwenye Qurani.
Je kuna kitabu chochote nje ya Koran au Historia yoyote inayotaja kuwepo kwa Issa
Sijawahi kusikia kitabu kingine kikimtaja issa huwenda kip au hakipo
Qurani ni masimulizi ya Mola ambayo yametaja wahusika mbalimbali na kunukuu kauli za mahusika hao.

Lakini anayesimulia ni mola mwenyewe.

Kama mimi na wewe tukisimulia jambo tutawanukuu watu maneno yao ndani ya simulizi hiyo lakini msimuliaji utabaki kuwa wewe.
 
Mie naomba kujuzwa
Issa bin Mariam=kiarabu
Yesu =Kiswahili
Jesus=kiingereza/kireno
Je Kwa lugha ya kwao Israel alikuwa akiitwa nani?
Nalog off
 
Na wayahudi wanasema hivyo hivyo Yesu alikuwa muhubiri mzuri tu mjanja lakini hakuwa Mesiah kwao Mesiah
Baada ya kifo chake, yale maajabu yaliyotokea pale golgota wengi wa wayahudi waakaamini kwamba kweli alikuwa ni Mesiyah kweli.

Sababu kubwa ya kuamini kwao ni namna utabiri wa namabii wa kale karibia wote ULIVYOKAMILIKA.

Huyu ni Messiah aliyekuja duniani ili kukomboa dunia hii - kulikuwa hakuna njia nyingine yoyote bali Nafsi Moja na Mungu baba (Mungu Mwana) ishuke na izaliwe kama mwanadamu wa kawaidia ili watu waone na kuamini.

Baada ya ufufuo na ukalimisho wa utabiri wa manabii, watu wengi wakaokolewa kwa damu yake hence Ukristo ndipo ulipoanzia hadi leo ukristo duniani kote unazidi kupaa!!
 
Mie naomba kujuzwa
Issa bin Mariam=kiarabu
Yesu =Kiswahili
Jesus=kiingereza/kireno
Je Kwa lugha ya kwao Israel alikuwa akiitwa nani?
Nalog off
Yesu (kwa Kiebrania יֵשׁוּעַ, Yeshua, kifupisho cha יהושע‎, Yeoshua, yaani "Mungu anaokoa") alikuwa Myahudi mwanamume aliyeishi miaka 2000 hivi iliyopita (labda 6 KK - 30 BK).

Alizaliwa na bikira Maria kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, huko Bethlehemu ya Uyahudi. Maisha yake yalikuwa ya pekee kwa kuwa alifahamu vitu vingi kwa mfano: sheria hata kuwazidi walimu wa sheria japokuwa hakusomea sheria. Alifanya pia maajabu mengi.
 
Ahsante sana kwa elimu
Nalog off
 
Issa siyo Yesu
1. Yesu alizaliwa kwenye holi la ng'ombe wakati Issa alizaliwa chini mtende
2. Yesu alisurubiwa, akafa na siku ya 3 akafufuka wakati Issa hakusurubiwa, hakufa wala kufufuka.
3. Yesu alitumia Biblia. Alipewa kusoma kitabu cha Isaya na alibatizwa wakati Issa alitumia Quran na hakubatizwa.
Kwanini huwa mnang'ang'ania Yesu ni Issa? Siyo kosa lako sbb huwa mnakaririshwa.
Samahab
Lkn inaonesha dhahir kuwa ww ndo umakaririshwa tena ubaya zaid umekaririshwa matango pori

Rudi kwa alyekumezesha hzo forest cucumber alaf urud tena uje utapike matango
 
Hakuna cha samahani wala nini. Hakuna sehemu kwenye Biblia inayozungumzia habari za Issa.
Ulishaenda kanisa gani wanamhubiri Issa?
Yesu siyo Issa huo ndiyo ukweli japo ni mchungu lkn inabidi umeze hivyo hivyo.
Hapo unaishi na majirani zako wakristo? Nenda kawaambie Yesu ndiyo Issa uone watakavyokujibu.
Watu utakaowaambia Yesu ndiyo Issa wakaamini ni wale ambao siyo wakristo.
YESU SIYO ISSA.
Samahab
Lkn inaonesha dhahir kuwa ww ndo umakaririshwa tena ubaya zaid umekaririshwa matango pori

Rudi kwa alyekumezesha hzo forest cucumber alaf urud tena uje utapike matango
 
Uislamu na ukristo ni imani mbili tofauti.
1. Hakuna mkristo yoyote duniani anayetumia Quran km kitabu chake cha mafundisho
2. Wakristo wote duniani tunamuabudu Yesu kama mwokozi wetu. Ushaona kanisa gani wanamuabudu Allah na Issa?
Siyo kwa jazba ila ndiyo ukweli huo japo ni mchungu.
YESU SIYO ISSA.
We jamaa umekariri vibaya hicho kitabu chenu biblia na unajibu kwa jazba na pasipo maarifa. Hayo unayoyazungumza wewe ni utofauti wa majina ya huyo Yesu/Issa ktk vitabu viwili lakini wakimkusudia mtu mmoja yule yule. Hiyo haina tofauti na watu ama manabii na malaika wanavyoitwa ndani ya Quran tukufu na biblia. Mfano. Malaika Jibril(Quran) ndio huyo huyo anaitwa Gabriel (biblia), Mussa vs. Moses, Nuhu vs. Noah, Is haka vs. Isaka nakadhalika. Yesu amefafanuliwa uzao wake tangu bibi yake (mama wa Mariam) ambaye aliomba Mungu amjaalie mtoto baada ya kukaa hadi uzee bila mtoto siku alipoona ndege mtini akilisha watoto wake..quran inaendelea hadi kuelezea Habari za Mariam na kisha sura kamili kumuhusu Yesu; Quran ikimtaja kama Issa Mtoto wa Mariam na maisha yake yote hadi alipoondola duniani. Biblia ina mambo mengi yaliyopindishwa ukweli wake ili kukidhi matakwa ya watu ila Quran haijawahi chakachuliwa na yenye kueleza ukweli tupu. Kiongozi wa waislamu ni Mtume Muhammad (saw), wala si Issa. Isipokuwa waislam wanawaamini mitume wote wa Mwenyeji Mungu hata wale wa kabla ya Muhammad akiwemo Isaa/Yesu. So quran ni version ya mwisho kabisa ktk vitabu vya Mungu ambavyo ni Tawrat, zabur, injil na baadae ndipo ikaja quran. Ndio maana mambo yoote ya nyuma utayakuta ndani ya Quran lakini sio yote yaliyomo ndani ya quran utayakuta kwenye vitabu vya kabla au hata Biblia.
 
Uslamu ni dini ambayo haijakamilika yaani haijitoshelezi katika mafundisho yake. Kwasababu
1. Lugha inayotumika, inawapa ugumu wa kujua kile kilichoandikwa kwenye Quran
2. Kuwepo kwa watu wengi wasiojua kusoma Quran kwasababu ya lugha iliyotumika ya Kiarabu. Ili uweze kusoma Quran lazima ujue lugha ya Kiarabu.
3. Huwezi kuuelezea historia au manabii ktk dini ya Kislamu bila kurejelea kwenye The holy Bible.
Ukiwauliza waislamu Issa Bin Mariamu ni nani lazima wakimbilia kwenye Biblia lkn hawawezi kumuelezea Issa kutoka kwenye Quran.
Na hii inadhihiri kuwa waislamu wengi wanapata mafundisho ya kukaririshwa.
Mtoa mada ameuliza Issa Bin Mariam ni nani?
Tayari watu wanakimbilia kwenye Biblia kuwa ni Yesu kwasababu hawajui kilichoandikwa kwenye Quran. Nilitegemea wewe kama muislamu umuelezee Issa kutoka kwenye Quran cha ajabu umekimbilia kwenye The holy Bible. Inaonesha uelewa wako ni mdogo sana
Maswali
1. Unaweza kunionesha ni wapi kwenye Biblia wanamuelezea Issa Bin Mariam hata Allah?
Issa ni kwenye Quran
YESU ni kwenye Biblia
YESU SIYO ISSA.
Unaweza kuthibitisha kwamba Issa alitumia Qur'an ?

Wapi imeandikwa Issa alitumia Qur'an ?

Je, kama ametajwa kwenye Qur'an ndo inamaanisha kwamba ameitumia ?
 
Uslamu ni dini ambayo haijakamilika yaani haijitoshelezi katika mafundisho yake. Kwasababu
1. Lugha inayotumika, inawapa ugumu wa kujua kile kilichoandikwa kwenye Quran
2. Kuwepo kwa watu wengi wasiojua kusoma Quran kwasababu ya lugha iliyotumika ya Kiarabu. Ili uweze kusoma Quran lazima ujue lugha ya Kiarabu.
3. Huwezi kuuelezea historia au manabii ktk dini ya Kislamu bila kurejelea kwenye The holy Bible.
Ukiwauliza waislamu Issa Bin Mariamu ni nani lazima wakimbilia kwenye Biblia lkn hawawezi kumuelezea Issa kutoka kwenye Quran.
Na hii inadhihiri kuwa waislamu wengi wanapata mafundisho ya kukaririshwa.
Mtoa mada ameuliza Issa Bin Mariam ni nani?
Tayari watu wanakimbilia kwenye Biblia kuwa ni Yesu kwasababu hawajui kilichoandikwa kwenye Quran. Nilitegemea wewe kama muislamu umuelezee Issa kutoka kwenye Quran cha ajabu umekimbilia kwenye The holy Bible. Inaonesha uelewa wako ni mdogo sana
Maswali
1. Unaweza kunionesha ni wapi kwenye Biblia wanamuelezea Issa Bin Mariam hata Allah?
Issa ni kwenye Quran
YESU ni kwenye Biblia
YESU SIYO ISSA.
Lugha sio shida kwani kiarabu kinashabihiana na kiswahili na kinaeleweka tuu na muislam ambaye hataki kusoma ni motoni kwani aya ya kwanza imesisistiza ni lazima kusoma na uelewa maarifa mbalimbali
 
Uslamu ni dini ambayo haijakamilika yaani haijitoshelezi katika mafundisho yake. Kwasababu
1. Lugha inayotumika, inawapa ugumu wa kujua kile kilichoandikwa kwenye Quran
2. Kuwepo kwa watu wengi wasiojua kusoma Quran kwasababu ya lugha iliyotumika ya Kiarabu. Ili uweze kusoma Quran lazima ujue lugha ya Kiarabu.
3. Huwezi kuuelezea historia au manabii ktk dini ya Kislamu bila kurejelea kwenye The holy Bible.
Ukiwauliza waislamu Issa Bin Mariamu ni nani lazima wakimbilia kwenye Biblia lkn hawawezi kumuelezea Issa kutoka kwenye Quran.
Na hii inadhihiri kuwa waislamu wengi wanapata mafundisho ya kukaririshwa.
Mtoa mada ameuliza Issa Bin Mariam ni nani?
Tayari watu wanakimbilia kwenye Biblia kuwa ni Yesu kwasababu hawajui kilichoandikwa kwenye Quran. Nilitegemea wewe kama muislamu umuelezee Issa kutoka kwenye Quran cha ajabu umekimbilia kwenye The holy Bible. Inaonesha uelewa wako ni mdogo sana
Maswali
1. Unaweza kunionesha ni wapi kwenye Biblia wanamuelezea Issa Bin Mariam hata Allah?
Issa ni kwenye Quran
YESU ni kwenye Biblia
YESU SIYO ISSA.
Pia kuhusu nabii Issa kaelezwa kuanzia ukoo wake katka sura 19 surat mariam na pia ndie nabii katajwa zaidi katka Quran hivyo si kweli kwamba tukitaka kumjua lazima tufuate bible..na katka biblia tunaamini kitu kinacchoshabihiana na Quran

Yan ili tuaminin verse ya biblia lazima iwe na rejea yake katka Quran takatifu so kitabu chetu kimetimia kwa mahitaji ya dini yetu na imekamilika kuongoza watu wenye kufikiri
 
Hawa wanaosisitiza Isa sio Yesu kwa sababu ya hitilagu za kimapokea baina ya Qur'an na Biblia, mbona siwasikii wakihoji Musa wa Qur'an na Musa wa Biblia, kadhalika Daudi, Yusuf, Adam, Suleiman hali ya kuwa hitalafu za kimapokeo zipo hata kwa hao?
Au ni ile agenda ya "uungu" wa Yesu ndo unazalisha hii hoja?
 
Back
Top Bottom