Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
UMEISHIWA HOJA? UNAMFANANISHA PAULO NA MUDY?

MUHAMMAD S.A.W ALIMSILIMISHA SHETANI NA KUWA WAISLAMU
----
Kitabu Asili ya Majini Ukurasa wa 20 INASEMA: Ni bahati mbaya kwamba #Adam na #Hawa hawakufanya jitihada za kumwezesha #Shetani na wanawe majini kuomba Msamaha kwa Mwenyezi Mungu, NI MTUME #MUHAMMAD TU NDIE ALIYE MSILIMISHA SHETANI AKAWA MUISLAMU.
➖
➖
➖
➖
➖
➖
➖
➖
➖
➖
➖
➖

SHETANI HUJA BAADA YA ADHANA KUWACHEZEA KATIKA NYOYO ZAO HADI WANASAHAU KUWA WAMEOMBA MARA NGAPI KATIKA MISIKITI
USHAHIDI TUNAPATA KATIKA KITABU CHA SALA NA ADHANA
[SHETANI HUKIMBIA ADHANA NA IKIISHA ANARUDI NDANI YA MISIKITI KUCHEZEA WAISLAMU KATIKA NYOYO ZAO HADI WANASAHAU KUWA WAMEOMBA MARA NGAPI KATIKA SALA ]
Alisimulia Abu Huraira:
Mjumbe wa Allah (ﷺ) alisema, "Adhana inapoita Shetani huchukua visigino vyake na hupitisha upepo kwa kelele wakati wa kukimbia kwake ili asisikie Adhana. Adhana inapokamilika kuita anarudi na tena anachukua visigino wakati Iqama(wito wa pili wa sala) hutamkwa na baada ya kukamilika kwake anarudi tena mpaka atanong'ona moyoni mwa mtu (kugeuza umakini wake kutoka kwa sala yake) na kumfanya akumbuke mambo ambayo hayakumbuki akilini mwake kabla ya sala na ambayo inamfanya asahau ameomba kiasi gani. "
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ يُوسُفَ، قَالَ أَخْبَرَنَا مَالِكٌ، عَنْ أَبِي الزِّنَادِ، عَنِ الأَعْرَجِ، عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ إِذَا نُودِيَ لِلصَّلاَةِ أَدْبَرَ الشَّيْطَانُ وَلَهُ ضُرَاطٌ حَتَّى لاَ يَسْمَعَ التَّأْذِينَ، فَإِذَا قَضَى النِّدَاءَ أَقْبَلَ، حَتَّى إِذَا ثُوِّبَ بِالصَّلاَةِ أَدْبَرَ، حَتَّى إِذَا قَضَى التَّثْوِيبَ أَقْبَلَ حَتَّى يَخْطُرَ بَيْنَ الْمَرْءِ وَنَفْسِهِ، يَقُولُ اذْكُرْ كَذَا، اذْكُرْ كَذَا‏.‏ لِمَا لَمْ يَكُنْ يَذْكُرُ، حَتَّى يَظَلَّ الرَّجُلُ لاَ يَدْرِي كَمْ صَلَّى ‏"‏‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 608
In-book reference : Book 10, Hadith 6
USC-MSA web (English) reference : Vol. 1, Book 11, Hadith 582
View attachment 1794860
Ndugu yangu Paulo hajatajwa sehemu yoyote alikuwa mission town mjanja kama Manara hana nafasi yoyote zaidi ya kudai yeye alishukiwa na jamaa wakamfuata ndugu zake wenyewe jews wanamuita tapeli wa dini mimi nani nikatae.
 
USIMFANANISHE PAULO MTUME WA MUNGU NA MUDY MTUME WA SHETANI

MUHAMMAD ANAKILI KUWA YEYE ANASHETANI USHAHIDI HUU HAPA TENA
Jabir alisimulia kwamba Mtume alisema: "Usimwingie Al-Mughibar (wanawake ambao mume wao hayupo), kwani kwa kweli Shaitan hupita kati yenu kama damu inavyopita." Tulisema: "Na wewe?" Akasema: "Na mimi, lakini Mwenyezi Mungu alinisaidia juu yake, kwa hivyo niko salama
Grade : Hasan (Darussalam)
Reference : Jami` at-Tirmidhi 1172
In-book reference : Book 12, Hadith 27
English translation : Vol. 1, Book 7, Hadith 1172
View attachment 1794874
Nafurahi sana ukimuita Paulo mtume hata hapa mtaani kwetu yuko mmoja pia anautwa Mtume Paulo
 
Wewe tu umbumbu wako wako nabii ISAYA alishatabiri ujio wa mtume Muhammad kabla hata Yesu hajazaliwa

Isaya 21:13
Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani.
Isaya 21:14
Waleteeni wenye kiu maji, Enyi wenyeji wa nchi ya Tema; Nendeni kuwalaki wakimbiao na chakula chao.
Isaya 21:15
Kwa maana wanakimbia mbele ya panga, Upanga uliofutwa, na upinde uliopindwa, Na mbele ya ukali wa vita.
Isaya 21:16
Kwa sababu Bwana ameniambia hivi, Katika muda wa mwaka, kama miaka ya mtu mwenye kuajiriwa, utaangamia utukufu wote wa Kedari.
Isaya 21:17
Na mabaki ya hesabu ya wavuta pinde, hao mashujaa wa Kedari watakuwa wachache; maana Bwana, Mungu wa Israeli, amenena neno hili.
View attachment 1794866
UMEKIMBILIA BIBLIA TENA KUJITETEA, QURAN HAIJAKAMILIKA?

MUDY NA NABII ISAYA WAPI NA WAPI?

UNAKIKUBALI KITABU CHA NABII ISAYA ?

QURANI NGAPI INAELEZA HUO UKOO KUTOKA KWA ISHMAELI HADI KWA MUDY?

KEDARI NI ADUI WA MUNGU WA ISRAEL
✔

(Isaya 21 )
------------
16 Kwa sababu Bwana ameniambia hivi, Katika muda wa mwaka, kama miaka ya mtu mwenye kuajiriwa, utaangamia utukufu wote wa Kedari.
17 Na mabaki ya hesabu ya wavuta pinde, hao mashujaa wa Kedari watakuwa wachache; maana Bwana, Mungu wa Israeli, amenena neno hili.
(Zabur 120 )
------------
1 Katika shida yangu nalimlilia Bwana Naye akaniitikia.
2 Ee Bwana, uiponye nafsi yangu Na midomo ya uongo na ulimi wa hila.
3 Akupe nini, akuzidishie nini, Ewe ulimi wenye hila?
4 Mishale ya mtu hodari iliyochongoka, Pamoja na makaa ya mretemu.
5 Ole wangu mimi! Kwa kuwa nimekaa katika Mesheki; Na kufanya maskani yangu Katikati ya hema za Kedari.

6 Nafsi yangu imekaa siku nyingi, Pamoja naye aichukiaye amani.
7 Mimi ni wa amani; Bali ninenapo, wao huelekea vita.

JIBUNI MASWALI BASI
 
Ndugu yangu Paulo hajatajwa sehemu yoyote alikuwa mission town mjanja kama Manara hana nafasi yoyote zaidi ya kudai yeye alishukiwa na jamaa wakamfuata ndugu zake wenyewe jews wanamuita tapeli wa dini mimi nani nikatae.
TAPELI HUYU HAPA ALIPEWA UTUME NA MKEWE

1621764276500.png
 
Ndugu yangu Paulo hajatajwa sehemu yoyote alikuwa mission town mjanja kama Manara hana nafasi yoyote zaidi ya kudai yeye alishukiwa na jamaa wakamfuata ndugu zake wenyewe jews wanamuita tapeli wa dini mimi nani nikatae.
Nani Mkweli kati ya khadija na Muhammad? Na je anayetoa utume ni Mke ama MWENYEZI MUNGU? WAPI KHADIJA ALIKUWAKO PANGONI 17/12
➖
➖
➖
➖
➖
➖
➖
➖
➖

Muhammad alisema Najikhofia nafsi yangu kuchezewa na shetani katika pango na kuniharibu akili yangu na kunizuga lakini mkewe khadija akasema hujachezewa na shetani bali Naapa UMESHAKUWA mtu wa uma huu :
Kitabu cha wakeze Mtume Wakubwa Na Wanawe Ukrasa 13-14

1621764431351.png
 
View attachment 1794889
Naona unatapatapa ngoja niandike kwa herufu kubwa PAULO NI JANJAJANJA ALIJIFANYA MSEMAJI WA YESU PERIOD. Eti Yesu kanitokea kwani Yesu Mungu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Mapovu 🤣 🤣 🤣 🤣
JIBU HOJA NDUGU AU UNADHANI UISLAMU HATUUJUI ?

Nani Mkweli kati ya khadija na Muhammad? Na je anayetoa utume ni Mke ama MWENYEZI MUNGU? WAPI KHADIJA ALIKUWAKO PANGONI 17/12

Muhammad alisema Najikhofia nafsi yangu kuchezewa na shetani katika pango na kuniharibu akili yangu na kunizuga lakini mkewe khadija akasema hujachezewa na shetani bali Naapa UMESHAKUWA mtu wa uma huu :
Kitabu cha wakeze Mtume Wakubwa Na Wanawe Ukrasa 13-14
 
HUTAKI HADITHI UNASEMA DHAIFU ILA UNATAKA NIAMINI MANENO YA MUHUNI TU, LETA VIDEO WAYAHUD WAKISWALI MSIKITINI , SIO POROJO

BUKHARI NI HADITHI DHAIFU ?

View attachment 1794761
Aisee Kuna Muda hua najisemea Bora mtu anayeabudu Mizimu ya kiafrica kuliko kukubali kuliamini huu upupu wa Mwamedi
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Naona unatapatapa ngoja niandike kwa herufu kubwa PAULO NI JANJAJANJA ALIJIFANYA MSEMAJI WA YESU PERIOD. Eti Yesu kanitokea kwani Yesu Mungu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
MUHAMMAD AKIMBIA KWA KUSHINDWA KUPONYA KIPOFU JE KWANINI MUHAMMAD HAKUFANYA MIUJIZA JE ALLAH HAKUMTAMBUA JAMANI?
😂
😂
😂

✔
Quran 80:1-2
1. Alikunja kipaji c ha uso Muhammad S.A.W na akageuka,
👈
👈

2. Kwa sababu alimjia kipofu! ili amponye
👈
👈

➖
➖
➖
➖
➖
Ufafanuzi wa Aya 1-2 Alikunja kipaji, yaani Mtume s.a.w. Siku moja alikuwa anawahubiria wakubwa wa Makka, na bwana mmoja kipofu, Abdullah bin Ummi Maktum alimkuta Mtume s.a.w anahubiri na akamsikia anaeleza, lakini juu ya hayo akataka Mtume amsikilize yeye. Jambo hili lilikuwa kinyume na adabu.
✊
✊
✊
✊
✊
✊
✊
PAULO NI MTUME BORA KULIKO MUHAMMAD WENU MAANA MUHAMMAD KUSHINDWA KUFANYA MIUJIZA HATA MMOJA

1621766114289.png
 
UMEKIMBILIA BIBLIA TENA KUJITETEA, QURAN HAIJAKAMILIKA?

MUDY NA NABII ISAYA WAPI NA WAPI?

UNAKIKUBALI KITABU CHA NABII ISAYA ?

QURANI NGAPI INAELEZA HUO UKOO KUTOKA KWA ISHMAELI HADI KWA MUDY?

KEDARI NI ADUI WA MUNGU WA ISRAEL
[emoji818]

(Isaya 21 )
------------
16 Kwa sababu Bwana ameniambia hivi, Katika muda wa mwaka, kama miaka ya mtu mwenye kuajiriwa, utaangamia utukufu wote wa Kedari.
17 Na mabaki ya hesabu ya wavuta pinde, hao mashujaa wa Kedari watakuwa wachache; maana Bwana, Mungu wa Israeli, amenena neno hili.
(Zabur 120 )
------------
1 Katika shida yangu nalimlilia Bwana Naye akaniitikia.
2 Ee Bwana, uiponye nafsi yangu Na midomo ya uongo na ulimi wa hila.
3 Akupe nini, akuzidishie nini, Ewe ulimi wenye hila?
4 Mishale ya mtu hodari iliyochongoka, Pamoja na makaa ya mretemu.
5 Ole wangu mimi! Kwa kuwa nimekaa katika Mesheki; Na kufanya maskani yangu Katikati ya hema za Kedari.

6 Nafsi yangu imekaa siku nyingi, Pamoja naye aichukiaye amani.
7 Mimi ni wa amani; Bali ninenapo, wao huelekea vita.

JIBUNI MASWALI BASI
Huna swali lolote la maana nichuki tu uliyopandikizwa na wazungu kuhusu mtume Muhammad ndio inakusumbua

Swali lako la maana lilikua Muhammad ametokana na mtoto gani wa Ishmael nimekuwekea family tree ya Ishmael inaonyesha ametokana na kizazi cha Kedar

Nakuongezea na ramani ya kale kukuonyesha kuwa hivyo vizazi vya Ishmael viliishi Saudi Arabia na kama huo mji wa Tema hadi Leo bado upo Saudi Arabia
Screenshot_20210523-104553.jpg
Screenshot_20210523-114931.jpg
 
Huna swali lolote la maana nichuki tu uliyopandikizwa na wazungu kuhusu mtume Muhammad ndio inakusumbua

Swali lako la maana lilikua Muhammad ametokana na mtoto gani wa Ishmael nimekuwekea family tree ya Ishmael inaonyesha ametokana na kizazi cha Kedar

Nakuongezea na ramani ya kale kukuonyesha kuwa hivyo vizazi vya Ishmael viliishi Saudi Arabia na kama huo mji wa Tema hadi Leo bado upo Saudi ArabiaView attachment 1794952View attachment 1794953
QURANI NGAPI INAELEZA HUO UKOO KUTOKA KWA ISHMAELI HADI KWA MUDY

QURAN HAIJAKAMILIKA? Wapi inamuelezea KEDARI hadi KWA mudy....

QURANI NGAPI INAELEZA HUO UKOO KUTOKA KWA ISHMAELI HADI KWA MUDY?

KEDARI NI ADUI WA MUNGU WA ISRAEL
✔

(Isaya 21 )
------------
16 Kwa sababu Bwana ameniambia hivi, Katika muda wa mwaka, kama miaka ya mtu mwenye kuajiriwa, utaangamia utukufu wote wa Kedari.
17 Na mabaki ya hesabu ya wavuta pinde, hao mashujaa wa Kedari watakuwa wachache; maana Bwana, Mungu wa Israeli, amenena neno hili.
(Zabur 120 )
------------
1 Katika shida yangu nalimlilia Bwana Naye akaniitikia.
2 Ee Bwana, uiponye nafsi yangu Na midomo ya uongo na ulimi wa hila.
3 Akupe nini, akuzidishie nini, Ewe ulimi wenye hila?
4 Mishale ya mtu hodari iliyochongoka, Pamoja na makaa ya mretemu.
5 Ole wangu mimi! Kwa kuwa nimekaa katika Mesheki; Na kufanya maskani yangu Katikati ya hema za Kedari.

6 Nafsi yangu imekaa siku nyingi, Pamoja naye aichukiaye amani.
7 Mimi ni wa amani; Bali ninenapo, wao huelekea vita.

JIBUNI MASWALI BASI
 
Hebu nieleze kwa urahisi mimi nasoma mambo ya history za kidini. Nimesema ikitokea wayahudi hawana sehemu ya kufanyia ibada wakakuta msikiti hautumini au wakaomba na wakaruhusiwa basi wanaweza kufanya ibada ya kiyahudi ila wayahudi hawaruhusiwe kuingia kanisani kwa kuamini kuwa makanisa wanaabudu masanamu kwani wamekatazwa katika dini yao kwa maana nyingine wanasema waislamu na wao wanatofauti lakini wote wanaamini Mungu mmoja lakini sio wakristo haya ni maneno ya Ma Rabbi wa kijews sio mimi nenda kafanye research. Jews wanawatizama wakristo kama Idol worshipers haya ndio maneno yao.

It is absolutely forbidden to enter a house of idol worship. Included in this prohibition is entering a Christian church or other kinds of houses of idol worship in the Far East. Nevertheless, there is no halachic prohibition to enter an Muslim mosque; this is especially true when this is being done in order to pray there, such as at the graves of our
Quran iliandikwa na nani ilihali mtume alikuwa hajui kusoma toka akiwa na miaka takribani 40. Km Issa ni mtume wa mapema kabla ya mohamad, hayo maneno au taarifa za issa alizitoa wapi?
 
Huyo Paulo wa ubungo hakuwa hata mwanafunzi wala hamjui Yesu acha ujinga kawaingiza chaka eti Bulus Paulo aliyesema nani. Wewe kubali jamaa kawazidi akili dini zote hawamjui Paulo wako hakuna mtume baada ya Yesu kaja Mohammed hakuna katikati hapo wengine wahubiri tu wanafunzi ila Paulo hakuwepo hata katika wanafunzi.
Baada ya Yesu ( aliletwa na nani) kaja Mohammed nani alimleta? Kwann Mungu alimleta Mohammed? Yesu alishindwa wapi kwenye utume alioletwa kuufanya na Mohammed akaagizwa akarekebishe mapungufu gan yaliyosalia na kwanini hakufanikishi kufkisha ujumbe kwa watu wte wa Mungu ili wamfuate.
 
Baba yake ni nani ?

Moja ya maajabu ya Mola Muumba ndo hayo... Mariam alipandikiziwa mimba bila kuingiliwa na mwanaume yoyote... Hivyo, logically, Issa ( Yesu) hana baba....
Ila maajabu ni kwamba mariam asie na ujuzi wote na uwezo wote alipata mimba bila kuingiliana kimaumbile, ila Mungu mjuzi wa yote na uwezo wote hana uwezo wa kuwa na mwana bila kuingiliana kimaumbile.
 
Usilo lijua ni kwamba hayo uliyoyasema yote ni mafundisho uliyoyapata kutoka kwa wazungu ambao ndio waliokuletea ukristo

Lakini wana wa Israel waliokaa na Yesu na kuishie nae kama jirani yao ukristo wala hawaujui

Hiyo 2% ya wakristo hapo imepatikana kutoka kwa wageni kama wewe kama ukienda kuishi nchini Israel

Hivyo wewe huna uwezo wa kupinga ilichosema Quran kuhusu Yesu kwa sababu wewe waliokufundisha habari za Yesu sio wa Israel ila ni wazungu sasa je! Hizo habari za Yesu hao wazungu walikufundisha wewe wao walizipata wapi mnajua nyinyi

90% ya Italy ni wakristo kwa sababu wao ndio waliianzisha hiyo DiniView attachment 1793647View attachment 1793651
Hivi Israel kutokuwa na wakristo wengi ni ajenda sana kwenu?.
Mbona ilo yeye mwenyewe Yesu alilitabiri..
Mna boa sana na article zenu za takwimu ya wakristo walioko Israel.

Yesu akuacha kila kitu.. Kabla hajaja alijua alik atakataliwa na walio wake na maandiko yapo kama ushaidi, icho mnachokizungusha kwenye kila uzi.. Ni ujinga wa kukosa tayari.

Endelea kuzungusha twakimu... Ila sisi tunacheka kikurya Tatatataatataaataaataaataaaataa. [emoji23][emoji23]
 
Samahani YESU, Paul ndio tatizo hapa hakuwa Nabii alibadili dini kuingia ukristo anadai YESU alimshukia na kumpa maelezo na kuandika alichoaandika. Ndio maana Mayahudi wanakataa na waislamu wanakataa paul.
But did Paul ever meet Jesus in the flesh during his life? No. Paul's experience with Jesus was one that can't really be explained other than the way that he explained it in Acts (and some other letters when claiming his authority as an Apostle).

Paul

Of the 27 books in the New Testament, 13 or 14 are traditionally attributed to Paul, though only 7 of these Pauline epistles are accepted as being entirely authentic and dictated by St. Paul himself.
Chief, kwani Mud na Yesu walikutana wapi hadi AKAMWAMBIA kuwa hakusurubiwa?.
Mud aliwai kumuona Yesu? Kwanini una muamini ikiwa kigezo ni KUONA?.

Mbona una m-attack Paul kisa TU HAKUMUONA YESU?.

Ila hapo hapo unakubali Muhammad mafunuo ya Muhammad.

MFANO:
Miaka zaidi ya elfu 6 anatokea mtu uko naijeria aanze kusema Nyerere hakuzaliwa butihama,bali amezaliwa muhimbiri.

Nyerere sio Mzanaki, bali mnyakisa.

Nyerere hakuwa rais wa Tanzania bali alikuwa mwana harakati tu kama akina Che guava,wanaosema Nyerere alikuwa rais ni waongo....alafu wanatokea wajinga fulani wanamuamini huyu mtu.

Dhana ya kusema kwamba uwongo ukisemwa sana unakuwa ukweli uwa naiona kupitia Mud na kitabu chake.
Yaan nishinde kuwa amini akina walyoba, John LUPI, Abdul sky..Maria Nyerere, wazazi wa Nyerere walio mzaa, ishi nae, kupigania uhuru pamoja nije ni muamini kilaza wa uko naijeria..
Hakyanani bora nikitoe kwenye imani.
 
Paul the Apostle, commonly known as Saint Paul and also known by his Hebrew name Saul of Tarsus, was a Christian apostle (although not one of the Twelve Apostles) who spread the teachings of Jesus in the first-century world. Hakuwa hata katika wanafunzi 12 na hakuna sehemu Paul katajwa kuwa ni Prophet. Yeye alidai kushukiwa na YESU kama leo unasikia manabii fake wanafufua wengine wameshukiwa muhimu vihoja na kuna watu wanawaamini kabisa.
Ila Muhammad kushukia na jiblil ni kweli?.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jews hawaamini kabisa kitu YESU acha kupotosha hapa nenda kasome imani ya wayahudi YESU hana nafasi yoyote katika dini yao.
Si lazima all Jews wawe wakristo ndugu
. Kama ilivyo kwa waarabu. Na ukweli hauwi ukweli kwasababu wayaudi wameukubali.
 
Back
Top Bottom