Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
( فَأَجَاءَهَا الْمَخَاضُ إِلَىٰ جِذْعِ النَّخْلَةِ قَالَتْ يَا لَيْتَنِي مِتُّ قَبْلَ هَٰذَا وَكُنتُ نَسْيًا مَّنسِيًّا )

مريم (23) Maryam

Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!

Kwa hiyo MTU akisema ISSA alizaliwa Tandale Kwa mtogole atakuwa sahihi?
 
Mkuu, nilikuuliza swali... Naomba nirudie tena hapa:-

Ukiacha Maryam Mama yake Yesu... Kwenye historia ya Dunia hii, Je.,kuna Mwanamke mwingine aliyezaa mtoto akiwa katika hali ya Ubikra?

Swali lina majibu ya a na b.....
a. Hapana.
b. Ndiyo



Hilo swali hapo juu ndiyo Lina point ya msingi,... Huko kwingine ni kuzunguka na kuleta ushabiki ambao hauna maana kabisa.
Wapo tofauti soma

Wazazi na ndugu wa damu wa Isa , tuna Imran , Maryam , Harun na Issa hii ni Koran
3;35. Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu........
36. Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke(Maryamu)
19:28 “Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya.
66;12. Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake,
 
Uniambie biblia ya kiarabu ilikuja mwaka gani na uweke ushahidi.
Hiyo video hapo papa akimsahihisha Netanyahau alipokuwa Israel lugha aliyokuwa anaongea Isa ambacho kiaramaic. Kisha utaniambia hilo jina la kiaramaic kama yanaendana na hayo majina uliyotoa.
Msiwe mazezeta. Tukusikilize wewe au tuwasikilize wenye vitabu wanawaotolea version.
Hiyo biblia ya kingereza tu imekuja juzi juzi tukiacha hiyo ya kiarabu.
Ungesema labda kwa upande wa biblia imemueleza kiukweli kuliko sehemu nyingine.
Kusema ishu ya majina nitakuona una matatizo ya ubongo. Kwa sababu wamepita wengi miaka na miaka. Hiyo Yesu, Jesus ni majina walioamua huko Vatican.
Msikilize Nyetahau na Pope wahusika wenyewe wa huko lugha yake kisha ugoogle kiaramaic ujionee.



Wewe badala upangue hata hoja moja naona umeamua kuongea yanatokufurahisha.

Nafikiri ungechagua hoja walau moja unayoweza kuipangua kusaidia upande wako kuliko ulivyofanya
 
1. Is Jesus The Same As Isa pbuh? – Questions and Answers

Let’s settle this issue once and for all today.

Christians claim a lot of things about Jesus which Muslims deny.

Muslims claim a lot of things about Issa which Christians reject.

The only logical conclusion is:

Jesus is NOT Issa.

Issa is NOT Jesus.

They are two different men!

Let’s find further evidence to see if this could be true.

We don’t need to go into the common differences like:

– according to the Bible, Jesus died on the cross and rose again.

– according to the Quran, Issa did not die but was raised up.

because everyone knows these things and we argue about it everyday.

Let’s look at a few other crucial details for these two men.

Jesus was born in Bethlehem. Issa was born in an unknown town.

Muslims will say this is an unimportant fact about Isa. That’s why the Quran does not record it.

That’s the thing! The place of Jesus’ birth is VERY important! 500 years before Jesus was born, the prophet Micah predicted that Christ would be born in Bethlehem (Micah 5:2) for the Jews to know their Messiah. If it was unimportant, why did this prophet of God say it? It is recorded in the Bible.

It is not important where Issa was born but it is very important where Jesus was born!

Two different men.

Jesus said. “My words will never pass away.” (Mark 13:31). But according to Islam, Issa’s words, in the Injeel, passed away, got lost, corrupted and does not exist anymore.

But we believe the words of Jesus did not pass away, just as He promised, and was recorded down by His disciples and exists as the Gospels today for us. We even know who Jesus disciples were, what they preached and taught and wrote down. On the other hand, Issa also had his band of sahabas but they are unknown. They are lost in history, nameless and voiceless.

Again two different men. You can go on believing that your Issa lost his words and his sahabas failed to carry on his message. That’s your right. But we have the assurance from Jesus Himself that we have His words recorded down by faithful men who lived and died as martyrs.

The only common thing I can think of right now between these two men are the name of their mothers. Mary/Mariam. This does not prove that they are the same person, does it? Many people are named Mary / Mariam and does not prove that they were the same person.

Besides, according to the Quran, Mariam’s father is Imran. This is not the name of Mary’s father. His name was Heli. So they are two different women. Obviously their sons must be two different men.

Their mothers had the same name but are the names of their sons the same?

Jesus is derived from His Hebrew name, Yeshua. This would be translated into Arabic as Yasu (يَسُوعَ) and this is the name we find in the Arabic Bible.

Is this the name that we find in the Quran? No. No one named Yasu in the Quran.

What we find in the Quran Issa ( عيسى). But Issa is the Arabic translation of the Hebrew name Esau! This is what Ahmed Deedat himself taught.

Jesus is Yasu not Issa.

Issa is Esau not Jesus.

It’s so plain to see. Two different men.

If you do not agree, then you would have to prove that Issa is the same person as Jesus.
 
Mamaake ISSA mhusika katika Quran
Na mamaake Yesu mhusika katika Injili, na Biblia.
Dunia imeripoti Wamama hao Wawili
Haya sawa... Upo sahihi kabisa Issa na Yesu ni watu wawili tofauti, na Bikra Mariam wa Issa& Bikra Mariam wa Yesu ni watu wawili tofauti....Welldone👏🏼
 
2. Jesus vs. Isa (the Jesus of the Koran)
Jesus​
Isa​
Virgin born; conceived by Holy Spirit (Isa. 7:14; Matt. 1:18-23; Luke 1:35).Virgin born; created in womb of Mary by Allah; creation similar to Adam’s (Surah 3:59; 19:20-22; 21:91).
Son of God (Matt. 3:17; John 10:30).Son of Mary (called by this name 23 times in Islamic scriptures; for example, Surah 34:45).Allah is not a father and has no sons or daughters; to say so is shirk, the unpardonable sin (see Surah 19:88-92; 112:3).
Eternal (John 8:58; John 17:5).Created from dust, as Adam was (Surah 3:59).
Co-equal, co-eternal with the Father, Holy Spirit (John 1:1-14; Col. 1:15-20; Phil. 2:5-11; Heb. 1:1-13).Only a man, a prophet. It is shirk, the unpardonable sin, to ascribe deity to Jesus. Allah is not Triune (Surah 4:171; 5:73, 116).
God (John 1:1; John 10:30).Not God (Surah 5:17, 72-3, 75). Jesus was an apostle of Allah (Surah 4:171); a messenger only (Surah 5:75; 19:30).
Greater than any man (Matt. 12:42).A great prophet; not as great as Muhammad. Jesus was a worshiper of Allah (Surah 3:51; 9:30).
Messiah / Christ (Matt. 16:16-7; John 20:31).Messiah only to the Jews; will proclaim Islam and establish it on the earth at his return.
The way, truth, and life (John 14:6).Preached the truth (of Islam).
Savior of the world (Luke 2:11; John 4:42; Acts 5:31).Prophet of Allah; human messenger.
Sinless (2 Cor. 5:21; Heb. 4:15).Righteous; obedient to Allah, as all prophets were (Surah 3:45, 49; 4:158).
What Did He Do?

​

Jesus​
Isa​
Became flesh, retaining His deity; adding humanity (John 1:14).Was only flesh. Created from dust by Allah (Surah 3:59).
Called God His Father (John 5:18; 8:54; 20:17).Called Allah his Lord and worshiped him (Surah 5:75).
Performed miracles to demonstrate His authority as Messiah and to provide a foretaste of the kingdom of heaven (John 2:11; Acts 2:22).Performed miracles as “signs from the Lord” (Surah 3:49; 5:110).
Died on the cross for our sins (1 Cor. 15:3; 2 Cor. 5:21).Did not die on the cross. Opinions vary as to what happened to him (he hid while one of his companions died in his place; Allah made Judas Iscariot to look like Jesus and take his place; Simon of Cyrene took Jesus’ place). Atonement for sins not necessary (Surah 17:15; 35:18).
Rose physically from the dead (Matt. 12:38-40; Rom. 1:4; 1 Cor. 15:4-8; 1 Peter 1:18-21).Did not die.
Ascended into heaven after His resurrection and is seated at the Father’s right hand (Matt. 26:64; Mark 16:19; Acts 7:55-6).Called into heaven by Allah at the time Christians say he was crucified. Opinions vary as to whether he remains in heaven today or was sent back to earth, where he died a natural death.
Will return physically and visibly once day to establish His earthly kingdom (Matt. 24:30-1; Rev. 19:11-21).Will return one day to proclaim Islam and establish Islam on earth. Will defeat Antichrist, kill all pigs, break all crosses, and establish 1,000 years of righteousness. Some expand on this and say he will then die and be buried beside Muhammad.
What Difference Does It Make?

​

Jesus​
Isa​
Sin is humanity’s problem and results in spiritual and physical death (Rom. 3:10, 23; 5:12; 6:23).People are not fallen by nature. Sin is not humanity’s problem; ignorance of the teachings of Islam is the problem.
Christ’s finished work on the cross provides forgiveness of sin and eternal life by God’s grace through faith (John 3:16; 5:24; Rom. 4:4-5; Eph. 2:8-9; Titus 3:5-7).Allah would never let his prophet die in such a way. Forgiveness of sins and eternal life are achieved by submitting to Allah and performing good deeds; atonement is not needed (Surah 11:114; 17:15; 35:18).
Jesus is the only way of salvation (John 14:6; Rom. 3:24-26).Jesus was only a man – a good man, a prophet, and a worshiper of Allah (Surah 3:51; 19:30).
Salvation is offered freely to all (Rom. 10:13).Allah forgives whom he pleases and punishes whom he pleases; from mankind’s perspective, our eternal destiny is fatalistically determined (Surah 11:114).
Believers are eternally secure based on the promise of God to save us and the power of God to keep us saved (John 5:24; 10:28; 1 Peter 1:3-5).Jihad is the only eternal security (Surah 3:157).
God deals graciously with people; worship is never forced (Matt. 11:28-30).Worship may be forced upon people (Surah 2:193; 9:29).
 
Unaelimu yoyote ya Isimu ya Lugha?
Tafsiri na ukalimani nayo uliwahi kupata Elimu yake?
Yesu Kiarabu sio Isa
Wala issa Kwa Kiswahili sio Yesu.
Wewe jina lako ni Robert Heriel Mtibeli .Wanaweza wakajitokeza watu kadhaa wakasema wewe ni mtoto wao na wakalitamka jina lako tofauti kidogo.Tukitaka tukujue uhalisia wako basi tunaweza tukakujua kwa kuwasikiliza mama na baba yako na watakavyotoa alama pengine mpaka zilizojificha.Bila kutumia masomo ya ukalimani tutakujua wewe ni nani Hatutojali wale watu wengine wamekuita vipi.
 
( فَأَجَاءَهَا الْمَخَاضُ إِلَىٰ جِذْعِ النَّخْلَةِ قَالَتْ يَا لَيْتَنِي مِتُّ قَبْلَ هَٰذَا وَكُنتُ نَسْيًا مَّنسِيًّا )

مريم (23) Maryam

Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!
Maryam aliyeongelewa hapo ni Miriam dadake Musa. Kuna upotoshaji mkubwa wa makusudi ulifanywa Ili kuwagombanisha wenye Imani katika KRISTO na waarabu Waamini Mungu mmoja.

Wameenda mbali saiz wanaedit quraan wamemweka Hadi rihhana Eti ana surat yake humo.

BIBLIA pia wanaedit na itatokea mpya.

Huo ni mpango wa Mpinga kristo kupitisha maandiko.

Shika ulicho nacho asije shetani akakunyanganya.
 
Wewe jina lako ni Robert Heriel Mtibeli .Wanaweza wakajitokeza watu kadhaa wakasema wewe ni mtoto wao na wakalitamka jina lako tofauti kidogo.Tukitaka tukujue uhalisia wako basi tunaweza tukakujua kwa kuwasikiliza mama na baba yako na watakavyotoa alama pengine mpaka zilizojificha.Bila kutumia masomo ya ukalimani tutakujua wewe ni nani Hatutojali wale watu wengine wamekuita vipi.

😀😀😀
Wewe ukienda Kuchukua Cheti cha kuzaliwa ni maswali gani unaulizwa?
Hayo maswali ndio ambayo issa as Quran akiulizwa na Yesu WA Biblia wakiulizwa majibu yanayotoka yatathibitisha ni Watu Wawili Tofauti.

Unaitwa Nani?
Mama yako ni Nani?
Baba yako ni Nani?
Ulizaliwa wapi?
Ulizaliwa Lini?
Majibu hapo ndio yataonyesha ni Watu Wawili tofauti, au mmoja anaghushi na kuiba uhusika wa mwingine.
 
Maryam aliyeongelewa hapo ni Miriam dadake Musa. Kuna upotoshaji mkubwa wa makusudi ulifanywa Ili kuwagombanisha wenye Imani katika KRISTO na waarabu Waamini Mungu mmoja.

Wameenda mbali saiz wanaedit quraan wamemweka Hadi rihhana Eti ana surat yake humo.

BIBLIA pia wanaedit na itatokea mpya.

Huo ni mpango wa Mpinga kristo kupitisha maandiko.

Shika ulicho nacho asije shetani akakunyanganya.
Sasa mimi nimeshika hiki nilichonacho ww unanambia dada ake Musa!!!

Mm namjua Mariam Mama ake Issa uyo wa dada ake Musa mm simjui na huu ndo ukweli

Naiamini Qur-an haijasema na haitosema uongo kamwe
 
Sijajua wanalenga Kupata nini.
Alafu wengi wamedanganywa kuwa sijui Biblia imebadilishwa, ukiambiwa wailete ambayo haijabadilishwa wanabaki kukutolea macho[emoji23][emoji23]
Sasa agano jipya na la kale ni sawa?

Mbona hamfikirii vitu vidogo tu hivi jmni
 
Sasa agano jipya na la kale ni sawa?

Mbona hamfikirii vitu vidogo tu hivi jmni

Unajua kwenye Biblia kuna maagano mangapi? Unaweza taja mawili au Matatu unayoyajua.

Unajua Kwa nini inaitwa agano la Kale na agano jipya? Lipi ni la Kale na lipi ni jipya?
Nafikiri kwenye hayo Matatu utakayoyataja basi mojawapo litakuwa sehemu ya jibu hapa.

Karibu
 
Bikra Mariam wa Issa& Bikra Mariam wa Yesu ni watu wawili tofauti
Alipo toka bikira maria wa Isa ni mbingu na nchi na bikira maria wa Yesu

Soma
Wazazi na ndugu wa damu wa Isa , tuna Imran , Maryam , Harun na Issa hii ni Koran
3;35. Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu........
36. Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke(Maryamu)
19:28 “Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya.
66;12. Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake,
 
Unajua kwenye Biblia kuna maagano mangapi? Unaweza taja mawili au Matatu unayoyajua.

Unajua Kwa nini inaitwa agano la Kale na agano jipya? Lipi ni la Kale na lipi ni jipya?
Nafikiri kwenye hayo Matatu utakayoyataja basi mojawapo litakuwa sehemu ya jibu hapa.

Karibu
Kijana nimeshakujua huna hoja
 
Tatizo umeomgea kishabiki sana, na bado huna hoja ya kweli.

Weka udini pembeni then usome historia ya hizo dini zote mbili na msingi wa vitabu vyote viwili.
 
Back
Top Bottom