Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Biblia ya kiarabu ilibadilishwa majina miaka 1880s,maana mji wa hijja kwenye biblia kipindi hicho uliandikwa bacca, waislam waliposoma biblia wakawaambia makasisi,matokeo yaliyofuata jina likabadilishwa,hata kwenye biblia za kiswahili hapajaandikwa ismail Bali Ishmael kufuata matamshi ya kiebrania,so biblia ya kiarabu yesu kuitwa yashu ni yaleyale tu,yeshua si kigiriki ni kiebrania,Wana version mbili wanavyoandika Hilo jina kwa kirumi,yeshua na y'shua...linatamkwa 'yiishias', kiebrania hakina 'e' ni Aramaic/semitic Kama kiarabu,kwenye 'yiishias' ondoa 'sh' ya kiebrania weka 's' ya Kiarabu Kama kwenye Ishmael na ismail uone unapata jina gani
Yeshua ni kiaramaic.... Kiebrania ni Yahushua
 
Huu ni uongo..... Kiebrania inatamkwa kama Yahushua.......kama mtu anayetoa na kuvuta pumzi , ukitaka yi, unavuta au kutoa pumzi?
Acha kudanganya watu.
 
Unaelimu yoyote ya Isimu ya Lugha?
Tafsiri na ukalimani nayo uliwahi kupata Elimu yake?
Yesu Kiarabu sio Isa
Wala issa Kwa Kiswahili sio Yesu.
Huyo ni muongo kabisa Hana elimu ya Lugha ya Kiebrania.
Eliya anaitwa Eli-yahu....Yesu anaitwa Yahu-shua , Yeremia anaitwa Yime-Yahu, Isaya anaitwa Yesha-Yahu ambapo Yahu ni jina la Mungu...
Sasa anasema Yi, kwenye Maandiko ya Kiebrania hakuna neno Yi inayomwakilisha Mungu.
 
[emoji3][emoji3]
Kwenye Quran kuna nchi ya shina la mtende, vizuri wanazuoni wanafuatilia hiyo nchi Kwa sasa Ipo wapi.

Biblia;

Luka 2:4-10Biblia Habari Njema (BHN)​

4. Yosefu pia alifanya safari kutoka mjini Nazareti mkoani Galilaya, na kwa vile alikuwa wa jamaa na ukoo wa Daudi, alikwenda mjini Bethlehemu mkoani Yudea, alikozaliwa mfalme Daudi.
5. Alikwenda kuhesabiwa pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mjamzito.
6. Walipokuwa huko, siku yake ya kujifungua ikawadia,
7. akajifungua mtoto wake wa kwanza wa kiume, akamvika nguo za kitoto, akamlaza horini kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.
8. Katika sehemu hizo, walikuwako wachungaji wakikesha usiku mbugani kulinda mifugo yao.
9. Malaika wa Bwana akawatokea ghafla, na utukufu wa Bwana ukawaangazia pande zote. Wakaogopa sana.
10. Malaika akawaambia, “Msiogope! Nimewaleteeni habari njema ya furaha kubwa itakayowapata watu wote.
Quran inasema Mariam alilelewa katika nyumba ya Mzee Zakaria ni baba wa Yohana mbatizaji

Sasa kama wewe unapinga kuwa nyumba ya nabii Zakaria haikuwepo katika nchi ya Israel hiyo ni juu yako maana wewe ni kafiri na kazi ya kafiri ni kupinga maandiko ya Mungu

Quran 3:37
Tena Mola wake Mlezi akampokea kwa mapokeo mema na akamkuza makuzo mema, na akamfanya Zakariya awe mlezi wake. Kila mara Zakariya alipo ingia chumbani kwake alimkuta na vyakula. Basi alimwambia: Ewe Maryamu! Unavipata wapi hivi? Naye akasema: Hivi vinatoka kwa Mwenyezi Mungu; na Mwenyezi Mungu humruzuku amtakaye bila ya hisabu.

3:38

Pale pale Zakariya akamwomba Mola wake Mlezi, akasema: Mola wangu Mlezi! Nipe kutoka kwako uzao mwema. Wewe ndiye unaye sikia maombi

Toa andiko linalosema Yesu kazaliwa kwenye hori la ng'ombe

Hili andiko Luka halisemi hivyo mkadanganyane huko huko kanisani hapa acha maandiko yaongee yenyewe

Luka 2:6
Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia,
Luka 2:7
akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng'ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.

Andiko linasema akavikwa nguo akalazwa katika hori la ng'ombe

Tena andiko linasema amelazwa hapo Baada ya kukosa nafasi nyumba ya wageni

Vipi kama wangepata nafasi nyumba ya wageni hapo katika hori wangelala?
 
Huyo ni muongo kabisa Hana elimu ya Lugha ya Kiebrania.
Eliya anaitwa Eli-yahu....Yesu anaitwa Yahu-shua , Yeremia anaitwa Yime-Yahu, Isaya anaitwa Yesha-Yahu ambapo Yahu ni jina la Mungu...
Sasa anasema Yi, kwenye Maandiko ya Kiebrania hakuna neno Yi inayomwakilisha Mungu.
Umenena vyema,

Lakini Yahu ni Jina lisilokamilika la Mungu.

Ndomana huwezi kemea Pepo Kwa Jina Hilo likatii.

Jina tulilopewa WANADAMU liwezalo Kuokoa,

Jina la Mungu ni Yesu Kristo.

Amen
 
Ulivosema Tu Issa Haijulikani Kazaliwa mkoa Gan Inajulikana Kazaliwa Chini Ya Mtende tu Nikaacha Kuufatilia Uzi. Kama Hili Tu Hujui Basi Kuna mengi Umedanganya au Hauyajui Kwa undani
Binafsi Isa Inajulikana Kazaliwa wapi
 
We ni mbumbu wa mambumbu Musa na Yesu wamepishana miaka 2000 Kwa hiyo umbumbu wako unakutuma ukubali kuwa katika hiyo miaka 2000 katika nchi ya Israel hajatokea mtu mwingine mwenye jina la Imran zaidi ya baba yake Musa?

Nyinyi wagalatia ni wa kuonewa huruma sana dini yenu ni ya uongo ndio maana maandiko ya kweli ya Mungu lazima yakuchapeni

Haya endeleeni kudanganyana na kufarijiana Kwa ujinga mlio nao
Relax , kama alitokea kwenye biblia hayupo , ndio maana nimekwambia maria wa Isa anashindwa ku fit kwenye biblia Anafit awe dada yake Musa

Wazazi na ndugu wa damu wa Isa , tuna Imran , Maryam , Harun na Issa hii ni Koran
3;35. Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu........
36. Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke(Maryamu)
19:28 “Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya.
66;12. Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake,
 
Ndgu zangu waislam em njooni mtujuze hapa,hili suala wanaliongea sana kwenye mihadhara hasa wakienda sehemu zenye wakristo wengi.

Binafsi sijawahi kuona wakristo wakitumia Quran kama rejea yao ila waislam ni mara nyingi hufanya hivyo.
Kwa maana hiyo hulitaja saana jina Yesu wakisema ndie Issa.
FaizaFoxy njoo utujuze hapa, Yesu ni Issa au ni watu tofauti?? Kama ndio ni kwanini na kama sio kwanini waislam hupenda kumtumia Yesu kama Issa??
 
We ni mbumbu wa mambumbu Musa na Yesu wamepishana miaka 2000 Kwa hiyo umbumbu wako unakutuma ukubali kuwa katika hiyo miaka 2000 katika nchi ya Israel hajatokea mtu mwingine mwenye jina la Imran zaidi ya baba yake Musa?
Kumbuka Musa na haruni walikuwa na dada aliitwa Miriam na baba Yao aliitwa amram , apa ndio pedophile Muhammad alipo ingia kingi kwa kuchanganya na Mariam mama wa Yesu alipo kuwa antunga character wake Isa
 
Wewe badala upangue hata hoja moja naona umeamua kuongea yanatokufurahisha.

Nafikiri ungechagua hoja walau moja unayoweza kuipangua kusaidia upande wako kuliko ulivyofanya
Ulitakiwa uanzie aramaic alikuwa anaitwaje? Unaleta mambo Yeshua mara Jesus mara Yesu wakati matamshi pipa na mfuniko.
Hoja yangu ukichukulia kwa muundo wa kutofanana majina haina mashiko.

Qur'an imetangulia kabla ya biblia ya kiarabu, kingereza na kiswahili. Walikaa wakapanga huko Roma. Chunguza hilo jina la Yesu nchi mbalimbali majina yanayotumia kuna wakristo wanatumia Isus, Isa, Iso.

Uwelewa wako mdogo unachukulia sample ya lugha zilizoikuta kiarabu kwa miaka mingi kama kingereza na kiswahili
 
Kaka Yesu ni Mwana WA MUNGU.

Ana Uungu ndani yake lakini anabaki kama mwana WA MUNGU ALIYE hai.
🙏
shukrani, lakini Mungu ni mmoja ila katika utendaji kazi katika biblia tunaona nafsi3 lakini ni Mungu Mmoja soma isaya 7:14 imerudiwa katika mathayo 1:22 Emmanuel maana yake Mungu pamoja nasi/GOD with us soma pia yohana 14:9
 
TORATI
Kitabu Cha TORATI Cha Musa kilichokuwepo kabla ya Quraan.

Vitabu vya INJILI vilikuwepo kabla ya Quraan.

Baada ya warumi kushindwa kuwadhibiti Mitume waliohubiri INJILI , wakaamua kumtumia mmoja wa wayahudi kumwendea mtume na kuandika kitabu chenu ambacho kimekiri kukubali vitabu vyote vilivyotangulia.

Romee pale ndo wameandika kitabu chenu na kuasisi dini zote, na mission yake anaelekeza kuwaunga dini yenu na catolicano ziwe dini moja kumwabudu mnyama.

Mtatoka tu huko na tutaungana wote sababu tunaamini juu ya uwepo wa Mungu mmoja Yesu Kristo.

Amen
Aisee yni bado unanilazimisha niamini unachoamini?

Kamwe haitotokea

Nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu
 
Ulitakiwa uanzie aramaic alikuwa anaitwaje? Unaleta mambo Yeshua mara Jesus mara Yesu wakati matamshi pipa na mfuniko.
Hoja yangu ukichukulia kwa muundo wa kutofanana majina haina mashiko.
Qur'an imetangulia kabla ya biblia ya kiarabu, kingereza na kiswahili. Walikaa wakapanga huko Roma.
Chunguza hilo jina la Yesu nchi mbalimbali majina yanayotumia kuna wakristo wanatumia Isus, Isa, Iso.
Uwelewa wako mdogo unachukulia sample ya lugha zilizoikuta kiarabu kwa miaka mingi kama kingereza na kiswahili

Ndio maana nikakuambia hata mambo Subiri wakubwa wako wajadili.
Nimejadili jina Yeshua etymological, asili yake nikakuambia ni tofauti na isa.
Kisha nikaelezea maana ya jina Yeshua ni Mwokozi, Semantically ambayo ni tofauti na ISSA.
Nikikuambia ueleze maana ya jina Issa Kwa mujibu wa Quran utaeleza?
 
Aisee yni bado unanilazimisha niamini unachoamini?

Kamwe haitotokea

Nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu

Kwa uelewa wako Quran ilishushwa lini?
Aliyeileta ni mtume gani?
Huyo mtume alizaliwa lini na akaileta lini hiyo Quran?

Kabla ya Quran kulikuwa na vitabu, Quran yenyewe inasema hivyo. Wewe unabisha Kwa msingi upi?
 
Ndgu zangu waislam em njooni mtujuze hapa,hili suala wanaliongea sana kwenye mihadhara hasa wakienda sehemu zenye wakristo wengi.

Binafsi sijawahi kuona wakristo wakitumia Quran kama rejea yao ila waislam ni mara nyingi hufanya hivyo.
Kwa maana hiyo hulitaja saana jina Yesu wakisema ndie Issa.
FaizaFoxy njoo utujuze hapa, Yesu ni Issa au ni watu tofauti?? Kama ndio ni kwanini na kama sio kwanini waislam hupenda kumtumia Yesu kama Issa??

Wakristo wao hawan Haja ya Kutumia Quran Kwa sababu kitabu Chao kinajitosheleza.
Muislam ili awe Msomi lazima asome na Biblia vinginevyo asiposoma atakosa baadhi ya Historia muhimu ya mitume na Manabii
 
Back
Top Bottom