Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Ulivosema Tu Issa Haijulikani Kazaliwa mkoa Gan Inajulikana Kazaliwa Chini Ya Mtende tu Nikaacha Kuufatilia Uzi.
Kama Hili Tu Hujui Basi Kuna mengi Umedanganya au Hauyajui Kwa undani
Binafsi Isa Inajulikana Kazaliwa wapi

Sasa tuambie Kwa mujibu wa Quran ISSA kazaliwa nchi au mji gani, ili Watu wasione nimeandika upotofu.
 
Dini ipi? na waislamu wote mnasema ukristo sio dini
Unajua maana ya dini kwanza?

Ukishajua maana ya dini ndo jawabu tosha

Ata wale wanosema hawana dini sio kweli bali mfumo wa maisha wanoufuata ndo dini yao
 
Quran inasema Mariam alilelewa katika nyumba ya Mzee Zakaria ni baba wa Yohana mbatizaji

Sasa kama wewe unapinga kuwa nyumba ya nabii Zakaria haikuwepo katika nchi ya Israel hiyo ni juu yako maana wewe ni kafiri na kazi ya kafiri ni kupinga maandiko ya Mungu

Quran 3:37
Tena Mola wake Mlezi akampokea kwa mapokeo mema na akamkuza makuzo mema, na akamfanya Zakariya awe mlezi wake. Kila mara Zakariya alipo ingia chumbani kwake alimkuta na vyakula. Basi alimwambia: Ewe Maryamu! Unavipata wapi hivi? Naye akasema: Hivi vinatoka kwa Mwenyezi Mungu; na Mwenyezi Mungu humruzuku amtakaye bila ya hisabu.

3:38

Pale pale Zakariya akamwomba Mola wake Mlezi, akasema: Mola wangu Mlezi! Nipe kutoka kwako uzao mwema. Wewe ndiye unaye sikia maombi

Toa andiko linalosema Yesu kazaliwa kwenye hori la ng'ombe

Hili andiko Luka halisemi hivyo mkadanganyane huko huko kanisani hapa acha maandiko yaongee yenyewe

Luka 2:6
Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia,
Luka 2:7
akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng'ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.

Andiko linasema akavikwa nguo akalazwa katika hori la ng'ombe

Tena andiko linasema amelazwa hapo Baada ya kukosa nafasi nyumba ya wageni

Vipi kama wangepata nafasi nyumba ya wageni hapo katika hori wangelala?

Usidhani Biblia ni kama Quran anzia Luka 2:1-15 utapata majibu ya Maswali yako.
 
Mkuu YESU AKUZALIWA KWENYE HOLI LA NG’OMBE kuwa makin kusoma hii haya najua we ni Msomi iv kweli unashindwa kujua hapa biblia haijui yesu wapi kazaliwa eneo lip SOMA KWA UMAKIN

IKIWA KATIKA KUKAA HUKO SIKU ZAKE ZA KUZAA ZIKATIMIA AKAJIFUNGUA MTOTO WAKE WA KWANZA WA KIUME AKAMVIKA NGUO ZA KITOTO
AKAMLAZA HORIN KWA SABABU HAWAKUPATA NAFAS KATIKA NYUMBA ZA WAGEN
LUKA 2:6-7

Hapo tunaona yesu kalazwa horin na sio kuzaliwa na kisa

Mkuu we ni mwanafisii sana naomba udadavue hili andiko

Soma Sura nzima uielewe.

Luka 2:4-10​

4. Yosefu pia alifanya safari kutoka mjini Nazareti mkoani Galilaya, na kwa vile alikuwa wa jamaa na ukoo wa Daudi, alikwenda mjini Bethlehemu mkoani Yudea, alikozaliwa mfalme Daudi.
5. Alikwenda kuhesabiwa pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mjamzito.
6. Walipokuwa huko, siku yake ya kujifungua ikawadia,
7. akajifungua mtoto wake wa kwanza wa kiume, akamvika nguo za kitoto, akamlaza horini kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.
8. Katika sehemu hizo, walikuwako wachungaji wakikesha usiku mbugani kulinda mifugo yao.
9. Malaika wa Bwana akawatokea ghafla, na utukufu wa Bwana ukawaangazia pande zote. Wakaogopa sana.
10. Malaika akawaambia, “Msiogope! Nimewaleteeni habari njema ya furaha kubwa itakayowapata watu wote.

Biblia inajieleza Kabisa.
Hauhitaji sayansi ya kurusha rocket kuelewa hizo Aya
 
Jaman wapi yesu kazaliwa horin?!
 
Ulitakiwa uanzie aramaic alikuwa anaitwaje? Unaleta mambo Yeshua mara Jesus mara Yesu wakati matamshi pipa na mfuniko.
Hoja yangu ukichukulia kwa muundo wa kutofanana majina haina mashiko.
Qur'an imetangulia kabla ya biblia ya kiarabu, kingereza na kiswahili. Walikaa wakapanga huko Roma.
Chunguza hilo jina la Yesu nchi mbalimbali majina yanayotumia kuna wakristo wanatumia Isus, Isa, Iso.
Uwelewa wako mdogo unachukulia sample ya lugha zilizoikuta kiarabu kwa miaka mingi kama kingereza na kiswahili
Kiaramaic aliitwa Yeshua ambalo Kiebrania ni Yahushua ambalo Kiarabu ni Yusha,
 
Aisee yni bado unanilazimisha niamini unachoamini?

Kamwe haitotokea

Nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu
Mungu ni MMOJA.

Adam na Hawa Bustani ya EDEN walikuwa DINI Gani?

Siku hizi ni za Mwisho, makundi yatakuwa mawili tu,

Waamini Mungu vs Waamini shetani.

Mashoga vs WATAKATIFU,

Waongo, wazinzi, wezi, wachawi vs Wakweli, wema, Wacha Mungu nk nk.

Dini zitaungana zote na kuwa Dini moja ya Mpinga kristo au Masih jadal vs Waamini juu ya uwepo wa Mungu mmoja Yesu Kristo.

Tusubiri.
 
Quran imewataja manabii wengine pia kama Suleiman na Daud hivyo haikuchukua jukumu la kuwaelezea kwa undani kama kwenye vitabu vyao
Kuna shida ya muda mrefu juu ya ufahamu wako wa dini ya Kiislamu na kitabu chake
Kuna aya kwenye Quran inasema
"Siamini mnacho amini wala hamtaamini ninacho kiamini" (tafsiri yangu)
Case closed
Mbona ilikwepa kumtaja Samsoni? Jibu moja tu kwasababu Samsoni alikuwa akiwatahiri waarabu magovi na kuwatembezea mkong'oto wa nguvu
 
Usidhani Biblia ni kama Quran anzia Luka 2:1-15 utapata majibu ya Maswali yako.
Hata ukisoma Hadi 20 hakuna sehemu yoyote iliyoandikwa Mariam amemzaa Yesu ndani ya hori la ng'ombe

Wakristo wote mnadanganyana kuwa Yesu amezaliwa ndani ya hori la ng'ombe kupitia hili andiko

Luka 2:6
Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia,
Luka 2:7
akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng'ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.

Andiko linasema mtoto amelazwa ndani ya hori la ng'ombe na sio kazaliwa katika hori la ng'ombe. Na amekuja kulazwa hapo Baada ya kukosa nafasi katika nyumba ya wageni

Jibu swali
Kulazwa ndio kuzaliwa?

Kama alikuja hapo Baada ya kukosa nafasi nyumba ya wageni je angepata nafasi huko nyumba ya wageni hapo katika hori la ng'ombe angefika? Huko nyumba ya wageni walipoenda wakakosa nafasi Mariam alienda na mimba au na mtoto?
 
Unaelewa lakini au unapiga kelele.

Swali lipi mfano? Bible karibu vitabu kibao ila ina contradiction

Waislamu wanaishi maisha ndo maana wana sheria zao na muundo wa kila kitu.

Nchi inaweza kuishi mfumo wa kiislamu
Je kama hivyo wanaume Waislamu wanatakiwa wapake wanja na hina kama Mtume muhamad.

Kama ni hivyo wanaume wa kiislamu wanatakiwa wawanyonye wanaume wenzao ulimi na kuwalamba midomo wakiwa uchi msikitini jinsi alivyo fanya mudi.

Kama ni hivyo wanaume wote Waislamu wanatakiwa kuwabaka vibinti vya miaka sita na kupotezea kuwaoa wakiwa miaka 9.

Gavana
 
Hata ukisoma Hadi 20 hakuna sehemu yoyote iliyoandikwa Mariam amemzaa Yesu ndani ya hori la ng'ombe

Wakristo wote mnadanganyana kuwa Yesu amezaliwa ndani ya hori la ng'ombe kupitia hili andiko

Luka 2:6
Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia,
Luka 2:7
akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng'ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.

Andiko linasema mtoto amelazwa ndani ya hori la ng'ombe na sio kazaliwa katika hori la ng'ombe

Na amekuja kulazwa hapo Baada ya kukosa nafasi katika nyumba ya wageni

Jibu swali
Kulazwa ndio kuzaliwa?

Kama alikuja hapo Baada ya kukosa nafasi nyumba ya wageni je angepata nafasi huko nyumba ya wageni hapo katika hori la ng'ombe angefika?

Huko nyumba ya wageni walipoenda wakakosa nafasi Mariam alienda na mimba au na mtoto?

Ndio maana ukaambiwa usome, anzia aya Kwanza itakuonyesha kuwa sio kwamba walifika siku hiyohiyo na ndio akashikwa na uchungu.

Kingine embu soma Hii Aya uielewe.

Luka 2:7
akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng'ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.

Aya inaanza na kusema" akazaa Mwanaye" kisha ikaweka kituo, ikaendelea, "kifungua mimba" ili kukumbusha kuwa alikuwa Bikra na huyo ni mtoto wake wakwanza, akaweka Kona.
Baada ya kumzaa akamvisha nguo lakini zakitoto, kisha akamlaza katika Hori la Ng'ombe. Kuonyesha tukio linafanyikia wapi.
Hajasema akampeleka na kumlaza katika zizi la Ng'ombe. Elewa Kiswahili.

Ni Sawa na mwanamke ajifungue chumbani alafu amlaze mtoto kitandani.

Biblia ni kitabu kilichozingatia Kanuni za uandishi, na mtiririko wa matukio na kujibu maswali ni wapi, lini, Nani, Kwa sababu gani,

Sasa itashangaza ushindwe kuelewa Jambo Dogo kama Hilo.
Nenda uchagani wakakuonyesha Hori la Ng'ombe likoje ili uelewe vizuri hizo Scenes
 
Historia inamkataa maria mama wa Isa , maana ata tukijaribu kumleta kwenye biblia tujaribu kumfitisha anaenda kuwa ndugu yake Musa tena kaka na dada , biblia inagoma kabisa
Huko sahihi Allah is beautiful and hus prophet Muhammad is handsome. They are hot and their religion Islam is sweet.

Plenty of 😘 kisses to pretty allah and her good looking prophet Muhammad ❤️ mwaaah mwaah

Gavana ielewemitaa inamankusweke
 
Vizuri Kwa uthibitisho kuwa Quran haijitoshelezi, Kwa kushindwa kuelezea Wahusika wake. Niliandika hapa kwenye Uzi Fulani kuwa Quran sio kitabu kikuu cha kumuongoza MTU Kwa sababu hakijitoshelezi
Unasemaje? Qur'an ipi isiyotosheleza? na haitoshelezi kwenye nyanja ipi ya maisha? Qur'an ina sura 114 na karatasi 300 kwa mpangilio wa chapa nyingi maarufu, umewahi kuisoma hata asilimia 10? na baada ya kuisoma kuelewa maana na makusudio yake?.

Sisi tunamaliza umri tukitafuta ubobezi kwenye tafsiri ya Qur'an wewe mmakonde mwenzetu tena usiye muislamu unapata wapi guts za kusema ni kitabu kisichotosheleza kuwa ni muongozo, kuna kitabu gani basi kitatosheleza kama Qur'an ina mapungufu? forex for dummies au?.

Sijataka kuingilia mjadala wa ISSA na YESU kwasababu nimeona hauna mantiki ni kama kusema CCM sio CHAMA CHA MAPINDUZI kwasababu hiki kingine kina jina refu, ila nimekuwa curious kujua upungufu wa Qur'an, karibu kwa mjadala.
 
Unasemaje? Qur'an ipi isiyotosheleza? na haitoshelezi kwenye nyanja ipi ya maisha? Qur'an ina sura 114 na karatasi 300 kwa mpangilio wa chapa nyingi maarufu, umewahi kuisoma hata asilimia 10? na baada ya kuisoma kuelewa maana na makusudio yake?.

Sisi tunamaliza umri tukitafuta ubobezi kwenye tafsiri ya Qur'an wewe mmakonde mwenzetu tena usiye muislamu unapata wapi guts za kusema ni kitabu kisichotosheleza kuwa ni muongozo, basi kuna kitabu gani basi kitatosheleza kama Qur'an ina mapungufu? forex for dummies au?.

Sasa Baada ya hayo maelezo jibu hoja za huu Uzi hata Moja ili Watu wajifunze.
 
Quran imewataja manabii wengine pia kama Suleiman na Daud hivyo haikuchukua jukumu la kuwaelezea kwa undani kama kwenye vitabu vyao
Kuna shida ya muda mrefu juu ya ufahamu wako wa dini ya Kiislamu na kitabu chake
Kuna aya kwenye Quran inasema
"Siamini mnacho amini wala hamtaamini ninacho kiamini" (tafsiri yangu)
Case closed
Kwani vitabu vya kina Suleiman na Daudi viko wapi,tuanzie hapo kwanza.
 
Back
Top Bottom