Bujibuji unajishushia heshima Sasa. Kwani huko tanesco Kuna wasukuma tuu?
Lazima tuukubali ukweli kwa Sasa ofisi nyingi za umma zinarudi kwa Kasi Sana kueoekea awamu ya nne. Wafanyakazi wengi Sasa wapo busy kupinga soga maofisini uwajibikaji unapungua kwa Kasi. Kuna sehemu waya wa tanesco ulikatika mjini kabisa na tanesco walikuja baada ya masaa 36, nikajiuliza enzi za Magufuli Hawa jamaa wangetumia muda gani?
Subiri Sasa bwawa la mtera litaanza kuisha maji tuanze kununua majenereta.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Bujibuji kusema anajishushia heshima ni kumuonea hajawahi kuheshimika. Mtu mwenye vinasaba vya ubaguzi na chuki anae kesha akiihubiri chuki na kutoa kauli za kuudhi uliwezaje kumuheshimu?
 
Tanesco mtusaidie kuna tatizo gani hatuwezi kununua umeme kupitia simu wala wakala wenu
Mjue kila kitu kimesimama kwa wale waliokuwa wameishiwa na wanataka kununua
Tuelewesheni
 
Tanesco mtusaidie kuna tatizo gani hatuwezi kununua umeme kupitia simu wala wakala wenu
Mjue kila kitu kimesimama kwa wale waliokuwa wameishiwa na wanataka kununua
Tuelewesheni
Mfuko wa EGa umeingiliwa na kuhujumiwa. Serikali iwe makini. Tumeanza kuhujumiwa
 
Wakuu toka jana tarehe 17/ May umeme was Tsnesco kwa mfumo was Luku haupatikani kabisa. Tanesco wanachodai ni Kuwa mfumo upon down. Kwa zaidi ya Masaaki 24 wateja wanakosa huduma ya umeme. serekali nayo inakosa mapato yake.
Najiuliza je hii inaweza kuwa ni hujuma kukwamisha juhudi za mama. Ingefaa wahusika wachunguze kulikoni Ta
nesco?
Kibaya zaidi ni pale hela inachukuliwa na token kutolewa lakini ikiingiza kwenye luku haipokei; lazima kuna upigaji
 
Nipe

Nipe fact mkuu, mm sio mhariri pia nna uwezo wa kawaida na nnatosha kufanya baaz ya kazi , sjui umeona kosa lip la kuizarau taaluma, pia sjui taaluma yako ,pia nikiwa nna akil
Nipe

Nipe fact mkuu, mm sio mhariri pia nna uwezo wa kawaida na nnatosha kufanya baaz ya kazi , sjui umeona kosa lip la kuizarau taaluma, pia sjui taaluma yako ,pia nikiwa nna akili timamu nathubutu kuandika kuwa programming sio sawa na factors affecting milk production in Canada, kwa mantiki hiyo nna ujasiri wa kukuambia chomoa hicho kibunzi huko jichoni
Mkuu unaandika kama mtu wa standard seven!
 
Wakuu toka jana tarehe 17/ May umeme was Tsnesco kwa mfumo was Luku haupatikani kabisa. Tanesco wanachodai ni Kuwa mfumo upon down. Kwa zaidi ya Masaaki 24 wateja wanakosa huduma ya umeme. serekali nayo inakosa mapato yake.
Najiuliza je hii inaweza kuwa ni hujuma kukwamisha juhudi za mama. Ingefaa wahusika wachunguze kulikoni Ta
nesco?
watu wameshajua uzaifu wa huyu mama, anaongea lakini vitendo ni zero
 
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MANUNUZI YA LUKU KWA BAADHI YA WATEJA

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU siku ya Jumatatu, Mei 17, 2021 na kusababisha baadhi ya wateja kushindwa kununua umeme.

Tunaomba uvumilivu wakati wataalamu wetu wanafanya kazi kuhakikisha tatizo hilo linatatuliwa haraka.

Tutaendelea kutoa taarifa kadri huduma itakavyo kuwa ikirejea.

Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza

Kituo cha miito ya simu makao makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100

Tovuti: www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii

Twitter: www.twitter.com/tanescoyetu

Facebook Tanesco Yetu

Imetolewa na:-
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
Mei 18, 2021.
 
Anzeni kuweka hela kwa ajili ya majenereta.

Hii nchi usifikiri hakuna mifumo ya kuisimamia ipo sana ila shida ni wasimamiaji na wasimamiwa wenyewe.

Mama anafikiri watz ni waaminifu sana kiasi cha kutaka kuacha wajiendee tu?
 
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MANUNUZI YA LUKU KWA BAADHI YA WATEJA

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU siku ya Jumatatu, Mei 17, 2021 na kusababisha baadhi ya wateja kushindwa kununua umeme.

Tunaomba uvumilivu wakati wataalamu wetu wanafanya kazi kuhakikisha tatizo hilo linatatuliwa haraka.

Tutaendelea kutoa taarifa kadri huduma itakavyo kuwa ikirejea.

Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza

Kituo cha miito ya simu makao makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100

Tovuti: www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii

Twitter: www.twitter.com/tanescoyetu

Facebook Tanesco Yetu

Imetolewa na:-
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
Mei 18, 2021.
Ndo mtuambie na tatizo hilo linaisha lini maana mpaka sasa tumenunua umeme hela imekwenda umeme hakuna miamala yote inachukua hela token hakuna sasa tunafanyaje?
 
Wakuu toka jana tarehe 17/ May umeme was Tsnesco kwa mfumo was Luku haupatikani kabisa. Tanesco wanachodai ni Kuwa mfumo upon down. Kwa zaidi ya Masaaki 24 wateja wanakosa huduma ya umeme. serekali nayo inakosa mapato yake.
Najiuliza je hii inaweza kuwa ni hujuma kukwamisha juhudi za mama. Ingefaa wahusika wachunguze kulikoni Ta
nesco?
Mpaka 18.05.2021 pia
 
Back
Top Bottom