Tanesco: Kumetokea hitilafu mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana huduma baadhi ya maeneo Bara na Zanzibar, tatizo linashughulikiwa

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
20240304_161823.jpg


TAARIFA KWA UMMA

HITILAFU KWENYE MFUMO WA GRIDI YA TAIFA

Jumatatu, 04 Machi 2024

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lina utaarifu umma kuwa kumetokea hitilafu katika mfumo wa Gridi ya Taifa na hivyo kusababisha ukosefu wa huduma ya umeme katika baadhi ya maeneo nchini pamoja na Zanzibar.

Wataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kuhakikisha huduma ya Umeme inarejea katika hali yake ya kawaida.

Shirika linawaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.

Imetolewa Na;

KURUGENZI YA MAWASILIANO NA UHUSIANO KWA UMMA

TANESCO-MAKAO MAKUU

DODOMA
 
Nimeshangaa leo hapa nilipo imepita tu rasharasha mara umeme ukakata ndio mpaka sasa haujarudi.

Tanzagiza.
 
Back
Top Bottom