Xkalinga
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 476
- 316
Luku kutokufanya kazi muhanga wa kwanza kupata hasara ni TANESCO,sasa watu wanajifanya wana machungu kuliko wahanga wenyewe.
Ifike mahala tukubali sio kila kitu ni hujuma na TANESCO sio malaika. Mifumo kufeli au kupata hitilafu ni jambo la kawaida muhimu ni kupunguza muda wa tatizo ili madhara yasiwe makubwa.
Wanaolaumu utadhani wao wakipewa uongozi basi watafanya kazi kama malaika yaani watakuwa perfect na mifumo itakuwa perfect milele. Muhimu taifa/tanesco kuongeza kuwekeza katika R&D ili mifumo iwe thabiti Zaidi!