‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

Status
Not open for further replies.
Mbona zikianzaga kuvuma zile Threads za @BenSaanane JF inaanza kushambuliwa ? Kuna nini Nyuma ya Camera ?!!

Jana Jioni niliweza kusoma Thread ikimuhusu Ben saa nane ! Kwamba Wana JF wanajadili kuweka Dau ili itusaidie kupatikana Kwa BEN awe hai au Laa

Ni hayo tu Nayo waza Kwa sasa
Mkuu hebu soma kilicho andikwa kwanza ndio uulize maswali.
Hahahaha aiseee siasa hizi ni hatari sana...
 
Hahaha! Ninayo kazi kwelikweli. Watu hawaelewi kwakweli, na hapo nimetumia lugha rahisi
Nashindwa nishauri uandikeje tena maana unaweza edit tena ndio watu wasielewe kabisa hahaha bora ukae kwenye huu uzi ujibu maswali...mimi leo nimeelewa
aiseee raha ya huu uzi nikusoma comments aiseee
 
Tafadhali sisi siyo wateja, hatununui huduma kwa JF, ifahamike kuwa sisi tunafahamika kama wadau, wanabodi, wakuu...
Hahahahaha wewe jamaa bana nimecheka sana. We ni mteja wa Melo kwa kutumia huduma yake ya JF, kupitia wewe ndio anaingiza pesa usipokuja haingizi pesa, so yeye anakutambua kama mteja wake. He is correct.
 
Melo sina nia ya kukukatisha tamaa najua unajua unachofanya ila zoezi hili kama halitasaidia sana siku za mbele.

Maadui wa JF (mfano wale walioiblock April 2018) wana vitendea kazi na knowledge ya kutosha, siku yoyote watakayoona kuna ulazima wa kuiblock JF kwa mashambulizi wanaweza kufanya hivyo.

Njia pekee na ya UHAKIKA kujilinda nao ni kwa nyie kuwatumia hao hao wanaowapa maadui zenu hivyo vitendea kazi na knowledge ili wawape counter-measures ili siku ya siku muwashangaze! Ukihitaji niambie nitakwambia wapi pa kuwapata.

Bila hivyo naona mtaweza tu kuresist mashambulizi ya wadukuzi binafsi ambao sidhani kama wana muda sana na JF (labda kuitumia kwa mazoezi) lakini siyo ya watu wasiojulikana.

Tupo pamoja lakini.
Siwezi kuamini kama jf ilishambuliwa kwa dosdos attack mwezi April wakati wana ulinzi wa cloudflare
 
Melo sina nia ya kukukatisha tamaa najua unajua unachofanya ila zoezi hili kama halitasaidia sana siku za mbele.

Maadui wa JF (mfano wale walioiblock April 2018) wana vitendea kazi na knowledge ya kutosha, siku yoyote watakayoona kuna ulazima wa kuiblock JF kwa mashambulizi wanaweza kufanya hivyo.

Njia pekee na ya UHAKIKA kujilinda nao ni kwa nyie kuwatumia hao hao wanaowapa maadui zenu hivyo vitendea kazi na knowledge ili wawape counter-measures ili siku ya siku muwashangaze! Ukihitaji niambie nitakwambia wapi pa kuwapata.

Bila hivyo naona mtaweza tu kuresist mashambulizi ya wadukuzi binafsi ambao sidhani kama wana muda sana na JF (labda kuitumia kwa mazoezi) lakini siyo ya watu wasiojulikana.

Tupo pamoja lakini.
Duuuu ww ndo GT sasa nimekukubali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom