Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,577
Hii ya leo wanawafahamu hao watu maana wamewakaribisha wenyewe. Ila pia kasema hata wasiojulikana wanakaribishwaWatu wasojulikana.
Hii ya leo wanawafahamu hao watu maana wamewakaribisha wenyewe. Ila pia kasema hata wasiojulikana wanakaribishwaWatu wasojulikana.
Ukipata nigaie 5000
Hahahaha jf tamu.Sawa Melo test mitamboTunaweka CCTV sawa ili ijulikane itapotelea njia ya Kawe au wapi.
Max atanipa tu mkopo tumetoka mbali
Ukipata nigaie 5000
Vita ya kirafiki au sio mkuuAny attack inakuwa analysed mkuu wangu.
Previous attacks zote zilikuwa recorded na tunajua walifanya nini.
This time around tumealika nguli kadhaa ambao ni advanced kwenye mashambulizi ya kila namna na tunafanya hivi kwa lengo la kujihakiki wenyewe.
Asante
Kuanzia saa 9 alasiri leo Novemba 10, 2018 (kwa majira ya Afrika Mashariki), JF inaweza kutoweka hewani.
Kuna mashambulizi kadhaa yatafanywa kwa mfulululizo (takribani saa 5) ili kuiangusha na kuiondoa hewani.
Lengo la mashambulizi haya ni kujitathmini kama ikitokea shambulizi (kwa levels zote) tutaweza likabili au linaweza sababisha athari gani.
NB: Si lazima kutoweka hewani; taarifa hii inalenga kutoa tahadhari ili ikitokea (kwa bahati mbaya) mteja ajue ni kitu kimepangwa.
Naamini hivyo. Mi nawe pia tumetoka mbali naamini nitapats buku 5 hapo
Hii ya leo wanawafahamu hao watu maana wamewakaribisha wenyewe. Ila pia kasema hata wasiojulikana wanakaribishwa
Wanikumbusha mbali sana na Kiswahili chetu tukufu, hilo neno nigaie.
🙂🙂
Unataka dola 500?
Si nimepatia lkn? Nigaie [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee mbona nitakulamba unyayo mwaka mzima?
Basi cku ukiniona tu nikumbushe kuwa unanidai dola 500
Noted! Andaa miguu...yaani ukivua tu viatu bring them to me
[emoji23][emoji23][emoji23] JFHebu tuwekee picha ya hivyo virus, pia mrekodi video ya mapambano ili tuone vita ilivyokuwa
Swali making sana, ila kikosi cha mashambulizi kitaona eneo lililoshambuliwa hawakushambulia wao. Hope watajiongeza.Sasa mmeweka na muda kabisa. Sasa mkiwa mnajishambulia na watu wasiojulikana wakawashambulia kwa muda huo huo mtajua nundu hii imetokana na ngumi ipi na dawa yake ni ipi?