‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

Status
Not open for further replies.
Hii inahusiana na kilichoandikwa hapo juu mkuu? Hata wewe kuna watu watakulalamikia kwa kuingiza hoja ndani ya hoja (off-topic) na ukisoma sheria za JF zinazuia 😊
Hahahahaha hahaha unajua bro Mello ushauri hamuufanyii kazi kule Kwenye congrats mnaishia ku like tu, ndo maana akaona hapa ni fursa ya kutoa ya kwake
 
Mimi nitakonda sana maana huwa siwezi kukaa hata dk 10 tu bila kutouch ka app ka jamii forum
 
KWELI NIMEAMINI WATU HAWALALI WENGINE TUKIANGAIKA KUPOST KWA AJILI YA KUTOLEA ELIMU KWA RAIA HUMU JF KUBADILISHANA MAWAZO WENGINE HAWALALI KUISHAMBULIA JF IPOTEE KWELI ONLY IN TZ.....
 
Kuanzia saa 9 alasiri leo Novemba 10, 2018 (kwa majira ya Afrika Mashariki), JF inaweza kutoweka hewani.

Kuna mashambulizi kadhaa yatafanywa kwa mfulululizo (takribani saa 5) ili kuiangusha na kuiondoa hewani.

Lengo la mashambulizi haya ni kujitathmini kama ikitokea shambulizi (kwa levels zote) tutaweza likabili au linaweza sababisha athari gani.

NB: Si lazima kutoweka hewani; taarifa hii inalenga kutoa tahadhari ili ikitokea (kwa bahati mbaya) mteja ajue ni kitu kimepangwa.
Pongezi za dhati zikufikie wewe na vjana wako,lkn mjitahidi kuweka sehemu ya 'delete' kwenye thread kwa kuwa sisi tunaotumua app' hatuwezi ku-delete chochote kama tumesha post!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom